Very much interesting,hapa kweli mmecheza,nawapenda sana 🇰🇪🇰🇪
@gadafimuemede2985 Жыл бұрын
Nimependa sana2 boy from 🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏
@oceanlove6691 Жыл бұрын
Haya mapenzu au songombingo afu mbona kama nimepata kitu hapa? Shadow biggap sana
@moreenngonyani1764 Жыл бұрын
Asante Sana Shadow nimepokea ujumbe nzurii Sana🙏
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Mganga kashituka kumbe ni kidume chake Cha kitambo 😀😀😀😀😀😋😋😋😋
@amaniabrahaman2000 Жыл бұрын
😂😂😂✊👍
@manbonge3015 Жыл бұрын
Shadow ume Tisha mdogo wangu watching from Bahrain 🇧🇭. Afu una chagua misambwanda😄😄😄 hatari
@mikelexus3623 Жыл бұрын
oya wanangu inakuaje kama weni fans wa show nipe like zangu bsi
@joshuasakwa1548 Жыл бұрын
Shadow never disappoint, wapi like za wakenya
@josephchandi6192 Жыл бұрын
Hii nimeipenda sana bwana shadow Umejitahidi
@MBATINOFILMS Жыл бұрын
😃😃😃
@khadijambeyu Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪
@khadijambeyu Жыл бұрын
@@josephchandi6192 Ni ram sana
@bellairaje3956 Жыл бұрын
Nimekua wakwanza nawapenda bure
@beeyclasikytz8404 Жыл бұрын
Huyu Sonia..mbn kama namqubali ivii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@frankmwaikambo-on7tg Жыл бұрын
Shadow una puch nzuri yan saut ikiyonyooka isiyokua na konakona halaf kaka unajua kupangilia mistari isiyo na maneno mengi km unatumia scripts big up bro nakuelewa mno
Ndo alicho kitaji basi shadow njoo tuishi uko🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@fabianmasunga3788 Жыл бұрын
GOOD JOB 😂KUMBE MCHEPUKO MGANGA MUHIMU
@MBATINOFILMS Жыл бұрын
Hakunaga bahati mbaya kazi imesimama kinoma
@moussarukundo1745 Жыл бұрын
Love from Burundi 🇧🇮♥️♥️
@rich_wasparner9233 Жыл бұрын
Mmemaliza vizuri Sana watu wangu ongezen bidii
@darlene4402 Жыл бұрын
Wakwanza nipe like zangu
@MBATINOFILMS Жыл бұрын
Toa na wewe like
@halunimnenwa5224 Жыл бұрын
Ulitupa fala nini
@elmosteve586 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 shadow wew ni jeshi tena huyo mdada mwishoni amelowaaa
@hassanrashid9912 Жыл бұрын
Mnafanya kaz mzur kwakwer nawapenda bureee😁
@kefinifrancis4776 Жыл бұрын
Ni yamotoooo 🔥🔥🔥
@onesmusmutinda4875 Жыл бұрын
much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Uyo tall dada kamataa ndioo wakooo😀😀😀😀🙌🙌🙌
@Cr_shua Жыл бұрын
Naona kijana wa CLAM kesha marry 👋👋
@Cr_shua Жыл бұрын
Likes zangu zkam thro ama niede nkatoe kafara ya damu now
@abdulkabila787 Жыл бұрын
Sonia ni mzuri
@mbogoidentity Жыл бұрын
Aminia sana Shadow
@bullettruck5058 Жыл бұрын
Shadow andaa episode km ya clam penz la mzimu
@nadiakabura1506 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@rommihmyco Жыл бұрын
Ujumbe mzito sana kaka ✌️
@athertonmwarua913 Жыл бұрын
What goes around comes around.!
