PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 56 | Love Story

  Рет қаралды 521,748

DONTA TV

DONTA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 1 900
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 13 күн бұрын
Kumbe nimechelewa jameni😭😭😭😭,munipatie likes tano basi,Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
@MwanalimaMwalimu-c4m
@MwanalimaMwalimu-c4m 13 күн бұрын
Tina ulijifanya wajua acha kikunyoe pole pole tu utajua hujui, Mapenzi uliwachia Loveness na Kelvin 🎉🎉❤❤
@JacklinebosiboriMomanyi
@JacklinebosiboriMomanyi 13 күн бұрын
Kevin naomba wakati mtachukuwa kila kitu kutoka kwa familia ya kina tina muache tuone wakiteseka kidogo ndio kipindi kiishe..sio eti watanyanganywa kila kitu alafu kipindi iishe haitakuwa poa😢kama kuna mwenye anakubaliana na mimi nipitieni basi😢🎉❤😂😂😂😂
@liliancherop5227
@liliancherop5227 13 күн бұрын
Ukweli tunataka kuona tina akiteseka sana
@EdisonLucas-uh1uh
@EdisonLucas-uh1uh 13 күн бұрын
Ukwel kbx lzm na wao watesek kweny jua la umaskini
@فاطمه-ج6ن7س
@فاطمه-ج6ن7س 13 күн бұрын
Yani nataka waumbuke hasa huyo mama Tina na kiherehere chake
@StevenMsimbe-y9z
@StevenMsimbe-y9z 13 күн бұрын
Kabisas
@Yaswaki
@Yaswaki 13 күн бұрын
Kwanza mamake tina
@VeronicahOtwori
@VeronicahOtwori 13 күн бұрын
Wangapi wanakuli Latifah tujuane apa🎉🎉Kelvin usimalize movie tunataka tuone tina wakiteseka ndio hiishe jameni 😢😢😢😢nawapenda sana 🎉❤
@AnnaJustine-n5f
@AnnaJustine-n5f 13 күн бұрын
Tangu nihanze kufatilia mtoto waboss sijawahi kupewa like ata moja leo iyi naitaji atambili tu nikiwa RD Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@OmanIbra-p4k
@OmanIbra-p4k 13 күн бұрын
❤❤Safi sana lati mtoe jeuri tina
@Hajikhamisjuma
@Hajikhamisjuma 13 күн бұрын
Sw uko vizur
@mapyamsenga1746
@mapyamsenga1746 13 күн бұрын
Tu exagère mon frère 😂
@MaawisaidSaid
@MaawisaidSaid 12 күн бұрын
Ww Kelvin wacheni kutaja taja 🇸🇴 somalia muheshemu nchi Yetu pia sisi tuwaheshimu usituone sisi hatungalie video zko sisis pia n mafans
@افااقع
@افااقع 13 күн бұрын
Lati kwakweli unajua kucheza eeeh umenifurahisha sana leo kidogo tu dance na yeye akule makofi❤❤❤❤❤
@Joshuazz-hx8ep
@Joshuazz-hx8ep 13 күн бұрын
Wagapi wamefurahia aka kavita ka lanti na tina...❤kaendeleee kwa sana
@LydiaStephano
@LydiaStephano 13 күн бұрын
Mm hapa😂😂
@SifaelMsunyunho
@SifaelMsunyunho 13 күн бұрын
Mm natamani Tina anyongwe na rati
@MamakeViginiah
@MamakeViginiah 13 күн бұрын
✋✋😂😂😂
@mishiabdul2834
@mishiabdul2834 13 күн бұрын
Mm hapa 😂😂 makofi kama yonte
@MaryMmole-en9qz
@MaryMmole-en9qz 13 күн бұрын
Yani lati angemdunda vya kutosha2 tina
@BintiM-di1wm
@BintiM-di1wm 13 күн бұрын
Yote kumi nmefurahi tuu Tina alivyopigwa😂😂😂 Latifa hongera chukua maua yko💐💐💐💐😂
@babynaash
@babynaash 13 күн бұрын
Hali yangu majalala sina pakula pa kulala Ooooooh baba mulika jicho unioneeee Nami uniponyee❤❤❤ Donta tv burudani kwa wote❤❤❤❤
