PHINA ajilipua ‘JAY MELODY nakupenda’, afunguka RUBY alivyomblock baada ya COLLABO yao 'Nilishangaa'

  Рет қаралды 9,835

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 33
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Nimekupenda sana phina wewe unashukrani sana mtu akikufanyia wema ausahau unasema ukwel na unashukuru safiiiiiiiiiiiiiiiiii sana kwa hilo phina..mim nishabiki yako.. nakukubali sana na nyimbo zako nzuri sana haziboi.. .utafika mbali nimekupa baraka zang as ur fans
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 3 ай бұрын
Dah.. ila wasukuma.. mkaona mtupige interview yeny 1h n' half😅🙌❤🔥
@uiptv365
@uiptv365 3 ай бұрын
Phina yuko vizuri sana 💯💯🙌🏽❤️
@kdloon2030
@kdloon2030 3 ай бұрын
Phina anaongea vizuri,hana makuzi wala hafichi kua alikua broke katika situation flani.Ila ingekua wengine full mishauo!
@empafricatv
@empafricatv 3 ай бұрын
Sns ninumber Moja Tz na Africa mashariki
@mkodojoseph-kt8wd
@mkodojoseph-kt8wd 3 ай бұрын
Brother Sky nilikua Singida ndichi ndichi huko maeneo ya Mkalama nmerudi kufika Nduguti naona umestepup na New Studio, Hongera sana bro..... By the way when was the official launch....?
@safari23
@safari23 3 ай бұрын
We need a Lauren Hill like reggae song from you Phina. You have a lot of potential girl.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 ай бұрын
Brother SKY SNS tunawakubali sana ninaushauli kama ungeuzingatia itakuanoma sana kwako na faida kwa TAIFA kwaujumla mfano hapo nyuma ya TV ungeweka picha za utalii mfano tv ingekua inaonyeaha mbuga za wanyama mlima Kilimanjaro maziwa kisiwa cha Zanzibar nakazalika 🇹🇿🇹🇿🇿🇦🌍
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 3 ай бұрын
Mawazo yako bro nimazuri, ila sasa kumbuka anayeojiwa hapo nimsanii anayeitaji kutangazwa kwa faida ya TAIFA. Sky angeweka hivo unasema, namimi ningekuja kusema kwanini hajaweka nyimbo zaMsanii anayeojiwa brother, ndo hivo.. kuusu utalihii hapo ataweka wakati anazungumzia maswala ya inchi kwa ujumla… ahsante kwa usikivu mwema… Respect
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 ай бұрын
we naye tuondolee upuuz wako hapa .kuna sehemu za kuangalia hayo madude..pita hivi
@shaabanmfaume6102
@shaabanmfaume6102 3 ай бұрын
Weka chanel yako uoneshage wewe ni ushauri tu na mm😂😂
@BoraChongera
@BoraChongera 3 ай бұрын
ila Ruby mkorofi 😂😂😂kila mtu lazima wapishane watu wafupi wana matatizo sana
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 3 ай бұрын
Na ndo asiliya watanzania
@pedroblakesmusic
@pedroblakesmusic 2 ай бұрын
Otile 🔥🔥
@shukrankabuka2948
@shukrankabuka2948 2 ай бұрын
Mh mbona kama I see Vanessa on that guy ❤
@danielmacharia9603
@danielmacharia9603 2 ай бұрын
Wakenya tunafuatilia Sana mambo mingi ya dunia
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 3 ай бұрын
Interview nzuri
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 3 ай бұрын
Ruby anarchies chafuw sn
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 3 ай бұрын
Ongera SNS ❤
@Milanorock
@Milanorock 3 ай бұрын
❤❤❤wasanii wakali wanawake. Ruby. Maua Sama. Phina. Kale katoto kadogo kaa Tid. Halafu hap wengine
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Daimond naomba msapoti phina wetu mana anastaili anakipaji na bado hanataji we akutosha...mpe mtaji angalau ili impush or msain ili umpush mana anakipaji sana na bado kifainensho bado hajakaa sawa... daimond najua hushindwi nakuomba ufanye kitu kwa phina apo ili gurudumu liende mbali
@svt3
@svt3 3 ай бұрын
Kupana sapoti sio mbaya ila wasanii na wanadamu kwa ujumla wengi ukisha wasapoti wana zharau za juu saana huyu phina alitambulishwa na Ritha ila kujulikana kidogo na ka hit song 1 au mbili wala hata salamu hampatie uliza uelezewe
@empafricatv
@empafricatv 3 ай бұрын
🔥
@globalNote-o1c
@globalNote-o1c 3 ай бұрын
Ila Phina eti kasema wilagaaah, daaah
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 3 ай бұрын
Gombeeee. Gombeee.wangapi😂😂😂😂.
@ngarathecomedian5743
@ngarathecomedian5743 3 ай бұрын
Comment yangu msiiguse 😊
@FocusNyari
@FocusNyari 3 ай бұрын
Nimeigusa eeeeh unasemajeeh
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
Vipi kuhusu Lod music?
@sund2553
@sund2553 3 ай бұрын
Mkoti umejaa machata ya Masonic
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 3 ай бұрын
Anajikutaaaaaa mjanjaaaa kmbe ata nguv za kuwafikia hao fremason hana …kututishiaaa maishaaa pyeeeeeee
@HorebuKasuku-zz8cj
@HorebuKasuku-zz8cj 3 ай бұрын
😂😂​@@mwanaidimussa
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 3 ай бұрын
@@HorebuKasuku-zz8cj wanatuchoshaa
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 3 ай бұрын
@@HorebuKasuku-zz8cj vinakeraaa hiv viwatu
Jay Melody _ Wa Peke Yangu Behind The Scene Part 1
12:29
Jay Melody
Рет қаралды 149 М.
Phina ft. Jay Melody - MANU (Official Video)
2:57
Phina
Рет қаралды 12 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa'
37:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 23 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН