PENZI LA MUME WA BOSS EP 03 | SO1 || Love Story 💞💕

  Рет қаралды 15,051

Kiwango Media Films

Kiwango Media Films

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 Ай бұрын
HABARI ZENU.. TUNAWAPENDA SANA WADAU WETU POPOTE MLIPO MNAOTUFATILIA NA KUTUSAPOTI KWA KUTAZAMA KAZI HII | PENZI LA MUME WA BOSS | TUNAPENDA MUWE KARIBU NASI KWA KUJIUNGA KWENYE GROUP LETU LA KIWANGO MEDIA FANS ILI UWE WA KWANZA KUPATA LINK YA TAMTHILIA HII 🔥🔥 PENZI LA MUME WA BOSS ILI KUJIUNGA KWENYE GROUP LETU BONYEZA HII LINK KUINGIA MOJA KWA MOJA 🙏👇👇👇 chat.whatsapp.com/FfU967rNG5bKTROlYLRzsG
@DAVIDPHABIAN-w3j
@DAVIDPHABIAN-w3j Ай бұрын
ok
@MalkaNinik
@MalkaNinik Ай бұрын
Jmn hili nifunzo kubwa kwa cc wanawake tuweni mankini sana kuchunguza waume zetu kama wewe mwenyewe uwezi kumtenga muache mwisho wake ukifika jibu litajitokeza eidha wewe uchoke uyavuwe ama yeye achoke atulie mda utasema
@HadirialssaShund
@HadirialssaShund Ай бұрын
Daniel mdimu au mndimu huna baya kaka 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JescaMarykarisa
@JescaMarykarisa Ай бұрын
Hii move iko sawa sana 🎉🎉❤
@Agyy628
@Agyy628 23 күн бұрын
Triss nae yupo serious sana 😂😂😂😂
@موكاء-ظ9ج
@موكاء-ظ9ج Ай бұрын
Nawapenda buree ❤❤❤❤🎉🎉
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 Ай бұрын
💛🙏🙏
@fammamaboko6543
@fammamaboko6543 Ай бұрын
Eeeeh Mike wanawakr wanaondoka na janaba bila kuoga 😂😂😂😂😂😂 Dah
@Deer-g4t
@Deer-g4t Ай бұрын
Huyo mwanaume amekosa kufukusa Bibi yake mbele ya dem wake 😢😢
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Ай бұрын
Warda ww eti aende nyumbani kwako heeee hii ni balaa 😂😂😂
@AminaAlo-fq8vt
@AminaAlo-fq8vt Ай бұрын
Ongezeni dakika kazi nzuri sana
@QweenNickson
@QweenNickson Ай бұрын
Wanaoukubali Daniel Mdimu like hapa please 🥰
@raymondsylvester9146
@raymondsylvester9146 Ай бұрын
😀🤝🤝🤝
@bennamush4616
@bennamush4616 Ай бұрын
Yupo vizur
@QweenNickson
@QweenNickson Ай бұрын
@bennamush4616 umeona eeehh.
@SamouOman
@SamouOman Ай бұрын
Kali sanaaaa
@asmajuma1032
@asmajuma1032 Ай бұрын
Warda ilo game unalocheza siwezi ❤❤
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Ай бұрын
😂😂😂😂
@SaumuNzadze-f2t
@SaumuNzadze-f2t 29 күн бұрын
Nakwambia mm namheshim sana huyu warlda kiboko mwisho wa mawazo hiyo part yake ngumu sana
@janemadinda5009
@janemadinda5009 Ай бұрын
Beka pamoja sana kaka kaza
@HappyJohn-n7y
@HappyJohn-n7y 24 күн бұрын
Mbona kukomesha
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
Nice
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 Ай бұрын
🔥🔥
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x Ай бұрын
Wapi likes za warda🎉🎉🎉🎉
@DoktaGidawida
@DoktaGidawida Ай бұрын
Wa kwanza mimi jamn
@janemadinda5009
@janemadinda5009 Ай бұрын
Duuuh beka mbona anaroho mbaya uyu kaka
@Malselinamgaya
@Malselinamgaya Ай бұрын
Warda we noma
@RuuHassan-ik4ws
@RuuHassan-ik4ws Ай бұрын
We walrda weyee mume wa mtu sumu
@SimoniFeresian
@SimoniFeresian Ай бұрын
Atampa maziwa jaman simu inakata
@McT-m1m
@McT-m1m Ай бұрын
Warda mzuri jamani
@ZainaFerreira-u9p
@ZainaFerreira-u9p Ай бұрын
Jaman Léo mm wa pili naoba 🎉🎉🎉🎉🎉
@SarahByabula-k5d
@SarahByabula-k5d 10 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@SharifaA-y4t
@SharifaA-y4t Ай бұрын
Warda usikubali
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it Ай бұрын
NaviIe napenda wanaume wa watu nimeshakuwa naogopaga sasa hii movie hinamafunzo mengi😂😂😂😂😂
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Ай бұрын
2tapigwa😂😂😂😂😂
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 Ай бұрын
😅😅 Hasa itakuwaje?..
@bennamush4616
@bennamush4616 Ай бұрын
Tatizo wanaume wenyewe Ving,ang,anizi wakiachwa wabaki na wake zao hawataki si tufanyaje mwaya 😂
@AngelAlex-e8g
@AngelAlex-e8g Ай бұрын
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 Ай бұрын
Hiyo inaitwa mtoto kautaka chunguza chunguza mwisho unaliwa😂😂😂😂😂 pole utulie nyumbani sasa
@BeatrisiaMtey
@BeatrisiaMtey Ай бұрын
Situlii 😂
@FaudhiaWadongo
@FaudhiaWadongo Ай бұрын
Madam Umeyataka Mume Umemgawa Mwenyewe si ulitaka warda ajitongozeshe😂😂
@BeatrisiaMtey
@BeatrisiaMtey Ай бұрын
😭😭
@paulinafanuel3396
@paulinafanuel3396 Ай бұрын
Mimi naona hamna haja ya kumchunguza mmeo
@BijouxBulose
@BijouxBulose Ай бұрын
❤❤❤❤
@oswardandrew416
@oswardandrew416 Ай бұрын
Wakwnz kutoka kagera like plz
@raymondsylvester9146
@raymondsylvester9146 Ай бұрын
Asante sana ndugu 🤝
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 04  | SO1 || Love Story 💞💕
18:22
Kiwango Media Films
Рет қаралды 14 М.
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 19  | SO1 || Love Story 💞💕
16:13
Kiwango Media Films
Рет қаралды 6 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Ila Peace anamuendesha Cecy, kisa Victor | Mzani wa Mapenzi EP 59
2:59
Guess Who Came To Visit Us After A Long Time??!!❤️
26:13
FELICITY SHIRU
Рет қаралды 6 М.
NURU YANGU [ 4 ] 💔 LOVE STORY || SAD STORY
15:24
MADINA TV
Рет қаралды 1,9 М.
MY LOVE  EP 1- 10
3:49:50
BHAILAM
Рет қаралды 239 М.
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 18  | SO1 || Love Story 💞💕
15:32
Kiwango Media Films
Рет қаралды 8 М.
JENIFFER ALINIKATAA NIWE MPENZI WAKE - PATRICK KANUMBA
3:13
Wasafi Media
Рет қаралды 247 М.
PENZI LA MTUHUMIWA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
50:21
Simulizi Mix
Рет қаралды 324 М.
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 01 | SO1 || Love Story 💞💕
16:44
Kiwango Media Films
Рет қаралды 32 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН