Paulo siria - Meiboorou Eduata Ayii (Official Video )

  Рет қаралды 1,251,631

Siria tv online

Siria tv online

Күн бұрын

Пікірлер: 452
@OyugiAnne
@OyugiAnne Жыл бұрын
Tunakupenda bro saa ingine imba kishwali ama English please ndio tukuelewe Sisi wote wenye tunakupenda like me am from kisii mungu akubariki more bro
@AlvinKeiwua
@AlvinKeiwua Жыл бұрын
Pongezi sana my favourite singer❤❤
@masauletitika351
@masauletitika351 Жыл бұрын
Hongera Sana Kaka paulo siria mungu akubari na akuongezee nguvu mpaya ya kutuimbia nyimbo nzuri everyday japo Niko mbali Sana ningetoa kaposho kidogo Ila natumai comment yangu kwa mungu ni sawadi kubwa Sana God bless you thank you so much 💖💖💖🙏🙏🙏🙏
@neemakoinaseytz9411
@neemakoinaseytz9411 Жыл бұрын
Hongera sana my brother Kwa wimbo wenye ujumbe nzito kubwa hakika imewagusa wengi pongezi mungu akusaidie Kwa Kila hatua ya huduma yako💪💪💪💪
@neemarobina6682
@neemarobina6682 Жыл бұрын
Hongera sana kaka angu mungu akubariki said ya hapo
@happypascal6802
@happypascal6802 Жыл бұрын
Naomba uniambie usamanisha nn plz
@christophermollel7344
@christophermollel7344 Жыл бұрын
​@@happypascal6802 maono yangu haizuliki hata maadui wakiinuka maono yangu haizuliki
@simonlaizer6682
@simonlaizer6682 Жыл бұрын
Paulo uko God sana. . napenda kuimba. Ila cjampata. Mwalimu wa kunipangia. Napenda. Luhg yangu sana.
@yakobokimaisi
@yakobokimaisi Жыл бұрын
Is good for every people 👏❤
@chamasi25
@chamasi25 Жыл бұрын
nimecheza hii ngoma wiki mzima, nimeinfluence wenzangu ndani ya PURE AFRICA RADIO 88.7 FM wakaipenda, the message is clear, i love the song leave alone the video😍😍😍😍PAUL SIRIA i wish i could host you for an interview😍😍😍
@EstherMawia-ky7ol
@EstherMawia-ky7ol Жыл бұрын
Wah sielewi but inaniguza mungu akubariki na akupe kibali zaidi unaeda mbali i wish nipate bwana masai i could be blessed more
@CarolynKatoto-mi4cj
@CarolynKatoto-mi4cj 2 ай бұрын
I'm from Kenya sijui vile yasema lakini najipata tu nikidance
@ElizabethLiz-e4n
@ElizabethLiz-e4n Жыл бұрын
Sieliwi lakini 😭😭😭 napenda Sana
@pamwakikenya846
@pamwakikenya846 Жыл бұрын
I don't understand the language but I love the way they do their music and their humble voice. All maasai. Thanks for the captions.
@geofreybiwott530
@geofreybiwott530 Жыл бұрын
Can't be tired of hearing this song 🎉🎉all the way from Bahrain,🇧🇭🇧🇭love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@richardakalo4179
@richardakalo4179 Жыл бұрын
I'm a Luhya guy having stayed in Taveta, Rombo, Illasit, Njukini, Olborsoit, Ziwani , Meruesh, Kilinyeti ,Oltukai and the entire Kajiado south.....I'm humbled and greatful for this superbly done gospel song CONGRATS ...... you're just singing purely for the Lord.
@Nailoikenya
@Nailoikenya Жыл бұрын
Baraka tupu kwa wote wanaojitahidi kufanya kazi ya Mungu. Mungu akutunze kaka🔥🔥🔥🔥
@musaolonana89
@musaolonana89 Жыл бұрын
Watching from USA🇺🇸🇺🇸 well done brother.
@cherrylondon2277
@cherrylondon2277 Жыл бұрын
I sat and read every word before getting up and dancing, it is awesome. It resonates within me, I feel like he is speaking to me, thank you, servant, of the most high Yahweh, Paulo Siria,❤❤❤❤❤
@willykuntai9780
@willykuntai9780 Жыл бұрын
Beautiful song 🎵 indeed
@jabulanindlovu9919
@jabulanindlovu9919 Жыл бұрын
You make me feel proud to be African.your song touches my heart. GOD bless you
@SalimMollel-sj4rw
@SalimMollel-sj4rw Жыл бұрын
Mr. Paulo siria hongera sana kwa wimbo wako wenye ujumbe mzuri, na mvuto,,,Na kupongeza sana, ila Mungu ndo anaweza kukupongeza sana maana ndo mfalme wa wote....by Salim Mollel...
@EdgarKimutai
@EdgarKimutai Жыл бұрын
Nice song brother, continue serving our almighty God.....much love from 🇰🇪
@philipmagwisa5860
@philipmagwisa5860 Жыл бұрын
Zimbabwean love your songs. Thank you for English translation
@EmmanuelnkapapaiManuel
@EmmanuelnkapapaiManuel Жыл бұрын
May God bless you a lot
@paulmwandoe3959
@paulmwandoe3959 Жыл бұрын
One love one heart
@EdwineWafula-cn3hz
@EdwineWafula-cn3hz Жыл бұрын
MUNGU abariki huduma yako🙏🙏🙏🇰🇪
@benardsanare-ri9oe
@benardsanare-ri9oe 10 ай бұрын
Congratulations 👏👏🥳 to Mr Paulo Siria you are always exploring the message to us ,,,,, good work and always keep it up ❤
@Fredrick.m
@Fredrick.m 10 ай бұрын
Wa maasai wakona diamond platinum wakwao.....huu jamaa ni hatari tumpe maua yake
@Devdisekeian
@Devdisekeian Жыл бұрын
Kwamajina naitwa devdi laiza sekein kutoka kamwanga nasema mungu akubariki sana mtumishi wamungu wimbo huu imewangusa watumishi wengi walio kua nantoto yao❤❤
@lukamollely7934
@lukamollely7934 Жыл бұрын
Hongeraa sana mtumishi wa mungu,,kwa ujumbe au elimu ya neno la mungu unaozidi kutupatia kwa kupitia nyimbo zako,,hakika hii inagusa sana.kesipaa meibooroyu hakata eduata oltung'ani.
@melejisekeyan9492
@melejisekeyan9492 Жыл бұрын
This is how God raises his/her servants, whatever you think of and do in His Holy Name, then Blessings overflow. This is happening to Paulo Siria. Keep moving brother!
@mosessalamayani6755
@mosessalamayani6755 Жыл бұрын
Very song mungu azidi kukupa kipaji zaidi💓💓💓
@suzansiansian853
@suzansiansian853 Жыл бұрын
have watched this song more than 100 times , what a powerful message may God bless you
@laizarobedi7565
@laizarobedi7565 Жыл бұрын
Safi sana mungu akufungulie njia ndani ya kazi yako ❤️❤️❤️❤️🇹🇿
@KueakunGai
@KueakunGai 13 күн бұрын
I'm South sudanese,I do love this song unstoppable my vision and unshakable...
@maaicontv90
@maaicontv90 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka wimbo ulioniguza mtandaoni haswa tik tok .Baraka zako na zikufikie ulipo
@vanasae9823
@vanasae9823 Жыл бұрын
Kali sana kama pili pili ya mhindi! Kenya tunakupenda bingwa!
@thomasslaitayokperya
@thomasslaitayokperya Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana brother Mungu akuongoze katika uduma hii hakika wimbo mzuuri mnoo umewagusa wengi Mungu akubariki
@elizabethngina6083
@elizabethngina6083 Жыл бұрын
Congratulations 👏👏👏👏 Paul keep the 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 fire burning
@patiencemunkuli3674
@patiencemunkuli3674 Жыл бұрын
I don't understand your language but the spirit is guiding me ,thank you brother Paulo keep shining . I'm in love with your song ❤
@muthonindiritu
@muthonindiritu Жыл бұрын
Follow the song slowly it has a captions... Thoo the spirit is the best to guide you❤❤❤❤👊👊👊
@stetamaggy7665
@stetamaggy7665 Жыл бұрын
Same to me but grateful touching
@upendooropi6419
@upendooropi6419 Жыл бұрын
Kama we ni team paulo comment pale please
@JamesChacha-i9f
@JamesChacha-i9f 3 ай бұрын
Paulo siria mungu akukumbuke sana umetufunza mengi sana ndugu let's welcome my brother and support him where impossible
@melody4109
@melody4109 Жыл бұрын
Wow Paul the massage in this song is powerful our visions are unstoppable before they come to pass..... Be blessed man of God as God sees you through to higher heights🙏🙏🙏
@hiltonkapenda8353
@hiltonkapenda8353 Жыл бұрын
I'm Malawian even if I don't know that language but I appreciate this man for his talent,,God bless you brother 😂😂😂😂😂
@hiltonkapenda8353
@hiltonkapenda8353 Жыл бұрын
Wow that's nice my brother go ahead to improve your culture and language 😂😂 very congratulations 🎉🎉🎉. I love your song 💜💕💕💕
@emmanuelmsuya8578
@emmanuelmsuya8578 7 күн бұрын
Aaaaaaa nabaki nikiwa nachezea mwenyewe kwaniimbo huu umenifunza kitu barikiwa kaka Paulo
@judithnzuku1860
@judithnzuku1860 Жыл бұрын
Let us keep on moving, keep on trusting in God because He will never let us down 😢😢tusikate tamaa watumishi wa Mungu tujifunze na watumishi wengine walio tutangulia💔💔😭😭tunapitia na kukutana na mengi lakini yote hayo hakuna kitakachozuia malengo na ndoto zetu 🔥🔥🔥🔥👏👏👏🙏
@victoriasalantoi4340
@victoriasalantoi4340 Жыл бұрын
Have watch this song before this vedio like 100 times🥰🥰🥰🥰I love this humble man of God
@alaislazarotajewo7950
@alaislazarotajewo7950 Жыл бұрын
Hongera Sana Kaka PAULO SIRIA Kwa Wimbo Mzuri Wenye Ujumbe Mkubwa Ndani Yake. Mungu Akubariki Sana Na Kukupa Kibali Zaidi!
