Ndoa ikifika hapa ni sehemu hatari sana . Ndio maana wengi wameogipa kuoleka na kuoa talaka zimezidi . Mzee utazoea hapa twaishi ivo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mahirmahir24076 ай бұрын
Nilijua tu beka umshirikishe kesi ya madiko diko 😂😂😂😂😂😂
@hassantabwara90475 ай бұрын
Mzee majidi nimeuona utu uzima wako wazee kama nyinyi ndio mnaoitajika katika jamii hongera sana
@ayshanani6 ай бұрын
Mashaallah mzee mwenye mafunzo na mtoto wake Asema piga chunu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@sadahamad61586 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kumbe ndoa zina mambo duh mzee majid asema piga chunu
@yasminhussein74266 ай бұрын
Weee hatari Sana
@aishaabdallah45606 ай бұрын
Mzee Majid mwambie kwl nje kuna mafisi hiyo taptap itamtumbukia nyongo
@kibibiabdalla14516 ай бұрын
Mzee Majid shikamoo❤❤
@MduneMdunez17 күн бұрын
Waziiii mzee majidii ❤❤❤❤❤
@zarohjuma21516 ай бұрын
Kpwani uchimbaka mchenho nkosa! Beka nbakira ye MadikoDiko
@ZaytoonaKarama6 ай бұрын
Asantaaa mzee majidi mwambie apige chunuuu😂😂😂😂
@khulthum78246 ай бұрын
Kzi nzuri kaka❤
@MwanaidiMwalaini-z1t6 ай бұрын
Baba kama baba mzee majid😂😂😂😂issue na kuzagamua c mchezo
@77Bdb6 ай бұрын
😂😂😂😂😂asante sana mzeee majidi umetufunza kitu sana
@JoyceAngoma6 ай бұрын
Ayo mambo yapo yalimukuta wife yagu kilasiku nilikua naletewa kesi na kakagu siku alipochoka alioa muke wa pili akasahau muke wa kwanza mafundisho mazuri sana😂😂😂
@alimwaduya50436 ай бұрын
Nakubali beka ruga ba Toto basamweni
@يوسفحفنى-و1ل6 ай бұрын
Piga chinu mwanamke kelele mzee hatar😂😂😂😂😂
@princessleahluvuno6 ай бұрын
Duh alaf mnaupataje huo ungoso wa mzee majid😂😂😂
@Mariam-fm8vq6 ай бұрын
Madikodiko chunu kwa mumeo 😂😂😂😂😂😂😂Nawapenda sana team nzima
@HassanHassan-ix7cj6 ай бұрын
Beka hupenda kutumia nguvu nyingi Kuliko akili
@NasraSalum-v6s5 ай бұрын
😂😂😂😅😅nawaona nawaona nani kutoka uk mambo nakuona 😅😅😅