Marcy usirudi tafadhali nilipitia hayo hayo nikatoka sahi ni miaka sita lm very happy lea watoto wako dada utakua na amani
@gracendungu58606 жыл бұрын
Enyewe ndoa ni safari na sina fare,pole mercy😢😢😢mwanaume mwenye hamsaidiani ni bure kabisa afadhali ukiwa single you hustle na ujilipie bills zako bila kusumbuana na mtu
@linakery40176 жыл бұрын
Ashatoka dio umeona uzuri wake potelea mbali mercy you have made my day ati mpaka wanaitwa kakamega na ni wa rugali
@alicesamuel42246 жыл бұрын
Stay away from this man was in the same situation but now am a peaceful lady and liberated.....
@moseskiplagat59403 жыл бұрын
Huyo MTU hawezi badilika
@marygwaro29705 жыл бұрын
Woiyeee! Mama lea watoto wako! Yesu ni Bwana
@lavenderlucy34446 жыл бұрын
Pole dadangu exactly nikama yangu yenye nilipitia but fir now am single mother for twelve years
@beatricekarisa71455 жыл бұрын
So touching...wachana na huyu mtu mama watoto watakuwa InshaAllah🙏
@fauzsky53994 жыл бұрын
Mercy please don’t go back! God will make a good way for you🙏 Our good God is faithful🙏🙏 hawa ni wazazi wapi wana heshima.
@sherrykeya73706 жыл бұрын
Mumi wewe fanya kazi wachana na huyu.mimi pia babangu alituacha akaenda be strong like my mum now is 15yrs akiwa single mother hata wewe utamake.wababa waluhya bure kabisa
@rehemaahamadiahmadi5666 жыл бұрын
Kenyaaa mungu simama kweli kweli
@mercylynekasaya63696 жыл бұрын
Woiiii I have been single for 10yrs now, my sister achana na huyo mwanamme nonsense, mwenyezi Mungu akupee nguvu ulishe watoto wako aendange akikaukanga
@kenyanniggar3574 жыл бұрын
hiyo ni hali yako dear, acha yeye awe na yake
@thomashezekiah37646 жыл бұрын
Pole sana mama mungu atakuonekania
@monicawambui56166 жыл бұрын
wacha nikazane na kuoshaa Hamam but mambo na mwanaume hio apana 😂😂😂😂😂😂🙆
@alexkabeho56096 жыл бұрын
Pole Sana massy, women they're precious ,napenda sana, it's too hard to survive jamani bila mama ndani, thanks massy no woman should have to go through this hell, I love talkative women like this so sweet, thanks radio jambo
@katejimmy86946 жыл бұрын
Wazazi wengine ni kama masaitani
@mwaramaggie38756 жыл бұрын
Hehehe huyo mwanaume ni mbure😢😢😢work hard gal achana na huyo mzee
@robbieglo71555 жыл бұрын
Enyewe Gidi nimekuinulia, kwa kupatanisha uko mbele my brother heeee.😂😂😂
@gladnessmuenikissngese68074 жыл бұрын
Pole mercy Aki. Hizi ndoa Zina mambo
@mwaramaggie38756 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Mimi mama junior na wengine hny 😂😂😂😂😂😂wacha nicheke tu sina mameno matamu😂😂😂😂
@madamboss3486 жыл бұрын
Wanaume waluhya ki ukweli nn mbaya na nyinyi????l regret being aluhya bae 😕😕😕😕. Sister wa bwanangu hawezi nichapa wallai
@zubedaseif29506 жыл бұрын
Wanahitaji maombi , najivunia kuwa mluyia. ♥
@mariyanegoodone1726 жыл бұрын
pole dadagu hakika inahuchungu sana
@everlynemulongo70046 жыл бұрын
Mama junior 😂😂😂😂😂aki aty Honey 😎😎😎😎
@shilahpercy29216 жыл бұрын
Woyiiii Mercy na hizo vituko zote pole lkn ila hapo kwa Mama junior na Moureen unamwita sweetie 😂😂😂😂😂my namesake
@prettybabygalmichelson65576 жыл бұрын
Aaaiii ata kama ni mapezi.hii ya kuchapwa na kutusiwa ma main-law ctaweza mm
@alisaalis92186 жыл бұрын
Ni uchungu sana,Mi nadhani kama familia ya bwana ikikutenga ,Bwanako husimama na wewe,Aki ndoa ina mambo kweli
@maureenjannephar35076 жыл бұрын
