Kwa leo nimempenda mama kelvin Kwa kubariki uchumba wa love na kelv maua ya mama tafazar ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MariaSalum-w9iКүн бұрын
🎉
@AminaKavuo-gj3ocКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@Veronica-b2f2gКүн бұрын
😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@LuciusLushaniraКүн бұрын
Leo munaharikisha
@BetinaEliasКүн бұрын
Ijayo pia iwah kutokaa😂
@NasrahSalmahКүн бұрын
Tuliofurah kuona love na Kevin wameelewana tujuane kwa like
@Racher-cw5lhКүн бұрын
Jaman naomben like ata mmoja bc
@ashamrisho1322Күн бұрын
Naomba Leo nimpongeze mama kelvin na kendy hakika anaweza Sanaa ame act vzr kbsaa kama mama wa familia🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fatmatraashidu8522Күн бұрын
Mama Mpuuzi huyo alieharibu Familia kwa Mikono Yake mwenyewe
@ashamrisho132223 сағат бұрын
@@fatmatraashidu8522híyo n seen tu alipewa na ameifanyia Kaz, mm nazungumzia u hodari anaounyesha kufanya Kaz aliyopewaaa🎉🎉
@ngusekisu674621 сағат бұрын
Umeonae ndio tunataka wamama kama hawa ❤
@AzeraMalilaКүн бұрын
Hatimae mama Kelvin umejua kunifurahisha, ngoja ngoja huumiza tumbo❤🎉
@FatmsAli-q9pКүн бұрын
Umeona ee mama kelvin yupo vizuri sasa
@mohamedlopa8410Күн бұрын
Tunaosubiria ndoa ya kelvin na loveness tujuane hapa kwa like jaman😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FatumaDullahКүн бұрын
Kila mahal upo
@Fathasssane-vs2thКүн бұрын
Ipo lkn😂😂😂😂😂😂😂
@RehemaKirweyКүн бұрын
Nipo Ili Tina akome na ulimbukeni wake
@RaheemaMosaКүн бұрын
Yani hamuezi amini hii mov nime ambiwa na rafikiangu nikaanza kuifatilia ndani yasiku 3 nime maliza zote saiv ndo naanza kupanga foren yaku kusubir sim nipe like basi❤❤
@LLl-p4r3lКүн бұрын
Ushamaliza zote we hongera haya twende nalo inaelekea mwisho karibu tufurahi pamoja
Nimeshangilia 😂😂😂utafikiri ndio mm nimevalishwa peter ila Kuna siku namm ntavalishwa Pete na baba yake Tina afu ntakuwa bi mdogo au😅😂😂😂😂😂
@rizikisam6481Күн бұрын
😅😅😅
@MishiGambaКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@NasmahTomasiКүн бұрын
😂😂😂😂😂
@khafidamkambeKhafidamk-dq7njКүн бұрын
Enda ukawe tapeli wa pili😂😂😂
@SalomeChilongolaКүн бұрын
Ha we dada usiwaze hivo
@sadahamad6158Күн бұрын
Sare kwangu guys vijora 😂😂😂😂 twatarajia harusi sasa hongera kelvin na loveness na family yote❤❤❤🎉🎉🎉
@LewisHamiltonGLDКүн бұрын
Loveness anafuraha mpaka amekosa usingizi nakwambia kupata unaye mpenda inakua ivyo love 🎉🎉❤❤ love junga usipate mimba kabla hamjafunga ndoa 😂😂😂
@NasmahTomasiКүн бұрын
😂😂😂😂🎉🎉🎉 Nikwl kabs tunasubiria ndoa
@margretpendo-tq3zwКүн бұрын
Mama kevi chukua mauwa yko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MargaretJuliusКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@JacklinebosiboriMomanyiКүн бұрын
Wanao ngojea kwa hamu Dennis alipishe kisasi haraka tujuane🎉🎉nipitieni guys
