PENZI LA MUME WA BOSS EP 06 | SO1 || Love Story 💞💕

  Рет қаралды 15,142

Kiwango Media Films

Kiwango Media Films

Күн бұрын

Пікірлер: 83
@HusseinTupa-k5c
@HusseinTupa-k5c Ай бұрын
Pole sana warida usikae kumtegemea mume wa mtu kuja kuwa mumeo man siku anapokuja kuludisha penz kwa mkew bac ww dhaman utakua huna
@sharifasherry2553
@sharifasherry2553 Ай бұрын
Mchepuko atabaki kua mchepuko t hawezi kua mke na hawezi shusha thamani ya mke kwa mumewake Nimeipenda sana hii
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x Ай бұрын
Umenena vizuri sana
@MagrethMwajombe
@MagrethMwajombe Ай бұрын
Ila michepuko inakua mke
@BeatrisiaMtey
@BeatrisiaMtey Ай бұрын
Karibu 🥰
@AnsaB-j2m
@AnsaB-j2m Ай бұрын
Kweli kabisaaa
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna 20 күн бұрын
Raymond n kukubali n uko very snaaa pokea 🎉🎉🎉🎉yko,,daaa Warida mume wa mtu makasiriko y nn,,rey mwenyew amekuelezea vizur sna
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r Ай бұрын
Pole sana warda mume wa MTU sumu leo umeona kilichokukuta 😢😢😢
@McT-m1m
@McT-m1m Ай бұрын
Hìii ya leo kali ni nzuri
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 Ай бұрын
🙏🙏
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 Ай бұрын
Mapema sana 😂😂nimechungulia sana Kazi nzr Ina mafunzo msisimuo mkali❤
@raymondsylvester9146
@raymondsylvester9146 Ай бұрын
Asante sana 🤝
@LilianJuma-q6y
@LilianJuma-q6y 25 күн бұрын
Walder achana na mume wa wenyewe kumaliza mke wake kila siku ndio furaha yako , mwisho wako lazma utaumbuka tu😅😅
@WiltherArisa
@WiltherArisa Ай бұрын
Mume wa mtu sumu 😢😢walder
@موكاء-ظ9ج
@موكاء-ظ9ج 29 күн бұрын
Nawapenda buree ❤❤❤❤
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 29 күн бұрын
🙏🙏💕
@ZawadfredyLaurence-qh5pd
@ZawadfredyLaurence-qh5pd Ай бұрын
Warda unapendeza zaidi ukinyoa
@emanueltemu1051
@emanueltemu1051 28 күн бұрын
Nimewapenda bulee
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 28 күн бұрын
🤝🤝🤝🙏
@SabinaLucasHenriques
@SabinaLucasHenriques Ай бұрын
KAZI NZURI
@QweenNickson
@QweenNickson Ай бұрын
Jamani Raymond anajua kuigiza salute kwake 😍😍
@raymondsylvester9146
@raymondsylvester9146 Ай бұрын
Asante ndugu 🤝🤝🤝
@priverpriva98
@priverpriva98 Ай бұрын
Afu no mchaga sasa😂😂❤❤❤❤😊😅
@priverpriva98
@priverpriva98 Ай бұрын
​@@raymondsylvester9146 waooh❤❤❤❤❤❤❤ n a mm naomba kuigiza na wewe
@AnsaB-j2m
@AnsaB-j2m Ай бұрын
Kweli kabisaaa
@QweenNickson
@QweenNickson Ай бұрын
@@priverpriva98 acha basi kumbe ni mchaga?
@SamouOman
@SamouOman Ай бұрын
Kazi nzur kaka
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 Ай бұрын
🙏🙏
@MwasitiHindu-l3n
@MwasitiHindu-l3n Ай бұрын
Warda 😂😂 bora ule mdalasini ungepika chai ukanywa
@fammamaboko6543
@fammamaboko6543 Ай бұрын
Mccheleweshe mwendelezo 🎉🎉🎉
@فراحهكينيا
@فراحهكينيا Ай бұрын
Yaani mm ata salam za mume w mtu siitiki😂😂😂😂
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Ай бұрын
Mm km pesa ipo Sina palala😂
@فراحهكينيا
@فراحهكينيا Ай бұрын
@@rahimaaaaa5682 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aah wwe ha
@fammamaboko6543
@fammamaboko6543 Ай бұрын
Kazi nzuri Big up kwenu🎉🎉🎉🎉
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 Ай бұрын
🙏🙏
@mariambakari-h9n
@mariambakari-h9n Ай бұрын
Daa warda ungemuambia ukwel huenda angekuelew kwan ashawqh kkupa kaz ujitingozeshe kwa mumew but umemficha kwann😊
@FaudhiaWadongo
@FaudhiaWadongo Ай бұрын
Warda Ukinyoa Unazidi Kuwa Mshununu Usisuke❤❤❤
@AlsoAlso-mq3pu
@AlsoAlso-mq3pu Ай бұрын
Safi sana bro simama na mkeo
@janemadinda5009
@janemadinda5009 Ай бұрын
Bekaaaaa maji pwaaaaaa
@Deer-g4t
@Deer-g4t Ай бұрын
Warda unamlilia Mme wa MTU wacha ujinga tafuta wa kwako 😅😅😅
@BijouxBulose
@BijouxBulose Ай бұрын
Mko vizuri kweli 🎉🎉🎉
@JescaMarykarisa
@JescaMarykarisa Ай бұрын
Safi sana 🎉🎉🎉❤❤
@paulinafanuel3396
@paulinafanuel3396 Ай бұрын
Uwiii ee dada huyu ni mme wa mtu
@MunaBintbadru
@MunaBintbadru Ай бұрын
Hongereni kwa muvu nzur yenyemafunzo wanawake yapswa tuyafanyie kazi haya
@KiwangoMediaFilms255
@KiwangoMediaFilms255 Ай бұрын
🙏🙏
@StellaAndeso
@StellaAndeso Ай бұрын
Tena mupumbavu kabisaaaaa make wa MTU sumu mama tafuta wako dadaaaaa
@tegemeongalama6737
@tegemeongalama6737 28 күн бұрын
Kulia kupokezana 😂😂
@janemadinda5009
@janemadinda5009 Ай бұрын
Kazi unayo bekaaa
@JohayvinaMutembei
@JohayvinaMutembei Ай бұрын
Akuna mapenzi ya kweli kwa mume wa mtu
@sharifasherry2553
@sharifasherry2553 Ай бұрын
Hao ndio wanaume na wake zao
@FatumaBahatihassan
@FatumaBahatihassan Ай бұрын
Mapema sana hadilha
@AsmasaidiTitu
@AsmasaidiTitu Ай бұрын
Piga kelele kama ww nimeke wandoa subra muhimu .wanaume taama tu ila sio kua hatupendwi
@BeatrisiaMtey
@BeatrisiaMtey Ай бұрын
😘😘
@emanueltemu1051
@emanueltemu1051 28 күн бұрын
Jamani warida mume wam2 sumu mama pole
@AminaNgumba
@AminaNgumba Ай бұрын
Bas akili za mchepuk hp kashaambiw hawez kuolewa na yy lkn bd atajihesabia yup ktk mahusiano mazur na anapendw wakt anapotezewa muda
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Ай бұрын
😂😂😂😂
@ZeinabBakar-je4nr
@ZeinabBakar-je4nr Ай бұрын
Warda l❤❤❤kazi nzuri
@tigejuma9865
@tigejuma9865 Ай бұрын
Yani kua na mahusiano na mke wa mtu au mume wa mtu n sawa na kuendesha gari la serikali kama muajiriwa....daima haliwezi kua lako....ukishafutwa hilo ndilo la kwanza kuchukuliwa 😅😅
@mariamjuma2535
@mariamjuma2535 Ай бұрын
Sasa dada warda walia nn kumbuka mume wamtu simu ropokaka tu kitakukuta
@fatumasalim3915
@fatumasalim3915 Ай бұрын
Mtihani kwakweli
@subiraisaka7227
@subiraisaka7227 Ай бұрын
Tafuta wa kwako warda muache aende
@RuuHassan-ik4ws
@RuuHassan-ik4ws Ай бұрын
Dokta wake mume wako ndio mwenye tiba kubwa ya warda
@Magi-vz4vz
@Magi-vz4vz Ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@Aisha-f2g
@Aisha-f2g Ай бұрын
Eweee ....warda ushaskia majibu ya Raymond hayoo
@AlsoAlso-mq3pu
@AlsoAlso-mq3pu Ай бұрын
Warida ulibakwa kweli
@HappyJohn-n7y
@HappyJohn-n7y 24 күн бұрын
Alikuwa na mpango wa kukuchuna
@JanethRweyendera
@JanethRweyendera 29 күн бұрын
Imeenda hiyo
@KulwaJohn-gz1qm
@KulwaJohn-gz1qm 26 күн бұрын
Kwan raymond haendi kazin jaman
@Winnie-p9o
@Winnie-p9o Ай бұрын
Mume wamtu nikama gar ya serekali
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Ай бұрын
Pole sana warda
@RebeccaJoseph-b1x
@RebeccaJoseph-b1x 29 күн бұрын
Dada hukulijua hilo kua tu making rafk yanv
@mummyjei5634
@mummyjei5634 Ай бұрын
Wanaume nimapepo
@AlsoAlso-mq3pu
@AlsoAlso-mq3pu Ай бұрын
Mchepuko siyo diri
@RehemaKirwey
@RehemaKirwey Ай бұрын
Warda ukome na waume za watu
@MussaRasul
@MussaRasul Ай бұрын
Yani kuwa na mahusiano na mke au mume wa mtu ni sawa nakuchukuwa mkopo bank alf uweke nyumba bond muda wowote wenyewe wanakuchukua nyumba yao
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@WiltherArisa
@WiltherArisa Ай бұрын
❤❤
@Nurubeb
@Nurubeb Ай бұрын
Apo kweli yn n km kutwanga maji kwenye kinu
@MahadhiMusa
@MahadhiMusa Ай бұрын
7 please
@BeatrisiaMtey
@BeatrisiaMtey Ай бұрын
😭😭
@Lina-u7v
@Lina-u7v Ай бұрын
Wakwanza jmn nipeni likes ata tatu bs
@sharifamohammed6317
@sharifamohammed6317 Ай бұрын
Sikuizi mwaringa vile mushapata wafwasi
@ElizabethKimario-m5n
@ElizabethKimario-m5n Ай бұрын
Pole sana warda
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 07  | SO1 || Love Story 💞💕
15:22
Kiwango Media Films
Рет қаралды 13 М.
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 19  | SO1 || Love Story 💞💕
16:13
Kiwango Media Films
Рет қаралды 6 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
KIJANA MUUZA MAJI | EPISODE 01 | 💞 Love Story
32:22
DONTA TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Waqtigaaga Sideed Uga Faaidaysataa.........!
30:45
Gabdhaha Dacwada Nairobi
Рет қаралды 4,5 М.
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 18  | SO1 || Love Story 💞💕
15:32
Kiwango Media Films
Рет қаралды 8 М.
MWANAFUNZI MALAYA 💞 Love Story | DONTA TV
26:58
Donta Plus
Рет қаралды 152 М.
SIDE CHICK (Mchepuko) EP 03|| S01 || LOVESTORY
20:29
Waraha films
Рет қаралды 44 М.
MZEE MCHAWI FULL MOVIE
3:02:26
MWAKATOBE
Рет қаралды 54 М.
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 08  | SO1 || Love Story 💞💕
14:24
Kiwango Media Films
Рет қаралды 12 М.
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 01 | SO1 || Love Story 💞💕
16:44
Kiwango Media Films
Рет қаралды 32 М.