Patanisho : Mke wangu anapenda kutongozwa na vijana - Kipchumba

  Рет қаралды 34,440

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 158
@sakiyayussuf9662
@sakiyayussuf9662 4 жыл бұрын
Its not easy to live with a man who doesn't have anything..it takes God's grace ...
@AlbertNTipster
@AlbertNTipster 4 жыл бұрын
is it easy to live with a woman who doesn't have anything?
@secretarygeneralsg2778
@secretarygeneralsg2778 4 жыл бұрын
So if that man has nothing kwni utatoka nje ya ndoa?
@bjorntoby3320
@bjorntoby3320 3 жыл бұрын
A tip: watch series on kaldroStream. Been using them for watching lots of of movies recently.
@eliseoemery3767
@eliseoemery3767 3 жыл бұрын
@Bjorn Toby Yea, I've been watching on kaldroStream for since december myself :)
@bryceskyler9615
@bryceskyler9615 3 жыл бұрын
@Bjorn Toby yea, I've been watching on Kaldrostream for months myself =)
@lucynjogu5449
@lucynjogu5449 4 жыл бұрын
So sad .I stay with my hubby having no permanent work ni vibarua tu for 8 yrs finally God answered us and he was promoted but so sad he passed away .patient pay..so if she can change then give her another chance but if not move on life ni fupi kustay in wrong relationship. 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️watu gulf izo like zikamu. Riyadh ndani
@daviddaud6769
@daviddaud6769 4 жыл бұрын
Pole sana
@lucynjogu5449
@lucynjogu5449 4 жыл бұрын
Daudi thanks
@daviddaud6769
@daviddaud6769 4 жыл бұрын
Welcome
@prettybabygalmichelson6557
@prettybabygalmichelson6557 4 жыл бұрын
Listening from Saudi Arabia
@maurinekhasila3326
@maurinekhasila3326 4 жыл бұрын
Niko ndani
@slyviahWambui1779
@slyviahWambui1779 4 жыл бұрын
Leo zinakuja back to back
@sophietoniah9128
@sophietoniah9128 4 жыл бұрын
Tuko ndani
@sallyokumu6456
@sallyokumu6456 4 жыл бұрын
Twa Twa Twa ndo shida 💃💃💃💃💃
@evanstinga7945
@evanstinga7945 4 жыл бұрын
Hata kama she needs to use protection
@beckybeto3781
@beckybeto3781 4 жыл бұрын
Akirudi next ni Ukimwi
@christineouma2957
@christineouma2957 4 жыл бұрын
wah sijui wanawake wengine wako aje, yani ukipata mume mzuri lazima upatane na mwamke kisirani, walai na venye mimi naomba nipate mume kama huyo, inshaallah nitapata 🙏🙏🙏🙏,
@giftmuthomi5581
@giftmuthomi5581 4 жыл бұрын
Usijali
@claraclara5118
@claraclara5118 4 жыл бұрын
@@giftmuthomi5581 🤔
@sharondavis9379
@sharondavis9379 4 жыл бұрын
Imagine aky wengine 2naomba 2pewe wanaume kama hao wengine nikucheza 2 apa
@mumblessed001
@mumblessed001 4 жыл бұрын
Mungu ameskia ombi lenu mtapata 🙏🙏
@nancynzila1288
@nancynzila1288 4 жыл бұрын
Wanawake wengine wamebarikiwa na wanaume caring aki
@citecite102
@citecite102 4 жыл бұрын
Naomba mungu anipe mwanaume mzuri kama huyu 🙏🙏
@kiiaknia7232
@kiiaknia7232 4 жыл бұрын
aki uiye pole sana brother huyo c bibi hao wanaume wote atalete magonjwa
@aishatwaha1851
@aishatwaha1851 4 жыл бұрын
Duh!!! Yaaani huyu Jamaa ni pimbi kabisaa, eti my dear nakupenda sana....mtu anakuletea maradhi bado wamuhitaji 😂😂😂😂
@TabithaLydia084
@TabithaLydia084 4 жыл бұрын
Jameni kijana ahatarishe maisha yake kumpenda mwenye hampendi atakufa bure😢😢😢 kwa kipchumba majuto ni mjukuu
@angelinpretty3970
@angelinpretty3970 4 жыл бұрын
Chela ameogopa cos anajijua, move on kijana Kuna Wa awake wengi hapa Kenya wanatafuta ndoa hata kama huna pesa bora heshima
@janejayne7199
@janejayne7199 4 жыл бұрын
Kipchumba wewe unatafuta ugonjwa kuu mbona usimove on na maisha yako...metee chebombeen tabuch irire mutai..
@HighTechAutoSales
@HighTechAutoSales 4 жыл бұрын
Exactly...huyo kijana asonge mbele aendee na maisha yake...wanawake ni wengi wazuri uko nje...
@doreenbae866
@doreenbae866 4 жыл бұрын
Pia mm niko 😅😅😅😅
@nancywanyama9147
@nancywanyama9147 4 жыл бұрын
@@doreenbae866 asingoje ukimwi asonge mbele
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 4 жыл бұрын
Syphilis! Ukamrudisha! Kipchumba b blessed. BT b careful Aids iko njiani. She has wronged u na niwewe unambembeleza! Hata akirudi atakusumbua tu.
@annemuoria0893
@annemuoria0893 4 жыл бұрын
Ni ukweli
@funnyclips254ke
@funnyclips254ke 4 жыл бұрын
You forgive everyone but can only take back someone who is willing to change
@beatricekarisa7145
@beatricekarisa7145 4 жыл бұрын
Indeed my dear
@winniewayesu6876
@winniewayesu6876 4 жыл бұрын
Wow pole 🤗🤗🤗
@salomemukani1627
@salomemukani1627 4 жыл бұрын
Wacha kwanza Afanye Raha Ju yy nikama Ana thani Kuna Raha ata jutia baadaye. Aki gost na gidi muna tupa raha hapo Redio Jambo. 👆👆🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@damariskamau1069
@damariskamau1069 4 жыл бұрын
Woow kipchumba you are a real man
@carolnatalie8320
@carolnatalie8320 4 жыл бұрын
Listening from Lebanon
@oliviaatieno9809
@oliviaatieno9809 4 жыл бұрын
Gidi watu wana pambana na corona 😆😆😆si ya kucheka but inabidi tuu
@mtotowako5708
@mtotowako5708 4 жыл бұрын
From Dubai
@milkanjeri1475
@milkanjeri1475 4 жыл бұрын
Dubai wapi
@mtotowako5708
@mtotowako5708 4 жыл бұрын
Wa tano leo
@mamayaoharistar4599
@mamayaoharistar4599 4 жыл бұрын
Huyu lazima awe wa kericho 🤣🤣🤣🤣
@kiiaknia7232
@kiiaknia7232 4 жыл бұрын
listening from Kuwait
@delilaindashou4580
@delilaindashou4580 4 жыл бұрын
Ghost nipatanishe na Gidi na penda waya hake 🤣🤣🤣🤣👌👌
@ksubsnovideo-yv1qe
@ksubsnovideo-yv1qe 4 жыл бұрын
Good men= Bad wives, Bad men= Good wives.
@chullakoi1508
@chullakoi1508 4 жыл бұрын
Huyu mwana dada hafai hata kidogo bro jipange na uendelee na maisha yako huyu c mke #Burekabisa
@Jmwamuchemi
@Jmwamuchemi 4 жыл бұрын
I still believe there is true love out there, based on true love and not what you have, even though money is important in a marriage that should not be the source of love and happiness! Both should work hard together and they will prosper but that is only the two of them are willing to stick to each other no matter what! But also this guy should be careful asiletewe ukimwi! God help us all
@loisegitau4897
@loisegitau4897 4 жыл бұрын
True. Bibi ni kahaba
@winiewinnie2770
@winiewinnie2770 4 жыл бұрын
Pliz kijana move on wachana na yy later utaletewa ukimwi hapo ukioba usamaha more on
@nancywanyama9147
@nancywanyama9147 4 жыл бұрын
Yes kabisa
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 4 жыл бұрын
Locked from turkey ankara
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 4 жыл бұрын
Dunia ina mambo
@agneswanjihia1383
@agneswanjihia1383 4 жыл бұрын
Wakwanza leo
@magnumquantana2223
@magnumquantana2223 4 жыл бұрын
Kipchumba take care of your kids 😕unajitakia magonjwa zaidi aaii!hyo ni muhanyaji awezi tulia 😃😔
@HighTechAutoSales
@HighTechAutoSales 4 жыл бұрын
Sure... i totally agree with u
@jacklinejudah3693
@jacklinejudah3693 4 жыл бұрын
Take care u man
@kenyanbae9971
@kenyanbae9971 4 жыл бұрын
Wachana na huyo mwanamke before akupe ukimwi move on with your life
@gamirsomchand7130
@gamirsomchand7130 4 жыл бұрын
Ukweli apo
@traveledra2015
@traveledra2015 4 жыл бұрын
Jah Rastafarian
@susanmuthoka7705
@susanmuthoka7705 4 жыл бұрын
Kipchumba Kuna lazima gani huishi na huyu mwanamke? Mapenzi hayalazimishwi na pia Kunguru hafungiki.
@Ruthbosibori-uu7eq
@Ruthbosibori-uu7eq 4 жыл бұрын
Number 16
@doreenbae866
@doreenbae866 4 жыл бұрын
Alipata ugojwa wa kisonono😅😅😅bro usirudi kulima hiyo shamba 😅😅😅😅 at ur own risk
@edwinogola3589
@edwinogola3589 4 жыл бұрын
This video was set to private not many people can watch it
@citecite102
@citecite102 4 жыл бұрын
Hawa wanaume wazuri wanapatikana wapi jameni 🤔🤔
@benardpaul1271
@benardpaul1271 4 жыл бұрын
Niko mimi
@ديبديب-د6ف
@ديبديب-د6ف 4 жыл бұрын
Nasikiza patanisho nikiwa ndani ya Saudi na corona ndani kwa ndani
@mumblessed001
@mumblessed001 4 жыл бұрын
Kijana lea watoi utaletewa ukimwi hapo ukisema unampenda tafuta bibi utapata na pole sana
@francismwererialalasalamab4007
@francismwererialalasalamab4007 4 жыл бұрын
Wasamiane 2 na waedelee na maisha ya ndoa.
@emilymuthoni3776
@emilymuthoni3776 4 жыл бұрын
waah nimeshtuka🙊🙉 tena jamaa anasema anampenda na anamheshimu nani anapaswa aheshimu mwingine🙆 chela ahk wat you are doing does not define a married person respect your marriage
@maurinekhasila3326
@maurinekhasila3326 4 жыл бұрын
Kina dada munapata wapi wanaume wazuri kama huyu kaka jamani nashanga mm
@mauricesambili4895
@mauricesambili4895 4 жыл бұрын
Hiyo ndio imefanya nimeamua kulea watoto wangu peke yangu.
@maurinekhasila3326
@maurinekhasila3326 4 жыл бұрын
NINAWAPATA NIKIWA SAUDI ARABIA NDANI CORONA IMETUWEKA NDANI
@teresiambote3867
@teresiambote3867 4 жыл бұрын
Uko Saudi wapi
@emmahnjigai7346
@emmahnjigai7346 4 жыл бұрын
Tuomebeane mungu wote tuko place moja hii ugonjwa ipite
@maurinekhasila3326
@maurinekhasila3326 4 жыл бұрын
@@teresiambote3867 pamoja sana
@maurinekhasila3326
@maurinekhasila3326 4 жыл бұрын
@@emmahnjigai7346 Mungu mwenye huruma naupendo atuonekanie viumbe zake
@rafaelsimon6637
@rafaelsimon6637 4 жыл бұрын
Wewe kipchuba unatuangusha......hatukusema hivo mens conference.............
@shiphrahblessing284
@shiphrahblessing284 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@sonisoni8544
@sonisoni8544 4 жыл бұрын
+971 gonga like #staysafe #stayhome😢😢😢
@bonfacematekwa7231
@bonfacematekwa7231 4 жыл бұрын
Tosheleza bibi kijana
@doreenbae866
@doreenbae866 4 жыл бұрын
😅😅😅nikuje unitosheleze😅😅😅wangu ajui kazi
@eunicewairimu5015
@eunicewairimu5015 4 жыл бұрын
😂😂😅Aki hii ni hate speech... Bibi hajasema hatoshelezwi
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 4 жыл бұрын
Chunga sana wako asiwe na tamaa hpo ndo utajua
@joramchiteyi7928
@joramchiteyi7928 4 жыл бұрын
Am not getting your video play nowdays
@metrineokombo5004
@metrineokombo5004 4 жыл бұрын
wanawake wengine sijui shida huwa wapi jamani aki
@nurumwangaza8581
@nurumwangaza8581 4 жыл бұрын
Wanaume kama hawa walikuwa wapi wakati nilikuwa naolewa,yani licha ya kuambukizwa magonjwa lakini bado anaomba msamaha aki,kipchumba wewe ni mwanaume
@franciscanginah5420
@franciscanginah5420 4 жыл бұрын
Damu Moto...huyu dada haridhiki
@lastborn2044
@lastborn2044 4 жыл бұрын
Uyo awez change
@millicentaseyo5817
@millicentaseyo5817 4 жыл бұрын
Kipchumba move on wacha atembee ataokoka mwenyewe atarudi you've played your role,chunga watoto wako
@HighTechAutoSales
@HighTechAutoSales 4 жыл бұрын
Well said...i totally concur with your sentiments...
@wakiama9609
@wakiama9609 4 жыл бұрын
Tafuta bibi bro wachana na kiguu na njia
@bonifacemuoki7129
@bonifacemuoki7129 4 жыл бұрын
Listening from +222
@nsarilema9580
@nsarilema9580 4 жыл бұрын
Bro huyoatakuletea UKIMWI.wacha ujinga.huyo hatakaa abadilike.
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 жыл бұрын
Mjamaa amenyanyaswa
@loisegitau4897
@loisegitau4897 4 жыл бұрын
Hahaha na bado anafuata nyuki
@priscaooko4626
@priscaooko4626 4 жыл бұрын
Woi. Huyu mmama ni shetani🙁🙁
@periswarish7022
@periswarish7022 4 жыл бұрын
Mwanamke ni fisi mkali ata kama ulifukuzwa ndoa ninyawatu 2 si nya wazazi
@stargal906
@stargal906 4 жыл бұрын
Chela anajua tabia zake hawezi kuongea. Move on kijana. Ghost kicheko jamaniii🤣🤣🤣🤣
@arnoldkimutai4210
@arnoldkimutai4210 4 жыл бұрын
Giddy it is true that we kalenjin men rarely beg for forgiveness. Very rare. For this pchumba he should move on with life. Leave alone this lady who isn't ready for marriage.
@sabinamuhanda9903
@sabinamuhanda9903 4 жыл бұрын
Patanisho ya wakale nitamu sana.. eti gari ikija nikuamuka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kizaanthony9162
@kizaanthony9162 4 жыл бұрын
Huyo mwanamke anajua kosa lake lilipo okay ndio maana journalist alivyojalibu kumlazimisha amwambie kilichowafanya wakosane akawa amekata, ina maana tosha kwamba anajielewa na anajua alichokifanya au anachoendelea kukifanya labda bdo sura yake tamu ndo maana anaweka mideko ila Jamaa pia usin'gan'gane Ndugu yangu, atakufwata to itakapobidi
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 4 жыл бұрын
Kweli wanawake Kama huna kitu Wana madharau Sana kaka
@loisegitau4897
@loisegitau4897 4 жыл бұрын
Sio wote
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Umezidiwa nguvu kwa ukweli na mwanamke
@loisegitau4897
@loisegitau4897 4 жыл бұрын
Hahaha. Ni upendo
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 4 жыл бұрын
Y is that serious pple hupata mang'aa!! Nilikuwa submitive kwa mzee wangu bt nilichoka kupata cds kwa mfuko😦😦
@classiccell9671
@classiccell9671 4 жыл бұрын
Kutongozwa raha!!
@emmanueldionis8822
@emmanueldionis8822 4 жыл бұрын
Huyu anatombwa sio anatongozwa
@softymoha5484
@softymoha5484 4 жыл бұрын
Kuongozwa Raha aje? Huu ni uzinifu ambao mwenyezi mungu amekataa,
@doreenbae866
@doreenbae866 4 жыл бұрын
@@emmanueldionis8822 hati kutobwa😅😅😅😅😅
@yahabibiyahayatiyahayuni7339
@yahabibiyahayatiyahayuni7339 4 жыл бұрын
Kudate vijana wololo
@leahwambui5608
@leahwambui5608 4 жыл бұрын
Wewe kijana unashida
@loisegitau4897
@loisegitau4897 4 жыл бұрын
Hahaha ukweli 31yrs.
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 4 жыл бұрын
Wewe fala nn mtu amekata simu bado unababaika eti bdo wampenda
@goleadgolead4044
@goleadgolead4044 4 жыл бұрын
My brother huyo atakuletea ungonjwa plz tafuta mke mwengine ama kama umeshindwa nitafute nikupee wako wengi
@kcRobert.
@kcRobert. 4 жыл бұрын
I doubt whether you are a real kalenjin? You were supposed to deal with her squarely in the first case. Meteen chemongong inon koto koombenot.
@nyamburachege7029
@nyamburachege7029 4 жыл бұрын
Kalenjin with Maasai flavour.
@maryschroeder521
@maryschroeder521 4 жыл бұрын
Some lady’s wololo🙆🏾‍♀️
@loisegitau4897
@loisegitau4897 4 жыл бұрын
Mwanamke mbaya ni mbaya na atakusumbua hadi mwisho kwa hivyo kipchumba tafuta bibi mwingine.
@mystyjakanyango4079
@mystyjakanyango4079 4 жыл бұрын
Man, you beg a woman, she'll hate and despise you; that's the way things work..
@akinyiroselyne2697
@akinyiroselyne2697 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@halimaomari7589
@halimaomari7589 4 жыл бұрын
Acha ufala wewe mwanamme kile unataka sasa ni ugonjwa mkubwa, ushaletewa ugonjwa sio mara moja na bado na bado wamtaka
@bonifacemuoki7129
@bonifacemuoki7129 4 жыл бұрын
Chela ako possessed she needs deliverance
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 4 жыл бұрын
Ulikua na syphilis wah huyo ni kifangio sio bibi ,,
@loisegitau4897
@loisegitau4897 4 жыл бұрын
🔚
@emmahnjigai7346
@emmahnjigai7346 4 жыл бұрын
Wah this is too much you still love her na yenye anakufanyia?? kweli there's a true love
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
yani uko na kazi ya ukonda na unasema huna kazi?really?
@fatmamacharia3593
@fatmamacharia3593 4 жыл бұрын
Huyu mwanaume ana Subiri ukimwi juu huyu sio mwanamke ni Malaya na hawezi tulia
@secretarygeneralsg2778
@secretarygeneralsg2778 4 жыл бұрын
Huyu jama ni ng'ombe sana...Utatafuta aje Malaya?
@gamirsomchand7130
@gamirsomchand7130 4 жыл бұрын
Move a head
@monyivam9821
@monyivam9821 4 жыл бұрын
Huyu ni mamas girl hata akirudi mtasumbuana
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 4 жыл бұрын
Mke akiwa mang"aa wachana nae
@joneskahi3537
@joneskahi3537 4 жыл бұрын
Weak man..... As a real man inafaa ukae ngumu..how could he forgive her when she first cheated?? Does this man know there is a proverb that say ones beaten twice shy?? ...kwani wanaume wengine wanakuangaje? If u cheat i burst you we are DONE...SIWES na siwes kuweka hata second moja
@jemimahjoseph4719
@jemimahjoseph4719 4 жыл бұрын
Tafuta Bibi mwingine wanawake niwengi huyo atakuletea ukimwi
@aggywachira9061
@aggywachira9061 4 жыл бұрын
Ngai ninini baya na huyo jamaa you know kuna HIV na bado unataka kurudiana na huyo dem please move on
@janeselineselinejane4377
@janeselineselinejane4377 4 жыл бұрын
Aki wanaume wengine mumerogwa,muke anatoka kwa ndoa nauna Mfuta
@japhethngetich2130
@japhethngetich2130 4 жыл бұрын
This guy is not serious with life... How now,.... Madem ni wengi bana......
@eunicewairimu5015
@eunicewairimu5015 4 жыл бұрын
Kipchumba Sasa gonja Corona kama unataka kurudisha huyo bibi fisilet... Enyewe Kuna wanaume wazuri holding the shit back... Wee mwanaume Lea watoto wako acha chelaa atembee na bentens
@sofiaahmed8880
@sofiaahmed8880 4 жыл бұрын
Tafuta bibi mwengine! Tabia haina dawa!!
Patanisho: Nilikosana na mke wangu kutokana na pesa za biashara
20:55
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 32 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 2,9 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 49 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 54 МЛН
GnG: PT: S04E10:Patanisho: Bibi yangu amekua na mpango wa Kando
10:56
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 9 М.
Lion n Mbusii wako TITI na Lipalikes
2:01
Lipalikes
Рет қаралды 365
PATANISHO : MUME WANGU ALILETA NGUO ZINA UCHAFU WA MWANAMKE NIFUE
16:54
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 28 М.
Dr MAZA Berbicara Tentang Kejatuhan Bashar Al- Assad
23:22
Dr. Maza Channel
Рет қаралды 106 М.
Sudden assault near Kursk / Putin's statement
13:04
NEXTA Live
Рет қаралды 839 М.
PATANISHO : MAPENZI - MUME WANGU HANIPI HAKI ZANGU ZA NDOA
21:14
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 153 М.
SYAMSUL DEBAT | BILA KAWAN ASYIK MEMINJAM !
1:32:32
Syamsul Debat TV
Рет қаралды 16 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 2,9 МЛН