@kladahmad3333
@kladahmad3333 13 күн бұрын
Mungu njo shefu ❤❤❤
@SifaelMsunyunho
@SifaelMsunyunho 13 күн бұрын
Umesahau Kila siku misala
@IRENEKOMANYA
@IRENEKOMANYA 13 күн бұрын
❤❤
@ErickMsafi-007
@ErickMsafi-007 13 күн бұрын
Umesahau kila siku ni misala alaf ndo unafata ooooh baba
@RukiaHemedy
@RukiaHemedy 13 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@jacquelinemuthina
@jacquelinemuthina 13 күн бұрын
Kama umefurahi Tina kapigwa n Lati weka like 😂😂😂😂
@Abdallahsadick-m2r
@Abdallahsadick-m2r 12 күн бұрын
❤❤❤❤😂😂
@UstadhiRai
@UstadhiRai 12 күн бұрын
😂
@BarikielyThomas
@BarikielyThomas 12 күн бұрын
😊😊😊😊😊😊 nimefurah mno
@MussaKamando-np3wi
@MussaKamando-np3wi 11 күн бұрын
Kamdomo😂😂😂😂
@Geenyo2025
@Geenyo2025 11 күн бұрын
I was so happy. She deserves it ❤❤
@NaomiZabron
@NaomiZabron 13 күн бұрын
Mimi wa kumi na mbili kutoka kinondoni nawapenda sana Laty,candy,love,jarufu
@MwajabuAbdallah-q2v
@MwajabuAbdallah-q2v 13 күн бұрын
Wangapi tumefurahia Tina kupigwa kama mim nlivyo furahi😂😂
@KiboxMedia
@KiboxMedia 13 күн бұрын
Waliogundua kuwa Mama Candy Anataka wajukuu Mapacha kutoka kwa Loveness, Tena Wakike wakuje Kuosha Vyombo Kwa Bibi Njoo ulike Tuomoke 😂🤸
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂 ap saf san mung awabarik hhhhhh
@NduwayezuFiacre-h4n
@NduwayezuFiacre-h4n 13 күн бұрын
Umejuaje ww 🤭🤭🤭🤪🤪🤪🤪
@Phoebenafula
@Phoebenafula 13 күн бұрын
🤚🤚Niko hapa 🇰🇪🇰🇪❤️❤️🤸🤸
@TatuMkeso
@TatuMkeso 13 күн бұрын
Mama kevi anamuelewà loves
@فاطمهكينيا-ذ8ش
@فاطمهكينيا-ذ8ش 13 күн бұрын
Kazi njema kaka kelvin na lovenes
@leahchizi
@leahchizi 13 күн бұрын
Safi Sana Lati... Nakupnda mno
@WardaPorojo-x9r
@WardaPorojo-x9r 13 күн бұрын
Mimi sijui ni wangap ila nimemiss like zenu jaman nawapenda sana🥰
@JullethCosmas
@JullethCosmas 12 күн бұрын
😂😂😂😂🙌🙌🙌lati na tina mtaharibiwa sura 😅😅😅ila lati hongera ungemtoa jino 😅
@Divinah-kem
@Divinah-kem 13 күн бұрын
C muamue mnitipie nyinyi nyote pia niwapitie nawapenda sana mafans wa Donta tv❤❤❤❤
@Harvestfaustin28
@Harvestfaustin28 13 күн бұрын
Jamani jamani, nimetokea kumupenda LATI the way anavyo zungumuza💚 nime penda sana. Pongezi kwake kabisa
@BeatriceSteven-g5h
@BeatriceSteven-g5h 13 күн бұрын
Wa kwaza naomben like ata moja 🎉🎉🎉 asante wana donta tv kwa kutuwahishia kaz nzur🎉🎉🎉🎉
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g 13 күн бұрын
Waah kazi nzuri hongereni sana basi jaribuni kueka kipande kirefu kidogo jamani maana ukiongeza na marudio kipande kinakuwa kidogo sana❤❤❤
@SevidaEmmanuel
@SevidaEmmanuel 13 күн бұрын
Lailati nakupenda Hadi naumwa,,, yaaaan hupendi dharau, pia unavumlia best,
@MalkaNinik
@MalkaNinik 13 күн бұрын
Niko pamoja nawe nampenda sana
@sadahajihaji797
@sadahajihaji797 13 күн бұрын
Kanifurahisha kweli kumpiga tina
@MariamRwandobi
@MariamRwandobi 12 күн бұрын
Sio lailati bwana ni Ratifa.ko ndo Rati.
