Amen ,,nimeitafuta baada ya kuomba saa 3 am - 4am on 15th January 2025. NYOSHA MKONO WAKO WA BARAKA KWANGU BWANA
@subirasaid7534 жыл бұрын
Mungu awabariki sana gonga like kama unawakubali kama mm
@davidogonji53495 жыл бұрын
God bless you so much. The song and Jua litue reminds when I was sacked from job because of rumours but God held His promises to me I got another job. Glory be to God
@rehemaakinyi19028 ай бұрын
He hears and answers our prayers
@patriciamuhanga61428 ай бұрын
Tangu nimjue sijamuona akizibadilisha... 😭😭😭
@eliasm.abdallah25233 жыл бұрын
Shinda za akina corona ......BWANA WETU YESU HAJASHINDWA ...INUKA ANGAZA KUWA YESU NI ZAIDI YA MAGONJWAA...TUSIFU NA KUIMBA..MBARIKIWE MWENDE MBALI ILA MSIPOTEEE
@sarylary45774 жыл бұрын
Mimi sitachoka kamwe kusikiza hizi nyimbo tamu,nawasikiza kutoka Saudi Arabia mbarikiwe sana
@OnlineUpdates2543 жыл бұрын
Tuko nawe
@harryokello2 жыл бұрын
Listening to this song on a Saturday afternoon @ 14:49_28th January 2023😇
@waterkiplangat24752 ай бұрын
God has blessed me with this song,2024.
@blessedkenya86403 жыл бұрын
Yaani nifuraha tele ninapozidi kusikiliza huu wimbo mbarikiwe sana
@millicentatieno34953 жыл бұрын
Kila mwenye pumzi inuka tukamsifu 🙏❤️.
@henoczoundi29866 жыл бұрын
4. Tangu kuzaliwa kwangu mpaka 1993, niliona kila mara ya kwamba ukweli upo tu katika kanisa katolika kwa hiyo, nilipo pokea ono, ni kwa askofu wa katolika nilienda kuelezea. Na alipokuwa akisema, nilijiswali namna gani niliweza kuvutiwa na makasisi hao tangu utoto wangu? Mara hapo nikawa kabisa na kiu ya ukweli kwa hiyo mnamo mei 1993, nilikuwa mshiriki wa kanisa la wabatisti. June, nilikuwa mshiriki wa kanisa moja la kiinjili. Agosti, nilikuwa mshiriki wa kanisa linguine la kiinjili. Septemba, nilikuwa mshiriki wa kanisa linguine. Kisha tena ingine. Kisha nikabaki nyumbani sijui niende wapi. Nilifunga chakula karibu kila siku wakati mwanamke mwalimu wa shule alinipa kijitabu cha William Branham. Nilitafuta mimi binafsi na nilipata kanisa moja la kibranhamisti. Na nilibaki humo hadi machi 2002 ninapo tafuta nabii aliye hai kama William Branham.
@olivianduri89006 жыл бұрын
Inuka tangaza I can't get enough of this song
@Ellyrahab4 жыл бұрын
be blessed its a song that reminds me that GOD is always there for me
@georgeakoth30655 жыл бұрын
Waaaaaa.... for sure i really love this song, it make me to feel more relax spiritually. May God blessed you abundantly Pillar of Faith, amen amen amen
@JAVANRAYHARD2 ай бұрын
❤❤ mungu apewe sifa na hasiruhusu mwanadamu anguzee utukufu wake
@lobotosimon41314 жыл бұрын
I'm always blessed by this song
@damsonmywanga44055 жыл бұрын
Fear not, announce again His Name announce again sign, announce again His songs Announce worship, though everything Praise God at all.