@metrineokola7730 Жыл бұрын
Kabisa 😆😆
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Shadow Kama mzuzuu vilee Kama 😀😀😀😀😀
@fadhilhamdu7063 Жыл бұрын
Nipeni namba ya mganga ,wallah atakuoa ntaoa jamaniii❤
@fa.fa.9713 Жыл бұрын
Ila nyie jmn shadow kenya tuna kukubali sana
@mariamnjama3963 Жыл бұрын
Funzo n usimuone bwege ipo sku atafunguliwa macho na utakua umechelewa
@wazirimussa7209 Жыл бұрын
A kubbke shadow utaniuwa kwa kucheka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@amarnam5016 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abdulazizabdulrahmaan8412 Жыл бұрын
Story moja kali sana ila mmeiforce iishe mapema bhnaa ingekuwa na series hii hata vipande sita au saba tukaenjoy daah
@abdulmtindi3320 Жыл бұрын
So hot bro shadow🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mafiazonethedon7112 Жыл бұрын
Wakwanza ndo nn Nyie Saport Geng Yake Je Anatosha vitu Vizur Sasa Kila Mtu Wa kwanza Mnazingua nyiee
@rehemaabdullah7606 Жыл бұрын
🤣🤣🤣Naomba like yangu
@josephsananga6573 Жыл бұрын
Sonia wee mkari
@mafiazonethedon7112 Жыл бұрын
Daah Miyumbo Tu
@sarahnafulanafula5537 Жыл бұрын
Hii video imenifunza kitu,waah 🤔,mungu awapariki sana
@TungoZaMswahiliJk Жыл бұрын
Una mke mtam sana
@ramadhaniibrahimu5972 Жыл бұрын
waganga wakibongo bwana eti wanapeana limbwata huku ndoa zao azina amani
@veroslaa1041 Жыл бұрын
Haha 🤣🤣😂 shadow duuuuuu
@pamelapendo474 Жыл бұрын
Wanawake kama hawa isay mbaya sana
@liylahahmed829 Жыл бұрын
Dooooh balaaaa zitoo
@mokhantv8490 Жыл бұрын
Am appriciate bro !
@shakirashakira5556 Жыл бұрын
Shadow jitahidi kutuwekea picha inayo endana na kitu unacho kifanya
@StelaElia10 ай бұрын
Nimependa sana
@abdulrahimomar8554 Жыл бұрын
nice stry
@jay-bshujaboyofficie3201 Жыл бұрын
💥💥🔥🇨🇩
@jmwa Жыл бұрын
unyama sana shadow
@augustinomasanje6 Жыл бұрын
Masomo mawili kwenye hii video 1. Ridhika na ulie nae hata yupo na hali gani ridhika nae 2. Mwanamke utaibomoa nyumba au ndoa kwa mikono yako mwenyewe, kwa hio ndoa uiongoze kwa hekima na akili
@halemamoon1782 Жыл бұрын
Tamaaa na dharau vmekuponza dadaa...aya kakangu kauza nyumba yake...aya sasa njoo gulf huku utafute za kwako ili ujenge ya kwako...oyeeee
@ericko-jobs Жыл бұрын
Huyo kaka ni mrefu jamani
@mhohomudzo5412 Жыл бұрын
Mganga sonia n mrembo
@RamaKirao-xs2rn Жыл бұрын
Mwana kultafta mwana kulpata
@ShabaniKuga-oc6vp11 ай бұрын
Uyo sonia na sarah wakali atari
@metrineokola7730 Жыл бұрын
🤣🤣 Kali sana
@dtv6734 Жыл бұрын
Sasa hiyo dawA yA kumung''unyA imefanyA kaZi Gani? aU imefanyA kazi yA kuMpata MteJa wA kununuA nyumbA? !!!! 😂😂😂😐😊😐
@SHIJA_ Жыл бұрын
😂😂😂 hahahaha mbwa nyie
@amonndenza3723 Жыл бұрын
Unamke mtam Sanaa
@bongodigital35 Жыл бұрын
Eti karibu tena
@josephchandi6192 Жыл бұрын
Iko poa kweli kweli
@shemlodfelix-gn5ln Жыл бұрын
Kabisa
@wiltonofficial1569 Жыл бұрын
Nifikishieni 1k subscriber's
@fistonm-keyfistonm-key Жыл бұрын
Kwl 🙈
@awesuhambal1348 Жыл бұрын
Izo nyengine sio nitakuja niipasue sim kiyoo
@mikaelmikaelamr Жыл бұрын
Kwel
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
uyu kaka tall anakoa makwenz balaa🤣🤣🤣🤣
@bullettruck5058 Жыл бұрын
Yule dad nahs sio mtej ni dem wke bhana tumegundua
@sawdaadam Жыл бұрын
🥰🥰😍
@mimahogtz597 Жыл бұрын
Shadow🎉❤😅
@Gerardirankunda2885 Жыл бұрын
Shad pol san kwr 🤔🤔🤔🤣🤣🙏🇧🇮
@yakoboesenga5754 Жыл бұрын
Sasa uyoo jama ni mrefu ama tumpe jina lengine tofauti na mtu mrefu 😷😷😴
@Pacyngoma Жыл бұрын
🇩🇪 like nyingi
@indyamiriziyinetsi Жыл бұрын
Nina hisia kuwa Wanyarwanda wanaanza kuivamia Tanzania kupitia ucheshi ! Hakuna mzaha i say... Tanzania hakika ni DRC ijayo. M23/