Alikuwa center back kwa Yanga na Simba pia . Malima alikuwa noma kweli jamaa alikuwa anapiga kiatu.
@issaali132114 күн бұрын
Malima kweli wee Yanga yaani Simba walikosea sana kukuchukua.
@jerryjaphet217613 күн бұрын
Umenikumbusha mbali sana nakumbuka pindi icho tuli[piga picha pamoja na timu ya yanga na picha ninazo adi sasa nilikua ball boy wakati uo tunaitwa yosso nilikua naokota mipira inayotoka nakumbuka Edibilly alinizuia nisiwe nawawaishia mipira simba basi Rungu alikua anachukia hatari SITAISAHAU ile game kwakweli.
@rashidmaulid731213 күн бұрын
Huyu haeleweki
@christophermazigwa848014 күн бұрын
Du nakumbuka sana Bakari Malima nakumbuka sana hiyo Mch.
@damianmcba952514 күн бұрын
Bakari Malima kacheza Yanga pia mbona wanaandika mchezaji wa zamani wa Simba?"""" Washasahau Safari ya Nonda Shabani hadi kuchezea Monacco ilianza kipindi Malima na Nonda walitoroka Yanga kwenda kucheza Vaal University ya South Africa,,,,
@HenryCastuli-jz3cx14 күн бұрын
Sy wasimba alishacheza yanga tena anacheza no3
@leonardbukulu552712 күн бұрын
We malimalima wewe unadanganya aliye funga simba na yanga alikua lunyamira goli lapili alifunga akida makunda seo wewe