Yesu ni mwamba ni wimbo unaoelezea sifa, uzuri,uweza na matendo makuu ya Yesu 🔥 Wimbo huu umetungwa na kuimbwa na Paul Joel .mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania mawasiliano:+255746062639
Пікірлер: 54
@KusipaIvan6 ай бұрын
Good song ni kweli kabisa yesu ni mwamba barikiwe sana mtumishi wa mungu
@pauljoel6 ай бұрын
Amina amina
@VemsonElia-j9t6 ай бұрын
Kaka hongera sana kweli yesu ni mwamba
@GladyKimaro-df7gi6 ай бұрын
So inspired to our God be blessed mtumishi wa Mungu
@pauljoel6 ай бұрын
Amen
@agnesscharles80566 ай бұрын
Hongera wimbo ni mzuri 🔥🔥YESU NI MWAMBA🤝
@pauljoel6 ай бұрын
Amen
@ANTONYELIAS-h4g6 ай бұрын
Yesu ni mwamba imara, Mungu akubariki sana mtu wa Mungu
@pauljoel6 ай бұрын
Amina amina
@mosesiMadiru6 ай бұрын
Good 🎉song kk ubarikiwa sana kwa wimbo mzuri 🎉❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@pauljoel6 ай бұрын
Amina
@dannyboas14096 ай бұрын
MWAMBA KABISAAAAA HONGERA SANA KAKA WIMBO MZURI SANA
@pauljoel6 ай бұрын
Asante sana
@officialpartvanny6 ай бұрын
Ndio wimbo unaujumbeee mzur sanaa kak
@pauljoel6 ай бұрын
Amina
@FestoJamary6 ай бұрын
Uhakika mtumishi yesu ni mwamba imara
@pauljoel6 ай бұрын
Amen
@ABIAKUYAGWA-mj9xp6 ай бұрын
Mungu akuinue zaidi kwaajil ya kazi yake
@pauljoel6 ай бұрын
Amina
@AyubuKibona-gu2sx6 ай бұрын
Amen
@alexmwakikambako47436 ай бұрын
Hakika ni mwamba sana Onger sana mungu akubarik san