@YvonneMisinyaКүн бұрын
Tuko hapa na n kisasi ya nn
@JacklinebosiboriMomanyiКүн бұрын
@YvonneMisinya hukuona akisema kwa picha ya baba kelvin kuwa atalibisha kisasi kwa familia ya akina tinah
@FawzaRobertКүн бұрын
Tupo pamoja nao wataabike family ya tina
@ShamilaIbrahim-w1gКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kladahmad3333Күн бұрын
😂😂😂❤❤❤
@TeddyAugustino-g7rКүн бұрын
Nimewapenda mno haswa kuona lovenes wajina wa Binti yangu kutaka kuchumiwa na kelvin Ila hii move jamni Ina funzo kubwa sna
@ElizabethMbawala-k4zКүн бұрын
Kendi nakupenda bila ghalama unanifurahisha sana kipenzi 😂😂😂
@fortunegerishom182720 сағат бұрын
Mpaka kesho,, huo mdomo wako utakuwa umefka masikioni😅😅
@Fatmamakame-q5wКүн бұрын
Khaaa watu wako chapu chapu no kuchelewa asante sana wana donta now hamcheleweshi adi raha🎉🎉🎉😊❤
@ciellavyosenimanaКүн бұрын
Loveness nakupenda mno🥰mauwa yote kwako Alafu kevin mbon ulituchekewesha tulikuwa tunatamaani hivo,Ila musiane Mumba duuh😂😂
@christine2802Күн бұрын
Mwaka huu tutamiliki vitu vyetu kwa Jina la Yesu Kristo, nipate Like ata moja
@frida-oi6kwКүн бұрын
Ameen
@saidbakari2408Күн бұрын
😂😂😂😂 UONGO HUO
@BahatiDomanКүн бұрын
Amin
@AnethVenansiКүн бұрын
Amina
@bennamush4616Күн бұрын
Kama mimi ndo naanza upya mwaka Jana niliuza kila kitu ili nipate pesa kumtibia mwanangu lakini bado Mungu akamchukua 😢 ndio naanza upyaa
@VioletNyaboke-te5sfКүн бұрын
Wangapi tunafurahi kuona loveness akiwa na furaha tele 😅😅😅juu ya mpenziye kelvin ❤❤❤😅😅
@HaronWainaina-m7x14 сағат бұрын
Niko hapakutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawapenda Sana
@AshaMalekela-o7tКүн бұрын
Mam kajua kunifulaisha uyu jamn ongera mam kev ❤❤❤❤🎉🎉 sas mum tuae na tuna tamb naeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AnsaB-j2mКүн бұрын
Wa mwisho leo jameni naomba like za loveness n kelvin❤❤
@juliusjkalela9164Күн бұрын
Jaman nmecheka mm mpaka mdomo kdg uchanike loveness alivyokamatwa anaamka ktandan nmefrah xana🤣🤣🤣🤣
@BintjumaMwachongoaКүн бұрын
😂😂😂
@Kadzomudzo-h7oКүн бұрын
😂😂😂nimecheka adi majirani wakagonga mlango ety una nn😂😂😂
@MercyKahindi-go2nrКүн бұрын
Pia we umeonaa😂😂😂😂
@MalkaNinikКүн бұрын
Nimecheka alivyo ambiwa msiende kutuana mimba
@Swabrina-Күн бұрын
@@MalkaNinik😂😂😂😂😂
@NICODEMOCHARLESКүн бұрын
Na nilikuwa naisubiria knoma nishakuwa addicted na hii movie Hadi nikiwa naangalia natamani isiishe 🎉I 🎉🎉🎉🎉🎉 maua yenu Donta tv
@MirshuuMakameКүн бұрын
We ndo km mm
@ayshahamisiКүн бұрын
Kama mimi, ila dakika chache
@UnrulyHope-e9jКүн бұрын
Kwa hakika nimefurahi sana Loveness kumkubali Kelvin ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉Woow yani raha ata basii big up Kelvin kwa kazi nzuri 👏👏👏👏eti msije mkapeana mimba ila mama Ake Kelvin anazidi kunifurahisha 😂😂😂😂
@florencebalimuchabo302317 сағат бұрын
Waouh nimefurahi sana kusikiya mama Kevin anampenda lovness akawe muke wa kevi😅😊😊😊😊😊❤
@CarolyneMalala-o6xКүн бұрын
Hapo sasa nafurahi juu harusi tunayo Kelvin hongera sana kwa kumshikilia Loveness maana mmetoka mbali twamushuku Mungu ni mwema
@CianahNgoteleКүн бұрын
Wow wakwaza Leo kutoka Kenya wapi likes zangu 🇰🇪🇰🇪
@thommasemanuell4320Күн бұрын
Leo mimi wakwanza jaman hata mjawahi nipea like zangu
@sarahqueen249421 сағат бұрын
For real Kelvin we have been waiting for this beautiful moment❤ congratulations 🎉 much love from Kenya together we go💪💪💪💪
@lilianmbakambaka6718Күн бұрын
Yaani nimefurahi unadhani mm ndio loveness😂😂😂 all the way from Kenya tukianza nanyi pamoja kutoka first episode ❤❤❤
@Christine-ho5usКүн бұрын
Tearm fulus mko wapi Deni harakisha tunaitaji kuona watu wakitoa machozi vile kelvin walitoa tearm Donta munch love keep it good job 🎉🎉🎉❤❤❤🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@RahmadidKuboКүн бұрын
Jamani Kelvin muoe💍 cha kikweli mumeendana sana naipenda sn couple yenu❤️
@viviankemunto4435Күн бұрын
Kabisa na wazae watoto wazuri @ kevinkhan dr
@HappyWade-dg1ugКүн бұрын
Jmn hicho kipande cha ma Kev akimwambia Love we msijemkapeana mimba tu huko hali mnaijua wenyewe kimenichekesha nimekirudia mbaka basi et We msije mkapeana mimba 😁😁😁
@Bahati-bh7xw21 сағат бұрын
😂😂😂😂
@kibthwiyaswaleh453317 сағат бұрын
😂😂😂😂
@LoiceKatana-ci1tx16 сағат бұрын
Wee😂😂😂
@FlorenceTuyisenge-m2e12 сағат бұрын
😂
@Sanytosh-gr7vv19 сағат бұрын
Dah!! Kelvin congratulations 🎉🎉🎉
@Sanytosh-gr7vv19 сағат бұрын
Kumbe ukipenda moyo ndio uongea jamani😅😅😅😅😅
@HassanMajaliwa-te1ke16 сағат бұрын
Wawoooo,mama kelvin nipemenda maneno yako kama mama mzazi❤❤❤❤
@Ester-vg2evКүн бұрын
Anayejichekea kama mimi gonga like hapa sasa leo moyo wangu umetulia hatimaye hayawi hayawi sasa yamekuwa 👏👏👏
@didierdusabe429Күн бұрын
Maman kelvin leo ameongea vizuri sana
@RahemhAliКүн бұрын
Jaman leo nkali mno Yani kelvin umenfuraisha, pamoja na mama,❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@EvahMaish01Сағат бұрын
Yaani Nina furaha dah❤❤kumbe mama kelvin alikua amkubali Loveness kua mke wa kelvin.congratulations 👏👏👏
@JamesJuma-c4b19 сағат бұрын
Kumbe kuvalishwa pete raha jamani nachelewa kama ndiyo mm vile 😂😂😂😂
@erinestangowi7785Күн бұрын
Nilivyo furahi kama mimi ndo nimevalishwa pete hongera love na kelvin kwa kwamaamuzi mliochukuwa🎉🎉🎉🎉❤❤
@ZZawadi-s5vКүн бұрын
Maua kwa familia ya Kelvin jameni nawapenda bure🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mama kelivin mungu akupe maisha mrefu sana🎉🎉🎉🎉
@salomevestinamichael1458Күн бұрын
Kwa kweli Kelvin na Loveness mnatupa burdani safiii👌
@annaki31822 сағат бұрын
Ndoa tunayo na tunatamba nayo m Mama mkwe kashamkubali mkamwana wake❤❤❤❤❤🎉🎉🎉alooo weee😅
@Mukundeflora15 сағат бұрын
I am from Rwanda I love you guys tna hapa mama yke Kelvin nmemupenda Sana❤ coz kijana wake akizubaa loveless utamkose kbs😂😂
@Under18BКүн бұрын
Tunawapenda sana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AnsaB-j2mКүн бұрын
Mama kelvin maia yako hii❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nani mafurahi juu ya mama kelvin🎉🎉
@sharonkaguyaКүн бұрын
Aki Leo si mnisuport pale KZbin . team strong wenye tunaworch tukiwa hamam tukijidanga tunaoga wapi likes zenu
@NuruAmina-h1qКүн бұрын
Team strong oyeee🎉🎉🎉🎉
@ServantenocknaomiКүн бұрын
Great
@mwanasitikisuki9427Күн бұрын
Tupo
@MacklineKayanze-k9uКүн бұрын
Pamoja Habibi💜
@sharonkaguyaКүн бұрын
🙏🙏🙏@@NuruAmina-h1q
@agathaKamuyaКүн бұрын
wanaukubali kelv amempeleka love honey moon pale wametoka onyesha upendo❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EvethaSimba-i1cКүн бұрын
Leo mama kelvn ndiyo unaongea haya jamani kweli roho mbaya haidumu kelvn changamkia fursa,Waooooo❤❤❤❤Waaooooohhhh lovness na kelvn,ila kivuruge nina hisi atakuja kuharibu jamani
@HalimaAdam-r5eКүн бұрын
Waoooo lovenes umeshakuwa mchumba wa mtu mashaallah mungu awaongoz kwakila jambooo wewe ni mwanamke mweny roho yakipekee umemvumilia sana kelvin mpk mlipofikia
@LilianRodrick-k5bКүн бұрын
Naipenda sana hii move..... wow congratulation boss wangu me🎉
@SevidaEmmanuelКүн бұрын
Ila mama Kelvin bwana et weeeeh msje. Mkapeana mimba,,, 😂😂
@josephinamarko3323Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@marymele9714Күн бұрын
😂😂😂😂😂
@suzanakisusi9863Күн бұрын
😂
@PhostineWaswaКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Kadzomudzo-h7oКүн бұрын
😂😂😂
@MurhatyMaulid17 сағат бұрын
mama kevlin anamwambia mseje kupeana mimba tuuu hali yenyew mnaijuaa wallah nimechek😅😅😅
@annwairumu588Күн бұрын
😅😅😅finally kevo ameoa love sasa Tina amepotea yote Tina atakua wpi 😂😂😂sema kimeumana kevo umeagukia mke bora 🎉❤❤❤
@ShariffaAhmed-d4vКүн бұрын
Leo ten ni wa mwanzo kweny comments 🎉
@LucyMathias-w2sКүн бұрын
Mamb ni fire 🔥 kwa loveness sas ndoa hiyo hapo 2naogonja ndoa ya kev na love🎉
@Lela-v3zКүн бұрын
Wakwanza leo naomba like zenu jamani hatakama sijuwi zasaidia nn😅😅😅😅😅
@JERMAIN-n4tКүн бұрын
❤🎉🎉😊😊kelvn nakupenda sana na mungu akuzidichiye guvu kwaku endelecha kutuoya❤🎉😂namupe maman kelvn kuseman hivyo
@ahmadoigu7689Күн бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉WOW SAFI SANA bado harusi sasa, vigora visikosekni mamamkwee🎉🎉🎉😂😂😂😂nawapenda sana good work
@MorissonEdwardКүн бұрын
Hatima hatima namm nimekuwa wa kwanza ❤❤❤❤ jamani naombeni Leke ha 20
@aisha770Күн бұрын
Wa kwanza leo 😂😂team strong tujuani hapo kwa like 👍
@BahatiNyamkaКүн бұрын
Wakwanza mie dear
@mohamedlopa8410Күн бұрын
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe utakayesoma coment hii mungu AKUPE HITAJI la moyo wako ❤🤲💘🤲💘😜💘🤲💘🤲💘🤲💘🤲💘💘🤲💘🤲💘