@Chimray9057
@Chimray9057 12 күн бұрын
Me kanifurahisha sana ratifa kunipigia tina
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 12 күн бұрын
​@@MariamRwandobiNa siyo Ratifa ni Latifa
@Halimah-ho5us
@Halimah-ho5us 12 күн бұрын
Kazi nzuri team Donta 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤Dinah hiyo kijambo nikidogo inafaa ujambwe hadi ushitwe kutembea 😂😂😂team strong twende nalo🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NajaribuZamaradi
@NajaribuZamaradi 13 күн бұрын
😂😂😂 hiii vita ya rati na Tinah nafurahi sana 😂😂
@AsiaHamza-l9f
@AsiaHamza-l9f 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kumbe wew ni kama mimi dear
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 13 күн бұрын
😂😂mimi sasa we acha tu
@MinaahOmary-wd8ls
@MinaahOmary-wd8ls 13 күн бұрын
😂😂hata mm Tina gamba kapewa
@VictoriaKitaly-b2y
@VictoriaKitaly-b2y 12 күн бұрын
Ivi ni serious 🤔🤣😂 duuuh!! Vita ya kweli 😂😅😂
@VeenVv
@VeenVv 12 күн бұрын
Pia mm nilitaka iendelee kidogo
@RafikiShaffiq
@RafikiShaffiq 12 күн бұрын
Jamani hii mouvie mbone nzuli sana Nami nakaa ichini Koweït lakini niipenda sana Ongela sana Katy nakupenda sanaaaaaa❤❤❤❤
@ChristineMaloba-hk9je
@ChristineMaloba-hk9je 12 күн бұрын
Anaitwa Lati jaman waaas😅🤣🤣
@DEJONG_LEEH
@DEJONG_LEEH 13 күн бұрын
Duuuuuuh iseeeeh kelvin unaupiga mwing mwamba ckuiz wala uchelew sana safi kk utafka mbali ongera sanaaaaaah mashabiki wote tugonge like hapa kwa hilo❤❤🎉
@MwanaishaMpakilia
@MwanaishaMpakilia 13 күн бұрын
@@DEJONG_LEEH kelvin na lovnes ni hata kubwa mnaweza kwa kweri.
@ElinaPoul-c5e
@ElinaPoul-c5e 11 күн бұрын
Kazi kwako ww na mwenzio ambay hatumjuw kaka maake kp yupo na zebuu, kelvin yupo na loveness, je, clam yupo na nan
@DEJONG_LEEH
@DEJONG_LEEH 9 күн бұрын
@ElinaPoul-c5e kwakwel clam yupo na kim bhana
@ElinaPoul-c5e
@ElinaPoul-c5e 5 күн бұрын
@DEJONG_LEEH ooooh wow nmefrah kujibiwa na ww aaf pia couple yenu ckuwa najw but now nmejw, thanks so much am ur team boss
@HanifaShaban-b5p
@HanifaShaban-b5p 12 күн бұрын
Penda chana Rati jomonii ni mdada yupo comfortable sana love you sana Rati
@Enockgoyandi
@Enockgoyandi 13 күн бұрын
Kila anae soma comment na kuangalia tamthilia hii mungu ampe haja ya moyo wake amen 🙏🙏🙏
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 13 күн бұрын
Mm wakwanza napokea 🤲🤲🤲
@NaomiSanga-p5y
@NaomiSanga-p5y 13 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@Faith-p4c
@Faith-p4c 13 күн бұрын
𝗔𝗺𝗲𝗻🙏🙏
@SophiaPaulo-w4i
@SophiaPaulo-w4i 13 күн бұрын
Aminaa mungu nipe haja ya moyo wangu
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 13 күн бұрын
Ameeen
@Asma-film
@Asma-film 13 күн бұрын
Nawapenda sana naitwa Manyanya Niko katika Tamthilia ya Dunia nawapenda sana naomba mnifollow wapendwa 🙏
@NeemaDaud-fl3xe
@NeemaDaud-fl3xe 13 күн бұрын
Oooh manyanyaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongera sana umetisha hukooooooo
@gracekayumba-z9l
@gracekayumba-z9l 13 күн бұрын
Kuna mtu alituka kule kwa kp kuwa we nae wenzako awaj kweny pej yako we kutw kuzurura hyo siyo manyanya
@JenniferMkamba
@JenniferMkamba 13 күн бұрын
Piga kelele Kwa Manyanya Ake weweeeee!!
