PLAN B _ Episode 12

  Рет қаралды 224,121

kp wa Aquino

kp wa Aquino

Күн бұрын

Пікірлер: 680
@ruthnasambummmuchongorimuc6386
@ruthnasambummmuchongorimuc6386 2 ай бұрын
Oh my god today I am number one to like it is video iam so happy I am from Saudi Arabia but home I Kenya 🇰🇪
@MartinSinyangwe-s8i
@MartinSinyangwe-s8i 2 ай бұрын
The first one is me give me a like please guys .🎉I love your jobkp wa Aquino and be fast guys to post a moves because people we forget how movie is finished so me I complain about it .❤❤❤❤❤🎉
@RosaJoãoBacar
@RosaJoãoBacar 2 ай бұрын
Nawapenda sana tena sana tim kp. Hila namba moja ni mzee likoma i love you so mosh. Sio Kimapenzi hila ni kwajili ya Allah.
@Thedy-tp5ei
@Thedy-tp5ei 2 ай бұрын
Tunao tazama plan B huku tukiwa na majonzi ya kuondewa na mpendwa wetu kaka yetu Marco zabron tujuane hapa
@KideJames
@KideJames 2 ай бұрын
Maico yupi
@NeemaPatrick-d7c
@NeemaPatrick-d7c 2 ай бұрын
😭😭😭
@HappynessSoli
@HappynessSoli 2 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@clariszawadi2010
@clariszawadi2010 2 ай бұрын
😭😭😭💔💔💔💔💔
@AishaMohamedhaidari
@AishaMohamedhaidari 2 ай бұрын
Ndio Nani huyo marco
@AnisiaJames
@AnisiaJames 2 ай бұрын
Kazi nzuli sana kp na zebuu ila Mjalibu kuwahisha jamani tunasubili sana ila mungu awapiganie mzidi kutupa burudani
@vallesndayishimiye2396
@vallesndayishimiye2396 2 ай бұрын
Ngoja nichukue kiti nione hapa kinatokea Nini mbere ya mbakaji na muizi haoooo😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😂😂😂😂😂
@reginaIssa-m2j
@reginaIssa-m2j 2 ай бұрын
❤❤❤❤kazi nzuri sana 👍 shey shey hawezi shidwa na Jambo atafanya kitu juu ya Nora
@BeltesaMuhasa-mo8ti
@BeltesaMuhasa-mo8ti 2 ай бұрын
Wow mbona nzuri sana lakini , nimeipenda sana
@aliyahaji8512
@aliyahaji8512 2 ай бұрын
Good job congrats kp na zebun na all the team twapenda nyote ❤❤❤❤❤❤4rm United kingdom 🇬🇧 🇬🇧
@danielkizito-r5w
@danielkizito-r5w Ай бұрын
Sanaa napenda
@AndrewKess-w1m
@AndrewKess-w1m Ай бұрын
DAAAA! Kazi nzuri sheishei daaa ila jitahidini kutuwahishia jaman mungu awalinde na awape nguvu❤❤❤❤❤❤
@shadrackmohamedi8765
@shadrackmohamedi8765 2 ай бұрын
Hawa watu ndio wamenifanya niifuatilie Bongo Movies. Nashukuru kwa kazi mzuriiii,
@AmosBudoya
@AmosBudoya Ай бұрын
Fantastic bongo series from these guys keep it up jaman mnaigiza poa Sana but Nora nakupenda jaman we kamdada
@DanielManuelMissa
@DanielManuelMissa 2 ай бұрын
KP wewe na zebu mumekubalika semu yote Mozambique weka like.