I have a cousin who does this to his wife and my heart aches for her, lakini who lied to women that marriage is an achievement? I owe no one a husband
Mimi pia ndio nilipitia hayo hayo ikabidi niende gulf saizi Niko sawa nashukuru Mungu
@mirriamandayi67536 жыл бұрын
Walai siwezi kubali kuchapwa na siz in law na parents in-laws ...luhya men wacheni kumuangusha bana
@shilahpercy29216 жыл бұрын
Tunaeza act movie ingine hapo 😂😂😂😂dear future huz kaa chonjo aki nafeel uchungu anapitia 13 yrs kuvumila
@everlynemulongo70046 жыл бұрын
Mimi siwezi chapwa na mtu heheeeee utajua ujui aty kupigwa na mwanamke mwenzangu nkt
@getrudeagani81676 жыл бұрын
Mercy huyo si mwanaume jipe shughuli dada yangu
@agnesandalo69366 жыл бұрын
Lol karibuni lugari my home........mercy hata ikiwezekana wachapwe kikiki ,some people think watu hawawana makwao or some ladies tulitoka kwa miti tukaanguka makwao,,,
@aishaelias38675 жыл бұрын
Waluhya na patanisho yaawa 👍🏻😂😂😂😂😂
@flozzytony68076 жыл бұрын
Machungu haya ni mungu
@scholarnasy79066 жыл бұрын
Huyu mwanamke analia to kaa mimi ndoa ndoa kwanza iwe come and stay mwanaume hajalipia chochote wooiii ni kilio Uchumbe wangu kwa wadogo wangu hapa usikupali kuolewa to hivi hivi wacha akupeleka kwao alipe mahari
@babradomenic75646 жыл бұрын
Mercy usirudi, its time you free yourself, kuolewa si lazima, Chunga watoto wako, na ujibambe..wachana na huyu hakueshimu...
@aminahngina82436 жыл бұрын
Mercy usirudi nyuma
@fancymercy8145 жыл бұрын
I underwent the same mm hadi nilikua nachapwa na maslayqn wake ilibidi nitoke sababu alisema kuwa nimemkwamilia,nilikua namwambia siku moja atanitafuta na hatawahi niona na ikakua hivo.Siku nilifanyiwa kushambuliwa ndio nilipanga kutoka nikaenda nikachikaisha.Nakuambia dada alirudi kama nimewinn G-card processing na nikagundua ameambukizwa virusi.Am now in the 🇺🇸.He came back too late.
@celestineayush40126 жыл бұрын
Mercy ako sawa
@edinaokhonga12556 жыл бұрын
Mercy usirudi huko acha akatafute mke mwingine .... usirudi
@ashasuleimantheboss57356 жыл бұрын
Hahahahahahahah pwaaaaaàaaaaaaaaaa gidy utaniua siku mmoja nimecheka hadi mbavu zinauma
@moulinemoulinr91366 жыл бұрын
😂😂😂😂ilove mercy's spirit mwanaume apewe maneno yake wacha huyu mwanaume ashike adabu yake
@jacklinemakungu62166 жыл бұрын
waah!mercy unanivunja mbavu ati watu wa kwenyu wamezidi kukanyaga barabara kutoka Lugari hadi Kakamega .
@jannet5066 жыл бұрын
Hivi mbona wanaume wengine hawajipangi ,,,unaolea mamako mke ,ama mke niwako,,Dah ndoa ni ngumu jaman ,mungu Linda ndoa za watu,,,shida kubwa kwa hii ndoa ni uaminifu + wazazi ,mercy think twice kabla urudi
@cynthiacyndy90956 жыл бұрын
Good garl
@moulinemoulinr91366 жыл бұрын
hawa wanaume wa "kakaameka"wanafaa nyaunyooo 😂wakanyage barabara ya lugari sasa😂
@maggiealf44746 жыл бұрын
Mercy hiyo sio ndoa ,wanaume waluhya sijui nani aliwaroka
aunt just endelea mbele na Maisha yako , tabia ya mtu hainaga dawa, ifikie muda useme inatosha, lea watoto wako na utapata mume mwingine, utatulia na uishi kwa furaha , wape love watoto sana hao ndio wenzio ipo siku watakusaidia, na utakula matunda yao.hivyo unavyojitolea kuwalea, hiyo ni kama umewekeza bank siku moja utapata pesa zako plus faida.leo unalia lakini siku ikifika utacheka, just be strong dear.21.09.18.