@nassasika29006 жыл бұрын
nabii kacou Philippe 6. Haya! Tunajua ya kwamba manabii wajumbe wote walipokea ujumbe yao toka mbinguni na tuone sasa Ujumbe huu wa shairi la 6 na la 7. Ni Ujumbe ya kwanza inao mwambia mwafrika, kwa mfano, amuabudu Mungu wa kweli aliye fanya mbingu: nyota, jua, mwezi, hata pia malaika walioanguka wanao tumia horoskope, orodha za maajabu, dini. Mungu haja wahi kuwa tatika dini. Ukristo halisi siyo dini bali maisha. Malaika huyo anaomba wahaiti na wabenina kuachana na vodoo, uchawi, asili na zingine aina zote za kuabudu na kuita mapepo… Mungu aliumba dunia kwa kuishi kwetu na hatupashwe kuigeuza kuwa msitu takatifu, sanamu na mask kwa kuiabudu… Hii ndiyo ilikuwa Ujumbe ya malaika wa kwanza. Na huyu malaika wa kwanza ni mtume Paulo. Bahari kubwa na chemchem za maji hazikuumbwa kwa kuabudiwa bali ni Mungu ndiye inatupasa kumwabudu; ni Mungu ndiye muumbaji. Mnaona? 7. Baadaye, kwa shairi la 8, malaika wa pili alitoka; siyo katika seminari wala katika shule la uchungaji bali alitoka mbiguni. Kwa kutangaza teolojia? Hapana! Kwa kufundisha mahubiri ambayo tayari yalihubiriwa tangu zamani kumepita miaka arobaini au mia moja? Hapana! Kwa kuenda kuwafunulia neno waalimu na wenye kuleta mafunzo katika shule za wachungaji? Hapana! Kwa kutoa maoni yake kulingana na yale mtu Fulani alisema imepita miaka arobaini? Hapana!... LAKINI WAKATI ILITIMIA ILI KUHUBIRI INJILI YA UPEO MWINGINE! [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. Kuhubiri hukumu ya Babiloni, kanisa katolika kwa kuwa alipiganisha, aliua watakatifu na kuharibu njia zote za wokovu. Na hii imewekwa wazi katika Ufunuo 17. Ilikuwa kwa karne ya XV na ya XVI pamoja na mageuzi. Na ile iliongoza hadi uprotestanti. 8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!].
@jacobmbewe47592 жыл бұрын
The melody of this song is so attractive and sweet to the ear. I'm listening to it from Zambia anyone to drop a brief meaning of what the song is talking about.
@FellyRealEstate2 жыл бұрын
Hello Jacob, I've known this song forever but I've never watched it here on KZbin. I've come across your comment today and I don't know if it's too late to respond..? Here's the translation, I hope you are blessed with it. 1.Rise up and announce that His Coming is near! All the challenges we have are for a short while.. Oh Ye who has doubts about it will be amazed. Chorus,, Our Lord has kept his promises, and since I've known him he hasn't gone back from his promises, 2.Day and night, we shall sing of his praises and that have breathe rise up and praise Him!
@tabangatluak83392 жыл бұрын
@@FellyRealEstate thanks so much for your effort here am previledged to grab this beautiful song through your translation
@dorcasdekiratu49285 жыл бұрын
Amen it is a powerful song thank you SDA you are the best
@kacoumonpere5856 жыл бұрын
Living Prophet Messenger Kacou Philippe: 10. Ujumbe huu unasema ya kwamba uislamu, ukristo na uyahudi ndizo maroho tatu za chura zinazo zungumziwa katika Ufunuo 16:13. Dini hizo tatu zajidai kuwa wa Ibrahimu. Hizo Dini tatu zaamini Musa. Dini hizo tatu haziwaamini manabii waliyo hai ila tu kila moja hujidai kuwa wa nabii ambaye hakumjuwa. Kila moja ana kitabu chake kitakatifu. Na yote tatu yanangojea Mesiya. Ndizo roho tatu za chura katika Ufunuo 16:13. Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion.
@jacklinejames10504 жыл бұрын
Wewe ni jini mchawii...die to hell
@stellawawira855 жыл бұрын
Everyday I must listen to this song,I feel blessed by your songs
@dianakendi26386 жыл бұрын
My favorite song I love it😍😍😍😍
@selenganyagawa13583 жыл бұрын
Ahsante Sana wapendwa, wimbo unabari
@asneth11876 жыл бұрын
AMEN Nice song indeed stay blessed brother's nd sister's I'm listening from Saudi Arabia Beautiful
@toahiwilfried37946 жыл бұрын
Kc. 32: 5 Mbali na kile Mungu anachofanya hapa, hakuna Roho Mtakatifu mahali pengine. Na huwezi kudai kuwa na Roho Mtakatifu na kukaa katika Kanisa Katoliki, Kiprotestanti, Evangelical au Branhamist. Ikiwa uko katika makanisa haya na unasikia hisia au upako, unajua kuwa ni hisia na mafuta ya mapepo. Mbali na ujumbe ambao mimi, nabii Kacou Philip, ninahubiri, hakuna wokovu popote, hakuna Ukweli popote na hakuna Roho Mtakatifu mahali pengine.
@eliudnyongesa60255 жыл бұрын
My god blees all
@eliudnyongesa60255 жыл бұрын
@@toahiwilfried3794 unadanganya watu wewe
@thegospelmessage50394 жыл бұрын
@ Toahi wilfried false prophet. if they speak not according to the law because there is no truth in them.
@janenaibala68194 жыл бұрын
Hallelujah....sauti nzuri Sana Mungu awabari waimbaji....
@nouratana64636 жыл бұрын
Nabii Kacou Philippe : 10. Ujumbe huu unasema ya kwamba uislamu, ukristo na uyahudi ndizo maroho tatu za chura zinazo zungumziwa katika Ufunuo 16:13. Dini hizo tatu zajidai kuwa wa Ibrahimu. Hizo Dini tatu zaamini Musa. Dini hizo tatu haziwaamini manabii waliyo hai ila tu kila moja hujidai kuwa wa nabii ambaye hakumjuwa. Kila moja ana kitabu chake kitakatifu. Na yote tatu yanangojea Mesiya. Ndizo roho tatu za chura katika Ufunuo 16:13. Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion.
@SeweDickens5 ай бұрын
A great 👍 song an impressing piece....has been a great motivation to me spiritually since my time in KACHOK SDA CHOIR....back in "2000" ...... singing singing.....only waiting to sing "WIMBO WA MUSA NA MWANA KONDOO"....U are a blessing to us guys ...cheeers
@maonyeshojames272 Жыл бұрын
Ahsanteni sana kwa wimbo mzuri sana na ujumbe mzuri pi,mbarikiwe.
@lmmaculatealualu56305 жыл бұрын
Always blessed with sweet and nc voices
@ndayakoff1886 жыл бұрын
1. Injili ya Ufalme wa mbinguni kila mara hutoka mbinguni kupitia malaika japo kuna injili ingine itokayo shimoni kupitia shule la wachungaji kwani Mungu hujaza moyo lakini shetani hujaza kichwa. Kumbukeni jinsi mnamo Aprili 24, 1993 sauti yake ilingia ndani yangu nami nikaanguka kama mfu. Mnaona ? Ni shetani aliyeanzisha shule ya wachungaji. Kwa maana kama nikimtuma mtu kumwita mke wangu aliye safiri kijijini, mjumbe huyu hana maelekezo ya kupokea kutoka yeyote. Ni mimi peke naweza kumwambia nini atamweleza mke wangu na ninajua atamwamini. [Ndr: Kusanyiko linasema, "Amina! "].
@barbranantumesseggirinya56933 жыл бұрын
I love this song. First heard it while in Kenya in JUja town while for camp meeting. I love the melodies. Regards to all especially Mr. Kennedy and the wife. I really love your music . God bless you
@josekims55004 жыл бұрын
Glory be to GOD, be blessed people
@victormuruja19202 жыл бұрын
Very nice song Am really happy and blessed. Kwa hakika amezitimiza
@yaobleestelle25136 жыл бұрын
Na kama Mungu anaokoa mkatoliki, mprotestanti, wakiinjili ao mubranhamisti ao moja wa wanamemba wa hizi ma misioni na huduma, Mungu lazima aondoe jehanumu na kila mtu atakwenda mbinguni hata Shetani. [Ndr: Kusanyiko lasema, "Amina! "]. Namna gani mtu anaweza kukataa nabii aliye hai wa wakati wake na kwenda paradiso ? Namna gani mtu angeweza kupona gharika kama alimu kataa Nuhu. Wakati Bwana Yesu Kristo alikuwa duniani, mtu angewezaje kumkataa na aokolewe? Ulimwengu mzima iko shimoni kwa sababu ya makanisa haya.
@elizabethwanyonyi6095 жыл бұрын
Mbona ukasema hivyo?
@gloriamalonza27054 жыл бұрын
Bona sijakuelewa?!
@yomapavijadinu18044 жыл бұрын
Bado kitambo kidogo mtamuelewa,tuu
@CollinsLastborn Жыл бұрын
I fell bless wherever i listen to this song
@carenechessa83672 жыл бұрын
God you are the keeper of promises
@julietauma46735 жыл бұрын
This song makes me feel blessed.
@delvinemoraa11736 жыл бұрын
sweet voices n always encouraging songs...nawapenda bure
@alicemachoka4466 жыл бұрын
Be blessed for good voices of praises to the air
@henrystephen87352 жыл бұрын
Heavenly voices indeed 🙏
@dorcaskotchi79076 жыл бұрын
27. Juweni kila mara ya kwamba huu ndio ufunuo wa Yesu Kristo kulingana na ono la Aprili 24, 1993. Ikiwa ninawahubiri mawazo yangu, basi nafsi yangu iniache, kwa maana nasema nanyi kwa jina la Bwana Yesu Kristo. Neno la Mungu linamjia nabii mjumbe ambaye huleta hukumu ya Mungu duniani kwa wakati wake. Yeye peke ndiye Njia, Kweli na Uzima kwa wakati wake. [Ndr: kusanyiko linasema : «Amina! »].
@victoriajohnbee11162 жыл бұрын
what does it mean? can u translate it?
@priscaroduya32525 жыл бұрын
Bwana wetu Yesu amezitimiza ahadi zake na tangu nimjue sijamuona akizibadilisha!
@nancybonareribonareri85255 жыл бұрын
Priscar Oduya amen
@leblancdegesco83216 жыл бұрын
PKP MATTH25V6 1. Nataka kuhubiri kuhusu: huduma ya mwanamke. Kwanza tunaona ya kwamba Mungu aliumba mume kwa mwisho siku ya sita na mwanamke hakuweko. Na kisha alipumzika siku ya saba, ambapo inabidi kuona miaka kadhaa. Kisha alipoona kwamba mume alikuwa peke, Mungu akaamua kumfanyia msaidizi. Hivyo, katika mpango wa kwanza, Mungu hakuona mke kuwa lazima. Ndiyo maana usomi bora wa Mwanzo 2:18 ni: « Na Bwana Mungu akasema: si vema [zaidi] mume awe peke; nitamfanyia msaidizi anaye mstahili». 2. Basi mwanamke hakuwa katika mpango ya kwanza ya Mungu bali yeye alitoka ndani ya mume. Mbwa, kuku, na viumbe wengine wa kike ni viumbe vya kwanza vya Mungu, lakini sivyo kuhusu mwanamke. Ndiyo maana kwa kila aina ya mnyama, kujamiiana ni kwa muda fulani, ni tofauti na mwanadamu. Na huwezi kuona mbwa akimpandia mbwa jike aliye na mimba. Mnaona? Sivyo kwa mwanadamu. Hata mwanamke mzee asiye ona tena hezi anafanya tena tendo la ndoa. Mnaona? Naweza kusema basi kwa heshima yote ya kwamba mwanamke ni kiumbe cha hali ya chini sana katika uumbaji. 3. Na ni Mungu peke katika ukubwa wake alimweka chini ya mamlaka ya mume. Hivyo, wakati yeye hayuko chini ya mamlaka ya baba yake, anajiweka chini ya mamlaka ya mume wake. Baba yake au mume wake ana mamlaka ya kuvunja naziri zake. Angalieni Hesabu 30… Mnaona? Yesu Kristo hakuja kuvunja mambo haya. 4. Basi kulingana na Mwanzo sura 2 tunaelewa kwamba mwanamke hakuwa pale wakati Mungu alikuwa akileta maagizo kwa Adamu katika bustani ya Edeni. Kuna sababu! Hakuwapo wakati Adamu alikuwa akileta majina kwa wanyama, ndege na vingine! Mnaona? Mungu alifanya mambo haya yote ili mwanamke atambue kwa upole nafasi yake. 5. Na Kuhusu huduma yake, ikiwa mtu hakuja duniani kwa kutimiza kazi fulani kama Yuda Iskariota, hawezi kukubali mwanamke mimbarini; na kama wewe si beberu, ambaye alizaliwa kwa kudanganywa, huwezi kukaa na kusikiliza mwanamke anapo hubiri au kuongoza nyimbo japo wanaume ni pale! Hata kama anaifanya vizuri, ni shetani iliyo nyuma yake. Maumbile yenyewe yanatufundisha kwamba mwanamke hana ndani mwake mbegu za uzazi. Basi hawezi kuhubiri na kuleta Uzima wa milele. Na kijana moja tu katikati ya wanawake elfu anabadilisha aina ya kundi kuwa ya kiume sababu ya mamlaka ya mume. 6. Mtoto wa Mungu hawezi kwenda kinyume ya mambo ambayo Mungu ameweka hata bila Roho Mtakatifu, hata pata salama! Biblia haiwezi kujipinga. Yesu angeweka mwanamke kuwa mtume au mfwasi halafu ingeonyesha wazi kwamba yeye si Masiya. Paulo angeruhusu mwanamke kuhubiri halafu ingeonyesha wazi kwamba Paulo alikuwa mwongo. Haidhuru miujiza atakayo fanya, ingekuwa tu miujiza ni ya udanganyifu [Ndr: Kusanyiko lisema: “Amina!”] 7. Huduma ya mwanamke na ndoa ya mashoga ni machukizo makubwa sana mawili ya siku za mwisho. Na mtu anaye ingia kanisani ambamo mwanamke anahubiri ni kama mtu anaye shiriki maandamano ya mashoga. Kumepita miaka elfu mbili, wanadamu hawakujua kwamba siku moja, mashoga wataweza kuandamana humo Yerusalemu. Kumepita miaka elfu mbili, wanadamu hawakujua kwamba siku moja mwanamke, ingawa hezi zake, ataweza kuhubiri mbele ya watu katika makanisa. [Ndr: Kusanyiko linasema: “Amina!”]. 8. Katika Agano la Kale nzima, hapakuwa na kuhani mwanamke. Hata duniani, hapakuwa na waziri mwanamke, ni ukombozi wa mwanamke uliyomweka hapo! Katika kifaransa hakuna neno waziri katika jinsia ya kike. Na tunajua kwamba wanawake walionekana katika kazi za mataifa kupitia ukombozi wa mwanamke. Mwanamke wa kwanza katika ukombozi duniani ni Naama binti wa Kaina. Na mwanamke wa kwanza katika ukombozi huko Israeli ni Yezebeli, mwanamke mgeni. Lakini mwanzoni haikuwa hivyo. Na tuliona wanawake wakipigania haki ya kura huko Ulaya pia huko Amerika lakini mwanzoni katika Agano la Kale, kule Israeli kwa mfano, wanawake hawakuweza kuhesabiwa. Na huko Afrika, mwanamke hawezi kuwa mwami wa kijiji. Hata vijijini wanaume wanapo kusanyika, wanawake hawaruhusiwi kusema. 9. Ambacho Mungu aliwapa wayahudi kwa maandiko, aliwapa pia wapagani juu ya moyo wao! Je, Ni ninyi mulio wafundisha mataifa kutoa mali katika ndoa? Malimbuko ao kuleta jina ya baba kwa mzaliwa wa kwanza? Na wakati wa dhambi kubwa au wakati wa agano, kufanya toleo ya damu? Ni Mungu ndiye alifanya hivyo. Na ndivyo hivyo Mungu aliwafunulia wapagani pia nafasi ya mwanamke. Hata bila kufundishwa, wanajua kwa mfano kwamba dhambi ya asili ni tendo la ndoa. Bila kufundishwa, mtoto wa Mungu wa kweli anajua ndani ya moyo wake kwamba tendo la ndoa ni dhambi ambayo Adamu na Hawa walitenda. Lakini wanapo kwenda katika makanisa shetani huwaondolea hii. Na vivyo hivyo sheteni ndiye huweka mwanamke mimbarini. Kanisa inaitwa kuwa bibi arusi wa Kristo. Na kanisa inayo weka mwanamke mimbarini, ni kanisa la usagaji. Na wanawake wote wanao panda mimbarini, wanageuka wanaume katika ndoto, na wengi kati yao walikiri hii mbele yangu. 10. Na sielewi kuona watu na Biblia mkononi kuweza kutenda hivyo, kuweka wanawake mimbarini kuhubiri au kuongoza nyimbo za kusifu japo wanaume wako pale. Na mara, inawezekana wanawake wawe damuni, na wanaweka vitambaa chini yao na wanakuja mimbarini. Ninyi mnao zoea makanisa kama hayo hamna zamiri! Ninyi si watu wazima, ninyi ni uzao wa nyoka, ninyi ni wabaya kuliko wakatolika na waislamu na mnatafuta kuwahubiri. Ikiwa hamfwati shabaha ingine, hamta enda kuketi ndani ya kanisa kama hii. Hata iwe kuhubiri au kuongoza nyimbo, yote ni sawa. Kuvunja sheria nusu ni kuvunja yote. [Ndr: Kusanyiko linasema: “Amina!”]. Mwanamke anapaswa kaa kimya kanisani. Paulo anasema kwamba jambo la mwanamke kutokuhubiri kanisani ni amri. Paulo anasema katika 1 wakorito 14:34 “ wake wenu wanyamaze katika kusanyiko maana hawaruhusiwi kusema lakini wawe watiifu kama vile isemavyo sheria”. Mnaona? Sheria inasema kwamba mwanamke hawezi kusema katika kusanyiko. Hakuna hata mwanamuke mmoja katika ukuhani. 11. Na Kwa shairi la 37, kuhusu jambo la mwanamke kutokusema katika kusanyiko, Paulo anasema hivi: “ Kama mtu anafikiri yeye ni nabii au wakiroho, atambue kwamba maneno ninayo waandikia ninyi ni amri ya Bwana.” [Ndr: Kusanyiko linasema: “Amina!”]. Paulo anasema kwamba jambo hili kuwa mwanamke hapaswe kuhubiri katika kanisa, ni amri kutoka kwa Bwana. Na kama una Roho mtakatifu, na wewe ni mwana wa Mungu, hutatembea kinyume cha amri ya Bwana.
@zahabufrancine46065 жыл бұрын
Zago Godé Alafu?
@patiencenyadzua14255 жыл бұрын
so wonderful. keep praislng the Lord thawabu zenu ziko mbinguni
@cynthiachepkoech41712 жыл бұрын
The song never gets old ❤️
@davidmabeste48675 жыл бұрын
Hii nyimbo inanipa faraja sana
@eliasaphmulebya83046 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
@judithnyanchera77333 жыл бұрын
Beautiful song keep it up guys
@jocelinejohn72946 жыл бұрын
I wak up with this today 💕💕good morning world from china 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@tedymgema7115 жыл бұрын
You pple you sing well God bless u
@peninaomondi43945 жыл бұрын
There are two ladies who resemble so much and they sing very well. God bless them!
@jacquelynemario68846 жыл бұрын
What a blessing. Can listen to this everyday.
@kacoumonpere5856 жыл бұрын
Living Prophet Messenger Kacou Philippe: 10. Ujumbe huu unasema ya kwamba uislamu, ukristo na uyahudi ndizo maroho tatu za chura zinazo zungumziwa katika Ufunuo 16:13. Dini hizo tatu zajidai kuwa wa Ibrahimu. Hizo Dini tatu zaamini Musa. Dini hizo tatu haziwaamini manabii waliyo hai ila tu kila moja hujidai kuwa wa nabii ambaye hakumjuwa. Kila moja ana kitabu chake kitakatifu. Na yote tatu yanangojea Mesiya. Ndizo roho tatu za chura katika Ufunuo 16:13. Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion.
@urbanusmulinge91564 жыл бұрын
I love this music to the fullest.
@lilianmsimbi63243 жыл бұрын
Am in love with this song Aki Kila nikiskiza naskia machozi Yani dondoka😢 keep the fire burning
@elizabethmwalukawa78145 жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote
@ogilloelijah26374 жыл бұрын
Mwana wetu yesu amezitimiza ahadi zake....am blessed this morning and day from Dubai mitndi.
@thegospelmessage50394 жыл бұрын
wow together here at Algeria street in dubai
@omareabel5205 Жыл бұрын
Healing song. I like so much.
@annakinyi42786 жыл бұрын
U guys has made me subscribe to all ur songs....ur voices r soo mwaa!!! Plz hook me up with the two soloist
@lydiashisia21693 жыл бұрын
Safi sana.b blessed
@rehemaakinyi190211 ай бұрын
Just love this song so much ❤❤❤❤
@consolathadaitus48055 жыл бұрын
Mbarikiwe sana pillars of faith
@iam_onim2 жыл бұрын
Amen sda is the best
@lucyokeyo24373 жыл бұрын
Nimemuona ajazibadilisha kamwe, Aimen
@prudencenemwel6 жыл бұрын
Such a Blessing! Please post kwa "Yesu ninapata pumziko "
@EvelynAdhiambo-f6r Жыл бұрын
It reminds me back In high school
@emiliennecrideminuit51406 жыл бұрын
7. Huduma ya mwanamke na ndoa ya mashoga ni machukizo makubwa sana mawili ya siku za mwisho. Na mtu anaye ingia kanisani ambamo mwanamke anahubiri ni kama mtu anaye shiriki maandamano ya mashoga. Kumepita miaka elfu mbili, wanadamu hawakujua kwamba siku moja, mashoga wataweza kuandamana humo Yerusalemu. Kumepita miaka elfu mbili, wanadamu hawakujua kwamba siku moja mwanamke, ingawa hezi zake, ataweza kuhubiri mbele ya watu katika makanisa. [Ndr: Kusanyiko linasema: “Amina!”]. #prophetkacouphilippe
@Vel425 жыл бұрын
When i listen to this song i feel am together with JESUS CHRIST
@salinebushnell16225 жыл бұрын
This song touches me a lot whenever i listen to it.... Mbarikiwe sana Pillars of Faith
@josephphelician23195 жыл бұрын
Safii mbarkiwe mnoo
@kobenansamuel56626 жыл бұрын
