Heee watu mupo moto amupoi Wala amuboi naipenda sana plan b from kenya🇰🇪
@MwanamisiBakari-xh3jo6 ай бұрын
Wanaokubali plan B ni safi sana ❤❤❤❤ pita n like
@aliyahaji85126 ай бұрын
Kazi nzuri kp na zebuu mungu awazidishie umri muzidi kutuburudisha na movies zenu❤❤❤❤❤❤
@LeylaMgaya-og5mm6 ай бұрын
Iyo ndiyo plan B inawasha motoo vibaya sana fireeeeeee hongereniii team.
@rachelmduma96766 ай бұрын
Hebu na mm mnipe hzo like nione raha yake😊😊
@Mwanaisha-p2b6 ай бұрын
Kazi nzuri sana kp lakini sijapenda ulivyo ufanyia zebu nawapenda team kp
@SharifuAbdallah-g5k6 ай бұрын
Wakwanza from Kenya naombeni like jaman
@EZRAWESHTOUH6 ай бұрын
Mimi ni wa Kwanza kutoka D R CONGO mauwa yangu
@AmanJoseph-s2e6 ай бұрын
E mwenyezi mungu tubariki🙏🙏 sisi wanao pamoja na kazi zetu za halali amen 🙏🙏
@maramalansari30396 ай бұрын
Keli kabisa maana sijapenda jaman😢😢
@rizikinassir39985 ай бұрын
Ni acting@@maramalansari3039
@BahatiKadenge-n5r6 ай бұрын
❤❤❤❤❤kalamu ya kp inaandika vizuri zebuu ila chunga hio ni dili😂😂😂😂😂😂😂
@m.mmarckus62986 ай бұрын
Kp anadhambi😂😂😂
@JamaliNdwata6 ай бұрын
Hivi mnaotaka like huwa mnalipwa au kama kuna malipo tuambizane jaman nasisi tupate ela kama mnaikubali PLAN B naombeni namm like nilipwe nawapenda wote mnaofatilia series hii❤❤❤❤❤❤❤❤
@PaskalinaDamian6 ай бұрын
🏃🏃🏃🏃🏃
@purity1346 ай бұрын
Funzo nzuri,ona vile tunaweka wazazi wetu kwa shida
@suedswedgotagota97326 ай бұрын
Nampenda san mam kp jaman wanaomkubali tujuane kwa emoji 🎉
@HafsaMohamed-dm9zu4 ай бұрын
❤❤❤❤
@Family-i2d6 ай бұрын
Wagapi wamemiss suraj❤❤❤
@aminamohammdl-so7cx6 ай бұрын
Wa3kutoka saudi ❤kazi nzur
@ShidaWilifonsi6 ай бұрын
Kazi zuri sana mtafika mbali🎉
@MichaelMosesmg6 ай бұрын
Kp naomba like Yako bhana Fanya hvyo bas nienjoy
@LaureenSidi6 ай бұрын
🎉
@MwanaishaChileta6 ай бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah bless you nawapenda kinoma 🎉🎉🎉🎉
@eliphasethobias11336 ай бұрын
Hahahaa jaman Sheila wewe😂😂😂😂 Dahh kp chukueni maua 🎉🎉🎉yenu kweli plan B nouma
@aishaomar22876 ай бұрын
Mashallah KP na team yako walai kazi zako waumiza kichwa mwamba! 🎉🎉🎉 kama ni akili kutumika kwenye kazi kwako watumia akili za ziada 👏 👏
@salomejames96396 ай бұрын
Bonge la muvi kp na zebu chukueni maua yenu❤🎉🎉
@Arafa-dt9sh6 ай бұрын
Dah! Pole sana kp iila tanaa mbaya sana wakat ulikataa ungelirejesha tu pesa ya watu na kwa mtazamo wangu huenda ikalingana na last card
@m.mmarckus62986 ай бұрын
Hiyo ndomaana ya tamaa
@DernolPaulo6 ай бұрын
Da! Nimechelewa kidogo nasubili kuwa wa kwanza nipate like zangu
Ila deboze na mzee likoma wanachangamsha sana movie mashallah ❤❤🎉🎉
@CarolyneNyanchama-yk1gf6 ай бұрын
Diboza na likoma nilikua nmewamiss you never disappoint 😂😂😂 siku chache mtasikia zebuu ako na mimba 😂 poor kp ulifanya kinyume usijutie😮 wote nawapenda ❤❤
@CarolinePeter-gc8fp6 ай бұрын
Good work Mungu azidi kuwatunza tunawapenda sana...