@j.claudeniyonkuru3989
@j.claudeniyonkuru3989 2 ай бұрын
Jamani kp nae mwizi kaenda kwa muchumba wake kutoka bilan tarifa na Zima taa zawatu eban mamupenda sana michezo yake
@KamiloAbdullahKamilo
@KamiloAbdullahKamilo 2 ай бұрын
Mm doka ep ya kwanza mpaka ya kumi na moja sijawai kucoment kwa sababu uwa sipati😠😠 like from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@BundalaShija-yb4vo
@BundalaShija-yb4vo 2 ай бұрын
Kalale itakuja kupata comment sku ya mwisho, wew unaomba comment tu umechangia nn kwenye series 😮
@KamiloAbdullahKamilo
@KamiloAbdullahKamilo 2 ай бұрын
Nimeshajiya kununuwa bando😂😂​@@BundalaShija-yb4vo
@AmusedCrescentMoon-bm8qo
@AmusedCrescentMoon-bm8qo 2 ай бұрын
Nawawakilisha team strong team fulus much love guys ❤❤
@AliJoao-pe2ur
@AliJoao-pe2ur 2 ай бұрын
❤❤❤🇰🇪🇰🇪 mombasa ndani kabisa good work keep working hard bro
@syliviaSoyita
@syliviaSoyita 2 ай бұрын
Jamani Norrah unafurasha unavyofua ila nawakubali team zebuu na kp nawapenda kupiliza❤❤❤❤🎉 ktk kenya 🇰🇪
@AndrewKess-w1m
@AndrewKess-w1m Ай бұрын
DAAAA! Norra umecheza kama Pele yaani kumpenda mtu Alie kuibia cm hongera sana kazzi nzuli❤❤❤❤❤🎉🎉
@AsiamirajiDaud-mz6mu
@AsiamirajiDaud-mz6mu 2 ай бұрын
Aaaaa kiukweli filamu nzuri sana ila inachelewa sana. Jikerebisheni kutowa filamu angalau siku mbili
@PatrickNakashanja
@PatrickNakashanja 2 ай бұрын
kp harakisha sehemu ya 13 ya plan B nimetokeya kuipenda bwana natokeya congo bwana ✅☑☑☑♥♥♥♥♥
@LeonMsambya
@LeonMsambya 2 ай бұрын
Bonjour je suis le première d'avoir ce film
@Getu560
@Getu560 2 ай бұрын
Mnachelewesha mno kp jitaidi kutuwah shia utamu huu ❤❤ kwaleo Mzee likoma kanifurahisha na nyimbo zake 😂😂😂😂😂
@Mariamvaileth
@Mariamvaileth 2 ай бұрын
Wa kwanza leooo naombeni like zangu😂kazi nzuri kp na zebuu
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 2 ай бұрын
OY NAKUBALI TEAM KAZI NZURI MMEUWA SAN UMU KAZI NI NZURI SAN HONGERENI
@HappyDickson-d2g
@HappyDickson-d2g 2 ай бұрын
Jaman tatizo munachelewesha San Kaz nzurii jaman
@HamisiMajuju-e9k
@HamisiMajuju-e9k 2 ай бұрын
Wakuuu tunae amani kua wanachelewesha sana ili wajue weka like hapa
@Saudaboshori-ie7en
@Saudaboshori-ie7en 2 ай бұрын
Nawakubali Sana kp Na zebuu movie zenu uneza angalia Hata Na watoto ❤hongereni Sana ndugu zangu🎉🎉
@NajmaMwakoib
@NajmaMwakoib 2 ай бұрын
Team strong 💪 njooni himeletwa movie yetu tamu na venye nimekuwa wa kwanza🎉🎉🎉🎉nawapenda sana
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x 2 ай бұрын
Kama unamkubali sheishei gonga like hapa tukimove on🎉🎉🎉🎉🎉🎉from kenya
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 2 ай бұрын
Kp mtambo ukaona isiwe tabu kuwazima umeme tu .hongereni sana kwa kazi nzuli Kp na Zebu nawapenda❤❤❤
@MarryToem
@MarryToem 2 ай бұрын
Waah kp wewe ni mwizi atari😂😂😂😂 Evo ndiyo unafanya wanaokupenda wakuchukie 😂😂❤
@RosaJoãoBacar
@RosaJoãoBacar 2 ай бұрын
Sheila we ni noma,I'm Ploud For you. Sijui vizuli kingeleza hila nakipenda atari.