11. Na wakati nabii-mjumbe anatumwa duniani, ni kwa kuwa hakuna tena Ukweli duniani na Ujumbe yake peke tu ndio Ukweli ya wakati wake. Ni kwake tu kunapatikana Ukweli. Yeye ni mfanya sheria ya Neno la Mungu kwa wakati wake. Mnaona? Noa alipokuwa akihubiri, hakuna aliye weza kuokolewa ila tu kwa Ujumbe ya Noa. Yeremia alipokuwa akihubiri, hakuna yeyote aliye weza kuokolewa ila tu kwa Ujumbe ya Yeremia. Elia alipokuwa akihubiri, hakuna aliye weza kuokolewa ila tu kupitia Ujumbe ya Elia. Bwana Yesu-Kristo alipokuwa akihubiri kule katika barabara za Yerusalema, hakuna aliyeweza kuokolewa ila tu kupitia Ujumbe ya Bwana Yesu. Alisema: « Hakuna ajaye kwa baba bila kupita kwangu ». Mnaona ? Martin Lutheri alipokuwa akihubiri kule Ujerumani, hakuna aliyeweza kuokolewa ila tu kwa Ujumbe ya Martin Luteri. John Weslei alipokuwa akihubiri, hakuna aliyeweza kuokolewa juu ya uso wa dunia nzima ila tu kwa Ujumbe ya John Weslei. William Branham alipokuwa akihubiri kule Amerika, hakuna aliyeweza kuokolewa juu ya uso wa dunia nzima ila tu kwa Ujumbe ya William Branham. Na leo, utaweza kuokolewa tu kupitia Ujumbe ya Nabii Kacou Philippe. Kama ulikuwa mtoto wa Mungu kwa nyakati zao, ungeliwaamini na ni hivi tu leo. [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. #ProphetKacouPhilippe
@estherooko3326 Жыл бұрын
This song always gives me hope and strength
@shitambasifranklin.78403 жыл бұрын
Amazingly great. It's new everyday I incline my inner ear to listen to this song.
@nowianowia75945 жыл бұрын
God bless you Pillars of Faith
@mercylinekerubo6425 Жыл бұрын
Amen amen be blessed 🙏🙌
@steveaustine88773 ай бұрын
Who's here in 2024
@steveaustine88773 ай бұрын
Tuko ❤
@ogilloelijah26374 жыл бұрын
Nimeinuliwa asubuhi ya leo amen...
@frankmangula54795 жыл бұрын
Inanibariki sana i nyimbo
@Mose_the_great Жыл бұрын
My favorite song 😻
@gnagomichael45866 жыл бұрын
23. Kati yao, wachungaji na manabii wanafanya mashindano ya kuwa na mashule za kipekee, maduka kubwa kubwa, hisa katika mabenki na makampuni, magari za usafirishaji, taksi, na kadhalika. Hizi ni makanisa ya biashara... Na Jumapili asubuhi wote huwa malaika. Makanisa yameoza! Viongozi vyao hutarajia kuwa na magari, majengo ya kifahari, hunona, huvaa viatu na koti za thamani japo kanisani humo kuna maskini. Mnaona? Mbwa mwitu na mchungaji hawatazami kondoo sawasawa. Ndiyo bwana! Mbwa mwitu na mchungaji hawatazami kondoo sawasawa. [Ndr: kusanyiko linasema: «Amina! »]. #Prophetkacouphilippe
@agripinamgema36565 жыл бұрын
Asante sana watumishi wa MUNGU BARIKIWA sana.
@jocelinejohn72946 жыл бұрын
Mungu awabariki sanaa
@yaoanicetd.17446 жыл бұрын
Kc.130:13 Malaika wa Bwana aliyewatokea manabii katika Biblia na ambaye alikuwa akiwaongoza na kuwasukuma kusema, yeye ndiye mtendaji halisi wa vitendo na maneno yao. Malaika ambaye alimtokea Paulo njiani Damaski ni yeye alikuwa mtendaji halisi wa barua zake zote. Na Malaika huyo ndiye Roho ya Paulo na ukamilifu wa Roho Mtakatifu katika kizazi chake. Na malaika aliyemtokea William Branham kwa Mto Ohio mwaka wa 1933 ndiye mtendaji halisi wa matendo yake na yote aliyoyahubiri. Na kwa wakati wetu, Malaika wa Aprili 24, 1993 ni Bwana Yesu Kristo na yeye ndiye Roho ya Kacou Philippe na ukamilifu wa Roho Mtakatifu. Na mwisho wa siku zangu, nitakapo kwenda zangu, Roho huyo atamwagika juu yenu na atadumu pamoja nanyi na hata miongoni mwenu mpaka siku ya ufufuo.
@mercelineokoth5 жыл бұрын
I love u guys ur songs, ur unity so inspiring
@gloriousnp6 жыл бұрын
You guys can sing, nyasaye ogwethu🙏🏽🙏🏽. Karibuni sana +255
@kacoumonpere5856 жыл бұрын
Living Prophet Messenger Kacou Philippe: 10. Ujumbe huu unasema ya kwamba uislamu, ukristo na uyahudi ndizo maroho tatu za chura zinazo zungumziwa katika Ufunuo 16:13. Dini hizo tatu zajidai kuwa wa Ibrahimu. Hizo Dini tatu zaamini Musa. Dini hizo tatu haziwaamini manabii waliyo hai ila tu kila moja hujidai kuwa wa nabii ambaye hakumjuwa. Kila moja ana kitabu chake kitakatifu. Na yote tatu yanangojea Mesiya. Ndizo roho tatu za chura katika Ufunuo 16:13. Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion.
@jeremiahnyabuga11126 жыл бұрын
Go CNN job mjv I RSS clg
@jeremiahnyabuga11126 жыл бұрын
@@kacoumonpere585 gcnmf no
@jeremiahnyabuga11126 жыл бұрын
@@kacoumonpere585 njfxj Kcc
@lmmaculatealualu56305 жыл бұрын
Amina
@carolbinsari45475 жыл бұрын
Your songs are a blessing to my soul.....God bless your ministry
@jamesooko54715 жыл бұрын
I can listen to this song the whole day.
@ogilloelijah26374 жыл бұрын
Wimbo zuri sana...
@gracechepchumba18065 жыл бұрын
God bless you abundantly...... I love your songs mbarikiwe sana
@achillebehi17546 жыл бұрын
17. Kama mngemfuata nabii aliye hai, je, mngebishana kila mwaka kuhusu tarehe za siku kuu na kuonekana kwa mwezi baada ya Eid-el-fitr? Na ni katika mchanganyiko huu mnataka kuuleta ulimwengu? Kama ulimwengu ungemfuata Mungu kupitia manabii wake je, kungekuwa na dini nyingi na kila dini ingekuwa na kitabu chake kitakatifu, na desturi zake mwenyewe? Hamjui kwamba hii ni machafuko na kwamba ni shetani aliye nyuma ya mambo haya? Njia iongozayo binadamu kwa Mungu ni moja tu na njia hii yaitwa nabii aliye hai. Na kuhubiri kwamba hakupaswi kuwa na nabii tena ni uhalifu dhidi ya ubinadamu.
@Jorgevitoria.87706 жыл бұрын
Lindo demais , Não me canso de ver,vamos nos encontrar no Céu.
@priscaroduya32526 жыл бұрын
The sopranos are wow i truly love them....blessings to all of you wapendwa!
@yokbethmoses89136 жыл бұрын
Amen my God bless u all
@damariswaikwa89324 жыл бұрын
I love this song wow
@tenamyleshealthcareclinic6024 жыл бұрын
Always listening to this song as much as possible thanx for this blessing song
@steveoloo64045 жыл бұрын
Imagine am really blessed with this song
@janetjano87023 жыл бұрын
I like when they say inayetia shaka ngoja ukaone utashangaa
@saginipaul84716 жыл бұрын
Good song love it so much
@munahjaffar46213 жыл бұрын
Favorite song 🙏🙏🥰🥰
@mitchellmongare90373 жыл бұрын
May God bless you pillars of faith I love this song alot it usually inspires me
@phylisokuku47702 жыл бұрын
This song always give me strength
@dalphinesagwe2879 Жыл бұрын
My all time song
@isayamrema15863 жыл бұрын
God bless song iam like this song
@gloriamalonza27054 жыл бұрын
God promises are sure and true.God bless you all wana msingi wa imani
@saidkisumo85075 жыл бұрын
Amina,,,sana mungu azidi kuwalinda kulitangaza neno lake