I love how Gidi handles situations in this section, keep it up may God keep u health, we missed u
@lenitygakii95703 жыл бұрын
Gidi I like the way you haddle couple case's mungu akuongezee miaka zaidi
@kageha25433 жыл бұрын
Welcome back Gidi we missed you..... Thank you Lord for you healing
@charleskibiro91593 жыл бұрын
Kwani Gidi alikua amegonjeka? Ni covid au ninini. Lakini akule ugali apate nguvu kama Ghost.
@rozlyn7323 жыл бұрын
I love this patanisho
@rozlyn7323 жыл бұрын
Kindly can I get Gidi no. Want patanisho
@lucysolomon66893 жыл бұрын
Gidi now that's the real advice 👏👏👏 keep up Gidi
@cutandgo3 жыл бұрын
This show is a great service to the nation. Relationships are suffering out here. Gidi is a great host and I like it when he tells Ghost to calm the kicheko sometimes.
@faithhudson40702 жыл бұрын
But we looooove it when ghost laughs 😅🤣😗😗😂😂😂😅🤣😂😂😂😂😅🤣🤣🤣😂
@josephanjele81603 жыл бұрын
We really missed u gidi.....welcome back
@josephwere4303 жыл бұрын
Welcome back!Huyo Steve yuko na mwanamke mzuri aliyekuwa na moyo wa kukaa katika ndoa.Ajirekebishe na amwombe mkewe msamaha.
@pamelamudogo55513 жыл бұрын
Gidi God is good Asante kwa uponyaji karibu sana
@damanicholas95803 жыл бұрын
Ghost cheka kabisha 😝😝😝😝😝
@ruthn93812 жыл бұрын
Ghost is a very humble guy.
@gladyswanjala839 Жыл бұрын
Walai
@rosenafula27573 жыл бұрын
May God bless you Gidi kwa patanisho na kwa ushauri wako mzuri barikiwa sana
@christineakinyi24723 жыл бұрын
Waw umerudi gidi it's aĺl about god karibu xna na asante kbxa qwa kurudi
@monicawanza99113 жыл бұрын
No 🔥🔥patanisho bila gidi na ghost❤️❤️❤️❤️
@faithkagendo25483 жыл бұрын
Kweli kabisa
@reagannyaguda37283 жыл бұрын
Thanks God Gidi you are back. Great advice
@alicenyambura11303 жыл бұрын
Missed you Gidi...Welcome!!
@marykafietrasha45323 жыл бұрын
Gidi am happy you're back, Ghost hakuwa anapea wamama kuongea,you've solve wisely that lady ako na stress depression is real, There's a lady Ghost switched off ad she was really stressed,
@thinkingkenyan90023 жыл бұрын
Gidi pia huwakata short sema tu you like Gidi more than Mulei it is allowed to have a fav.
@salinengesa1183 жыл бұрын
Pole sana anupi, I feel your pain my dear. And Gidi na Ghost thank you so much for the advice.
@beckooh3 жыл бұрын
GIDI UACHE MADHARAU KWA GHOST
@maseiafricano12503 жыл бұрын
May god bless you more gidi I like the way you handle this cs
@muunganoshow42123 жыл бұрын
Number one 👋🏿👋🏿
@alicekmusic39253 жыл бұрын
Karibu sana Gidi, we missed you
@badifamwenyewe83013 жыл бұрын
Karibu sana Gidi unajua patanisho bila Ghost si poa na patanisho bila Gidi bado si poa so mukiwa wote mbele iko sawa 🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lilianali62733 жыл бұрын
Umefanya poa kurudi welcome back while you were away wacha tu patanisho haikua patanisho
@trillionsam24283 жыл бұрын
Lilian yoo
@bintuaimee12403 жыл бұрын
Karibuni sana Gidi
@salomeomashibo19713 жыл бұрын
karibu sana gidi mashabiki zako tulikua tume kumis kipindi hiki hubamba mukiwa nyinyi nyote na na .mr ghost. welcome back.
@lilianakinyi15743 жыл бұрын
This made me she'd a tear the lady is surely stressed and the guy is pretending to be nice on radio,a gentle man should listen to what the lady is saying and solve things amicably.
@cutandgo3 жыл бұрын
True.
@shamimaoko2 жыл бұрын
Always blame the man...
@clemencianyaboga89463 жыл бұрын
Number 2wapi like zangu
@marywanga70773 жыл бұрын
Gidi anamajibu yakunyia ya kishenzi ,kwani ghost akikuliza yuaitwajee huwezi jibu mpaka umjibu utamwambia na already wajua mtu wampigia simu asiwe na wasiwasi phtooo,moods zako budaa malizia home wacha kuleta kazini ,unaemdharau siku moja utamsalimia kwa heshima tafakari
@Neshee1233 жыл бұрын
I noticed this . He always put him off when he asks a question. You treat people with respect even though you are their boss
@rispernjoki18463 жыл бұрын
True. He should be polite to Ghost.
@marywanga70773 жыл бұрын
@@Neshee123 Ghost should start his own show awachane na huyu mtu na tutamfuata ,sio kumdhalilisha kama mtu hana value coz he,s the boss ,Ghost is the best very humble man ,but Gidi ni something else, sijui kwake pia hubehave hivi?i cant stand such man phtoo
@ashleyhearts85613 жыл бұрын
Gidi uko lips poa😚😚🤭
@dunna16633 жыл бұрын
Madharau ndo inaharibu hii show, mbona Gidi huongeleshi Ghost vizuri tu, sasa jina ya huyo mwanmke ni siri ya kusema baadae🤔
@resumeandcareercoachivy2 жыл бұрын
So bad
@stephenmaingi72432 жыл бұрын
they need patanisho
@stephenmaingi72432 жыл бұрын
Na kumzimia mic
@wambugu37523 жыл бұрын
Very young family...familia wakati ipoongozwa na Pombe hamna kitu kingine this are the results.....You both matured change these attitudes for those kids
@djexitkenya8812 жыл бұрын
I love all women, My Mum n my Wife👊
@fridahmwanzia99213 жыл бұрын
Mungu uliye mbinguni...nisaidie mapenzi isinifikishe hapa....
@aliceadondola43453 жыл бұрын
Gidi stop putting ghost off when he ask you a question. Just be humble
@pstleilaciku71713 жыл бұрын
Yea mm hufeel vibaya, ni madharau aki
@aliceadondola43453 жыл бұрын
@@pstleilaciku7171 yeah it's not good, Ata kaka yeye ni mdosi wake, ajue ghost is like a father to him.
@anitawanjah17473 жыл бұрын
I thought it's only me who notices. It pisses me off
@beuller85033 жыл бұрын
Ad it's not the first time na akiuliza ghost jina ghost humjibu Tu vizuri
@xjxjxnxn26733 жыл бұрын
Walaai huyu gidy,ni mpoa lakini ana tharu sana ghost, ghost ama heshima sana kwa gidy
@lydialigare99943 жыл бұрын
Where violence is not involved there is still some hopes,I wish the couple well.....that man seems humble
@sulwestar55373 жыл бұрын
Pretender
@alfanm.82213 жыл бұрын
Tunajua hampendi wanaume😂😂😂
@alicenyambura11303 жыл бұрын
Hizi ni typewriters mbili. Isa throw kwanza huyo mwanamke... Weeeiiii wacha nibaki single...
@koriryo1323 жыл бұрын
Welcome back Gidi
@Christine-tq8ny3 жыл бұрын
The guy is cool,the lady is only playing hard to get but in real sense she need this guy ,than story za pombe na mwanamke hakona watoto awache tu
@trillionsam24283 жыл бұрын
That's not true.,a man who doesn't trust his lady with some little money,going to buy sukumawiki on his own while his wife is around.
@maynatwofivefour60423 жыл бұрын
Ooh mnakamata nyinyi wote..hapo hakuna ndoa
@godsfavour56653 жыл бұрын
Welcome back we missed you sana
@macym573 жыл бұрын
Greatest mistake, introducing alcohol into your home. It destroys families.
@valentinekimani4763 жыл бұрын
I do agree with you!
@dicksonsigei77552 жыл бұрын
@@valentinekimani476 very good advice; please fellow Men please drink Alcohol alone not the wife there will no home, in the long run, Ladies let agree Alcohol is bad for all but the worst off for ladies, especially a wife.
@loiceomwola74513 жыл бұрын
Uyu mwanamme ana Shida utanunuliaje bibi Pombe ! Makubwa haya ata watoto watakunywa pombe pia. Gidi Radio jambo imebamba sana ukiwa ndani ya nyumba.
@khaledswalehkarama90183 жыл бұрын
nice episode 👍!
@jewelhadassah3263 Жыл бұрын
Who can find this lady Anupi for me,i want to help her,Gidi please help me find her.
@duncanotieno75782 жыл бұрын
Election kwisha back to patanisho
@judymoraaasuma2583 жыл бұрын
Gidi kama umepona mungu apewe sifa kwanza
@MelanatedQueen2543 жыл бұрын
Anupi, wewe ni mtu mzima! Take responsibility! Hiyo pombe wacha! usikunywe tena ukisema ni mtu mwingine anakufanya ukunywe! Only you can determine your reaction to external action! Angalia mbele and move forward!
@ednanyangarisamamakealex65713 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Pombe kwa bibi na bwana 🙃🙃 mwanaume ndio kichwa cha nyumba.... lkn wewe ndio bibi sasa fanya kazi ya nyumba 🤣🤣wewe ndio unamupelekea pombe nyumba mjinga wewe 😂😂😂😃
@damanicholas95803 жыл бұрын
Gidi mwambia akunywe pombe kabisa ✌️✌️✌️✌️❤️❤️❤️❤️❤️
@susanmuthoni54822 жыл бұрын
Ati sauti imepotea 😂😂😂 aki Gidi.
@salmahussein35833 жыл бұрын
Ur the one to b blamed, Mbona ulimfunza kunywa pombe in the frst place? Ona Sasa 🙄 🙄 masaibu na aibu za pombe,
@kimanijohn95293 жыл бұрын
Kamaa I salute you, I blame the guy himself, limuru vipi?
@salmahussein35833 жыл бұрын
@@kimanijohn9529 imgn una encourage ua wife to drink alafu aki mess ur number one to blame her of wch c fare at all, aji blame kwanza na akubali mistake ni yake, otherwise limuru tuko poa ni baridi tu
@getraywamaloba46153 жыл бұрын
Gidi tulikuwa tumekumiss sana ..karibu nyumbani
@marymarrin68773 жыл бұрын
Wow welcome back gidi
@saidnoumani72442 жыл бұрын
Steve avoid kumfananisha mkeo kama mama. Mama ni mama exceptional lakini mke unaweza kupata mwingine lakini siyo mama mzazi!
@kemuntowilliams83703 жыл бұрын
Gidi,if you will see this comment just know,you need to be humble.Usikue unajibu Ghost kama mtoto.I have been noting this for some time now.
@hellenjeffrey21353 жыл бұрын
Hehehe yawa😅
@samsonmwanji19403 жыл бұрын
Kabisaa ako na madharau ju yy ndio boss
@collinsonyuka46393 жыл бұрын
Hajajibu vibaya on "nitakuambia usikuwe na wasiwasi" that's just the normal sentence 🤣
Hao ndo unasikianga wanaume umbea.....ni kati ya wale wanaume hata bed hawajui game uyo dem ajipange na life yake hana mahali atapelekana na huyo mwanaume
@trillionsam24283 жыл бұрын
Wewe yunise,haha,story ya bed imetokea wapi tena.
@nigeriannollywood66723 жыл бұрын
@@trillionsam2428 yani vile anaongea wanaume wa huongo mob hata hukiwambia sema ukueli hawataki hao kwa kitanda ni zero n umbea tu
@trillionsam24283 жыл бұрын
Sarah,kam basi huku tuongee ukweli,nashindwa hata nitaongea na nani..uko sehemu IPI Kenya?
@carolndunge28573 жыл бұрын
next watoto pia watakata maji..................
@lydiahmogire45183 жыл бұрын
Gidi welcome back
@sheilawandera13033 жыл бұрын
ati ghost cheka asikie
@emilyaholi90093 жыл бұрын
Haaaa...life ni hard...hangover..kwa mpigo
@paulinenyambeki77883 жыл бұрын
Welcome back gidi
@julianamalinda23573 жыл бұрын
Sometimes its emotional to listen
@lelkakz84903 жыл бұрын
Gidi amerudi leo ama
@nyaemoz55263 жыл бұрын
Kicheko iko wapi
@ashasaid50613 жыл бұрын
Gidi karibu
@stargal9063 жыл бұрын
Eeee mwenyezi Mungu zaidia hapa kwa kweli Sina LA kuongea 😢
@babamalik7653 жыл бұрын
Mwanamke nmlevi hatari I was in this state nlifukuza vita Mila Kila siku
@kennedyoduor97843 жыл бұрын
I also have the same testimony Wang nlimfukuza asubuhi na polisi ...mlevi na mm nachapa kazi nje ya kenya ...
Imagine walevi wanalea watoto to make matters worse they are drinking it in the house 🙄🙄🙄 siku moja si pia watoto watakunywa pia poor parental
@stellahmomtelo15953 жыл бұрын
Not all kids will follow their parents footsteps my parents use to drink and they drink till now but all of us are super sober na tuko grown ups parents wako na wajukuu so I think ni vile unataka life yako iwe tu.its about choosing how you want ur life to ukitaka uwe drunkered utakuwa tu
@ririkenya65743 жыл бұрын
@@stellahmomtelo1595 those kids are little
@naomymose18663 жыл бұрын
Wee expecially mama must be sober, I wonder I thank God my mummy never drink alcohol ever since, and I will not drink also,
@annaauyo19583 жыл бұрын
Mum! Eeh! Sema! Mum! Eeh! Sema!.young lady jipange na Maisha.the man is not serious with marriage.