@salimasava116 ай бұрын
Dada yangu zebuu nilikuambia kaa chonjo mwamba anakuja sasa ona ila kikubwa ni kuomba MUNGU kwa kila jambo najua atajibu sasa tuombe sana kila kitu kitakua sawa Inshahallaah
@DangoteKamwela6 ай бұрын
Wakwanza leo nakubal San kp kaz zak
@gundoanimal67506 ай бұрын
Kwani Mkinipa Likes Mtapungukiwa Nini..Au Mpaka Nitaje Sehemu Nilipo😅😅Aya Nipo MOROGORO..Gonga Like Hizo
@JamesReuben-gt8up6 ай бұрын
Kwan like znalazimishwaaa
@CristinaRomãoJoaquim6 ай бұрын
Mimi wakuanza nipe laik zangu 🎉🎉🎉
@QualityHaroub-tf2ns6 ай бұрын
Jamn natamani isiishe mnajuwa sana kuigiza naipenda sana gang yenu❤❤❤
@ErikianendovuluAmisi6 ай бұрын
Dibozi vraiment c’est super avec Français Lingala much love 🎉🎉🎉🎉
@AishaHussein-sv5vk6 ай бұрын
Kazi nzuri mnifollow tafadhari
@WemaPanja6 ай бұрын
Jaman napenda sana hii movie nampenda KP na zebuu wanavyoigiza kam na wew unapenda tupia like zakoo
@WitneyZulpha6 ай бұрын
Kz nzuri san tem kp n zebuu jman naomben like n mm
@MercyWafula-x1x6 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪
@cristaezekiel10366 ай бұрын
😂😂😂😂😂Pesa sirudishi ,kazi siifanyi 😂😂😂😂na amna kitu utanifanya 😂😂😂😂😂
@gershomchallo6 ай бұрын
MZEEE NA MKUBALI SANA HUYOOO ANATISHA SANA.... AKILEWA BALAAAA
@shadrackmohamedi87656 ай бұрын
Yaaaaaani natamani siku moja nikutane na hii team yao angalau niwapongeze kwa kazi mzuri. Ila ndio niko mbali. Nawapenda sana.
@FidelAugustomachalamalaMachala6 ай бұрын
Wa Mozambique gonga like apa
@Priscadzidzamasha6 ай бұрын
Nawatilia ni kiwa Saud Arabia nawapenda tu bure 🎉🎉🎉
@cristaezekiel10366 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kp anapen inamwaga wino mweupe 😂😂😂😂
@Nyotajada6 ай бұрын
Maaajaab ila huyu msukuma mwenzangu ananichekesha😂
@metrinemanyonge60556 ай бұрын
Woow kp with your team 💪 good job🎉❤
@dhahabukalama26356 ай бұрын
Waaah, dakika nane watu 67, mm nawa 68❤❤❤❤❤❤kazi nzuri
@DelvinChepkorir-t1d6 ай бұрын
Aki woyeee kp I wish ungejua haungefanya iyo kazi😢😢😢but anyway kazi nzuri❤❤🎉🎉
@HajraAbeid6 ай бұрын
Sheila Nim mkubali sana kill mnap muwek anatish😊😊😊
@jaymapepefatma59366 ай бұрын
This is love from Mozambique 🇲🇿❤
@MwajShabani6 ай бұрын
Yani hii ni yamoto sana 🎉
@Baoba44556 ай бұрын
I like Mzee likoma....nipee hizo like
@MarcygloriaIbrahim6 ай бұрын
Wakwanza kutoka Kenya nipeeni likes jamani
@Adamu-p7m4 ай бұрын
Kenya wapi.? Na wakati unaishi buzaa
@hamzaIlunga6 ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo❤
@JiranMohamed-pp9gk6 ай бұрын
Mmetisha
@ZoazinaJohn6 ай бұрын
❤❤❤❤HAKIKA PLANI 'B' UKIIKOSA " UTAJUTIAAA❤❤❤❤ KIKOSI CHOTE KIPO FULL CONFIDENCE. ACHA NIANZE NAWE DIBOZZ 😂I LOVE YOU SO SO... MUCH 🎉🎉🎉
@SwaumuAbdallah-fu1bx6 ай бұрын
Wakwanza kutoka Oman naomba like zangu
@OmanOman-y7z6 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤ aki hongeleni sanaa kwa kazi nzur 😊
@RADOMKE4 ай бұрын
Wow nawakubali xn Radoh 4rm 254
@kura.the.boy-6 ай бұрын
TEAM KP NI MOJA TU ZENGINE ZINA IGA
@Damacline40046 ай бұрын
Kazi nzuri sana kp hongera sana ❤❤❤❤much love from Kenya 🇰🇪
@adventrohimu14686 ай бұрын
Nimeikubali series.Imenikumbusha maujumbe niliyokua nikisoma na niliyapuuza.thanks
@foryou92316 ай бұрын
Wow!!! hii ni biriani kwelii bdo pili pili kwambali ili izidii kukolea ki sawa sawa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BiisheBugao6 ай бұрын
Aaah maskini 😢😢😢 mnamuua mama Kp amewakosea nini jamanii atkma n acting lkn , sijapenda kwa kwelii
@mohammedkidody5618Күн бұрын
Nawapenda cn team kp kazi nzr sana❤🎉
@hassanmoh66016 ай бұрын
Kama na wewe ni mfuatiliaji gonga like kama zote apa🎉🎉🎉
@VelonikaMbughi6 ай бұрын
Mmm apa
@Mushalotelevisionkiswahili6 ай бұрын
Leo wakwanza kutokea LUBUMBASHI 🇨🇩🇨🇩🇨🇩naombeni like zangu😂
@WistoniSiliveri6 ай бұрын
Wakwanza Sasa umetoa maon gan
@Zainabu-q7v6 ай бұрын
😅😅😅😅
@Zainabu-q7v6 ай бұрын
😅😅😅
@VelonikaMbughi6 ай бұрын
😂😂
@victoriangasa6 ай бұрын
Waoooh jap nmechelewa ila tup pamoja plan B 😂😂❤❤🎉🎉gonga like hap
@DennisKorir-kl3up6 ай бұрын
@@victoriangasa unataka likes, na wewe hupeani 😏😏
@RashidKidume-w8e6 ай бұрын
Pole sana zebuu ndio dunia hiyo
@RahmaRajabu-sw7yr6 ай бұрын
Dah mchezo ni balaa
@ZenoSuwi-z8e6 ай бұрын
Leo zainabu umeniliza sana kwa ulichofanyiwa
@InesKaneza-pv3ls6 ай бұрын
Kazi nzuli sana watu wangu
@rosemarenga8326 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ongeren sana Kwa Kaz nzur
@EvansMwenda-d1t6 ай бұрын
Tangu series ianze sijawahi pewa likes ata 200
@elishayaredi6 ай бұрын
Kwan Huw unazipeleka wapi
@dadaamwazewe12996 ай бұрын
Zikipita ukanunue unga bas😂😂
@anitabizimana81756 ай бұрын
Wewe unasema 200 hata wengine hawapati hata mbili
@AgnesMasoud6 ай бұрын
@@dadaamwazewe1299ooh sawa kumbe umeuliza tiali hili swali😂😂😂
@JamaliNdwata6 ай бұрын
Like unapeleka wapi au kuna malipo jamam tuambizane @@AgnesMasoud
@elizabethamunga90816 ай бұрын
Mashaalaa Leo ni mimi kutoka Kenya 🇰🇪
@zainaabdallah8096 ай бұрын
Kazi mzuri big up KP aya team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi nawapenda naomba tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@RehemaSaid-r4h6 ай бұрын
Watazamaji wa plan B weka like kwa kp
@AllenSimon-xe3mr6 ай бұрын
wapili leo nawakubali sana
@JohnSinankwa-ur3ul6 ай бұрын
Hiyo Mbona kali
@magnibrondi31526 ай бұрын
Big up saaana sheila umeweza uhuni tu saana
@kura.the.boy-6 ай бұрын
NAKUBALI WAZEE WA KAZ NZURI KICHUPA CHA KWENDA KAZI NZURI WAZEE NAKUBALI 🎉🎉🎉
@BintiMweluhanga6 ай бұрын
❤❤❤❤🎉Mmmmm isasa ngondo kisai muhulumiee KP ata kidogo
@stitore23886 ай бұрын
Zebuu pore sana jikaze bitayisha 💔💔💔😭😭😭🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@Jajakanjaniri6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ One Love. From Burund 🇧🇮🇧🇮
@MichellJohn-zk1hp6 ай бұрын
Niueni leo dibozi na likoma,,,😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅nikome wewe,,nani mzee😂😂😂uuuuuwiii
@gogoloveofficial56666 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
@bayubaheallydelly-rn2zv6 ай бұрын
Eeeh mungu wangu tuezeshe tufanye KAZI nzuli sio KAZI cafu🙏🙏🙏🙏
@abdallahassan63786 ай бұрын
Kazi nzuri sana Mwenyez Mungu awabariki nyote 🎉
@amam2211-6 ай бұрын
D boss noma sio kwakucheka uko
@RizikiZiki6 ай бұрын
Mungu awajaliye kep na zebuu muzeekeshane ibilisi asipate nafasi ❤
@EstherBoniphace-iw1lo6 ай бұрын
Zebuu atazaavmyoto naye atakuwa wa kp , nao watakiwa family tajiri saana yenye aman kama unakubali gonga👍 tuendelee
@FatimaFatima-bx8ez6 ай бұрын
Zamwizi ni arubaini Sasa za kp zimefika😮naha aliyo mkuta mama always ni mungu❤😊😊nakukubali sana 😢 😢😢
@m.mmarckus62986 ай бұрын
Huyo askari nae kashindwa kutambua kuna tatizo hapo
@AngelSilas-yi3sd6 ай бұрын
Eti dibozi manuva digala😂😂
@peterlugela89566 ай бұрын
Kaz nzuri kp wa Aquino Nmependa kazi yenu sababu imeenda ina improve kwasasa tunaskia adi ma bit mapya safi sana zaidi tu ongeza wahusika na mionekano yenu mpendelee kuibadili badili ata mala 2 kwa muv moja, kama ulvyo fanya humu
@Shazzy26 ай бұрын
From Kenya 🇰🇪 ❤
@NerryWizzy4 ай бұрын
❤❤
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص6 ай бұрын
Dibozi amewachanganya Norah na asikari wake😂😂😂ila likoma naye
@reginaIssa-m2j6 ай бұрын
❤❤kz nzuri sana 👍 ila kisai jamani kwann umemfanyia hivyo mam ake kp na hata hajamwambia mwanae kuhusu baba ake 😢