Peter Msechu - Ya Dhati (Offical Video)

  Рет қаралды 64,301

Peter Msechu

Peter Msechu

Күн бұрын

Пікірлер
@peterchimbwanda1706
@peterchimbwanda1706 8 ай бұрын
Hujawahi kosea wajina, shabiki yako milele hadi umauti nipo hapa
@Officialswala
@Officialswala 9 ай бұрын
Kali na nusu,kama unapenda mziki muzuri gonga like
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 9 ай бұрын
Vibonge uwa na sauti nzuri sana. .. kama unakubaliana na Mimi gonga like tusonge.....
@12345678938129
@12345678938129 9 ай бұрын
Umerudi vizuri sana . Ukiimba uwa unatisha sana Peter Msechu. Fanya wimbo mwingine na Kidumu ao Amin chemistry yenu Noma
@DicksonEdson-g9v
@DicksonEdson-g9v Күн бұрын
Brother nakukubari pia nakupenda sana natamani nikuone japo nipo kigoma 2025 taendelea kukufatilia
@BGHaule
@BGHaule 2 ай бұрын
Huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya Mara sita Leo na Jana ,bravoo sana,bass guitarist hataki mbwewe ila ana hit in the notes
@sashawambura
@sashawambura 8 ай бұрын
Sasa unakaaga hivyo muda mrefu ndio nini...nyimbo zako nzuri...unatuponya wengine ukiimba...usiache kuimba tuendelee kuponyeka..Asante sana Msechu..you have everything it takes to give us good music..Mungu akubariki sana
@dismasjshio4953
@dismasjshio4953 9 ай бұрын
Msechu huwezi kutoa ngoma bila kutaja mambo ya vifo, 😂😂😂😂 'HADI UMAUTI', 'KUFA NA KUZIKANA'. Enewei, ngoma imetulia👍👍✅️✅️
@dannysengata2298
@dannysengata2298 9 ай бұрын
Kwasababu ni kitu lazima kitokeee
@Tedykatale
@Tedykatale 9 ай бұрын
Sema we mbwa unaimba 😂🙌🏼bongo star search hawakufeli kwako kwa bella kombo, walter chilambo, na saraphina umeua mpaka umeua tena kaka msechu kwa mbali namsikia KIDUMU ungemshirikisha Kidumu ingebamba sana❤❤
@gka9147
@gka9147 9 ай бұрын
Msechu lazima aweke kionjo cha msiba tu mfano lala lalalaa
@dismasjshio4953
@dismasjshio4953 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@amosramjaane314
@amosramjaane314 9 ай бұрын
"Hadi umauti"
@singanoudsm2570
@singanoudsm2570 9 ай бұрын
😀😀😀
@AnnaMichael-qf6bi
@AnnaMichael-qf6bi 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana Peter,sauti imetulia mpk imetulia tena
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 8 ай бұрын
Bonge la wimbo msechu namkubali Toka bongo starsuch😊
@sebastianmtisi9490
@sebastianmtisi9490 9 ай бұрын
Hongera sana Msanii mkubwa unaeimba bila kutaja tusi lolote mpaka wimbo unaisha
@priscillahlukindo7370
@priscillahlukindo7370 9 ай бұрын
Fact👏🏻👏🏻👏🏻😊
@calvintheone299
@calvintheone299 9 ай бұрын
Leo sio nyimbo ya msiba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kwangahudispensary7238
@kwangahudispensary7238 9 ай бұрын
Uimbaji wa msechu na kidumu nkija uweza
@0131-Am
@0131-Am 9 ай бұрын
Muziki unaoishi gonga like kwa goma kali la Africa
@raymondtv5479
@raymondtv5479 9 ай бұрын
Baada ya kusemwa unaimba za misiba tu Sasa umejibu na Kazi nzuri sana
@lindabana8191
@lindabana8191 9 ай бұрын
Unajua kuimba ila kiukweli ukiimba gospel itakuwa 🔥 sana, hongera
@jmedia9631
@jmedia9631 9 ай бұрын
Nimekuwa nikikusikia tangu utoto.....ila hii ngoma hii auncle umetisha mana ngomazako zote mafunzo niwaziwazi hakuna matusi wala kejeli
@charleschito6341
@charleschito6341 9 ай бұрын
Kwa sie Wagonjwa wa muziki lazima tukubali hii kazi , vitu vinatembea tu smoothly
@gilbertbaya1546
@gilbertbaya1546 9 ай бұрын
Rhumba kama rhumba...msechu kama msechu
@KloveOGOG
@KloveOGOG 8 ай бұрын
Una uweza mziki Kaka ngoma zamapenz Kaka unaziweza sauti yako dhaabu
@TALLUBOY
@TALLUBOY 9 ай бұрын
Ngoma kari sana
@KalalaErick-n7d
@KalalaErick-n7d 9 ай бұрын
Mimi penda sanaaaa, hiiii inaendaa
@augustfive5279
@augustfive5279 9 ай бұрын
Wakongwe na mzikiwao jamani alafu vile mapenzi ya zama yalivokua yakweli walai❤❤❤❤
@EmmanuelKabote-gj9sy
@EmmanuelKabote-gj9sy 9 ай бұрын
Fanya inspiration songs 🎵 kaka 🎉
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 8 ай бұрын
Msechu bonge mwimbaji hii kal sana honger San kaka
@Razack4D
@Razack4D 9 ай бұрын
Congrats, brother. That song with your ideal twin (Super Kibonge) is really beautiful :)
@MsetuNaidye
@MsetuNaidye 9 ай бұрын
Big up brother Msechu. Kipaji unacho
@yusuphmukama9958
@yusuphmukama9958 8 ай бұрын
Brother wewe ni mfano wa mziki mzuri siyo lazima uimbe matusi ur the best toka nakufahamu broooo
@janethmalema6900
@janethmalema6900 9 ай бұрын
Wimbo huu nusikiliza kila mara uko vizur hongera Msechu
@lisagwandumi
@lisagwandumi 9 ай бұрын
Peter Msechu ni motooooooooooo🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@herrwin.
@herrwin. 8 ай бұрын
well done chief, hongera sana mkuu hii nyimbo unaweza uka-abudu nayo kama hujui kiswahili ,,
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 9 ай бұрын
Msechu mtu wa kipekee tofauti na wasanii wa kihuni ni hodari na Mungu ambariki zaid
@amaniluhambire5080
@amaniluhambire5080 9 ай бұрын
Msechu, wimbo wako huu ni mzuri sana, hongera
@abelmkama6994
@abelmkama6994 9 ай бұрын
Hii imeenda ❤
@kagomajmbaraka220
@kagomajmbaraka220 9 ай бұрын
Hivi puto ndo linaongeza unene au kupunguza😢
@Omary-pp7ke
@Omary-pp7ke 9 ай бұрын
very beautiful songs, respect to you brother
@luanamwambingija6254
@luanamwambingija6254 9 ай бұрын
Kali sanaa 🔥🔥
@saidially930
@saidially930 9 ай бұрын
Mwenye sikio la kusikia mziki melody good bro
@vintage107
@vintage107 6 ай бұрын
Music✅ Melody✅ Theme✅ #Legendisalegend
@GodfreySanga-oz3mi
@GodfreySanga-oz3mi 9 ай бұрын
Msechu kwenye one and two...bonge ya songi
@amirhamud3343
@amirhamud3343 9 ай бұрын
Huyo video king Prof Janabi anamuta
@samwelnyange9843
@samwelnyange9843 9 ай бұрын
Boom 💥 🎉hatari sana
@momylaviel
@momylaviel 9 ай бұрын
Bro unajuaaaa
@osiahstimah
@osiahstimah 9 ай бұрын
Jamaaa nakuelewa
@nanadimpozy7730
@nanadimpozy7730 9 ай бұрын
Video Kali sana wimbo mkali sana bro
@zongomtonga8506
@zongomtonga8506 9 ай бұрын
Mashaallah nyimbo kali sana
@jacksonngutto7104
@jacksonngutto7104 8 ай бұрын
Wimbo utakaodumu vizazi na vizazi
@JohnKimune-e8l
@JohnKimune-e8l 9 ай бұрын
Unasauti nzuri kipipa wetu
@McHypMashofficial
@McHypMashofficial 8 ай бұрын
yes yes i was a kid ukiwa tpf na i rem you ,, this a quality high level song.
@esthersecelela7257
@esthersecelela7257 8 ай бұрын
Ila hii nyimbo 🔥🔥
@victorcephas3618
@victorcephas3618 9 ай бұрын
Msechu kapata pacha wake😂😂😂 Wimbo mzuri
@simonphabiano9050
@simonphabiano9050 9 ай бұрын
Mpaka uweke na neno umauti😮
@hamisijumanne4137
@hamisijumanne4137 9 ай бұрын
Umetisha sana kigoma stendapu
@gabrielgodwin8430
@gabrielgodwin8430 8 ай бұрын
Big up Peter very fantastic Song
@NellyLwitiko
@NellyLwitiko 9 ай бұрын
Mtu wa maana kabisa msechu peter mnaongea ongea sana hayaaa semen tena
@dzimonbrownofficial6225
@dzimonbrownofficial6225 9 ай бұрын
Mzee mzima🔥🔥🔥🔥🔥
@johnraymond3601
@johnraymond3601 8 ай бұрын
Fire more fire
@gerrywin2194
@gerrywin2194 8 ай бұрын
What a gud song, nimemkumbuka Bizman
@IvanGoodluck-qm7fs
@IvanGoodluck-qm7fs 9 ай бұрын
NYIMBO nzr❤
@salmamsakuzi3070
@salmamsakuzi3070 9 ай бұрын
Nzuriiiii
@GodfreySanga-oz3mi
@GodfreySanga-oz3mi 9 ай бұрын
Msechu anajua sana
@wawesttv
@wawesttv 9 ай бұрын
Sio ya musiba kumbe, hata sio nzuri .
@KasaiBoyTv
@KasaiBoyTv 9 ай бұрын
😂
@mwanguohermanmwasoko3954
@mwanguohermanmwasoko3954 9 ай бұрын
You remind me of BSS,kazi nzuri msechu🎉
@givenjames7760
@givenjames7760 9 ай бұрын
rumba tamu sana my brother na KOMPA kwa mbali tamu sana kaka wa BSSS
@sasquaremusic3140
@sasquaremusic3140 9 ай бұрын
Nyimbo kali bro Msechu ..familia moja toka enzi records
@jonathandulle
@jonathandulle 9 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana ina utulivu murua
@janvierramazani2189
@janvierramazani2189 9 ай бұрын
Good song bro all from cape town South Africa 🇿🇦
@DFire-ii8nb
@DFire-ii8nb 9 ай бұрын
Mwamba anajua sana hii ndo hua naiitaa kua mkimya kwa muda mrefu majibu yake ndo haya songs tamu sana
@shebbybrain9346
@shebbybrain9346 9 ай бұрын
Kali sana bro
@Boyfromtanzania
@Boyfromtanzania 9 ай бұрын
Jiwe pekee juu ya MWAMBA. safi sana kiongozi.
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 9 ай бұрын
Talented Mr Msechu...nyimbo iko bomba,unajua na unajua tena❤🎉🎉🎉
@rasvegas8991
@rasvegas8991 8 ай бұрын
Nyimbo kalii
@adenymwatebela5494
@adenymwatebela5494 9 ай бұрын
Ngoma safi sana bro Msechu💪👏🎧👍
@stevensonndayizeye3545
@stevensonndayizeye3545 8 ай бұрын
KIDUMU🇧🇮🔥🔥 MSECHU🇹🇿🔥🔥
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 9 ай бұрын
Safi Sana kaka
@rodgerushindi85
@rodgerushindi85 9 ай бұрын
Mnaosema msechu ni bonge haya sasa Kawaletea bonge kuliko yeye
@immasoi384
@immasoi384 9 ай бұрын
Daah, nilifikiri Kuna msiba
@nelsonkikotimandela9819
@nelsonkikotimandela9819 9 ай бұрын
Huu wimbo kama na ujua ulikuwa wa msiba umebadili mashahiri hapa
@maburamodest7731
@maburamodest7731 7 ай бұрын
Nyimbo ya mwaka hiyo
@jose_willy79
@jose_willy79 9 ай бұрын
Nimeshtuka nilipoona notification msechu nikajua kuna kiongoz kafa tena
@Thekidp3702
@Thekidp3702 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@jose_willy79
@jose_willy79 9 ай бұрын
@@Thekidp3702 C ndio😂
@juliusmkwiji283
@juliusmkwiji283 9 ай бұрын
Bonge moja la dude
@ranman4910
@ranman4910 9 ай бұрын
Goma limetulia. Natamani ufanye collabo na Kidumu. Fanya remix ya Ngoma hii na Kidumu wa Kenya. Nataka ile ladha ya yenu.
@omarkhelaifi5888
@omarkhelaifi5888 9 ай бұрын
Kidumu ni M’Burundi yule
@arnoldrwekaza2265
@arnoldrwekaza2265 9 ай бұрын
Video nzuri, baba mama na mwana wanaangalia bila kugeuka pembeni❤
@M7-Band
@M7-Band 9 ай бұрын
Ngoma kali sana
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg 9 ай бұрын
Kaka sauti yako unapendeza Sana tena Sana kwenye gospel hebu jikite na kule uone au wakushirikishe kwenye nyimbo moja ya gospel
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉 bro msechu
@pcmofficialtz
@pcmofficialtz 9 ай бұрын
Bro we missed this vocal for a long time
@salmonmkanula3718
@salmonmkanula3718 9 ай бұрын
Nyimbo nzuri
@JamesPius-h3q
@JamesPius-h3q 9 ай бұрын
Sawa Mr...
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 9 ай бұрын
My city capetown🔥🔥🔥🙌
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 9 ай бұрын
Kazi Nzuri Sana
@andrewbigambo6721
@andrewbigambo6721 8 ай бұрын
More than notorios b.i.g
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 9 ай бұрын
Nimemwona msechu wa kizungu
@maikorafael4001
@maikorafael4001 9 ай бұрын
Wimbo nzuri Sana
@Ourtraditional
@Ourtraditional 9 ай бұрын
Kalibia mara ya 20 narudia nyimbonhiii i love the song
@jordanquotes4041
@jordanquotes4041 9 ай бұрын
Noma sana🙌
@MustafaErnest-gt1tt
@MustafaErnest-gt1tt 9 ай бұрын
Bonge la nyimbo kaka
@rifathfransisco7821
@rifathfransisco7821 9 ай бұрын
Unajua na unajua tena