@babyyshayo36336 жыл бұрын
Lakini sio wote, kuna wale wanajiheshimu sana nao ni wachache
@mwendapoleee6 жыл бұрын
Ata mimi nataka niitwe honey sio mamanatie!
@joycecomm6156 жыл бұрын
Waah
@joysorewitindi85424 жыл бұрын
Pole dada Huyu ni fisi
@entertainmentplace34606 жыл бұрын
Nani anapendaga patanisho kama mm hapa mbavu zangu mie daah!! Kama unapenda patanisho gonga like hapa na upite na kama una comment drop it down
@dorcaswambui32986 жыл бұрын
Haki haki hizi ndoa
@beatriceomino73216 жыл бұрын
Hahahaha wanaume waluhya akili ndogo wacha nikaa bila na madharau nayo
@moulinemoulinr91366 жыл бұрын
😂😂😂😂moureen anaitwa honey n wewe😂😂😂😂😂😂😂akiiii umenimaliza😂😂lol
@scholarnasy79066 жыл бұрын
Nauliza kaa unaeza download hizi videos na kushare na wengine fb juu ni wengi wanapitia haya majaribu
@alexkabeho56096 жыл бұрын
Yes you can download them as much as you want
@scholarnasy79066 жыл бұрын
@@alexkabeho5609 asante sana wajua lazima tuombe ruhusa
@maggierattz85522 жыл бұрын
Aki God, you know better
@babukoi.69476 жыл бұрын
Inaitwa Ndoa.
@classiccell96716 жыл бұрын
Mimi ndo unaita mama junia na Moureen ndo unaita honey 😂😂Lol!! Team kusoma moments mko wapi! Ila nawasihi mjitahidi sana comments ziwe fupi, tusitesane hapa tafadhali
@miriamnjoroge99846 жыл бұрын
Ai ata Kama ni mapenzi Hee hii Apana me mtu ananichapa siezi
@bryanjoseph9706 жыл бұрын
Ghost kazi ni kuuliza miaka na kucheka kama mukangai
@danielbariso26356 жыл бұрын
Hehehehe waluhya mlitoka wapi
@stecybeib80306 жыл бұрын
Maisha ya ndoa n balaa
@tinasanta40806 жыл бұрын
Haki ya nani hii yaleo imekua tamu haki hizi ndo patanisho tunataka, Hello mama jounir 😂😂😂😂
@nancyawuor66445 жыл бұрын
Pole Sana Marcy. Mungu akuonekanie.
@kenyanniggar3573 жыл бұрын
Bakakamega hehehe
@jacklinemakungu62166 жыл бұрын
mercy don't turn back endelea na Kazi yako utarudi huko ataendelea kukutusi wanaume waluyha hawataki ung'are ,uking'ara unaitwa malaya.mercy move on with UA life ulinde watoto wako.
@stellamukami84526 жыл бұрын
2nd
@moreenmbatha11476 жыл бұрын
hello sweet😂😂😂😂
@kenyanniggar3575 жыл бұрын
heheheheheeeeeeee, sweety not mama junior
@fatmaalnabhani36095 жыл бұрын
Asante massy
@maggierattz85522 жыл бұрын
Marejj
@celestineshikulu17226 жыл бұрын
Watu wa kachmega waende lugari pia.mimi ndio unaita mama junior na morine ndio unamwita hunny lol.
