Pigo la Yatima Part 1 - Hemed Suleiman, Jennifer Raymond (Official Bongo Movie)

  Рет қаралды 483,901

Africha Movies

Africha Movies

Күн бұрын

Pigo la Yatima Part 1 - Hemed Suleiman, Jennifer Raymond (Official Bongo Movie)
Watch Part 2 Here: • Pigo la Yatima Part 2 ...
CAST: Hemed Suleiman, Jennifer Raymond, Rev. John Makanyanga, Farida Sabu, Annah Msangi, Richard Msanga, Angel John
STORY: Rev. John Makanyanga
EDITOR: Hadija Kingi, Rashid Faraji
DIRECTOR: Mgeni Khamisi
YEAR: 2011
Subscribe to Africa Movies on KZbin here: bit.ly/AfrichaM...
Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film #AfrichaMovies #SwahiliMovies #BongoMovies

Пікірлер: 147
@fatumaababy1281
@fatumaababy1281 5 жыл бұрын
Wale wakusoma comments kwanza pita na like +974
@mohamedAli-vf8hp
@mohamedAli-vf8hp 4 жыл бұрын
+974 niko hapa
@getrudekakorozya951
@getrudekakorozya951 4 жыл бұрын
Inzi kama wote
@reginacharles7263
@reginacharles7263 5 жыл бұрын
Mmh siwezag kuangalia muv bila ya kusoma comment
@mussajohn8160
@mussajohn8160 4 жыл бұрын
Pamoja dada
@abdinasirdaro4714
@abdinasirdaro4714 4 жыл бұрын
Pamoja boss
@samwelmlwale930
@samwelmlwale930 3 жыл бұрын
Asante
@makambatvshow
@makambatvshow 5 жыл бұрын
Mimi na roho safi kabisa like nitawapa bure
@carolinemwamba5154
@carolinemwamba5154 5 жыл бұрын
Wale tunao watch 2019 leteni like zetu hapa
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 5 жыл бұрын
Hemed uko sawa Sana hongera Bro.endelea kutupa mafunzo mazri zaidi
@rizikihamisi2728
@rizikihamisi2728 5 жыл бұрын
Masha Allah iko poa sanaa
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 5 жыл бұрын
Wangapi tumeiyelewa hii move? Like zenu please
@rukiaomar3369
@rukiaomar3369 2 жыл бұрын
Mashallah ka,i nzuli
@abdulsudeistheuntouchableo6325
@abdulsudeistheuntouchableo6325 5 жыл бұрын
😂😂😂😆😆 Nmeconfirm kwa macomments kuwa movie ni nzuri thanks ntawatch ssa..
@leahmax4908
@leahmax4908 5 жыл бұрын
Hongera team hemed
@stephenmuthoka6070
@stephenmuthoka6070 4 жыл бұрын
Wangani tunawatch 2020
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 3 жыл бұрын
Mie nangalia 2021 hapa
@terrietrizah3049
@terrietrizah3049 5 жыл бұрын
Hongereni kwa movie nzuri
@kungukimani9260
@kungukimani9260 5 жыл бұрын
Nice movie watching from doha
@mejubaraza9415
@mejubaraza9415 5 жыл бұрын
Penda sana mama hidaya na hemed hii dude fire part 2 plz
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Da hiyo Bravo nilikuwa naipendaga nakumbuka picha za kispaniola ndio walikuwaga wanapendaga Sema hivyo na sisi tukawa tu napenda tu nasema hivyo
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Kisasi cha mzimu ya mda
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Huyu mdada anafananaga na jini kabura kina kipindi nilipaniaga naye gar yani jini kabura mtupu na yes alivyoekt jini ndo kabisa na yeye nasikia ni wa uko uko mwanza lakini halafu Kuna kipindi Kuna dada, akaniambiaga eti wametangaza kafa nikasema mh sijuwi alinisemea tu yule dada
@shimwekagwiza2300
@shimwekagwiza2300 5 жыл бұрын
