Mnazingua sana sikuizi Wasafi wanahabari wenyewe mnajitengenezea habari wenyewe habari mnazitoa wenyewe
@kennyrogers47342 жыл бұрын
@aggy george 2 Hapana mdau sio akili mimi tim Diamond kbsaa ila unajua kuzisaka habari nje ya familia ya media husika kila mala inafikia wakati watu wanachoka na kuibeza iyo media lkn nje zipo habari nyingi tu vijijini kuna habari nyingi
@jannatissa53152 жыл бұрын
Hongera zake Asma kasha move on na hari yake
@jamilahathumani42222 жыл бұрын
Koy na esma wanaendana Sana Yan ,,mungu awabariki waoane
@BigZhumbe2 жыл бұрын
Esma itakua ndoa ya ngapi?
@anjelinakasembe8452 жыл бұрын
Anaetrend Ni Hamonize Hatutaki hizo kiki
@maloomaalmnsj51112 жыл бұрын
Mweusi ndiiiii
@joanmamu78332 жыл бұрын
Kuna wanaume weusi ndiii wa zuri huyu lol ata na pesa
@tabynas44852 жыл бұрын
Cozz mbaya jaman... Bora harmorapa
@mackmtata82772 жыл бұрын
Coy comedy iv inaitaji kiki...?
@maigekelvin752 жыл бұрын
Ila amemfukuza vibaya mpk jamaa kaona aibu..😅😅😅
@ntakirutimanaali68852 жыл бұрын
Coy anakula mzigo kabisa
@stevepaul26772 жыл бұрын
Wewe kaka umemtukanisha masanja sana ulienda huko ukapata mdada wakuimbiaha preic leo umeingia kwa family ya nasibu chibu 😂😂😂😂⚽⚽📢huna lolote wewe hata huyo utatema kaka sisi twakujua kaka
@rashowshine78492 жыл бұрын
Huyu jamàa hajui kuhoji
@omanigaming64302 жыл бұрын
Inatuhusu nini
@fhgggffhg77212 жыл бұрын
❤❤❤
@thedelvick1152 жыл бұрын
Dada kapenda spid hizoo
@Bise2702 жыл бұрын
😄😄
@adaboychibu16592 жыл бұрын
Yaani iyo familia ina mambo ya hovyo kweli mwezi wote huu wa toba nyie mnaendekeza mambo ya kiki za kipuuzi !alafu mnajiita waislam na mnafunga hovyo kabisa
@vicentmlumba5912 жыл бұрын
Koi unajitia mswahili kweli 😅😅😅😅😅🙌🙌🙌
@ephesongailo85642 жыл бұрын
Wanyaki mmesikia neno sooooka apa aseee
@petermhara71292 жыл бұрын
8⁶
@halpajordan28412 жыл бұрын
Mbn nyie wasenge hivyo amjui mb zinaenda
@Bullah_tz2 жыл бұрын
*Ila huyu jamaa mtangazaji me hua namkubali sana anafulahishaga sana 😂😂😂😂😂😂😂*
@NNn-mj2pb2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mrsawadh57162 жыл бұрын
Esma nae anapenda wanaume weusi😅
@jaharaoman64782 жыл бұрын
Wanaume weusi my dear kuna w@navyokuwakuwa wanajme weusi salamaa aleukum🤣
@lucylucy36782 жыл бұрын
@@jaharaoman6478 yan hata mm napenda black kwel
@halimahalima14882 жыл бұрын
@@jaharaoman6478 waaylkum msalam 🤪
@halimahalima14882 жыл бұрын
@@lucylucy3678 wanaupendo sanaa🌹😀
@amilianafi80212 жыл бұрын
Yani uyu jamaa amefata ela2 akuna mapenzi apo
@rukiarashid88282 жыл бұрын
Kweli kabisa
@kiuyl02 жыл бұрын
Mwanaume mweusi ndiiii😂😂😂
@mariamakungwa53912 жыл бұрын
Mwaka huu mfungo umekuwa mgumu hawa
@hidayajonson81402 жыл бұрын
Sijapenda kabisaaa Mbona mweusi Ndiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nassirmohamed84922 жыл бұрын
Kwani weusi si watu acha dharau
@jamesobedy36872 жыл бұрын
hii 😜
@maryamnassor94822 жыл бұрын
Ndio mzuri uyo
@priscamrekoni34512 жыл бұрын
Ujapenda nn Ss mwenzio ndo chaguo lake 🤣🤣🤣🤣🤣🙈
@agwalubifaridah70792 жыл бұрын
Wanaumme weupe wa nini?wanaumme weusi ndo habari ya mjini