@JajiKazungu
@JajiKazungu 2 ай бұрын
Kazi nzuri na pongezi kwa kuileta kwa wakati endeleeni hivyo hivyo
@AndrewKess-w1m
@AndrewKess-w1m Ай бұрын
DAAAA likoma anafulaisha kwenye kamnyweso wivengo naipenda hiyo🎉🎉🎉🎉
@UmbalicheMabusness
@UmbalicheMabusness 2 ай бұрын
Wengi si sio mastaa kwaiyo wewe pita tu Mungu anakuona ❤❤❤ bhana
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 2 ай бұрын
This is love From Mozambique 🇲🇿❤💞
@salomeIzaac
@salomeIzaac 2 ай бұрын
Twende nalo...nilidhani kp kapatikana😂😂😂😂😂..haya waiting for next
@LeahCosmasNzoka-po3dr
@LeahCosmasNzoka-po3dr 2 ай бұрын
😂😂Mzee likomaaaa ❤❤ nakupenda bure😂😂😂
@MariamRichard-g3x
@MariamRichard-g3x 2 ай бұрын
Naombeni mnipe taarifa Ili na mm nielewe ivi hizo like mkipewa Huwa mnauza bei gani
@Samwelyptv
@Samwelyptv 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@hildalyatuu2710
@hildalyatuu2710 2 ай бұрын
Yaani hii ndo ajabu. Kila mtu anazitaka.
@zerajoyce5016
@zerajoyce5016 2 ай бұрын
Kwani hua zina nini mbona hamsemi na Mimi nianze kuzifukuzia
@MbarakaSefu-w6y
@MbarakaSefu-w6y Ай бұрын
Wapumbavu hao wajinga tyuuuuu
@Ysga-s5b
@Ysga-s5b 2 ай бұрын
Naomba mungu mutafika mbali sanaa all them tiimu zebuu &kp&zebuu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@johnsonryva6956
@johnsonryva6956 2 ай бұрын
Plan b kazi ni nzuri sana naipenda kiuakika, ila tatizo mnachelewesha Siku nyengi kutowa myendelezo. Tafadhali toweni myendelezo kwa haraka.!!! Nawa penda sana ❤️❤️
@rufinamtenda2415
@rufinamtenda2415 2 ай бұрын
Mnachelewa sana kutoa mwendelezo mnatukata vibe mashabiki
@Agyy628
@Agyy628 2 ай бұрын
Ukienda na hizo beat za movie zako na udhoefu wako utamfikia kipenz cha wengi kanumba hakika utapita mlemle alimo pitia yeye 🎉🎉🎉🎉chukua maua yako🎉🎉
@ShaniLamay-ln6se
@ShaniLamay-ln6se 2 ай бұрын
Mkikataa kulike comment yangu naomba ata kp na zebu wa like basi
@JeffmollelJeffmollel-l2n
@JeffmollelJeffmollel-l2n 2 ай бұрын
Basi la kwenda wapi 😂😂😂
@HadijaKanze
@HadijaKanze 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ila likoma anavunja recond​@@JeffmollelJeffmollel-l2n
@BundalaShija-yb4vo
@BundalaShija-yb4vo 2 ай бұрын
Kwani lazima, na kwa tarifa yako hatulike 😮
@KatavalyKambale
@KatavalyKambale 2 ай бұрын
Usi jali, mi ntakupa hata 10
@numpefikimwaipopo
@numpefikimwaipopo 2 ай бұрын
Unataka like Kwa lipi ulilofanya
@Olepachu1182
@Olepachu1182 2 ай бұрын
Big up Sana shee she nakukubali at on 💯🎉🎉🎉🎉 umecheza nafasi yako vizuri 🎉
@johnmombo34
@johnmombo34 2 ай бұрын
Napeperusha bendera huku kenya🇰🇪🇰🇪
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 2 ай бұрын
Likoma 😂😂😂🤣wallai this guy is killing me likoma please spare my ribs 😅 halaf naona Zabuu anamfit Nabil na Norah ni kp nawapenda guys for keeping me busy ila nimemiss Brighton anywei kiasi tuna kibarua tutashinda kweli feel loved from 🇰🇪🇰🇪
@meryanagenes9163
@meryanagenes9163 2 ай бұрын
Zebuu nakupenda kazi nzuri saaana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@meryanagenes9163
@meryanagenes9163 2 ай бұрын
Hamna baya kazi safiii nawapenda
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 2 ай бұрын
Hii tamthilia inasisimua sana ❤ Aliyeiandaa katumia akili na kipaji
@CruzMelody
@CruzMelody 2 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya naomba mnipe like zangu
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 2 ай бұрын
