Paulo Siria CORONA

  Рет қаралды 1,255,646

Paulo Siria

Paulo Siria

Күн бұрын

Пікірлер: 481
@innocentwilliam3036
@innocentwilliam3036 4 жыл бұрын
Wangapi Wana amini ngoma nikali ya mwaka tupe like tujuwane
@williamnathan4630
@williamnathan4630 4 жыл бұрын
Innocent William Tuombe pamoja kwa kweli angalia na Subscribe ujumbe mwingine wa Korona 👉kzbin.info/www/bejne/r3TahGyhp6iirJI
@kisiitoto7213
@kisiitoto7213 4 жыл бұрын
Hahaha mungu yuko amina
@lesiamonmagilu2492
@lesiamonmagilu2492 4 жыл бұрын
Kweli mungu yuko
@peninahboaz7722
@peninahboaz7722 4 жыл бұрын
Hii ndo yenyewe
@daudisule1274
@daudisule1274 4 жыл бұрын
Tgg
@eslommwalongo6001
@eslommwalongo6001 4 жыл бұрын
Nani amwaelewa awa jamaa kwa hii nyimbo nzuri ya janga la Corona cama umewaeoewa Kama mm gonga like apa
@sharifazakayo6280
@sharifazakayo6280 4 жыл бұрын
Hongeraaaaaa,,,,,,Ujumbe mzuri
@williamnathan4630
@williamnathan4630 4 жыл бұрын
Eslom Mwalongo iko sawa,Tuombe pamoja kwa kweli angalia na Subscribe ujumbe mwingine wa Korona 👉kzbin.info/www/bejne/r3TahGyhp6iirJI
@powerplus1933
@powerplus1933 4 жыл бұрын
Wimbo Bora 2020.asante kutupa matumaini.
@kamutua6376
@kamutua6376 4 жыл бұрын
wananchi tujue mungu yupo tumwamini yeye hakika hili gonjwa litapita tu... much lovexfrom Kenya
@austineouko6936
@austineouko6936 4 жыл бұрын
Wapi likes za wakenya uku
@jacklinecherono832
@jacklinecherono832 4 жыл бұрын
Mimi hapa
@humpreymunene9222
@humpreymunene9222 4 жыл бұрын
Mimi uyu
@JeremiahForiknowtheplansihavef
@JeremiahForiknowtheplansihavef 4 жыл бұрын
Paul tafadhali kumbuka majirani 🇰🇪 wooo Mungu ipo wakenya mjue mungu iko tafadhali
@matayongayai3620
@matayongayai3620 4 жыл бұрын
Tisha Sana paulo siria hakika nyimbo yako yawapa watanzania wengi moyo juu ya ugonjwa huu hatari wa corona kuwa mungu yaweza yote mungu na akubariki sana paulo
@neemambukwa3551
@neemambukwa3551 4 жыл бұрын
Mungu ipo
@janethkimaro3410
@janethkimaro3410 4 жыл бұрын
Kwa kweli Mungu iko, Mungu hulinda walio wake. So nice song. Be blessed son of God. This disease shall pass in Jesus name. Amen
@bahamai9476
@bahamai9476 4 жыл бұрын
Amen
@rosemawia4239
@rosemawia4239 4 жыл бұрын
Amen Kwa Imani kamili ,Corona itapita ,Kwa kweli mungu iko, ata Sisi wakenya tuponye,🙏🙏🙏🙏bing blessed
@melsaotieno1234
@melsaotieno1234 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri
@fredymtavangu8648
@fredymtavangu8648 4 жыл бұрын
Sauti ni nzuri aise una sauti nzuri sana im blessed
@SEMANKA97
@SEMANKA97 4 жыл бұрын
Huyu Paulo ndo mwimbaji nabaki namsikiliza maake ndo anaimba unaona wanamwimbia Mungu hata dansi zao, kuvaa kwao ila waliobaki mmmh, Mungu akubariki sana
@zacchaeusmirera5492
@zacchaeusmirera5492 4 жыл бұрын
Hata Kenya Mungu ako na dunia yote
@mikamollel8384
@mikamollel8384 4 жыл бұрын
We ni mmoja kati ya watu wanaojua kuukosha moyo wangu! Jumbe zako zinagusa maisha halisi tunayoishi. Barikiwa sana uzidi kuvuka viwango na viwango
@lydiamuli3328
@lydiamuli3328 4 жыл бұрын
Wimbo ulio na ujumbe mzuri sana, barikiwa sana🙏🙏
@mariamgodson1352
@mariamgodson1352 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@mwongelaerastus1593
@mwongelaerastus1593 4 жыл бұрын
True song kp up paulo
@mauricekanyegeri1521
@mauricekanyegeri1521 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana
@abiudifrank1352
@abiudifrank1352 4 жыл бұрын
Dah nzr Sana unapasua mawimbi tu watu WA bwawani wana enjoy tuu I like all of ur song but this is the best in my playlist now
@magreththomas8125
@magreththomas8125 4 жыл бұрын
Ebola ilikuja na ikapita,Jesus is able
@humphreypallangyo3376
@humphreypallangyo3376 4 жыл бұрын
Safi sana Paulo mungu akubariki
@ndurunyungu9711
@ndurunyungu9711 4 жыл бұрын
Hongela kwa ujumbe
@agieulerohojuu3238
@agieulerohojuu3238 4 жыл бұрын
Mungu iko tuamini mungu iko 👌👌🙏🙏🙏🙏Masai great nice song +971
@naftalikisaka4380
@naftalikisaka4380 4 жыл бұрын
Paulo safi sana mtumishi
@tabumasumbuko7213
@tabumasumbuko7213 4 жыл бұрын
Ni kweli hakuna jaribu lisilokua na Mlango wa kutokea
@nkaateolekiu663
@nkaateolekiu663 7 ай бұрын
Huu wimbo serikali ya jumia ya Afrika Mashariki wangetoza kupea zawadi kubwa Sana ❤
@sittaisaya7785
@sittaisaya7785 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akutie nguvu ktk kazi yako ya kumtukuza hakika hili nalo litapita amen
@dennischeyo1302
@dennischeyo1302 4 жыл бұрын
Mwamba unajuwa sana
@ephraimandrew8649
@ephraimandrew8649 4 жыл бұрын
Axante kwa ujumbe mzuli kweli hili nalo linapita ila tukexhe tukimuomba mungu Atufanyie wepes maana hakuna linaloshindikana kwake
@emanuelstans3855
@emanuelstans3855 4 жыл бұрын
Uko vizur mr
@humpreymunene9222
@humpreymunene9222 4 жыл бұрын
Amen
@marrymazengo1002
@marrymazengo1002 4 жыл бұрын
Uko vizuli kaka Mungu akutangulie Sana
@yunesnyabonyi1728
@yunesnyabonyi1728 4 жыл бұрын
Wow wonderful song bro ii corona itapita katika jina la yesu 🙏🙏🙏
@shafiihchongowe2221
@shafiihchongowe2221 4 жыл бұрын
Ni zaid ya ngoma zote kwangu🤝🏻🤝🏻
@vumiliaswaivumilia5155
@vumiliaswaivumilia5155 3 жыл бұрын
Hongera Sana Siria
@eunicewangari6950
@eunicewangari6950 4 жыл бұрын
Wow nice song,pongezi ndugu kwa wimbo mzuri sana
@wakembetajaphary3648
@wakembetajaphary3648 4 жыл бұрын
Mungu ipo hakika na Hili Limepta , Mungu wa Mbinguni halali hasinziii hulinda walio wake... Amen Sana
@rezegerezege691
@rezegerezege691 4 жыл бұрын
Amina ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Mungu umlinde Rais wetu JPM wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .
@bujiiclassic1964
@bujiiclassic1964 4 жыл бұрын
Mungu yupo na corona itapita
@janemuriukl656
@janemuriukl656 4 жыл бұрын
AMINA barikiwa sana Mtumishi
@johnpatiy9513
@johnpatiy9513 4 жыл бұрын
Paulo iyo song iko sawa bro Corona itapita katikajina la Yesu mimi ni mkenya napenda sana nyimbo sako inanitia moyo sana na God bless you so much Paulo.
@heripaulo6484
@heripaulo6484 4 жыл бұрын
Nimelipenda neno hili 2Nyakati 7:14-16 kila mtu aliyeitwa kwa jina lako Akiomba na kuacha uovu wkke Bwana Ataiponya nchi Hivi Huyu paulo ni wa Tanzania Au Kenya
@mussajuma7084
@mussajuma7084 4 жыл бұрын
Ni mtz kwao ni Arusha wly arumeru kata king'ori kijiji malula mtaa relini
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 4 жыл бұрын
Hawa ni wale wasiokuwa na mipaka. Mnaweza kuchukua
@nemangowi1418
@nemangowi1418 4 жыл бұрын
MTANZANIA ARUSHA ONE
@mwongelaerastus1593
@mwongelaerastus1593 4 жыл бұрын
Tanzania.
@nuruelisumayan392
@nuruelisumayan392 4 жыл бұрын
Tz
@eveimbusi5940
@eveimbusi5940 4 жыл бұрын
Haki tuamini vitu vyote vya ulimwengu vitapita magonjwa yote ya Corona itapita.....God bless you Paul nice song
@DavidLaizer-b5f
@DavidLaizer-b5f Жыл бұрын
nyimbo zako broo ziko pw sana barikiwa sana😅😅😅😅😅
@jasinthaerasto966
@jasinthaerasto966 4 жыл бұрын
wooooooooooooooo mungu iko kubwa sanaaaaaaaaaaa . kweli mungu umetusikia kwasababu sisi ni wako ndio maana sasa tuna kutukuza .
@daniellaizer4526
@daniellaizer4526 4 жыл бұрын
Kwel Paulo fundisho zuri San tumombe mungu make tutashinda pamoja namben like zen
@kamutua6376
@kamutua6376 4 жыл бұрын
Tunaiweka misumari ipate puncher damu ya yesu ikanyange iishe yesu aivuruge🙏🙏🙏
@sabatoarika6550
@sabatoarika6550 4 жыл бұрын
Duh!!! Nimetokwa na machozi ya furaha kwa kusikiliza wimbo huu....ubarikiwe sanaa bro
@williamnathan4630
@williamnathan4630 4 жыл бұрын
Sabato Arika Ni kweli,Tuombe pamoja kwa kweli angalia na Subscribe ujumbe mwingine wa Korona 👉kzbin.info/www/bejne/r3TahGyhp6iirJI
@marymakoi8604
@marymakoi8604 4 жыл бұрын
Mary hongereni kweli Mungu wetu hashindwi kwa kila jambo
@shaasuleiman3172
@shaasuleiman3172 4 жыл бұрын
Paulo mungu akubariki kwakuombeya tanzania pamoja na taifa ingine mm jina paulo mosess kutoka zanzibar
@azizamohammed4663
@azizamohammed4663 4 жыл бұрын
Uko juu sana kijana!!napenda sana nyimbo zako!mungu akubariki!
@paulinemutiso6767
@paulinemutiso6767 4 жыл бұрын
Nakubaliana na nyinyi watanzania hata Corona itapita Kama ebola
@giftotieno1921
@giftotieno1921 4 жыл бұрын
How simple you're His Excellency ,,njia pekee ya Maombi huu ugonjwa utapita
@nohmasindewafulanohmasinde3577
@nohmasindewafulanohmasinde3577 4 жыл бұрын
Nawapata Nikiwa Nairobi
@elishalaizer5110
@elishalaizer5110 4 жыл бұрын
Jamaa katoa ujumbe mzur
@robartozwangubo3482
@robartozwangubo3482 3 жыл бұрын
Respect for you know what you are the best for you
@angeljohannes8630
@angeljohannes8630 3 жыл бұрын
Nikali kinomah Tena zaidi kupita maelezo doi napendaga ngoma za Kaka yetu, saruti kwake
@bellebenson2806
@bellebenson2806 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana👌❤️
@magdahsweetie7595
@magdahsweetie7595 4 жыл бұрын
A very wonderful song my brother....ii Corona itapita katika jina la yesu kristu🙏🙏🙏
@williamnathan4630
@williamnathan4630 4 жыл бұрын
Magdah Bosibori Ni kweli kabisa Tuombe pamoja kwa kweli angalia na Subscribe ujumbe mwingine wa Korona 👉kzbin.info/www/bejne/r3TahGyhp6iirJI
@betricejohn5933
@betricejohn5933 4 жыл бұрын
Nimebalikiwa Sana na huu wimbo mungu akutie nguvu kwa kututia moyo 🙏🙏🙏
@remmypaul70
@remmypaul70 4 жыл бұрын
Jamaa nikukubali Sana nyimbo zako
@pastorsamueltemonidor2302
@pastorsamueltemonidor2302 4 жыл бұрын
The gospel songs from Tanzania are good, but it is only in their native languages. Am suggesting that the wordings be translated on the screen in words.
@monekamoneka3848
@monekamoneka3848 4 жыл бұрын
Watching u from saudiarabia nyimbo mzuri sana God bless U brother paulo siria
@williamnathan4630
@williamnathan4630 4 жыл бұрын
Moneka moneka Tuombe pamoja kwa kweli angalia na Subscribe ujumbe mwingine wa Korona 👉kzbin.info/www/bejne/r3TahGyhp6iirJI
@jamesbondy2098
@jamesbondy2098 4 жыл бұрын
OK sawa
@jamesobasanjo7002
@jamesobasanjo7002 4 жыл бұрын
Nikweli hili nalo litapita Mungu nimkuu Sana Munguibaliki Tanzania Mungu mbaliki rais wetu mpeafya njema
@janemuriukl656
@janemuriukl656 4 жыл бұрын
Amina MWENYEZI MUNGU yupo halali corona itapita kwa jina la yesu kristo,, congratulations
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 4 жыл бұрын
Nime sikia mita weka msumar Corona ipate pacha😄😄😄😄
@mariasshilla4528
@mariasshilla4528 4 жыл бұрын
Haki iko powa sana
@edwinkipngetichtum9010
@edwinkipngetichtum9010 3 жыл бұрын
Nice One 🔥
@cathynkingamaathai6389
@cathynkingamaathai6389 4 жыл бұрын
Wow nice song ....mnapendeza
@ramadhanjuma1634
@ramadhanjuma1634 4 жыл бұрын
Wimbo una ujumbe safi kabisa
@amanialex9684
@amanialex9684 4 жыл бұрын
Naweka musari ipate pancha mungu saidia
@alexmpanda2987
@alexmpanda2987 4 жыл бұрын
Asante mtu wa MUNGU kwa kutufariji na kutupa matumaini.
@richardmabenga6249
@richardmabenga6249 4 жыл бұрын
Alex Mpanda kwel mungu iko
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 4 жыл бұрын
Kweli Mungu yupo mbarikiwe sana na kila chenye mwanzo kina mwisho
@edwinfifi993
@edwinfifi993 4 жыл бұрын
Paulo, umekuwa kivutio kikubwa sana kwa baba yangu haipiti siku hajasikiliza nyimbo zako... Mungu akubariki sana na huduma yako isonge mbele,
@josendaki2321
@josendaki2321 4 жыл бұрын
Nikwrli Mungu yupo🙏
@josendaki2321
@josendaki2321 4 жыл бұрын
Litapta Mungu yupo
@makalasaigoni2275
@makalasaigoni2275 4 жыл бұрын
jaman tuzid kuombea taifa letu tanzania. 🙏🙏🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏❣️
@patrickmadiwa3845
@patrickmadiwa3845 4 жыл бұрын
Bora umetoa wimbo kwasababu sisi maa na salamu ya mikononi na vichwa ni hatari.
