Kiongozi bora ni yule huonyesha njia kwa wafuasi wake.....asante sana mh.Pinda kwakwel umenitia moyo zaidi kwenye ufugaji
@fadhilmadege5972 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa, nami napenda sana kilimo na tayar nshasajil kampuni yangu, nikirudi Tanzania ntajikita kwenye kilimo na pia ntaomba nikutembelee ili kuja kujifunza zaid
@tanzaniampyakaulimbiu3553 Жыл бұрын
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
@consiliazakaria32192 жыл бұрын
Baba angu nmekuwa nakufuatilia toka nkiwa msichana wa kazi saivi na milki mizinga yangu iko mkoani Katavi Mungu akubariki sana nakupenda Baba angu
@tanzaniampyakaulimbiu3553 Жыл бұрын
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
@musajijim4796 Жыл бұрын
Mzee umekua mfano halisi juu ya sera ya vijana kijiajili
@samkitwima79333 жыл бұрын
Umekuwa role modo wangu kwa Mda sana. Una roho nzuri snaa mzee na unafanya mambo ya kiafrika kabisa. Idea ya mwalimu Nyerere ya self-reliance inaonekana uliielewa sana. MUNGU AKUBARIKI UISHI MIAKA MINGI YA NEEMA mzee ili watu wajifunze kutoka kwako.