PATANISHO : SAMUEL - MKE WANGU HAKUWA ANATAKA NIENDE NIKAANGALIE MPIRA

  Рет қаралды 18,473

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghost #patanisho
Subscribe to RadioJambo KZbin - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Пікірлер
@PetronelaGidion-z8o
@PetronelaGidion-z8o Жыл бұрын
Ghost kicheko chako akiii😂😂😂😂 much love from Tz🇹🇿🇹🇿
@zarabati1750
@zarabati1750 Жыл бұрын
I love gidi the way is telling people the truth
@gumato7618
@gumato7618 Жыл бұрын
Gidi nahisi Chai moto inakukuongojea kando yako🎉 naomba nionje🙏.. Enjoy after the kesi. Good Luck 🙏.
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 Жыл бұрын
Sijawai elewa ati wazazi wangu ndo hua wanampiga hio imeniguza mpaka kwa roho
@francymutua7022
@francymutua7022 Жыл бұрын
Mercy jipee shughuli Kama Kuna kichapo health is wealth jipange
@anitabell4203
@anitabell4203 Жыл бұрын
Hii imekuwa ngumu. Mercy aendee watoto na asiende pekee yake. Aende na marafiki au family
@isintajonathan195
@isintajonathan195 Жыл бұрын
😂😂😂 sikuhizi hata watu wa kanisa wanakunywanga pombe nowadays hakuna mtu mwaminifu hii dunia imeisha
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 Жыл бұрын
Samuel yes Gidi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mahatomar8453
@mahatomar8453 Жыл бұрын
Kiiiiiikiiiiii kiiiii huuuuuu ghost 🤣🤣
@estherngena3875
@estherngena3875 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@cr72025-r
@cr72025-r Жыл бұрын
MKE WANGU HAKUWA ANATAKA NIENDE NIKAANGALIE MPIRA
@anitabell4203
@anitabell4203 Жыл бұрын
Ghai 😂😂😂. Ile uongo iko hapo, huyo bwana akae tu akae tu pekeyake
@Wanyekionconsole
@Wanyekionconsole 4 ай бұрын
😂
@phylisemaly8016
@phylisemaly8016 Жыл бұрын
Bodaboda men mmezidi na umalaya
@agnesmueni655
@agnesmueni655 Жыл бұрын
Samuel ako n uongo ..chukua watoi mama move on
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Жыл бұрын
Hii ni case sio tena patanisho
@philicemaradi
@philicemaradi Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mahatomar8453
@mahatomar8453 Жыл бұрын
Wapi ghost 👻
@juliusjamanda7313
@juliusjamanda7313 Жыл бұрын
Hayuko apo kando😂😂😂😂😂😂utaskia akicheka apo😂😂😂😅😂😂😅😂😅
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
Ninahisi maisha ya Samweli ni ya chini hivyo na thamani yake imeshushwa, kama ni kutusiana au kugongwa ni mambo ya kurekebisha siyo kuachana, sijaona sababu ya msingi hapo.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
“Don’t stop the chances.”
0:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Решил поиграть😄
0:38
фильм3000
Рет қаралды 6 МЛН
Panic attack..☠️
0:19
GoodBoyShaggy
Рет қаралды 24 МЛН