@mmariwammari692
@mmariwammari692 4 жыл бұрын
Nani amerudi kuangalia Mara tatu kama mimi Naomba tujuane hapa kwa like 😍👍👍👍👍👍👍👍
@obadiasanare5351
@obadiasanare5351 4 жыл бұрын
Mimi hapa
@lazarosteven8061
@lazarosteven8061 4 жыл бұрын
Pig up
@maida2710
@maida2710 4 жыл бұрын
Ewe mungu wasikie waja wako wanavyokunena wanatengemea msaada wako
@olelendoya3952
@olelendoya3952 4 жыл бұрын
Bigup Sana,,,,, kweli corona haina mamlaka katka anga la tanzania
@joylianda9158
@joylianda9158 4 жыл бұрын
Me, tena na tena, heko kwa vijana hao
@spinicahmoraa2338
@spinicahmoraa2338 4 жыл бұрын
Ni ukweli Mungu Halali na hasinzii.In Jesus Name Corona itapita
@lazarosteven8061
@lazarosteven8061 4 жыл бұрын
Wamasai mko wapi like zenuu mihimu💯💯💯💯💯💯
@othiambo7305
@othiambo7305 2 жыл бұрын
Utanishauri Nini nataka kujiunga nawewe yani nataka kumtumikia mungu kwanjia ya wimbo
@francisrukeisa6299
@francisrukeisa6299 4 жыл бұрын
Hongera Paulo Siria kwa Mwamsho
@nyau7186
@nyau7186 4 жыл бұрын
Uko vizuri brother
@mosesomachary8504
@mosesomachary8504 4 жыл бұрын
Wimbo huu unanipea matumaini ktk nafsi yangu heko sana paul Mungu akuonekanie ndugu
@isayangoiva5629
@isayangoiva5629 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana ujumbe mzuri sana
@francinembayuwakabirimwuja4252
@francinembayuwakabirimwuja4252 4 жыл бұрын
Asante sana mutotowamungu tuombe mungu.atadusaidia sana
@praygodmeena2935
@praygodmeena2935 4 жыл бұрын
Congratulations guys,kazi nzuri mnoo,hongera pia jamaa yang lazaro sakitaa
@StephenKasolo
@StephenKasolo 4 жыл бұрын
Namwambinia sana Paulo Sila nikiwa Kenya
@zacharieniyakire8537
@zacharieniyakire8537 4 жыл бұрын
Jehovajilecharoir o.
@mwongelaerastus1593
@mwongelaerastus1593 4 жыл бұрын
Sm to me I really appriciate you nikiwa Kenya you are man of people .
@magellankirumba9123
@magellankirumba9123 2 жыл бұрын
Good Mr Siria tres bonne chanson
@yohanaernest7039
@yohanaernest7039 4 жыл бұрын
Kama unamkubali kazi za mtumishi type amen.
@benardmurkomen7926
@benardmurkomen7926 4 жыл бұрын
Amen
@juliusmoris6832
@juliusmoris6832 4 жыл бұрын
Yohana Ernest Amen
@wakembetajaphary3648
@wakembetajaphary3648 4 жыл бұрын
Wimbo mzr unaweza fika Kenya hvhv bila kutegemea 😃😃😃
@hellennkirote777
@hellennkirote777 4 жыл бұрын
People need such songs. Giving hope to many. Be blessed siria
@jokivaleofficialmusic1045
@jokivaleofficialmusic1045 4 жыл бұрын
Safi sana Kijanaaa ujumbe mzuri sana Mungu azidi kukuinua juu zaidi kwa kipaji chako!
@rogathpanga
@rogathpanga 4 жыл бұрын
Mungu yupo hakika kwa jina lake hii nayo itapita
@dainesidenisi859
@dainesidenisi859 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana MWANA was mungu
@winnyfabian5622
@winnyfabian5622 4 жыл бұрын
Km hujui wa lsrael harisi ni wapi hawa ni waisrael harisi
@michaelngoishie4300
@michaelngoishie4300 4 жыл бұрын
Uko vizury xana ndg Yang nakukubali xan
@shaasuleiman3172
@shaasuleiman3172 4 жыл бұрын
Safi sana nyimbo
@abodetidings8392
@abodetidings8392 3 жыл бұрын
Kazi nzuli sana
@apiochristine4895
@apiochristine4895 3 жыл бұрын
I just love this man's music More grace man of God
@hatimmansoor7124
@hatimmansoor7124 4 жыл бұрын
Mekitamayana engai osinga lengai paulo siria
@anahna6788
@anahna6788 4 жыл бұрын
Nakupenda sana mdogo wangu paulo
@humpreymunene9222
@humpreymunene9222 4 жыл бұрын
Napeda nyimbo zako Sana be blessed
@sharifazakayo6280
@sharifazakayo6280 4 жыл бұрын
Hongeraaaaa ,,,,,Ujumbe wenye faraja kubwa,,,Mungu akubariki
@dagyngeny8501
@dagyngeny8501 4 жыл бұрын
Kwa kweli MUNGU YUPO atatulinda
@vivianponsian8188
@vivianponsian8188 4 жыл бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi Wa mungu Kwa jina la yesu corona itaisha
@allyalfred9413
@allyalfred9413 4 жыл бұрын
Corona litapita ndugu .. Nice one God bless you Paul .. Watching from Marsabit
@simiyugeorge-wj1pt
@simiyugeorge-wj1pt 11 ай бұрын
God sure helps us thank you for that song
@museyekikivuyo5026
@museyekikivuyo5026 4 жыл бұрын
Kaka yangu uko sawa mungu akupe kepaji nyingi ni meangalia mara 10
@williamnathan4630
@williamnathan4630 4 жыл бұрын
Yohane Kivuyo Safi kabisaTuombe pamoja kwa kweli angalia na Subscribe ujumbe mwingine wa Korona 👉kzbin.info/www/bejne/r3TahGyhp6iirJI
@martinkarata1097
@martinkarata1097 4 жыл бұрын
Barikiwa sana Kwa wimbo mzuri hili nalo litapita kwa uwezo wa MUNGU
RAIS MAGUFURI - PAULO SIRIA
6:20
Paulo Siria
Рет қаралды 2,1 МЛН
Rose Muhando - Siki na Sifongo (Official Video)  SKIZA CODE 5965915
7:20
Rose Muhando Official
Рет қаралды 2,2 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 127 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 29 МЛН
Salima
8:02
Release - Topic
Рет қаралды 5
Paulo Siria - USIHUKUMU
6:35
Paulo Siria
Рет қаралды 2 МЛН
PAULO SIRIA - OLCHORE (OFFICIAL VIDEO )4K
6:10
Siria tv online
Рет қаралды 39 М.
PAULO SIRIA - NENO
5:57
Paulo Siria
Рет қаралды 366 М.
ANNOINT AMANI - NABII FEKI KULA CHUMA HICHO ( OFFICIAL VIDEO )
5:58
Annoint Amani
Рет қаралды 1,1 МЛН
PAULO SIRIA - OLE WENU
5:55
Paulo Siria
Рет қаралды 2 МЛН
Paulo - CORONA  (Translated Version)
8:36
Paulo Siria
Рет қаралды 96 М.
Paulo siria - Maono yangu (officail Audio visual)
6:47
Siria tv online
Рет қаралды 852 М.
Paulo siria - Mekimenu (Official video )
8:09
Paulo Siria
Рет қаралды 70 М.
STEPHEN KASOLO KIFO😭💔 CHA MUKWENZE ASIMULIA KWA MACHOZI.
24:43
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 925 М.
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 127 МЛН