@meleezekia
@meleezekia 13 күн бұрын
Nafatilia "Dunia" Iko vizuri sana
@mwakaribukhamisi7036
@mwakaribukhamisi7036 13 күн бұрын
Bro manyanya umenitransform kiukwel saa hii naitwa mtaalamu bro.. ujue napenda dunia bro
@MwandaGilbert
@MwandaGilbert 13 күн бұрын
Nawakubali san Donta tv niko nanyi kwakila mda 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💯💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️
@Richy667
@Richy667 13 күн бұрын
Leo wa mwisho kutoka kenya 😅naomba likes zangu basi
@JosephmuimiMuthui
@JosephmuimiMuthui 12 күн бұрын
Pia mimi
@AlafatOmaryNdabigaile
@AlafatOmaryNdabigaile 11 күн бұрын
Like za nn na ushakua wamwisho😂
@Richy667
@Richy667 8 күн бұрын
Haja😅😅😅kwani wa mwisho hafai kupewa likes jamani​@@AlafatOmaryNdabigaile
@OfficialMaxKing
@OfficialMaxKing 13 күн бұрын
Huu mwaka tangu umeanza hakuna hata like kwangu ,,😢😢nipen bas hata moja
@HadijaVinyu
@HadijaVinyu 13 күн бұрын
hiyo jmn usilie😂😂😂
@JastiniKabogo
@JastiniKabogo 13 күн бұрын
Vip uko pouh​@@HadijaVinyu
@KhadijaAmiri-n1p
@KhadijaAmiri-n1p 12 күн бұрын
Lati kalakibondo nime fulayi Sana ongela mnajua kuigiza Sana ❤❤❤❤❤
@BintmohamedNasiri
@BintmohamedNasiri 13 күн бұрын
Wanaomkubali latifa like hapa tukisonga🎉🎉🎉🎉
@MadjidiIteriteka
@MadjidiIteriteka 13 күн бұрын
🎉
@NusraLarose
@NusraLarose 12 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@ValerianaMbunda
@ValerianaMbunda 9 күн бұрын
Nipo hapa
@ManjewaJosphat
@ManjewaJosphat 13 күн бұрын
Mim nilipenda part za kwanza kwanza na kina amina ❤ bt za sai zaboesha akii badilisheni tunataka zakufurahia
@Wamwakera254
@Wamwakera254 13 күн бұрын
At list leo nimejaribu leo nampa 🎉🎉🎉🎉 yke lati anacheza kijasiri sna wanawake wengine hawawezi 🎉🎉🎉 tumpe maua yke ❤❤❤❤🇰🇪🇸🇦
@AmandaKisinde-ut3qr
@AmandaKisinde-ut3qr 12 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@marthamwita-n2d
@marthamwita-n2d 13 күн бұрын
Dah hii movie naipenda sana ❤❤
@IsharaJeremieofficial
@IsharaJeremieofficial 13 күн бұрын
Naomba liké zangu kama UNAITAJI kelvin arudishwe mali zake❤
@LeyvanaPeter
@LeyvanaPeter 10 күн бұрын
Wawooooo! Leo Rati umenigusa kumoyo kwa kumpiga Tinnah umenifanya nipende zaidi hii movie maua yako please 🌹🌹🌹🌹
@LazaroZabron
@LazaroZabron 13 күн бұрын
Mm naamin kuna CK, misemo WA kwamba " Leo wa kwanza " utaisha tyu.....🎉
@inexcutee1844
@inexcutee1844 13 күн бұрын
Akii leo kila kitu kimeingia mikono ni mwetu👏👏👏👏👏👏
@FrancisYohana-ij1th
@FrancisYohana-ij1th 13 күн бұрын
Wakwanza leo naombeni like zangu 🎉🎉🎉
@SharifaHally
@SharifaHally 11 күн бұрын
Ii move itaacha nifukuzwe kazi
@BrendaNtinyari-z2s
@BrendaNtinyari-z2s 13 күн бұрын