@zubedaseif29506 жыл бұрын
LOL
@babyyshayo36336 жыл бұрын
Mwanaume wa killuyha hata unifungie na kamba mguuni sijawahi kupenda tabia zao
@nancypretty75766 жыл бұрын
Bibi akishaenda ndio macho yenu ijifungwa nonsense hapo ndio unajua eti she is very important into your life mimi niko na roho tofauti sana once I left am gone I don't have time to follow naenda nikiendanga men think that without them hakuna maisha wanawake muwache kutumiwa vibaya na the so call husbands
@qwambokajames57536 жыл бұрын
3rd
@yusufchimera13646 жыл бұрын
Ng'ombe 2 huyo dogo ajirekebishe
@paulinanyambura18336 жыл бұрын
Aliona ama alishuku? Kuona anaona ata saa hii
@sherrykeya73706 жыл бұрын
Woi 😭😭😭😭😭aki wanaume waluhya tu Mungu anawaona.Mimi nilishidwa na 3months.wacha nifanye ushagala tu.siwezi kubali kupitia life mamangu alipitia hadi akaamua kuwa single mother
@entertainmentplace34606 жыл бұрын
Daaah mama ni historia mm nlishndwa na 2weeks 🙉ushaghala utaniua mie
@xoxomacx25395 жыл бұрын
Run baby ran. He has a hidden plan. Please don’t ever go back. It will be for the final curtain call.
@rhodamakeila59246 жыл бұрын
Wakwanza kucomment.
@amounanyale92206 жыл бұрын
Chukua mirinda natumana coins
@rhodamakeila59246 жыл бұрын
@@amounanyale9220 sawa..
@ednakwaboka12016 жыл бұрын
huyo ni malaya anathani wewe piani malaya wachana naye husirudi huko
@mariyanegoodone1726 жыл бұрын
Mercy Image imeniguza mm niwa kakamega married at Lugari ..Ebu gidi nipe number Mercy nitafute hii niuko wetu
@zubedaseif29506 жыл бұрын
Hata mimi mamangu ni wa SHIANDA on the way to MUMIAS from KK. ♥
@jamilaomar63966 жыл бұрын
waaah,
@marykalei81476 жыл бұрын
Aki waluya niwambaya
@zubedaseif29506 жыл бұрын
Sio wote, wacha kujumlisha. Mimi ni waingo na nimeolewa na waingo na tunaishi raha mustarehe. Dunia ni mduara kila mahali kuna waja wazuri na wabaya.
@marykalei81476 жыл бұрын
Aki
@periswarish70226 жыл бұрын
Jipea raha dada usingojewea kupewa na mtu nakupinganga mwezoko ilitoka wapi chameni
@njeshkaris89576 жыл бұрын
Mulee kua seriuors huyu madam anauchungu kwa roho yake huyu mwaume ni Malaya ndio maana anakushuku madam move on hapo huna bwana sasa atabadilike bure kabisa
@christmas_egg-n4p4 жыл бұрын
Controlling, insecure, narcissist! Typical.....Run Mercy Run! He does all the hurting things and then projects.....and family and friends are usually blinded and side with them....
@janemwaura85465 жыл бұрын
Kama mapenzi na ndoa ni safari,aki mm fare yangu iliisha kitambo. Maybe nipewe lift aki..I feel the lady bcs I went thru some sort of violence some years back.
@babyyshayo36336 жыл бұрын
Usirudi dada
@christmas_egg-n4p4 жыл бұрын
Mercy, Mercy please... anaweza tulia hata miaka tatu akiwa ameficha makucha...ukirudi it will be worse my dear!!! We are talking from exoerience and research!!!! USIRUDI!!!!!!!!!
@naliakasandra58846 жыл бұрын
Mercy achana tu na huyo mkakamega..ata mazishi asiende kitu ya siku moja tu. Huyo nops
@moreenmbatha11476 жыл бұрын
wololo
@carolmamakebritney52666 жыл бұрын
Msamehe mumeo hakuna aliye mkamilifu
@janetrixakoth80676 жыл бұрын
Yangu ndoa nayo nikama tu hio bwana msherati kupita kiasi hachagui hata mpaka kapata aids.
@tdddfdt62266 жыл бұрын
janetrix akoth atawangu'pia'amepata'aids
@hilarymayoga56482 ай бұрын
This woman should seek counseling she is so traumatized.