Unafundisha kutoka moyoni na huna uchoyo na kipawa Chako alichokujalia mwenyenzi mungu!Sijutii kukufahamu na ninafuraha kuwa mwanafamilia wa Chanel yako, Niseme tu Nakupenda Sana na ninakuombea heri weye pamoja na kizazi Chako Ameen
@aminaabdy2063 Жыл бұрын
Thanks Da Malkia..barikiwa sana dadangu
@khadijanassor5730 Жыл бұрын
Sauti iko chini sana
@SitiHassan-z6g Жыл бұрын
Namba plz
@MaranduFillo Жыл бұрын
Bby anasafir akirud tu anakutana nacho ... Tutagawana zawad mrembo
@deboradavid7833 Жыл бұрын
❤❤❤
@smartdadaztrainingcenter3525 Жыл бұрын
Asante maa
@FabiolaIbrahim-s5p Жыл бұрын
Mimi nipo China hiyo cooking cream ni ipi zile za keki au?Nataka nipike hili pishi 😋