Waoo hatimae busati sasa mmeleta kitu tofauti tunashukuru sana wangapi mnakubaliana na mimi kwamba zuri siku hiz kapendeza sana na kazidi kuwa mrembo zaidi😂
@Teresia-bg9dt15 минут бұрын
Kabisa hii movie ni tamu sana😂😂😂
@AishaSalem-g2vСағат бұрын
Napenda busat TV kwakweli mpo vizury❤🎉🎉🎉aya bc msicheleweshe jamn
@Mwanajumahassan-tg3zgСағат бұрын
Kai tulia bwana 😂😂😂 waoooo busat tv sasa hii move mumetoa kitu na yaonyesha ni kali ❤❤❤❤❤twawapenda hongera busat tv ....saaingine ukiona mtu katulia ujuwe siwatu 😂😂😂 sania mrembo kumbe much lov tuko pamoja
@UmaziMdzombaСағат бұрын
Kazi nzuri sna kwa kwel mumeweza
@ruthetabale5 сағат бұрын
Kazi nzuri wana busati
@husnahusna15445 минут бұрын
Jamani vitu vizuri 🎉🎉🎉🎉🎉❤
@JaneJane-h2iСағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kumbe lilamba hauna ndevu😂😂😂😂 pole
@DzameHamisiСағат бұрын
Nzuri sana tu
@LuciaBukula6 сағат бұрын
Busati TV michanganyo michanganyo Bwana Yesu amekataa😅😅😅😅 msipende kutuchanganya na vitu vingi
@Swabrina-5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@NeemaEli-wl1dz18 минут бұрын
Waoooooo kazi zuri sana
@MohamedMd-q3f16 минут бұрын
Kazi nzuri
@SdFft-j5g5 сағат бұрын
kumbe hii ndio ilikua inatafutiwa mtu anaeweza kuigiza kama jini😅😅😅😅,nzurii
@Hadija23-b1yСағат бұрын
Kaz bomba sana ❤❤❤busat
@SaumuWanje29 минут бұрын
Wow kazi nzuri ❤❤🎉🎉
@sadahamad61584 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 kai yuwaowa wanawake wote w busati mashabiki tutulie tu kila mtu ataolewa na kai pia hii movie niliisubir kwa hamu jini nyoka pinky ❤❤❤🎉🎉🎉 unajua
@SAKINAOmaryBakari5 сағат бұрын
NI Nzuri sna ila Msichelewe kutoa epsd nyngne❤napenda kazi zenu sna tuu🎉
@coolboymicky36514 сағат бұрын
❤❤❤
@كامليا-ر7ز6 сағат бұрын
Wa kwanza n mm hapa kwa hii movie mpya naomba like zenu ❤❤❤🎉🎉
@kidempunga43374 сағат бұрын
Apa ssa mnatukosha mioyo yetu movie nzuri sana
@GloriazawadСағат бұрын
Pink 😅❤❤❤🎉❤hiyo ndodawa ya mwanaume malaya
@JohorahassanHadi4 сағат бұрын
Asanteni wana busati tv MashaAllah sinema zenu ❤❤❤