Hapanq, hii tamthilia sio nyepesi hata kidogo. Aidia imekaa kimataifa kabisa. Hii sio Bongo Muvie
@ZaitunMwalago
@ZaitunMwalago 20 күн бұрын
Mm ujiuliza kp niusomi ama niakilitu za movie mbna mkaliivi
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 20 күн бұрын
@@ZaitunMwalago umeona eee! Hii timu yao watu wasipokuwa makini watashtukia imefika anga za kimataifa
@aminanaima6899
@aminanaima6899 2 ай бұрын
Swa sana sheishei nakuaminia kwa kweli kazi nzuri wallai nakupenda buree en mob ❤to all tem kp❤❤❤❤❤
@juniorkasongoJordy
@juniorkasongoJordy 2 ай бұрын
Filamu ni nzuri sana, ile msiwe muna chelewesha kutowe myendelezo.💥
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 2 ай бұрын
Watching from Lusaka Zambia
@Lidya-e1i
@Lidya-e1i 2 ай бұрын
Wueh Nora ameshuku kitu❤❤❤mambo inazidi kuwa moto
@AsmaAsma-hy7wp
@AsmaAsma-hy7wp 2 ай бұрын
Na mimi Leo nimewahi like kumi jamani
@mariasimonmuhando-m8x
@mariasimonmuhando-m8x 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana jamani hongela sana 😂😂
@ibrahimmartine9185
@ibrahimmartine9185 2 ай бұрын
Hongeren san movie nzur nmeipenda
@AsaniAnsufati-jc3yv
@AsaniAnsufati-jc3yv 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana KP 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@VinnahSally-yg4ng
@VinnahSally-yg4ng 2 ай бұрын
Likes jamani,,, much love fro from me. Hata 30 likes
@KulwaChapota
@KulwaChapota 2 ай бұрын
Mko poa sana timu kp hongereni sana
@glorymanga3650
@glorymanga3650 2 ай бұрын
Wa kwanza nipo hapa ilaa tuangalie movie kwanza,like mpeni mwenye movie yake
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 2 ай бұрын
KP hapo umetupiga Zebuu ufupi wake angewezaje kuwasha main switch yote tisa norah alikuwa standby umeme umekata flashlight ipo on au mi nimekosea chief 😹😹
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 2 ай бұрын
😂😂
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n 2 ай бұрын
KP huwa hakoxei Leo bahat mbaya
@saimontimotheo
@saimontimotheo 2 ай бұрын
Unajitahidi sana KP kazi nzur
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 2 ай бұрын
Anajitahidi au anaweza ???
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
Kama unamkubali kep ebu gonga like apa 😂😂😂😂kep we kiboko 🎉🎉🎉🎉
@AnnaEugen
@AnnaEugen 2 ай бұрын
Na mimi leo jamaniii naombeni like
@DeborahFuraha-ho4yk
@DeborahFuraha-ho4yk 2 ай бұрын
Basi nakupenda shaiala unachievable macheko yawuchimbi sanaawewe nimuizi waguvu kabisa
@JacksonZakaria-w9o
@JacksonZakaria-w9o 2 ай бұрын
Wow good work from Serengeti,
@Yoramusindotuma
@Yoramusindotuma 2 ай бұрын
Sheyisheyi Mungu asidi kukupa miaka mingi ya kuishi dunian
@mobastian5050
@mobastian5050 2 ай бұрын
Suraji tangu arudi nyumbani kwao na baba ake KP kwenye last card hajarudi mpka saiz😂😂😂
@NyemboBenjamin
@NyemboBenjamin 2 ай бұрын
Na mimi yule kutoka 🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu jamani
@LucyPeter-sp6ez
@LucyPeter-sp6ez 2 ай бұрын
Kumbe wacongo mnaelewaga
@NyemboBenjamin
@NyemboBenjamin 2 ай бұрын
@@LucyPeter-sp6ez 𝙮𝙚𝙨 𝙢𝙮 𝙗𝙧𝙤𝙩𝙝𝙚𝙧
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 2 ай бұрын
Waaaaaao Ila mnatukalisha Sana jmn kp daaah rekebishen tupate ep kila day plz❤❤❤❤❤
@zawadichengokatana4750
@zawadichengokatana4750 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JuliaAyuma-z5w
@JuliaAyuma-z5w 2 ай бұрын
Shey shey nakupenda kwa utendaji wako wa kazi ukiungana na kp 🧡
@Gwhitetv-ew9ko
@Gwhitetv-ew9ko Ай бұрын
Kazi nzur kp na zebuu bila kumsahau likoma
@MkaseeMkasee
@MkaseeMkasee 2 ай бұрын
kp na zebuu nawapenda sana good job
@Josiasb-josh
@Josiasb-josh 27 күн бұрын
yaani nawapenda sana,mpaka sisinziyi nikiwa natazama hizi movie.Josh from cong
@abuwatako8282
@abuwatako8282 2 ай бұрын
Shida ni wanachukua muda sana kuweka kazi hadi mtu anaboeka
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 2 ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team Aquino
@DenisNyongesa-lj1sn
@DenisNyongesa-lj1sn Ай бұрын
Hadi pia Mimi nimenockie huyo noraa❤🎉😂
@BrayanTarimo-qu6rj
@BrayanTarimo-qu6rj 2 ай бұрын
Kaz nzur mapema San 🎉🎉🎉
@AliKhamis-M26
@AliKhamis-M26 2 ай бұрын
Nakubali hii video derock 003 new like
@evalineboit
@evalineboit 2 ай бұрын
Poleni sana watanzania Kwa jumla.kwa kupotea Marco tunatowa rabirabi zetu kutoka Kenya poleni sana
@RehemaMundu
@RehemaMundu 2 ай бұрын
Mzee likoma😂😂😂😂😂 wanvunza mbavu haaaa.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂
@getrudaFransis-zo7kp
@getrudaFransis-zo7kp 2 ай бұрын
Ila Huwa mnapenda like Kam vil nyie ndo producer
@OdnessDominick
@OdnessDominick 2 ай бұрын
Wanakera yaan
@danielkizito-r5w
@danielkizito-r5w Ай бұрын
Sana sanaa😢❤pamb😢mtupe brudan
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 2 ай бұрын
Jamani hii movie noma sana 😮😮😮mashaallah nawapenda ❤🎉
@OmerTshibuabua
@OmerTshibuabua Ай бұрын
Mi na ku penda saaaana zebu na kwa kazi yako nzuri kabisa ila kiukweli na taka niku owe na uwe mke wangu halali wandowa na unizalie wa toto waziri sana kama wewe mwenyewe nakupenda sana mpenzi
@khadija2113
@khadija2113 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣ila mzee likoma wewe 🎉🎉🎉NAWAPENDA sana sana kp zebuu nola Sheila ❤❤❤❤❤❤
@PeaceMindTz
@PeaceMindTz 2 ай бұрын
Nakubali sana kazi kubwa iyi
@LeylaMgaya-og5mm
@LeylaMgaya-og5mm 2 ай бұрын
Jamani iyo ni plan B iko fireeeeeee sana
@SamsonNdekanilo
@SamsonNdekanilo Ай бұрын
Nakupenda sana kp na zebu aise mzee ww ninoma likoma
@charlesboki1825
@charlesboki1825 2 ай бұрын
From 🇰🇪 series Iko 🔥🔥
@NelcyAfrica
@NelcyAfrica 2 ай бұрын
Leo mmekawia sana waaaah
@OscarNgani
@OscarNgani 2 ай бұрын
Kaz zur Sana mungu aendelee kuwapigania
@adinanzacharia409
@adinanzacharia409 2 ай бұрын
Kp kazi nzuri sana ❤❤❤
@othmanmazuri1365
@othmanmazuri1365 2 ай бұрын
Big up kp na team yako
@charlesbululu3858
@charlesbululu3858 2 ай бұрын
wanakubali sana pia noora anatakiwa achangamke kidogo ila kazi nizr sana👏👏
@mbarakasefu
@mbarakasefu 2 ай бұрын
Nawapenda sana hongereni pia kwa kazi nzuli
PLAN B _ Episode 13
31:28
kp wa Aquino
Рет қаралды 221 М.
I Bought 250 BANNED Amazon Products!
37:29
Stokes Twins
Рет қаралды 88 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 13 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 13 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 95 МЛН
ANATONGONZA DEM ALAFU ANAMATATIZO by @chebydy#comedy
1:36
CHOKOCHOKO | Kp Na Zebuu
18:14
Dibozi Manuva
Рет қаралды 260 М.
LAST CARD _ EP 34
37:14
kp wa Aquino
Рет қаралды 260 М.
MTOTO KAUTAKA | EPISODE 08
18:54
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 999
PLAN B _ Episode 11
28:10
kp wa Aquino
Рет қаралды 207 М.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
CLAM VEVO
Рет қаралды 835 М.
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 13 МЛН