GHARIB MZINGA AWAPA NAFASI YANGA KUVUKA ROBO FAINALI/ ATAJA UBORA WA SIMBA KUCHUKUA UBINGWA

  Рет қаралды 34,252

PMTV TANZANIA

PMTV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@stefanontandu2041
@stefanontandu2041 10 күн бұрын
Gharibu Mzinga......kazi nzuri
@mustafajuma8016
@mustafajuma8016 14 күн бұрын
Huyu jamaa Yuko vizuri.Mzinga
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 16 күн бұрын
Kwa uweza wa MUNGU na jinsi timu yetu ya YANGA kwa sasa ilivopata nguvu upyaaaa naona ikivuka hiki kiunzi cha makundi🎉❤🎉❤🎉 nina imani Viva yanga
@Shu-w7f
@Shu-w7f 12 күн бұрын
Mnyama Atashinda Zote In Sha Allah
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 16 күн бұрын
Match zetu napenda atangaze Gharib Mzinga zote Mpenja asitangaze Kwa sababu kijicho na husuda imemjaa ila Mzinga tukifungwa tunajua haikuwa upande ila Mpenja na Ngoda wake pembeni na match zetu
@HalimaGhalibHalei
@HalimaGhalibHalei 16 күн бұрын
Umeona eeh,mtu wa maana kabisa ww,mpenja huwa anatangaza mechi zetu roho inamuuma ndo mana most of the time tunapoteza
@KhashimAthanas
@KhashimAthanas 16 күн бұрын
Sure
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 16 күн бұрын
Naunga mkono 🎉🎉🎉🎉
@BaleleLucas
@BaleleLucas 15 күн бұрын
Acheni imani ya hovyo, mtangazaji anamahusiano gani na matokeo ya mechi !watangazaji wote ni suitable, Hamjasema mpaka mseme
@omariaman7818
@omariaman7818 15 күн бұрын
Huo ujinga tu mnashauriana hapo mzinga na magoli vinaingilianaj​@@HalimaGhalibHalei
@BetordYusuph
@BetordYusuph 15 күн бұрын
Huyu mwamba akitangaza mechi ya yanga Mara zote yanga inauaga kabisa
@HassaniKimwaki-h8s
@HassaniKimwaki-h8s 11 күн бұрын
Mzinga tunataka utangaze mechi zote za yanga
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs 15 күн бұрын
mechi zote akitangaza mzinga huwa tunashinda, natamani mechi zetu zote atangaze ,ila mpenja akitangaza mechi zetu mechi inakuwa ngumu sana, na hata kufungwa kwa hiyo asitangaze kabisa
@Daudi-m9p
@Daudi-m9p 15 күн бұрын
Et Yana experience
@FredrickSutta
@FredrickSutta 14 күн бұрын
Shirikisho halina timu kubwa ,tiu kubwa zinashiriki kwa mabingwa
@Adeen.1
@Adeen.1 13 күн бұрын
Hesabu za tuki waki😂😂😂😂😂
@hamisincheye9976
@hamisincheye9976 12 күн бұрын
Garb hujawai kutangaza yanga alafu ikafungwa naomba hizi mechi zilizo Baki utangaze zote tafadhar
@borratmteketa3950
@borratmteketa3950 15 күн бұрын
ndugu mtangazaji jaribu kutofautisha matumiz ya L na R
@shivodon7388
@shivodon7388 14 күн бұрын
Kilwa finest uyu mwamba anajua kutangaza
@karanijumanne8169
@karanijumanne8169 13 күн бұрын
mimi huyo kayna tu
@kuyasayalel2605
@kuyasayalel2605 15 күн бұрын
Mzinga al hilal watapambana apate nafasi ya kwanza kuepuka kukutana na vigogo
@HECHYBOY
@HECHYBOY 16 күн бұрын
Tunaamini tutafuzu bhana
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 16 күн бұрын
MUNGU NI MWEMA SIMBA ITASHINDA. MUNGU ATATENDA NA ITAKUWA.
@SalumAlly-r9x
@SalumAlly-r9x 14 күн бұрын
Mungu aillani simba ifungwe
@EnathaEmily
@EnathaEmily 14 күн бұрын
Ukaanze wewe kufungwa na ibenge
@omariaman7818
@omariaman7818 12 күн бұрын
Dua zirudi kwenu Wana utopolo
@CadroJeremiah-y5t
@CadroJeremiah-y5t 14 күн бұрын
Nitajien mechi aliyangaza mzinga matokeo yasipatikane huyu jamaa hata atangaze mech ya Taifa mara zote inashinda ila watangazaj wote wako powa sema huyu anabahat sana na ushindi
@MihayoNyanzabada
@MihayoNyanzabada 15 күн бұрын
Kweli mpenja na ngoda hatuwataki wanaroho za kukunja tunaomba gharibu mzinga ndio atangaze March zote
@BaleleLucas
@BaleleLucas 15 күн бұрын
@@MihayoNyanzabada au katangaze ww kabisa
@RamadhanJuma-n2y
@RamadhanJuma-n2y 13 күн бұрын
Huyu jamaana anabahati na yanga anatakiwa awe anatangaza yeye
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 16 күн бұрын
Yang atobowi ata kwa dawa Wala usiwafaliji wamesha kumaliza mwendo mechi nne point nne Tena kazpta kwa kibonde mwenzake
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 16 күн бұрын
Hata simba nae kibonde wetu.
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 16 күн бұрын
Tena simba kwa kundi la yanga hata droo hapati simba anacheza michuano ambayo hata msisimko hayana kwani simba anacheza michuano gani jaman.
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 15 күн бұрын
@@econmirajifacts5411 😂😂😂
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 16 күн бұрын
WEWE MDADA MWANDISHI NDY MNAYEWAPA PRESHA WACHEZAJI HV KWANINI MNAWAPANIKISHA WACHEZAJI. KUFUNGA KWANI LAZIMA WOTE WAFUNGE?
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 16 күн бұрын
YANGA Africa anatinga Robo fainali Kundi limekaa vzur ...
@Laurentjoseph2001
@Laurentjoseph2001 14 күн бұрын
kundi la mahesabu
@SaidiMalaya
@SaidiMalaya 15 күн бұрын
Wanasimba bwana eti yanga. Hashindii wewe unashinda mechi zako afu shirikixho na kirabu bingwaa wapinawapi kakimya wewe
@asifznz
@asifznz 16 күн бұрын
Garib Mbona Faxien ameoza pia husemi ,mbona ,mbona pyramids hujawataja,wewe kumbe kolo mkubwa ,vibonde wote aliokutana nao bado unasifia?
@Adeen.1
@Adeen.1 13 күн бұрын
Hesabu za tuki waki😂😂😂😂😂
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
KOCHA WA YANGA ABEBESHWA ZIGO LA LAWAMA
6:43
WAKO JACKO TV
Рет қаралды 236
MBOWE AMTOLEA LISSU UVIVU, AMLIPUA VIBAYAAAAAAAA
51:58
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 73 М.