Very good lati😅😅😅😅 nicely Tina kayatimba😅😅😅
@FatumaMwarika-u6z
@FatumaMwarika-u6z 13 күн бұрын
...kila nnalo fnya kw ubaya binadamu eeh nafc yng ina haya Nafahamuuu wanatak nitesekee ninyanyasikee kesho wanizikee🎉
@Sniper-pMc
@Sniper-pMc 12 күн бұрын
Tangia hii movie ianze Tina anatumika vibaya sana😢😢mpaka namuhurumia
@keruboElizabeth-c4t
@keruboElizabeth-c4t 13 күн бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇱🇧❤️❤️❤️
@TerezaTereza-dh4lx
@TerezaTereza-dh4lx 13 күн бұрын
Uko Lebanon upande gn jmn
@SalamaTaura
@SalamaTaura 13 күн бұрын
🎉
@zitafuraha2807
@zitafuraha2807 12 күн бұрын
Naona mapenzi ya Bonny na Kendy yame nona kabisa. Kama unafurahiya mapenzi yao wawili, basi pita nami apa❤❤❤
@Akiteretse
@Akiteretse 13 күн бұрын
Movie nzuli ❤ lovenes munzuli kinoma 😘 likes m wapendwa from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@nadzuwazidi
@nadzuwazidi 13 күн бұрын
Tangu nianza kuangalia hii muvu sijawahi comment ila leo nimefurahi kuona lati akitifua tina 😂😂😂😂 da lati chukua mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@CollinsKamone
@CollinsKamone 13 күн бұрын
Kazi mazur Kelvin,,,,,unaendeleaje lakini kidonda brother🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@halimashaban811
@halimashaban811 11 күн бұрын
Lati anajua 😊 adi anajua tena mashaallah 🥰 Naombeni like ata moja tu Kama mnamkubali lati
@Thakur9187
@Thakur9187 13 күн бұрын
Nimekua wa kwanza from 🇧🇮 🇧🇮🇧🇮 naomba ata like 10
@AyeshaHerson
@AyeshaHerson 13 күн бұрын
Vipenzi naombeni like tangu nianze kuwatch hii movie hamni likes 😢😢
@AroneSekenke
@AroneSekenke 13 күн бұрын
Nipoo wakwanza nipeni like zangu jamani❤❤❤❤🎉🎉
@antiagilbert5735
@antiagilbert5735 13 күн бұрын
Yani napenda mchezo wa Denis kwa hao mababies wake😂,Safi Sana,wananifanya niendelee kuangalia move hii
@ChristineMaloba-hk9je
@ChristineMaloba-hk9je 12 күн бұрын
😅🤣🤣🤣Dennis ako na kazi sana
@AdhiamboQueen
@AdhiamboQueen 13 күн бұрын
Tangu nianze kuwatch hiki kipindi sijewai pata likes kama wengine😢😢😢😢
@joobmohammed2116
@joobmohammed2116 13 күн бұрын
Ndio hiyo dada😂😂😂
@SalamaTaura
@SalamaTaura 13 күн бұрын
😅
@HadijaVinyu
@HadijaVinyu 13 күн бұрын
Ndio ulie jmn😢😂😂😂😂
@MhojaFaustine
@MhojaFaustine 13 күн бұрын
Sasa like unapeleka wapi jaman😂😂😂
@lilianawah1946
@lilianawah1946 13 күн бұрын
Hizo hapo kula ushibe
@Rebeca-o3t
@Rebeca-o3t 12 күн бұрын
Ujumbee kwa seriali hp ukosefu wa ajira unachangia uharifu mtaan.kam unakubalian na mim like hapaa
@TeddyAugustino-g7r
@TeddyAugustino-g7r 13 күн бұрын
Kutoka Mozambique jamni naombeni like na mm nawapenda mnaojifunza kupitia hii move❤❤❤
@albertinajanuario-r2e
@albertinajanuario-r2e 13 күн бұрын
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤❤
@RoseLuchivya
@RoseLuchivya 13 күн бұрын
Nawapenda sana ❤lkn dakika nkitoko ata muweke ata 40 minutes ❤❤
@JamalMohammed-j8s
@JamalMohammed-j8s 13 күн бұрын
Jamani leo nimekua wakwanza naombeni laiki zangu 😍😘😍
@TonyCristy-j6e
@TonyCristy-j6e 12 күн бұрын
leo mimi wakwanza kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naombeni like 👍🔥❤️💐🌹🌹🍎🥀
@OliverPaul-y3e
@OliverPaul-y3e 13 күн бұрын
Nimekuwa wapili leo naombeni like 2 tu moja kwaajili ya loveness na moja kwa ajili ya kelvin❤❤❤🎉🎉
@yustokisaka
@yustokisaka 3 күн бұрын
Hii series ni nzuri sana, hakika inatufundisha mambo mengi kwenye maisha
@MarthaLenard
@MarthaLenard 13 күн бұрын
Wakwanza naomba like zangu
@melvinkutima
@melvinkutima 13 күн бұрын
Naomba like hata mmoja
@priscakisyeli7250
@priscakisyeli7250 13 күн бұрын
Nipen like zangu mm❤
@RichardMakumbo
@RichardMakumbo 10 күн бұрын
Donta TV napenda kile mnacho kifanya natamani niwaandalie story ya tasinia yetu ya bongo movie yenye mauzui Bora na yenye maadilii Asantee
@OmanOman-ru4eu
@OmanOman-ru4eu 13 күн бұрын
😂😂😂😂wangapi tumefurahi tina alivyobondwa
@KambuaKambua-el2ph
@KambuaKambua-el2ph 13 күн бұрын
😂😂😂😂Mim apa
@RahelMhezi-f9o
@RahelMhezi-f9o 13 күн бұрын
Denisi ameharibu angeacha Tina abondwe vzr😂😂😂
@AnnaMushi-e4r
@AnnaMushi-e4r 13 күн бұрын
Yani apigwe hadi arudi kwao 😂
@NeemaKibiki-k4n
@NeemaKibiki-k4n 13 күн бұрын
Yani nnefurahi baraaa
@GgJj-f9j
@GgJj-f9j 13 күн бұрын
Jamani Nawapenda Sana ❤❤❤❤❤ Asanteni Sana
@aristotekambale9815
@aristotekambale9815 13 күн бұрын
Wa kwanza kutoka Congo munipe like zangu please
@RehemMosh-io9bt
@RehemMosh-io9bt 11 күн бұрын
Yako
@SifaBaranyizigiye-o4h
@SifaBaranyizigiye-o4h 13 күн бұрын
Ebu muone laty alivyo mzuri mnene nyashi kidog kama iyo afu nampenda Na alivyomdunda tyna ss njo kanikosha nilitaman ampig kisawasawa
@Frola-r9z
@Frola-r9z 12 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@RenaldaKirway
@RenaldaKirway 13 күн бұрын
Waliofurahi Tina kupigwa na laty like apa
@PriscaFesto-s5l
@PriscaFesto-s5l 13 күн бұрын
Mie wa kwanza mana tina simpend
@MaryLunalo
@MaryLunalo 13 күн бұрын
Tuko hapa hoyee lati
@AminaNgumba
@AminaNgumba 13 күн бұрын
​@@PriscaFesto-s5lyaan tina nd mamb yake hajawah kuwa mstaarab
@PhostineWaswa
@PhostineWaswa 13 күн бұрын
😂😂😂 Tina analazimisha hakuna
@MercylineOuma-o4f
@MercylineOuma-o4f 13 күн бұрын
Angeng'olewa hayo macho yenye anayapepe kama mpunga
@magnusmethord
@magnusmethord 12 күн бұрын
Big up Rati kwa kumkung'uta Tina nimependa sana kaza Buti kasikudharau
@Phoebenafula
@Phoebenafula 13 күн бұрын
Wa tatu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 like tatu nitashukuru 🙏
@VelmaStra-g5o
@VelmaStra-g5o 13 күн бұрын
Mimi hapa wa Kenya
@Phoebenafula
@Phoebenafula 13 күн бұрын
@VelmaStra-g5o 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@MwanalimaMwalimu-c4m
@MwanalimaMwalimu-c4m 13 күн бұрын
Niko hapa from Kenya pia Mimi
@Phoebenafula
@Phoebenafula 13 күн бұрын
@@MwanalimaMwalimu-c4m 🙏🙏🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@JaneBinyanya
@JaneBinyanya 11 күн бұрын
Kimelowa kitambaa kuyafuta machozi labda nipate uponyaji❤️🙏🙏 mzidi kubarikiwa Kendi jipe moyo much love from Kenya 🥰🥰
@LucyPhilemon-vu4lu
@LucyPhilemon-vu4lu 13 күн бұрын
Nilichogundua kevi unapendwa sana b❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@neykidoti102
@neykidoti102 10 күн бұрын
😂😂😂kwa hali hii Tina atapigwa kila siku, nmependa majibu ya Dennis 🎉🎉🎉
@faudhiashaban789
@faudhiashaban789 13 күн бұрын
Nimewahii jamaaan nipewee mauwaa yanguu kwa likeee🎉🎉🎉😊 nawapendaaa from mombasaaa
@faudhiahassan7907
@faudhiahassan7907 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 yako hayo wa jina wangu
@SalamaTaura
@SalamaTaura 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ElinaPoul-c5e
@ElinaPoul-c5e 11 күн бұрын
Nimependa sana laty alivombonda huyu kiherehere tina😂😂😂
@OmarNzohabonayo
@OmarNzohabonayo 13 күн бұрын
Dakika tano tuuuu sijacelewa sanà 🇴🇲🇴🇲🇧🇮
@NAOMIMSNAOMI-s3m
@NAOMIMSNAOMI-s3m 12 күн бұрын
Namupenda sana LATY jamani kaigiza vizuri sana❤ upewe mauwa yako dada❤❤❤❤❤
@SalibokoFeruzi
@SalibokoFeruzi 13 күн бұрын
Niko wa kumi Leo 😂😂😂😂😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ChamceBigirimana
@ChamceBigirimana 13 күн бұрын
Good movie Mr Kevin khan ❤❤tunakubali sana na team Yako yote❤❤❤❤🎉🎉
@LeylaSaria
@LeylaSaria 13 күн бұрын
Ila wanaume mnanitisha sas huyo tina anavyobembelezwa hivy na hapendwi jamn 😂😂😂mmmh nakuw na mashak jamn😅
@DeboraLufingo
@DeboraLufingo 13 күн бұрын
Yaaan
@mndakiRukia
@mndakiRukia 13 күн бұрын
akii na me naogopa 😂
@PhilimoniMaicko-h7b
@PhilimoniMaicko-h7b 13 күн бұрын
Yaan kwel moyo wa mtu ni mstu Mungu atusaidie
@FurahaHamiss-v8o
@FurahaHamiss-v8o 12 күн бұрын
Naogopa Duuh wanaume
@venerandakisaki94
@venerandakisaki94 12 күн бұрын
Mm naogopa zaidi jamn mweeeee 😢😢😢
@IrishuraJoella
@IrishuraJoella 13 күн бұрын
❤❤❤❤❤Wow Kevin uko fast 😅😅
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin 13 күн бұрын
Move nzuri dada jambazi nakupenda vituko vyako wee na tina
@AsendeEcina
@AsendeEcina 13 күн бұрын
Jamani wakwaza mimi naomba like zangu
@ZayNiyonzima
@ZayNiyonzima 12 күн бұрын
🎉🎉🎉kazi nzur mnajitaid mnoo Sasa mda wa familia ya gamba kuteseka 🤸🤸
@FarajiJackson
@FarajiJackson 13 күн бұрын
Saf sana kijana wetu KAZI nzur sana
@KahindiNyevu
@KahindiNyevu 12 күн бұрын
Napenda ugomvi wa Tina n lati...halfu kelvin nkuombea utapone kwa haraka tufunge ndoa n loveness nawapenda sana donta 🎉❤
@AllisonSanita-ub2jf
@AllisonSanita-ub2jf 13 күн бұрын
Waooo Latifah nakupa mau🎉🎉 amesikilizia Kofi kama lile kampa lavo❤
@asmaasmi9019
@asmaasmi9019 12 күн бұрын
MashAllah movie hii inamafunzo ya ulimwengu 🎉❤
@MussaMussos
@MussaMussos 13 күн бұрын
Jamani wapendwa hii movie Ina kitu Ina lesson Ina onyesha ukweli ambao sometimes ni kweli🎉🎉🎉❤❤
@MussaMussos
@MussaMussos 12 күн бұрын
SAWA kaka upon right
@DanndannosdanielDannos
@DanndannosdanielDannos 13 күн бұрын
Walaiii leo niko wakwanza kutoka Congo 🇨🇩 naomba like zenu jamani
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 12 күн бұрын
Maradhi ya candy naona mnayasahau na mamake hajajua😂😂😂af Tina she is Avery good actress ❤❤
@Joshuazz-hx8ep
@Joshuazz-hx8ep 13 күн бұрын
From kenya 🇰🇪mombasa....kama unapenda kazii ya donta TV drope like ❤
@denizamwanisawa6230
@denizamwanisawa6230 13 күн бұрын
Sasa hvi mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 baada ya cku Moja mnatuletea episode nyingine.
@JoyceYohana-on2gp
@JoyceYohana-on2gp 13 күн бұрын
Wakwanza leooooo❤
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 12 күн бұрын
Nipewe likes za Lati amefanya kazi zuri sana 😂😂😂😂 Lati ww do dawa ya Tina ❤❤ ❤ Kenya
@CafelinLawrence
@CafelinLawrence 13 күн бұрын
Gonga like kama unangalia saiv❤❤
@HalimaAdam-r5e
@HalimaAdam-r5e 13 күн бұрын
Nakupenda sana lati mimi shabiki wakoo ❤❤❤❤🎉🎉🎉huyo chura asikusumbuweee
PETE YA AJABU 💕  Part 01 ( Magic Ring ) FullMovie | Sad Story
30:11
REASON OF LOVE《01》
17:18
EBITOKE COMEDY
Рет қаралды 127 М.
ALIYEKUWA MKE WA MADEBE LIDAI AFUNGUKA ANAYOPITIA HIVI SASA
4:09
Wasafi Media
Рет қаралды 43 М.
BINTI MASKINI 💞 DADA MUUZA MATUNDA  PART 30 | Love Story
20:21
Twizy Dady Tv
Рет қаралды 51 М.
Citizen Nipashe, 22 January 2025
25:45
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 78 М.
Азбука Уральских Пельменей - Ъ - Уральские Пельмени
1:13:00
Уральские Пельмени
Рет қаралды 813 М.
ПАТРУЛЬ 1 сезон 15 серия \Мейржан Туребаев\Рустем Омаров\қызықты вайндар \қазақша вайн #shorts
20:23
Месть от кутюр (2015) | Ты ведьма!
1:00
Vinogradenko
Рет қаралды 1,3 МЛН
ОВР Шоу: Добрый мэр
12:13
ОВР Шоу
Рет қаралды 1,8 МЛН
Қай тараптың қатысушысы жобадан кетеді?😳 Бір Болайық! 08.10.22
10:19
Бір болайық / Бир Болайык / Bir Bolayiq
Рет қаралды 60 М.