Yani mnapiga kazi bila kupumzika hongera zenu Donta family alafu Kevin hii uko sirious kabisa hakuna mambo ya kucheka
@HadijaJumanne-w7j9 күн бұрын
Jmn mbn amkucema kuhucia na moving jmn❤❤❤❤❤❤❤❤
@brianmakokha-p9d8 күн бұрын
Watch from Bungoma live ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😮😮😮😮
@Dontafamily8 күн бұрын
Asante
@AsmahKambongo10 күн бұрын
Sema acheni kuzingua malizen dada wa kazi mnatuvuruga mtakuwa kama busati
@gracekayumba-z9l9 күн бұрын
Auoni ni chanel 3 tofaut na kule mtot wa boss instok kwa wakat
@FadhilaHamis9 күн бұрын
Jamani leo na mimi nimewahi naombeni like zangu🎉
@Jumaiddi-gw1rr3 күн бұрын
❤
@MaryamIsmaeel-v3i5 күн бұрын
Hawa donta tv hawana jambo dogo,kila sekta wapo hongereni sana mmetishaaaàaa sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MTEMELUSAKANYAESPOIRE2 күн бұрын
The second to Watch out my flower 🌺🌺🌺🌺❤❤❤
@SarahKidamabi9 күн бұрын
Kelvin na loveness mungu mwenyezi awajazie baraka zakee kazzi zenu jamani
@NzembiNyamai-u6l9 күн бұрын
Kaz poa Kelvin congratulations❤❤❤🎉🎉🎉
@Zuubaby-lp9uj10 күн бұрын
Bonge la muvi asante sana kervin kwa kazi nzuri mungu azidi kukuongezea taaluma kubwa akilin mwako 🙏🙏🙏🤝🌷🌿
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana
@noreennafula-zj8zp6 күн бұрын
Donta family Sina budi kuwaombea maisha marefu🎉🎉...good job 👏💥
@mohammedkidody56182 күн бұрын
Nawapenda sana donta family hamjawahi kutuangusha kwenye sekta ya filamu❤🎉
@OmanOman-y7z10 күн бұрын
Hongeleni Sanaa Kwa kazi nzur sana ❤🎉🎉
@JennyRenald11 күн бұрын
Nimefuatilia movie zaidi ya 20 kutoka Donta tv nimejifunza mengi sana(Mungu azid kuwapa Afya njema mzidi kuelimisha jamii kupitia movie zenu 🙏🙏🙏🙏🙏
@Dontafamily11 күн бұрын
Asante sana
@JuliethBisekwa-fx7zq9 күн бұрын
Kevi Hilo shati badilisha 😊 maana mpaka nikikuona Kwa mbali najua ni wewe 🥰ila kazi nzuri
@bettymbeyu874610 күн бұрын
Kazi nzuri sana kelvin 🎉🎉🎉🎉🎉
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana
@nancyshikuku-vs9le9 күн бұрын
Good job guys 🎉🎉
@AshuraKomba-z7y6 күн бұрын
@@nancyshikuku-vs9le jamani.kendi.nakukubarisan
@odaxndikuriyo19927 күн бұрын
Kusema kweli kelvin nampenda sana !!
@FloraNyandwi10 күн бұрын
Nime watch juu nimeona huyo Doctor wa Tina 😅😅😅 nili mlike
@StevenNditi10 күн бұрын
HOUSE GIRL SEASON 4 kzbin.info/www/bejne/ppinm5qDi5tpprs
@CharlotteEmanuel-vl8so7 күн бұрын
Ata mimi naipenda sana Donta Tv ki ukweli like kwa mashabiki wa Donta Family
@PrezoMusa10 күн бұрын
Kajamaa hapo kanafanana na love...very smart
@Dontafamily10 күн бұрын
Kabisaa🔥
@UmuhireLeila11 күн бұрын
Wakwanza Mimi Leila kutokea Rwanda 🇷🇼 donta tv niko nyuma yenu toka mwanzo mpaka mwisho
@Dontafamily11 күн бұрын
Asante sana
@StevenNditi10 күн бұрын
HOUSE GIRL SERIES S4 kzbin.info/www/bejne/ppinm5qDi5tpprs
@BarigerekaIvan-k2p8 күн бұрын
Vipi
@MekiAli-ub4ld10 күн бұрын
Alhamdulillah kelvin n lovenes nawafatilia tu n mungu awape umri 🤲🤲🌹🌹🌹
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana
@JanetRiziki-ut2is7 күн бұрын
Jaman movie nzuri sana ❤❤❤
@HamisiMachinda4 күн бұрын
Nice work 🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@maryd15388 күн бұрын
❤❤❤nawaminia watu wang w dont nimekuj rasm sasa juu nilikua nimeshikik
@Dontafamily8 күн бұрын
Asante sana
@Denzzotz10 күн бұрын
Tabora familia kabisa na smith Julius ❤❤❤❤❤
@Dontafamily10 күн бұрын
❤️❤️🥰
@JoharyAgustino10 күн бұрын
Nipo apa mtoto wa tabora
@Kaloki-hv7dx4 күн бұрын
Ila lovenes bila Nyash 😂 😂.. Nyash is life Fanya basi ueke ya mchongo 😂
@dhahabudeche92610 күн бұрын
Kazi imetulia mahali pake 🎉🎉 hongereni wana donta family ❤❤🎉🎉
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana is
@RahemhAli10 күн бұрын
Hiyo nyimbo kwakwell mwisho,kevn ww movie zako kboko ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana
@MagrethKiyabo4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana Wana donta
@fatuma46ramadhan1810 күн бұрын
Nipee hizo pesa usilie nazo bwana😂😂😂😂watu tuna shida nazo huku nje😅😅😅
@zainabalex98108 күн бұрын
😂😂😂😂
@jubaidamiss24093 күн бұрын
Next ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@jacquelinekivamba85414 күн бұрын
Kazi nzuri donta family🎉🎉🎉❤
@AnethMtokoma-v5x8 күн бұрын
❤❤❤❤❤ kelvin and lovenesssss nawakubali kuliko kawaida
@Dontafamily8 күн бұрын
Asante sana
@Winifrida-y9p2 күн бұрын
Kaz nzuri sana ❤❤❤🎉🎉🎉
@SalomeMhema-b9o10 күн бұрын
Ahsante sana donta tv kwa kutuletea kitu kizur 🎉🎉🎉
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana
@MilkGithinji7 күн бұрын
Miko hapa mkenya nafuatilia sana
@FatumaNsimireriziki10 күн бұрын
Nawapenda sn kbs ❤nawafatiliyanikiwa cong🇨🇩
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante
@MwanalimaMwalimu-c4m10 күн бұрын
Waaah hii inaitwa kiti moto my friend mimi sitamani vitu vya watu,ila wanao tamani vitu vya watu somo kwenu,Big up kaka Kelvin na wenzako wote❤❤❤
@FatumaJuma-s7j10 күн бұрын
Tamu sana kelvin move zako noma sana next plz2
@MwanalimaMwalimu-c4m10 күн бұрын
@FatumaJuma-s7j nakwambia move zake haziboesha❤️
@TheodoraChaki10 күн бұрын
Nawapenda Bure Wana dont movie nzuri sana love kama love na Kevin wake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉yenu
@ShiviaSoyian-h2l4 күн бұрын
Bytha wanafanya kasi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤baby
@Nancy-l5e10 күн бұрын
Maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ kazi n nzuri
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana
@FatmaAli-wr7mm10 күн бұрын
Congratulations donta nwpnd san shbiki wen apa🎉🎉🎉🎉
@danielochieng31732 күн бұрын
Good work kelvin🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@danielochieng31732 күн бұрын
🇰🇪
@UnrulyHope-e9j10 күн бұрын
Big up kelvin n team yako 🎉🎉🎉🎉❤❤ila Nelly vicky n Kunambi Ndio walipotea ivo ila twendeni nalo kazi iendelee Donta Family 🔥👏👏👏💪
@LeahMwathi-h3z9 күн бұрын
Brown ana channel yake inaitwa kunambi family.. Kwa hio wanaingiza huko
@KhadijaNassor-f6m10 күн бұрын
Woow movie mpya nice🎉
@FarajiIsuta11 күн бұрын
Na mm naomben like hata 5 jaman
@Dontafamily11 күн бұрын
Hizooo 🙌🙌💥
@brianmakokha-p9d8 күн бұрын
❤❤Niko Na nyinyi pamba to pamba Kevin siez achwa nyuma
@Dontafamily8 күн бұрын
Asante sana
@fatuma601110 күн бұрын
Kazi nzur wanadonta shukran kwa mafunzo❤❤🎉
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana ❤️
@THOMASMATIKA4 күн бұрын
Kwaiyo Mwamba John kapamba mambo yamenyooka anaanza kuishi na mashaka Sasa angalia Nini wakati alitamani mafanikio na maisha mazuri
@DorothyMoraa-k8s10 күн бұрын
Kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante
@BarakaWarioba-d1o7 күн бұрын
👍👍👍👍 unatisha sana kaka
@MercyKahindi-go2nr10 күн бұрын
Jamani we mkaka Kelvin nakupenda Sana pmoja na movie zako katuelimisha mno❤❤ kutokaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@StevenNditi10 күн бұрын
HOUSE GIRL SERIES kzbin.info/www/bejne/ppinm5qDi5tpprs
@GgjTfg10 күн бұрын
Nzuli nimependa ❤❤❤
@MerryBitundwa7 күн бұрын
Nawakubali sana🎉❤ tunangoja 2
@MiriamJohn-e3z7 күн бұрын
kazi nzr sanaa hongera mno donta family 🎉❤
@GuillainAlimasi9 күн бұрын
Jamani tunaomkubali Kelvin, gonga like hapa
@nancyshikuku-vs9le9 күн бұрын
Nice work kelvin 🎉🎉🎉
@Dontafamily8 күн бұрын
Thanks
@winniemwaka320210 күн бұрын
Napenda move zenu sana jameni mungu azidi❤kuwapa🙏🙏🙏
@StevenNditi10 күн бұрын
HOUSE GIRL SERIES S4 kzbin.info/www/bejne/ppinm5qDi5tpprs
@JudithShikumo10 күн бұрын
Hii nayo ni kali ya mwaka... hongereni sana
@GuhhJyfff5 күн бұрын
Tunawafatiliya Congo 🎉🎉
@allymwashambwa59209 күн бұрын
Aisee Hakuna kama donta kwa mafunzo makubwa mnayoyatoa kwa jamii , mimi binafsi nawapa namba 1 kuanzia sasa wengine watafuatia 🎉🎉🎉🎉
@اريناارينا-ق3ط10 күн бұрын
Kazi nzuri sana kelvin ❤❤
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana
@PhiloyceAlividza10 күн бұрын
Wana donta wote mikono juuuu...tunawapenda tu sana, mwendelee kutuburudisha, mafunzo mengi alafu mazuri sana
@Dontafamily10 күн бұрын
Kama kawaidaa 🥰
@everlinekenga4379 күн бұрын
So amazing ❤❤❤
@Annajumwa9 күн бұрын
Maish sio rahis ❤nimejifunza kitu mubarikiwe❤❤❤
@OliverPaul-y3e11 күн бұрын
Mm leo niwapili Naomba like mbili Moja kwaajili ya kelvin na nyingine kwa ajili ya loveness. Kama unawapenda loveness na kelvin tujuane❤❤❤🎉🎉
@Dontafamily11 күн бұрын
Umepataaa 😁❤️
@Dontafamily11 күн бұрын
💕❤️❤️❤️
@FettyMagirl10 күн бұрын
Nawapenda san🎉🎉🎉🎉🎉
@AshaJuma-e9i6 күн бұрын
❤
@AishaMatsudzo4 күн бұрын
❤
@NajaribuZamaradi11 күн бұрын
🎉🎉 wakwanza Mimi
@Dontafamily11 күн бұрын
Asante 🔥 sana
@GloriaHilarioBento-mx6nq9 күн бұрын
Kazi nzuri sana Kelvin ❤❤❤❤
@SalomeEdward-f7h9 күн бұрын
movie nzur san penda san🥰🥰
@PatrickSivi7 күн бұрын
kazi jema kwenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@Priscillah-c5m8 күн бұрын
Congratulations sana good work 🎉❤
@Dontafamily8 күн бұрын
Asante sana
@JosephatJoseph-x9o10 күн бұрын
congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 donta family
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana
@nancygilliad28838 күн бұрын
Ni nzuri mlete kwawakati
@Dontafamily8 күн бұрын
Sawaa
@zamdauseni978710 күн бұрын
Walikwmbiya mapema mwenzako ukajibu ngorakatajiri Sasa 😂😂yawone unanA kumbuka 😅🎉🎉❤
@QueenJane-x3m10 күн бұрын
Donta ni moto wa kuotea mbali🎉
@Dontafamily10 күн бұрын
Ogopaaa😁
@erickkipyegon285810 күн бұрын
Good job guys 🎉🎉
@Nanahtz-n2h10 күн бұрын
Big up mah broo Kelvin pambana kipenzii❤❤
@StevenNditi10 күн бұрын
HOUSE GIRL SERIES S4 kzbin.info/www/bejne/ppinm5qDi5tpprs
@AminaKavuo-gj3oc10 күн бұрын
Waoo kazi, njema Kelvin,, kijana wa kuwajibika
@Dontafamily10 күн бұрын
Asante sana
@RainessCleophacy-i1i8 күн бұрын
Good job donta family
@Dontafamily8 күн бұрын
Asante
@lylyChloé10 күн бұрын
Kelvin niki kutazama vizur naona kama unakimbia urefu yani kuna mda unakunja bega unakuwa kama unaunAma vip kaka nyooka vizur bhn mwanaume mrefu ndo bomba usi ukimbie😂😂😂 alie ona kama mimi gonga like tupite zetu. So like u my team❤❤❤
@Hdt-j9n5 күн бұрын
Tunaofatilia donta tv kutoka saudiii tugonge like hapa 🎉