@SaraaSaraa-i1jКүн бұрын
Amiin
@AdveraEliasКүн бұрын
Amen kwako pia dear❤❤❤@@SaraaSaraa-i1j
@IreneAlex-k4yКүн бұрын
Amen
@AlbertinaFuraha-fp6ndКүн бұрын
Amen
@Nuru-c6hКүн бұрын
Amii Amiin
@thechallangeboystheawadh5195Күн бұрын
Leo raha! Mama Kelvin leo umecheza❤️❤️❤️🙏🇨🇦
@اروى2Күн бұрын
Kazi nzr mashallah Allah awaongoze daima Kelvin babaa na watu wako....bt episode mnazitoa fupi fupi sana..bado natamani kuangalia ndio imeisha..nikiwa kenya nawatakia kila lenye heri nanyi ❤❤❤❤❤❤ na mama Kelvin hongera sana mamaa umeweza ❤❤❤
@agathaKamuyaКүн бұрын
Nimependa kuona kelvi akitambulisha love kwa familia wapewe maua yao jamen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@tawhidaabbasi8584Күн бұрын
Jaman huyu laty ni afande n kaj kwa ychunguz zaid n atamsaidia kelvin weny matumain aya niwaon ap kwa like zenu
@MohamedFadhil-bg5fmКүн бұрын
Naipendaaa❤🎉🎉
@ShamimShamyКүн бұрын
Kiukwel Donta TV mmenifurahisha sn kila iitwayo Leo mna mapya Kelvin Mungu akubariki ❤❤❤ lavenes hakika umenifurahisha,,sn umenifany Moyo kuwa Na furah❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@FATMASULTAN-j2pКүн бұрын
Ah nyie leo pambe nlikua najion km mm ndo loveness🥰 Naomb ep inofuat ic chelew hata kdg.. 💃
@NeemaMzur19 сағат бұрын
Waliokuwa wanatazama huku wanatabasamu tujuane❤
@Fathasssane-vs2thКүн бұрын
Leo wanzo donta sibitisha nipewe like😢😢
@MaryNyemba-w6hКүн бұрын
Nimefurah ila sijuii nafurah nin ila Kelvin 😂❤😊
@PhostineWaswaКүн бұрын
😂😂😂mama kelvin
@MaryNyemba-w6hКүн бұрын
@ wanavituko familia nzimaa 😁
@KahindiNyevuКүн бұрын
Wau mambo yanaendelea kuchemka kwa bwana kelvin n loveness....bt mama kelvin chukua maua yangu jameni kwa kunifurahisha leo🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@MwanangeniAyubu23 сағат бұрын
Leo mmekamilisha furaha yetu 💃💃🔥♥️♥️♥️♥️ japo hatujui plan ya yule dada anae kaa na Denise
@ZayNiyonzimaКүн бұрын
Wkwanza mm Leo jaman like zangu😂😂
@ElizabethMbawala-k4zКүн бұрын
Jamani mama kend apewe maua yake nimekupenda bule leo❤😂😂🎉🎉 naombeni likes na mm😂
@MasauShidaКүн бұрын
Kazi nzuri sana Mr. Kelvin🇹🇿
@HadijaVinyu22 сағат бұрын
Kipo cha kujifunza tena kikubwa Asante bro kelvin 🎉🎉🎉
@zamdauseni978711 сағат бұрын
Kwa lewo nipenda mama kelvi kwa. Kubarikiya ucumba mwanaye kelvi ❤❤❤🎉🎉🎉Na lavenesi ❤❤❤❤ Mambo ayo 😊😊😊😊
@Princessmonica331Күн бұрын
Wa kwanza leo nipe likes zanguh ❤❤
@NuruAmina-h1qКүн бұрын
Maua yako❤❤❤❤❤
@LaylaIsa-i3eКүн бұрын
Leo nimekua wakwanza tena kelvin nipe like zangu
@Cheusi_mediaКүн бұрын
Big up Congratulations 🎉🎉 Haya sasa Mnipe LIKE ZANGU nimewai sana Leoo ❤️❤️
@Winniefrank-k6bКүн бұрын
Kila nakoenda nakukuta cheusi media
@Loverboy-i2yКүн бұрын
Kwn ww cheusi uko kla mahali ama we sio cheusi mwenyewe
@RehemaYusuph-c7bКүн бұрын
Lahauraaa!???
@RenaraKidamyКүн бұрын
Cheusi media wa mission impossible 😂
@Cheusi_mediaКүн бұрын
@@Loverboy-i2y Support haina sehemu kaka 💪
@CornelioVampanguile15 сағат бұрын
Umenifuraicha sana Kelvin kwa kunvaicha pete lovenesi, hiki ni kitu ambaye nilitarajia na kuisubiri kwa muda mwingi.
@JaneKyuliКүн бұрын
I wish igekua ni mm mamakijana ameshaa ona mausiano yetu 😢😢😢,juu ni gumu mother inlaw kukubali,love na kelvin mubarikiwe
@JustinaMatulileКүн бұрын
Napenda sana kufuatilia hii sitori nakili mpo vizuri mno , ila sasa mnatoa kipande kifupi mno ongezeni jamani , pili napenda kumuona Kevini na Lovenes wakiwa kwenye ndoa ya kweli isiishie kwenye maigizo tu mnapendeza sana kuwa MKE NA MUME WAUKWELI,Mwenyezi mungu awatangulie kwakila hatua Inshallah
@IbrahimuMussa-g4oКүн бұрын
Kelvin unajua ❤❤❤❤
@viviankemunto4435Күн бұрын
@RahmadidKukabisa nasubiri harusibo
@officialkhalid3510Күн бұрын
Wakwanza kutoka mombasa Kenya ❤❤❤❤❤
@SilviaWabwireКүн бұрын
❤❤❤❤❤hio ni ya loveness na kelvin Pia Mama congrats 👏,nko Kenya nafurania movie yenu
@MzawadiКүн бұрын
Finally 😂 the only thing I was waiting for 🥰🤭😂😂🔥
@PhoebenafulaКүн бұрын
Well-done mum Kevin, Maua Yako hayo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎈🎈🎈❤️❤️❤️❤️
@rachelKaminyoge-k7oКүн бұрын
😂😂 mama kelv aaah mimba uwiii
@AndrewFundiКүн бұрын
Jaman mm wakwanza leo nipen likes zangu please 🎉🎉
@DesmondKombe-it6veКүн бұрын
𝙒𝙖𝙠𝙬𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙢𝙢 𝙬𝙬😮
@DesmondKombe-it6veКүн бұрын
𝙒𝙖𝙠𝙬𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙢𝙢 𝙬𝙬😮
@bettymbeyu87463 сағат бұрын
Wow patamu hapa kelvin na love mumependezana mashallah❤❤❤❤
@jamilashabani8580Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ Shukran Shukran Shukran Shukran Shukran kwa Leo Alhamndulillah Kila Mtu kafurahi kwa kumuona Loveness mwanzo Mwisho yy Ndio katawala Walio kuwa wanayaomba yamekaribia kutimia Ndio Furaha yao
@anthonymwabili4334Күн бұрын
Wakwanza leo kutoka Kenya naomba likes zangu❤
@ChristopheMufariji-kh3kqКүн бұрын
Asanté sana kabisa kwaku achiya haraka
@TeddyAugustino-g7rКүн бұрын
Hongera San 🎉🌹🌹🌹🌹🌹
@EsterMkumbo-b7d48 минут бұрын
Umewahi brow tunaomba inayofuata uiwaishe piaaa😊
@KijaNgoniКүн бұрын
Bro Kelvin siku hii nilisubir kwa hamu sana as if ni mm yaan congratulations kwa movie nzur ❤❤❤❤❤❤