@MAGRETHMWARABU
@MAGRETHMWARABU 9 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi
@InnoncentNduwayezu
@InnoncentNduwayezu 4 ай бұрын
Paul siria mungu akubariki kwenye nyimbo zako nimefurih unani tunza mungu akuongezey mafuta
@rajenderrobert8605
@rajenderrobert8605 Жыл бұрын
Hongera Sana Paul Siria, Dakawa, Sokoine, Melela, Mlandizi, Parakuyo,Twatwatwa, Dumila,Kambara kote inapigwa sana hii
@johnkilusulaizer8762
@johnkilusulaizer8762 Жыл бұрын
Real dream never die and lie Paulo real maasai talented may God's blessings you
@masauletitika351
@masauletitika351 Жыл бұрын
Natamani na Mimi pia niwe mwimbaji Kama wewe Ila sijui nitafanyaje Ila hongera tene ubarikiwe na family yako
@neemamathayo1757
@neemamathayo1757 Жыл бұрын
Hakika ni moto ulao tumeponywa💯💯💯👏👏👏👏
@KwambaiSheila-oi5sc
@KwambaiSheila-oi5sc Жыл бұрын
My always best artist napenda nyimbo zako Sanaa ,,,much love from kenya 🔥🔥🔥🔥
@paulsurungu1979
@paulsurungu1979 Жыл бұрын
Paul Siria, God bless you with a good song, this song has touched many with a very good message
@IreneMumbo
@IreneMumbo 11 ай бұрын
Asante sana Paulo Siria kwa nyimbo zko zote zatia moyo sana?Mungu akuzindishie
@MarySalash
@MarySalash Жыл бұрын
Pongezi Sana poul siria uwa unanitia moyo sn Mungu akubariki ❤❤
@renatammbaga8979
@renatammbaga8979 Жыл бұрын
Napenda sana
@lazarolaizer
@lazarolaizer Жыл бұрын
Paulo siria hongera sana kwa kuendelea kuinua jamii yetu umeimba wimbo wenye ujumbe mzito ndani mekitamayana papa lekepert❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Iam_KIBUYA
@Iam_KIBUYA Жыл бұрын
Napenda sana kuoa in maasai,lakini kupata mmoja ndio ngumu,I really love this culture and their songs
@cheggykirui332
@cheggykirui332 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kutupa matumaini. Ndoto zetu zitatimia kwa uwezo wa Mungu
@lekishonkool3624
@lekishonkool3624 Жыл бұрын
Be blessed brother for your powerful song may God reward you for his own glory Amen
@SaitotiMatipei
@SaitotiMatipei Жыл бұрын
Best song my good friend Paulo Siria….Enduata nimeboroyu
@JacksonMolinga-zm3kw
@JacksonMolinga-zm3kw 8 ай бұрын
Pongezi sana brother kwa wimbo ya baraka ,mungu akupe nguvu ya wabarki wengine ,Somoire ,Kenya,Rombo Ward Kajiado County
@staarparsimei8757
@staarparsimei8757 Жыл бұрын
Wimbo nzuri unaobariki mungu azidi kukupa kibali🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@renatammbaga8979
@renatammbaga8979 Жыл бұрын
Nabarikiw sana japo lugha siijui. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu. Na Mungu azid kujiinua juu
@bettykathambi6315
@bettykathambi6315 2 ай бұрын
Mm mwenyewe huu wimbo naipenda sana lakini sijui vile Lakini nasikia kidogo kidogo mm n mmeru ❤❤
@simonlopuron
@simonlopuron Жыл бұрын
Congratulations my brother for such message my God bless you
@nickomathekah5214
@nickomathekah5214 Жыл бұрын
And am naturally in love with Maa community....its a great composition full of grace
@isaiahbackson9234
@isaiahbackson9234 Жыл бұрын
Hongera Paulo this song has take me to another step
@Laizerisaya
@Laizerisaya Жыл бұрын
Pongezi Sana Paulo siria mungu akubariki utapata nguvu ya kuongea bidiii yko utaenda mbali I hope unanijua my brother Lai
@emmanuelmsuya8578
@emmanuelmsuya8578 Жыл бұрын
Hongera sana kaka mkubwa hakika nimebarikiwa na wimbo huuu ashenale
@dicksonsepere3630
@dicksonsepere3630 Жыл бұрын
Congratulation mpendwa wa Mungu hakika ujumbe mzuri kabisa
@ALLAN-ALI
@ALLAN-ALI Жыл бұрын
I'm from Kenya 🇰🇪. I don't understand the language but I'm in love with this song. I have been looking for it for days.
@lomnyakisaikodie786
@lomnyakisaikodie786 Жыл бұрын
Barikiwa MTU wamungu kweli wimbo wako imenigusa mpaka Mimi naimba nyimbo nyingi ila mbado sijawesa kutoa.
@jamesonmavurawa427
@jamesonmavurawa427 Жыл бұрын
More love and blessed from Zimbabwe
@rhodasanau5266
@rhodasanau5266 Жыл бұрын
Pongezi ndugu yangu Paulo siria.May God bless you
@felixleteipa-eq9pr
@felixleteipa-eq9pr Жыл бұрын
Congratulations man of God umegusa wengi
@kayianbenard9344
@kayianbenard9344 Жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri
@lomnyakimollel-ln4oi
@lomnyakimollel-ln4oi Жыл бұрын
Hongera Paulo kwa hit song na yenye ujumbe mzito
@shorehlaisammyleshorehshor7327
@shorehlaisammyleshorehshor7327 Жыл бұрын
Keep it up bro Paul 🙏🙏🙏🙏🙏 actually you really sung a song 💞💞 like as you sing it to me!!! I always listen this song times 10 day!!! This song WOW putting me up up up where I really hear as am in heaven right as I listened it!! Keep it up bro Paul 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️💕🌺
@maasaetribemedia9810
@maasaetribemedia9810 Жыл бұрын
Hongera PauloSiria kwa hii ni Amazing kabisaaa Baraka ziendelee kumiminika 🎉🎉🎉
@kayianbenard9344
@kayianbenard9344 Жыл бұрын
May give you more favour upon the good work you are doing to him
@peterkapante2608
@peterkapante2608 Жыл бұрын
Congratulations sana osinka le shumata ..wimbo nsuri na sauti ya mbinguni ...mungu akuinue uende level ya juu
@MariaGebangi
@MariaGebangi 4 күн бұрын
Naelewakisi ninatamani kuelewazaid mungu akubariki sana sana
@paskalomondi3717
@paskalomondi3717 10 ай бұрын
Thank you for the translation...Meiboorou Eduata Ayii, this is going to uplift many who listen to this song.
@loewomakai2182
@loewomakai2182 Жыл бұрын
Kwakweli mungu akubariki kwa iiii wipo imenigusa sana ininingoki olalashe lai god bless
@chirambacreations
@chirambacreations Жыл бұрын
Indeed your dream of being an accomplished artist has been fulfilled. The Lord is going to take you higher and higher. You will travel the world. Every radio station will know your name. May the Lord protect you. The joseph of our generation. Lots of love from Zimbabwe
@c.kim.co75
@c.kim.co75 Жыл бұрын
Kalenjin land approves this ❤🎉 👏 congratulations for the good work brother
@michellejames58
@michellejames58 Жыл бұрын
Nice song .....hata kama sielewi kimasai nimeipenda sana .....congrats
@cosmasrobert2056
@cosmasrobert2056 Жыл бұрын
Good song good SMS hongera kaka tuko pamoja sana mwshabiki zako hujawahi kutuangusha
@alexlaizer
@alexlaizer Жыл бұрын
Wow ujumbe mzur kwa kwel mungu akuinue saidi brother 🙏🙏
@monicalesuyai6936
@monicalesuyai6936 Жыл бұрын
ooooh meibooroyu ameen am blessed so very much my brother 😍🙏🏻
@Jumabakari-g5b
@Jumabakari-g5b Жыл бұрын
Napenda san kusikiliza nyimbo zako natamani nigekuwa najua kimasai 🎉🎉❤
@josephsepeina772
@josephsepeina772 Жыл бұрын
Congratulations my brother ole siria may God 👏 of Abraham bless you
@EliasEzekiel-lu8ly
@EliasEzekiel-lu8ly Жыл бұрын
Hongera saana jamaangu
@johnnjoroge9509
@johnnjoroge9509 4 ай бұрын
MY NAME GOD BIES
@XamdialiMacalin
@XamdialiMacalin 8 ай бұрын
Meiboorau nice wimbo ndugu yangu paulo siria sauti yako mzuri ❤❤❤❤❤❤
@EmanuelLaizer-zs5ur
@EmanuelLaizer-zs5ur Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mr Paulo good sms for us 💕💕💕💕
@JustineKomole
@JustineKomole 11 ай бұрын
Amazing song 🎉 God bless you so much to keep up the good work❤
@WolfugangGlory
@WolfugangGlory Жыл бұрын
Hongera sana siria mungu anatenda kwako nabarikiwa na mimi
@simbarashemaguraushe5185
@simbarashemaguraushe5185 Жыл бұрын
Nice song my brother 🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼
@sadikijohn7355
@sadikijohn7355 Жыл бұрын
Ujawai niangusha siria we ndio mwimbaji tulie nae saivi no one
@rosekimaya5992
@rosekimaya5992 Жыл бұрын
Tutafsirie jamani nacheza tuu ila sielewi duu, wimbo mzuri sana my brothee
@darphone488
@darphone488 Жыл бұрын
WOW Paul Siria God bless you and keep you and your family in Jesus name amen
@joelmolele6315
@joelmolele6315 Жыл бұрын
Paulo siria barikiwa sana kwa kasi yako nzur mungu akusaidie kaka
@laizerkesoi-qf4yw
@laizerkesoi-qf4yw Жыл бұрын
Hongera sna broo kwa wimbo nzuri wenye ujumbe mzuri hakika mungu aendelee kukuinua
@petersaitotilaizar9176
@petersaitotilaizar9176 Жыл бұрын
Wow congratulations my brother song iko Kali sana
@dogodogodogo9973
@dogodogodogo9973 Жыл бұрын
Ongera San ndaw mungu akupee miakaa mekii Kam Yusuf
@daudmarikwa7294
@daudmarikwa7294 Жыл бұрын
vizuri sana mtumichi wamungu naubarikiwe sana kazi zuri sana hakika maicha kupanda nakuchuka ila mungu akusadie kabisa
@lucylucia2509
@lucylucia2509 Жыл бұрын
My favorite gospel artist,,more blessings my bro..
Paulo siria - Maono yangu (officail Audio visual)
6:47
Siria tv online
Рет қаралды 911 М.
PAULO SIRIA - MUNGU IMENITENDEA ( OFFICIAL VIDEO )
4:13
Siria tv online
Рет қаралды 1,6 МЛН
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
ESIAI SIDAI BY 5 STARS (OFICIAL VIDEO 4K)
7:37
Philip Oloisula
Рет қаралды 538 М.
PAULO SIRIA - MAONO YANGU ( OFFICIAL VIDEO )4K
6:48
Siria tv online
Рет қаралды 8 М.
BEST OF MAASAI GOSPEL MIX || PAULO SIRIA || BESTR OF 2024
34:18
DJ Vick 254
Рет қаралды 21 М.
OSIM LAI BY PAUL OLAKILI
5:31
PAUL OLAKILI official
Рет қаралды 11 М.
Paulo siria - Meenanu ( Official Video)
4:38
Siria tv online
Рет қаралды 1,2 МЛН
OLE NKINGASIA BY RESIAN LEPERES (OFFICIAL VIDEO)
3:17
RESIAN LEPERES
Рет қаралды 675 М.
PAULO SIRIA - OLCHORE (OFFICIAL VIDEO )4K
6:10
Siria tv online
Рет қаралды 131 М.
Paulo Siria - USIHUKUMU
6:35
Paulo Siria
Рет қаралды 2,1 МЛН
BEST MAASAI URBAN GOSPEL MIX 2024.!!!Best Exclusive Sunday Praise Songs.
39:34
KWA NINI SISI WALOKOLE WATU WANA TUSARAU NEW SONG BY PAULO SIRIA
6:47
ELIBARIKI LOMNYAK OFFICIAL CHANNEL
Рет қаралды 220 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН