PENZI LA MUME WA BOSS EP 12 | SO1 || Love Story 💞💕

  Рет қаралды 12,858

Kiwango Media Films

Kiwango Media Films

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@PriscaEmmanuel-fh4yn
@PriscaEmmanuel-fh4yn Ай бұрын
Yaaan hili n funzo saaana hata mm kila ninayemfanyia wema hunifanyia ubaya ila mwisho Mungu atajibu
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna Ай бұрын
Rahmaaaaaa kwa vituko ww lkn usinichambie bi mubwa wala hana baya😂😂
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
Kazii ni ya moto hatar tunaosema warda kitamramba like hapa 😂😂
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna Ай бұрын
Pia wwe keeee😂😂😂😂😂
@JanethAkyoo
@JanethAkyoo Ай бұрын
dah kama rahma kaingia yaan mambo ni ya motooo
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi Ай бұрын
Funzo sana kwangu pia muendelezo zaidi nijifunze maana daah moto sana Raymond wetu
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r Ай бұрын
Kumekucha huko jmn . Rahma kaingia ndani ya mji 😂😂😂
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna Ай бұрын
​@@RahmaRahmaabdallahkiumbe hiki atary sna😂😂😂😂majabali y taanguka hta yakiwa n mizizi😂😂😂
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 28 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Bintabubakar-id2so
@Bintabubakar-id2so Ай бұрын
Unyama mwingi 🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂❤❤❤ yajayo Yana frahisha
@MunaBintbadru
@MunaBintbadru Ай бұрын
Duh kitaumana dd ake warda niuyu mhh asema kama kamezakanda😂😂
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂
@MasauShida
@MasauShida Ай бұрын
Kazi nzuri🇹🇿
@SarahHappy-k1o
@SarahHappy-k1o Ай бұрын
Nimekupenda rafiki yake raymond kwa ushauri wako maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@tigejuma9865
@tigejuma9865 Ай бұрын
Walio furahia kumuona RAHAM humu mzigoni tujuane kajiua kwa house girl kafufukia uku.....alafu WARDHA unapendeza zaidi ukiwa na nywele ndogo....😅
@SamouOman
@SamouOman Ай бұрын
Jaman kazi nzur msichelewe
@MaimunaNangabo
@MaimunaNangabo Ай бұрын
😂😂ivi rahma namuonea huruma Mme wako si kwa kubwata huku😅😅😅😊😊🎉🎉❤❤❤
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x Ай бұрын
Kumenuka hapa ndani yaani rahma ndo dada wa warda waaah kumenoga sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@GladysKarembo
@GladysKarembo Ай бұрын
Kazi nzuri congratulations 🎉❤
@kiprotichnahashon.332
@kiprotichnahashon.332 Ай бұрын
Raymond, mwiba wa kujidunga huambiwi pole. Najifunza mengi pia naburudika.
@SaumuNzadze-f2t
@SaumuNzadze-f2t Ай бұрын
Rahima amechangamsha move jamani nimefurahi kukuona daa rahima Ni mdaa mefu sana
@mesamesa3698
@mesamesa3698 Ай бұрын
😂😂😂😂 nakupenda Rahma ❤❤
@Deer-g4t
@Deer-g4t Ай бұрын
Madam na wewe changamka Bana unanyanganywa bwana ukiona Alaa 😅
@tonykonki1437
@tonykonki1437 Ай бұрын
Sasa shertani kaungana na ibirizi garace kimekuramba mchana kweupe.🎉.😂😂
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@mariambakari-h9n
@mariambakari-h9n Ай бұрын
Bwana tunaye na tunatamba nae we huogop😂😂 asantha ila rahma umekua mweusi c kma zile movie zingine but napenda timbwili lako mama karibu❤ allthe way from kuzumu maana tulikuzka 😂😂
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂 asantee ila usichokee kufatilia hii ni motoo 🔥🔥
@mariambakari-h9n
@mariambakari-h9n Ай бұрын
@@RahmaRahmaabdallah naanzaje kwa mfano 😂😂 feel loved from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 Ай бұрын
Warda jamani mwonee huruma mwenzio bora hata mwanaume umwambie akupangie ukae kwako
@ZiadaKitenge
@ZiadaKitenge Ай бұрын
😂😂😂😂😂lahma ndani ya nyumba ❤❤❤
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz Ай бұрын
Waooooo kazi nizuri sana mungu awapevipaji zaidi
@AnnastaziaVicent
@AnnastaziaVicent Ай бұрын
Rahma nimefulahi kukuona 😊
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
Asantee 🙏🙏
@MoM-tr8pn
@MoM-tr8pn Ай бұрын
Safii cnaaa
@GaspalIlala
@GaspalIlala Ай бұрын
Jipe moyo utashnda tres chenye mwanzo kinamwisho
@RaelYeko
@RaelYeko Ай бұрын
Wa nne leo 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@SwaumuJuma-d6t
@SwaumuJuma-d6t Ай бұрын
imani huzaa dhambi
@JescaMarykarisa
@JescaMarykarisa Ай бұрын
Hii inauma sana kupenda kuhurumia watu
@mwanakombo8008
@mwanakombo8008 Ай бұрын
Safi❤❤❤
@TeresiaKalumu
@TeresiaKalumu Ай бұрын
Wapili leo❤❤❤
@MunyirunguHonest
@MunyirunguHonest Ай бұрын
Leo kumekucha kabisa
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv Ай бұрын
Mnakosea bibi raymond mbona ni beautiful raymond unatafuta nn😊
@RodaWaelelwa
@RodaWaelelwa Ай бұрын
Akika mnajitaidi Sana kutowa mapema
@Ghal-b3c
@Ghal-b3c Ай бұрын
Pole
@AminaAlo-fq8vt
@AminaAlo-fq8vt Ай бұрын
Hongera ❤❤❤❤
@BilhaNato-kf9uz
@BilhaNato-kf9uz Ай бұрын
Maua ya dadake warda rahma🎉🎉🎉🎉
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
🙏🙏
@JackGerrard-o4h
@JackGerrard-o4h 29 күн бұрын
😢 triss one day yec ndoa ndoano
@asmajuma1032
@asmajuma1032 Ай бұрын
Haya wakwanza jamani like tukisonga❤❤
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Ай бұрын
Eeeeee kazi ipo kweli Rahma ww
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂
@faithbonareri-z4f
@faithbonareri-z4f Ай бұрын
usiwahi lipiza mabaya kwa mabaya Lipiza kwa wema tu....ila ipo siku mungu atakulipa
@FaithKimwetuny
@FaithKimwetuny Ай бұрын
❤❤❤❤
@LilianJuma-q6y
@LilianJuma-q6y Ай бұрын
Warda ndoa ya mwenzio wafanya ya kwako sio poa aisee
@PriscaEmmanuel-fh4yn
@PriscaEmmanuel-fh4yn Ай бұрын
Huruma zinaponza
@AnsaB-j2m
@AnsaB-j2m Ай бұрын
Kabisaaa
@Suzi-r6n
@Suzi-r6n Ай бұрын
Duu rahima kafufuka
@MalkaNinik
@MalkaNinik Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂
@angelNinaofficial-z2d
@angelNinaofficial-z2d Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Rahma
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂
@thabitharange-vz2ru
@thabitharange-vz2ru Ай бұрын
Waaah 😂
@McT-m1m
@McT-m1m Ай бұрын
Kumbe kaja rahma
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
🙏🙏
@aimishouaklamuaimy3261
@aimishouaklamuaimy3261 Ай бұрын
😂😂😂
@LevinaMacha-x7g
@LevinaMacha-x7g Ай бұрын
Weuogop😅
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂
@LevinaMacha-x7g
@LevinaMacha-x7g Ай бұрын
@RahmaRahmaabdallah 😄😄
@LevinaMacha-x7g
@LevinaMacha-x7g Ай бұрын
Weuogopi😅
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah Ай бұрын
😂😂
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna Ай бұрын
Kwan umejijua n ww shost😂😂😂😂wallah wanibamba ww😂😂😂😂
@LevinaMacha-x7g
@LevinaMacha-x7g Ай бұрын
@MwanamisiMuna 🙄🙄😂
@RachelSimbeye
@RachelSimbeye Ай бұрын
Kuna kitu nimejifunza
@Halimah-s4z
@Halimah-s4z Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@sarahnanjala-y3t
@sarahnanjala-y3t Ай бұрын
❤❤❤❤
@BijouxBulose
@BijouxBulose Ай бұрын
❤❤❤
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 13 | SO1 || Love Story 💞💕
22:10
Kiwango Media Films
Рет қаралды 11 М.
SWAUMU NGUMU  FULL MOVIE )
4:02:20
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 215 М.
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💕💕 NA WAKE WENZA PART 1-5 love story
1:00:14
PLAN B _FULL VIDEO (1-10 EPISODES)
5:04:27
kp wa Aquino
Рет қаралды 48 М.
ACHANA NA DADANGU FULL MOVIE
1:12:28
Director Panka
Рет қаралды 427
Surah Mulk - سورة الملك Recitation For Inner Peace & Restfulness | NOOR
3:53:10
MKE WA BOSS ANAKUTAKA KAMA HIVI WEWE UNGEFANYAJE
14:33
Mweusi Family
Рет қаралды 248 М.
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,6 МЛН
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 14 | SO1 || Love Story 💞💕
21:15
Kiwango Media Films
Рет қаралды 11 М.