Muvi nzuri sana
@mussaowen5636
@mussaowen5636 5 жыл бұрын
Jamani pate 2
@bisurabakari402
@bisurabakari402 5 жыл бұрын
Kama umeona nzi wanavyosumbua kwenye meza ya chakula gonga like
@naomibenjamini2088
@naomibenjamini2088 5 жыл бұрын
My sweet African culture hapo kwenye kurithi wanawake wajane ndo unaniachaga hoi
@samuelkisoi5037
@samuelkisoi5037 4 жыл бұрын
Allowing your wife and sister live in one apartment really poses a great challenge just be cautious fellow men as you enter into marriage
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Whoo nice movie...part 2please
@saumrajabpalomar9569
@saumrajabpalomar9569 5 жыл бұрын
Nice movie Asanteni washirika👌👌👌👌👌👌👌👌👌👍👍👍👍👍
@sweetbeibebeibe5230
@sweetbeibebeibe5230 5 жыл бұрын
Movie nzuri
@lastbonhatibu7280
@lastbonhatibu7280 5 жыл бұрын
me leo wa 4 lkes plz
@shakilakipingushakilakipin5628
@shakilakipingushakilakipin5628 5 жыл бұрын
Lastbon Hatibu jko
@shakilakipingushakilakipin5628
@shakilakipingushakilakipin5628 5 жыл бұрын
Lastbon wy
@shakilakipingushakilakipin5628
@shakilakipingushakilakipin5628 5 жыл бұрын
Lastbon Hatibu
@zuhuramwawimo5697
@zuhuramwawimo5697 3 жыл бұрын
Mashaallah iko swa 👌👌👌💞
@kaniyahiouise1474
@kaniyahiouise1474 5 жыл бұрын
*Aisee anavyo nyanyasika mama Isaac inatia huruma!*
@aminaathuma3193
@aminaathuma3193 3 жыл бұрын
Kasaidie
@alibakar1489
@alibakar1489 5 жыл бұрын
Anaetangaza ni mau Jamani nmepatia au vp mau fundi
@tuphujekumuhkunonyiile3739
@tuphujekumuhkunonyiile3739 5 жыл бұрын
Ndio mau
@sahitamahenge4249
@sahitamahenge4249 5 жыл бұрын
yes ni mau
@mussajohn8160
@mussajohn8160 4 жыл бұрын
Maufundi huyo
@bestwinner4571
@bestwinner4571 4 жыл бұрын
Nice
@mwanahawasheikhal8177
@mwanahawasheikhal8177 5 жыл бұрын
Nzuri
@againgift9188
@againgift9188 3 жыл бұрын
Good movie
@aredsimbua7218
@aredsimbua7218 4 жыл бұрын
Watching from 2020
@BienfaitMunga
@BienfaitMunga 3 ай бұрын
❤❤❤
@biommy6700
@biommy6700 5 жыл бұрын
Bravo! Waiting part ll...
@polotetamaly5137
@polotetamaly5137 5 жыл бұрын
The move relates to the society uuuuuwi izck unatakiwa uchague kati ya Dada au mke,,, ha po chacha
@maseleleonard8885
@maseleleonard8885 5 жыл бұрын
Movie nzuriii
@richardmasenha4221
@richardmasenha4221 5 жыл бұрын
Hatar sana kaz nzr
@pascalydulaydulay8351
@pascalydulaydulay8351 5 жыл бұрын
Masele Leonard
@richardmasenha4221
@richardmasenha4221 5 жыл бұрын
Napenda sana sanaa kama nitapata nafas nipo tayr kuwa mwigizaji
@mathewfilbert4591
@mathewfilbert4591 4 жыл бұрын
TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TIBA YAKE. Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la tatizo la uvimbe kwenye kuzazi kwa akina mama ama wanawake wengi. Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la uzazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi (ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi. Kuna aina tatu za fibroids: 1.Submucosal fibroids (ndani ya kizazi) 2.intramural fibroid (ndani ya nyama za kizazi) 3. Subserosal (nje ya kizazi) Ni watu gani wenye hatari ya kupata fibroids 1. Mwanamkehajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa 2. Miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma 3. Kurithi 4. Uzito wa juu au Unene 5. Kuingia hedhi mapema Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma. Dalili za fibroids 1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi. 2. Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe. 3. Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe, wengi hupata maumivu makali sana. 4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu. 5. Hedhi zisizokuwa na mpango 6. Maumivu wakati wa tendo la ndoa 7. Kukosa hamu ya tendo la ndoa 8. Maumivu makali wakati wa hedhi Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo. 1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo 2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo (U.T.I isiyokoma) 3.Haja kuwa ngumu 4. Miguu kuvimba 5. Kupungukiwa damu Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto: 1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yaani ovaries 2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi, hasa submucosal fibroids 3. Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai. Ikiwa upo dar ni vema ukafika ofisin kufanyiwa vipimo pamoja na ushauri kwa gharama ndogo kabsa. Tunapatikana MORROCO -DAR ES SALAAM Kwa wahitaji wa tiba hizi zinapatakana na gharama yake ni nafuu sana. kwa wakazi wa mkoani unatumiwa kwenye Bus Wasiliana nasi kwa: PIGA/SMS/WhatsApp +255743043558 or +255672533489 _______ Tunakuhakikishia kuwa na afya njema zaidi ukiitunza na kuihudumia afya yako kwa vyakula na bidhaa za tibalishe daima.
@everlynmanigamaniga818
@everlynmanigamaniga818 5 жыл бұрын
Huyu msichana amejitunza Sana tangu lulu akiwa mdogo hazeeki walai,
@tematema3101
@tematema3101 5 жыл бұрын
Nice part 2 plz
@erickponda8424
@erickponda8424 5 жыл бұрын
So touching
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 5 жыл бұрын
Mwenderezo
@neythorickys5945
@neythorickys5945 5 жыл бұрын
Muwe mnawapa wake zenu vipaumbele
@aminaathuma3193
@aminaathuma3193 3 жыл бұрын
Kwel
@goodlackmushi226
@goodlackmushi226 5 жыл бұрын
Part 2 plz
@user-nd9tm5ki8h
@user-nd9tm5ki8h 5 жыл бұрын
Kazi nzur
@yuvinkalikenya3168
@yuvinkalikenya3168 3 жыл бұрын
comments mbona haziridhishi sanaa mv ni nzuri kweli?
@hildameela2963
@hildameela2963 5 жыл бұрын
Niceeee
@samwelisimon4383
@samwelisimon4383 5 жыл бұрын
nice move
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 5 жыл бұрын
Mzee kasukumwa chali kuenuka hawezi 😀😀😀nimecheka hadi mwisho
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
😀😀😀 uuuuwi hapo nimcheka kweli
@shimwekagwiza2300
@shimwekagwiza2300 5 жыл бұрын
Mwenyew nilicheka atarii
@mariammariam4408
@mariammariam4408 5 жыл бұрын
Johari part 2 plz
@user-ze1gn4ug1r
@user-ze1gn4ug1r 5 жыл бұрын
mtupe namba2
@balkissbalbalkis7872
@balkissbalbalkis7872 5 жыл бұрын
Smart part 2 plz hongereni sana
@chapainambiroy7933
@chapainambiroy7933 5 жыл бұрын
Wanamwonea mama aisee mali za mumewe ili mradi ana kijana wake me siafiki hiyo.
@magrethsommy.6882
@magrethsommy.6882 3 жыл бұрын
Wooow
@gracelevi6339
@gracelevi6339 5 жыл бұрын
Part 2
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 4 жыл бұрын
Hhaaaa et period😂😂😂yahuZunisha but twafrahi kiac
@ajlascafff6095
@ajlascafff6095 5 жыл бұрын
Mm Ananza kuangalia
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Kwa tumbo Hilo mzee baba iyo shuuli yawaje😁😁😁😁😁😁
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 5 жыл бұрын
😂😂😂😂ataj Kuna kadir ya ùwèźò wake
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 5 жыл бұрын
Halima Omar umeniacha hoi kwa kicheko 😀😀😀
@reginershadrack2738
@reginershadrack2738 5 жыл бұрын
nimeipenda xaaan hiii move
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 жыл бұрын
Hakumtendea haki mkewe nilazima aseme kuwa atasafiri lakini kushitukiza km hivi sio poa japo hakuna kinachobadilika
@rynegaby2763
@rynegaby2763 3 жыл бұрын
Daaaaah inafndsha Sana aseee Ila hemedi bana😜😜😜😜
@prudentsalim08
@prudentsalim08 5 жыл бұрын
👌
@mariakashaulo7754
@mariakashaulo7754 4 жыл бұрын
Mh so kwel nani anaweza kutoa mali zake zote kizembe hvy
@shukurubuhando9648
@shukurubuhando9648 4 жыл бұрын
namupenda mungu kumaisha yangu yote!!!
@athmanihha1783
@athmanihha1783 5 жыл бұрын
Nimeipenda part two
@piusimassawe1592
@piusimassawe1592 5 жыл бұрын
Part 2 jamani, nimeipenda sana hongera sana emed kwa kazi yako
@happymwafulilwa4610
@happymwafulilwa4610 5 жыл бұрын
Daaah maisha nisafar ndefu kweli hakika mejifunza
@richardmasenha4221
@richardmasenha4221 5 жыл бұрын
Kali sana big up with you guys
@madulusizya4730
@madulusizya4730 3 жыл бұрын
Biggap broo
@nasralarika3151
@nasralarika3151 5 жыл бұрын
Iko pow
@chrispinurio6341
@chrispinurio6341 3 жыл бұрын
nzur
@chrispinurio6341
@chrispinurio6341 3 жыл бұрын
mmmh
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 жыл бұрын
Hii move ya mwaka gani
@Africhamovies
@Africhamovies 5 жыл бұрын
2011
@evangelineniyukuri4234
@evangelineniyukuri4234 5 жыл бұрын
Mwendelezo ❤️💜🥰
@rafaelmsungu3342
@rafaelmsungu3342 5 жыл бұрын
Nice
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 жыл бұрын
Dokta wa changudoa
@diannanamsia9671
@diannanamsia9671 5 жыл бұрын
👏👏👌
@aisharashid6241
@aisharashid6241 4 жыл бұрын
Move nzur sana hongereni sana inamafunzo mengi moja wanaume msitudharau
@mukaipeter2186
@mukaipeter2186 2 жыл бұрын
Nice movie
@ericmwema8132
@ericmwema8132 5 жыл бұрын
👍👍🙏🙏
@cathbertymatthew8163
@cathbertymatthew8163 5 жыл бұрын
move nzuri lakini director vinanda vipo juu kuliko saut
@ashasultan903
@ashasultan903 5 жыл бұрын
Nc mov
@laylahasshim827
@laylahasshim827 5 жыл бұрын
Movi nzuriiiii lkn huyo mke mbaya🤣🤣
@nasha_59
@nasha_59 7 ай бұрын
Mbya wa Sura au 😂😂😂😂
@rakamodo9216
@rakamodo9216 5 жыл бұрын
nzr
@saumuali8132
@saumuali8132 5 жыл бұрын
Wow nic move plz part 2 jaman tuleteni
@jamcsamuel5204
@jamcsamuel5204 4 жыл бұрын
Wanaleta
@shabanichamcham8257
@shabanichamcham8257 5 жыл бұрын
Part 2 please movie nzuri
@user-cc8vz1hd7r
@user-cc8vz1hd7r 5 жыл бұрын
Nataka..pogo.ra.yatima. pati.2.
@janetchildofgod1254
@janetchildofgod1254 5 жыл бұрын
Leteni part 2 haraka
@mussaowen5636
@mussaowen5636 5 жыл бұрын
Mvu kali
@raphaelmunga547
@raphaelmunga547 5 жыл бұрын
Nice move ,where is part two guy's please.
@danijofrey1158
@danijofrey1158 5 жыл бұрын
imenifanya nilie
@fatumamacharia9465
@fatumamacharia9465 5 жыл бұрын
Nice movie part 2 please
@isaacormintia6502
@isaacormintia6502 5 жыл бұрын
mosses Ngalama..
@rehemangawanga8566
@rehemangawanga8566 Жыл бұрын
meme nemuombe mxamaha wifi wa ivyo xubutu
@georgetesaidi9400
@georgetesaidi9400 5 жыл бұрын
Part 2 iko wapi?
@willysamwel6091
@willysamwel6091 5 жыл бұрын
Mama Isaac angelikubalia limanase alafu baadae aliue
@getrudekakorozya951
@getrudekakorozya951 4 жыл бұрын
Matangazo mengi,mnatumalizia mb zetu
@saumuali8132
@saumuali8132 5 жыл бұрын
Part 2 araka tuleteni
@maalimissa6933
@maalimissa6933 5 жыл бұрын
move plz p2 tuileten
@anamwanza1222
@anamwanza1222 4 жыл бұрын
Hata kuweka maoni ya maana mnashindwa??? Mmekalia nipeni koment zangu kwakazi gani upewe like?? Wapuuzi kweli nyie mnaokuwa mnadai koment nawaliocheza wapewe nini
@chikumtalatanakukumbukasan5432
@chikumtalatanakukumbukasan5432 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@jamcsamuel5204
@jamcsamuel5204 4 жыл бұрын
Huuuuhuhuhuhu jmn jmn
@lucydunia9813
@lucydunia9813 4 жыл бұрын
Good
@salmarashid3492
@salmarashid3492 4 жыл бұрын
C wamepewaga hela zao
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 5 жыл бұрын
Daaah mali aiendi fasi nini?hhhh
@salomejulius5909
@salomejulius5909 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@keshisimonfanuelfanuel4447
@keshisimonfanuelfanuel4447 3 жыл бұрын
Kabila gani hii inayolisishwa na mke baada mme kufa muv nzul sana
@ruqiaothman3112
@ruqiaothman3112 5 жыл бұрын
Mila potofu nachukia
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 5 жыл бұрын
Jimwili huna lolote kinga'ng'anizi tu
@salomejulius5909
@salomejulius5909 4 жыл бұрын
🤣🤣
@changwemanyama867
@changwemanyama867 5 жыл бұрын
Asiyekuamuni na wewe usimuamini
@salomejulius5909
@salomejulius5909 4 жыл бұрын
Sawa kabisa
@josiahbota9574
@josiahbota9574 4 жыл бұрын
The introduction taking too long please try to shorten
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 5 жыл бұрын
Ombea nz wafe maan naona wenģ Jàmàñ KABLA ya ñďòa tuulizie wenye mila ķàmà una mila zaid ya kanun za Islamic kaa mbal na mie ķàmà mfuko wa Rambo ñà Ťàñźàñìà
@aminaathuma3193
@aminaathuma3193 3 жыл бұрын
Stakuja kufata mla kamwe
@rukiaomar3369
@rukiaomar3369 2 жыл бұрын
Mashallah ka,i nzuli
@hildameela2963
@hildameela2963 5 жыл бұрын
Part 2 plz
MZEE  WA  SWAGA 1//JB/WASTARA JUMA/THEA/WELU SENGO/CASIE KABWITA
1:04:48
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 11 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 119 МЛН
14 DAYS (SIKU 14) Part 1 Official Bongo Movie
1:00:21
Zuuh Ally
Рет қаралды 73 М.
Mtazame Lulu Akiondoka kwa Masikitiko Mahakama Kuu, Kesi ya Kanumba
5:52
Global TV Online
Рет қаралды 503 М.
RIYAMA: part 1 ( Tanzania Movie) {  English Sub }
46:29
atimuabda
Рет қаралды 768 М.
MALIPO YA MTOTO PART 1 _ HEMED PHD,GRACE MAPUNDA
48:47
Halisi Film
Рет қаралды 66 М.
MWASITI/HEMEDY PHD/RAYUU/HIDAYA NJAID/DUMA/BONGO MOVIE 2020
51:23
FIRST LOVE FULL MOVIE
1:18:03
hemedy chande TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 11 МЛН