Pilipili ya Kukaanga/Jinsi ya kupika Pilipili ya Maembe Mabivu /Mango & Habanero Recipe/Hot Chilli

  Рет қаралды 41,151

Tajiri's Kitchen Swahili Flavor

Tajiri's Kitchen Swahili Flavor

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 2 жыл бұрын
salàm alekum mashallaah
@edithaminja9231
@edithaminja9231 2 жыл бұрын
Nimeipenda ssna na nitajaribu Dada.
@annakamau7153
@annakamau7153 Жыл бұрын
This habanero and mango chili reship is the best!
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Thank you
@kitchen_affairs_tz
@kitchen_affairs_tz 4 жыл бұрын
Thanks for the recipe. Pilipili tamu sana. Nimejaribu
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Karibu sana dear
@helamamohd7318
@helamamohd7318 4 жыл бұрын
Apo kweli pilipili wazimu 👌
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 жыл бұрын
Mashaallah na unavyopenda pili pili dda apo swa
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣 bila pilipili chakula hakishuki
@mwajumbetajiri3771
@mwajumbetajiri3771 4 жыл бұрын
Maashaallah mambo yangu hayo
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Kabisa tena, nimeiba kwako 🤣🤣🤣
@leahkuria1165
@leahkuria1165 4 жыл бұрын
Yummy yummy
@Puppilein
@Puppilein 3 жыл бұрын
Super Tajirie i Love what youre doing 🤗
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 жыл бұрын
Thank you so much dear😘
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Na mimi nitatengeneza kwa kweli maana inavutia👌👌👌
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Karibu sana
@angelcharles7731
@angelcharles7731 4 жыл бұрын
Asante xna mapish yko mazur xna
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Asante sana
@halimambarak4443
@halimambarak4443 4 жыл бұрын
Am going to make this. Looks spicy I like it keep it up😋
@gabriellove5605
@gabriellove5605 2 жыл бұрын
Yummy amazing dadaa
@terryskitchen337
@terryskitchen337 4 жыл бұрын
Huu mwasho wahitaji biri ama pilau...mate yanidondoka😋
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣 na zile kachori zako 😋
@terryskitchen337
@terryskitchen337 4 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 ushasema!😂😂
@janemutinda3016
@janemutinda3016 4 жыл бұрын
Awasome.
@rezeekybeiby1519
@rezeekybeiby1519 4 жыл бұрын
Masha allah nithamu sanaa😁
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Tena sanaa😋
@zahramauba4821
@zahramauba4821 4 жыл бұрын
Mmmmh umenigusa
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@florencekambe3615
@florencekambe3615 4 жыл бұрын
Asante kwa kushare recipe mamii....kindly make a roasted potatoes recipe
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Karibu sana. Ok, will do that, but I have a similar video like that.
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fniqZoOdjcuHoZo
@florencekambe3615
@florencekambe3615 4 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723asante... ya safari ii tafadhali Fanya ovenless
@bintkismayokitchen34
@bintkismayokitchen34 4 жыл бұрын
amazing recipes masha allah 💕💕💕
@saumumohamed
@saumumohamed 4 жыл бұрын
Amaizing
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Thank you 😊
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 4 жыл бұрын
Asante 😋😋😋😋
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Karibu sana
@victoriamutinda3621
@victoriamutinda3621 3 жыл бұрын
Asante sana kwa recipe , hivi hii pilipili ita kaa kwa mdaa mgani uki weka kwenye fridge ?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 жыл бұрын
Yangu hukaa miezi 3
@safiaothman1098
@safiaothman1098 4 жыл бұрын
Shukraan Jazilaan. Ili pilipili ikae muda mrefu bila kuharibika inawekwa nini?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Dawa yake ni ikauke vizuri tu na mafuta uweke yakutosha dear.
@safiaothman1098
@safiaothman1098 4 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Je Vinegar inasaidia kuhifadhi Pilipili kwa Muda mrefu?
@husnamajid1491
@husnamajid1491 4 жыл бұрын
Embe la kuiva au bichi🤔
@independentvoter2448
@independentvoter2448 3 жыл бұрын
Nani anajua hi pilipil inaweza kaa muda gani bila fridge na ikiendelea kitumika?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Wiki mbili
@khadijabadawy83didaa85
@khadijabadawy83didaa85 4 жыл бұрын
Yafaa na bhajia hii
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Wajulia 😋
@rozzywanjala464
@rozzywanjala464 4 жыл бұрын
Utamu kaa wote
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Yaitwa utamu na muwasho
@bintmohamed4136
@bintmohamed4136 4 жыл бұрын
Haiaribik arak?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Itakaa sana juu iko na mafuta yakutosha. Nakwa fridge miezi 3
@dorismkwizu4746
@dorismkwizu4746 4 жыл бұрын
Kma huna frige n unaapika za biashra utaweka nn ikae mda mrefu
@FavouredMishi
@FavouredMishi 4 жыл бұрын
@@dorismkwizu4746 mafuta ya juu daa
@jacklinegeorge7034
@jacklinegeorge7034 4 жыл бұрын
Inafaa kwa biashara!??
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Yes inafaa
@jacklinegeorge7034
@jacklinegeorge7034 4 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 ikifunguliwa inadumu mda gan bila kuwekwa kwenye friji
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 4 жыл бұрын
Si kwa muasho huo vyakula vyangu vyote lazima na pili pilipili iwe pembeni
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Ndio raha yake hiyo
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 4 жыл бұрын
😋😋😋😋🙏
@discipleshipworkshop
@discipleshipworkshop 3 жыл бұрын
Je nilazima kuhifadhi kwa Friji au sio lazima
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 жыл бұрын
Inaeza kukaa bila ya Fridge kwa mda ya wiki tu
@marinaarsen3151
@marinaarsen3151 3 жыл бұрын
Jamani kwa tusiokuwa na brenda 😔
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 жыл бұрын
Kata kata maembe madogo dogo tu na uponde pilipili kwa kinu dear
@parmenamungatana5142
@parmenamungatana5142 4 жыл бұрын
Inawasha 😭😖😵😵😵😵🥵🥵🥵🥵🥵🥵
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Tena wazimu 🤣🤣🤣🤣
@lauranthenya7521
@lauranthenya7521 3 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 inakaa mda wa siku ngapi kwenye friji?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 жыл бұрын
@@lauranthenya7521 Hata miezi 3 itategemea na nguvu ya Fridge yako na matumizi yako. Bora usiiweke kijiko kiliona chakula
PILIPILI YA KUKAANGA | Ordinary Kitchen
10:58
Milly Chebby
Рет қаралды 51 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,1 МЛН
BLACK PEPPER SAUCE / PEPPERCORN RECIPE
6:06
lutong bale
Рет қаралды 2,5 МЛН
ACHARI YA EMBE ( AINA YA KIMCHI)
5:33
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 48 М.
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
keki plus
Рет қаралды 1,7 МЛН
Achari ya Maembe /Mango Pickles / Upikaji wa Achari Tamu Sana /Tajiri's Kitchen
7:03
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 46 М.
MCHUZI WA NYAMA YA KUKAANGA /JINSI YA KUPIKA ROSTI YA NYAMA / MUTTON CURRY RECIPE
8:36
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 1,6 МЛН