Our king David doing amazing work ❤❤❤helping his brother this time weuh hataki mchezo 👏👏👏
@josphenembunde580515 күн бұрын
Fred kaz umefanyia wanainchi mungu hatakuaja baba cool pray we are praying for you our hero fred
@nekesajustine819915 күн бұрын
Amen 🙏 Amen 🙏 We're praying for you guys don't give up
@VeronicaMutuku-h7w15 күн бұрын
Sure
@WilfrideAthone15 күн бұрын
True dear let's help him praying
@ruthamisi449215 күн бұрын
Fred and Davy...the victory is always yours...yale mazuri mmefanyia watu,Mungu hatawaacha kamwe...mama Fred atapatikana safe and sound in the mighty name of Jesus...amen
@Josephkonderimba15 күн бұрын
Kila hatua Dua.. Mungu mbele.
@hezronmotari366215 күн бұрын
I have realized here in Kenya, in almost every family Kuna either mchawi ama mtu Ako illuminati. One good thing am happy about is that when you pray faithfully God does answer the prayers at the right time. Senior Dave aliomba hapa akianza kurecord, mchawi akajileta, pst Nancy aliomba mchawi akajileta na simu ya Jay, she also prayed kwa nyumba ya kina Jay Mungu akamuonyesha kinachowasumbua. Our God is really faithful
@Yuca87815 күн бұрын
Wanasemanga ni wakisii bt it's allover the country 😢
@faithkagwiria725315 күн бұрын
Very true prayer have miracles let's trust in God.
@IreneOkumu-q2v15 күн бұрын
Senior ,u r so brave may our Lord continue to protect you with the blood of Jesus christ. Amen.
@Jescah-d2c15 күн бұрын
When Dci aFred talk's I feel like 😭😭😭 this young man's family has been through a lot, the lord will come through for them 🙏
@getenserinvestments804515 күн бұрын
Very true
@jacklyneesendi126315 күн бұрын
Ukiona challenges mingi in life ujue kuna mazuri yanakuja.. Freddie mungu yuko atawatetea.
@chunaabdullah133315 күн бұрын
True
@rebeccqhnyqngoso377215 күн бұрын
mungu yupo na nyinyie kira wakati Mr DCI Frederick na family and Senior Dave thank God kwa kira jombo tunashukuru Mungu 🙏🤲🤲
@rebeccqhnyqngoso377215 күн бұрын
utabata your mummy mr DCI Frederick ni Jesus might name 🤲🤲🤲🤲
@JoycevineMugeci15 күн бұрын
Twaomba mungu alinde mama fred mahali ako in Jesus name 🙏
@fahimamusungu135515 күн бұрын
Wallahi this is so emotional when dci anaambia senior dave that hana cha kumlipa ni kuku tuh ndo ako nayo ,,,kusema ukweli imenitouch sana,,, wish ningejuwa na uwezo,,,but Mr Fred am sure one day you will become a winner
@nyar-1ktlq15 күн бұрын
With God everything is possible 🙏🙏mum Fred atapatikana in Jesus🙏Dave Mungu akubariki kwa kazi nzuri💪💪❤️ simama na Fred hadi apate justice
@jojojojo-cb9ij15 күн бұрын
The best thing is pastor Joshua and pastor Nancy to go and help DCI Fred
@nasykanjawakanyoni142115 күн бұрын
Aki naona fredii akiongea namuhurumia😢😢 Mum fredii tumetuma malaika pahali uko waku proctect😢😢
@janenjenga890615 күн бұрын
Fred n his family still needs prayers to destroy power of darkness ( uchawi)
@grayceegracie505015 күн бұрын
Ukweli kabisa. Wanawivu Mob sana kwa hii family ya mama Freddie. The way they are teasing DCI, eti dci kitu gani? Wanaumwa sana that Freddie is lifting his family up from poverty. MAY GOD CONTINUE TO PROTECT AND UPHOLD THIS FAMILY IN JESUS'S HOLY NAME. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@zulehaamakobe1215 күн бұрын
DCI na senior ni marafiki wa dhati.Mungu awatetee.reality show plus tunajifunza pia.
@MialiiMohamed-m9l15 күн бұрын
Kabsa zulea rafiki niyule anaekusaidia wakatu wa dhiki
@zulehaamakobe1215 күн бұрын
@MialiiMohamed-m9l they know the true meaning of friendship.
@ishyjuma224615 күн бұрын
Kazi Nzuri sana, inshallah mufaulu na mungu awalinde
@periswanjiru947615 күн бұрын
Woie pastor nancy ako wapii aombee baba fredi aky amefungwa macho 😢
@fatumahapesamohamedfatumah463315 күн бұрын
Kwl kabsa cjui pastor Nancy ako wapi? Angetoa uchawi hapo.Juu hao watu wanakaa sio wzr
@marthawachuka911015 күн бұрын
I trust you two guys God brought you together, because you have a great mission to do.we are praying for you,and all will be ok
@IreneOkumu-q2v15 күн бұрын
Be strong owadwa Fred. Hakuna siku mungu ataacha wale walio mwitaji let the Almighty see you through in ur journey
@CharityChao15 күн бұрын
Sawa kabisa Fred bible inatuambia tusukuru Kwa Kila jambo.tunaimani Mungu atatenda Kwa huruma zake
@KamikaziSalma15 күн бұрын
Tupo pamoja Fred Mungu hawezi tuacha lazima atatenda natutapata ushindi 💪🏻 na mamayetu lazima wamtowe penye wamemuweka. awo mashetani waso rizika.
@naomiwambaire352815 күн бұрын
Mum fredie mpaka apatikane.... Aaai kwani uchawi ndio nini kwa macho ya mungu
@Mariofrank-u1o15 күн бұрын
I like your spirit
@agneswambui303015 күн бұрын
Mama Fredi apatikane
@FlorenceChepkurui-e3u15 күн бұрын
Fred is genius that this other dci
@SyproseOuma15 күн бұрын
Senior Dave wewe ni real friend usiwache Freddy.
@eunitakesio15 күн бұрын
Lazima akufaaye Kwa dhiki ndie rafiki
@SyproseOuma15 күн бұрын
@eunitakesio yes
@rosemuthoni810915 күн бұрын
Ukweli kabisa
@shiroliz862715 күн бұрын
𝐍𝐚𝐯𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮𝐭𝐮𝐬𝐢 𝐢𝐥𝐞 𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐛𝐞𝐟𝐨𝐫𝐞 𝐰𝐚𝐭𝐫𝐚𝐯𝐞𝐥😢
@juma986615 күн бұрын
The 6 gen z who were abducted recently, Their story/report is all over all the mainstream media/gazetti police reports/chief reports but stori zenu za abduction huwa tuu hapo kwa studio yenu. Now over 15 abduction stories but hakuna ata Moja ishawahi fika mainstream media houses , again Leo unasema Fred anarudi Eldoret so fo over 1 yr now polisi ako supposed kukuwa Eldoret amekuwa akifanya vipindi hapo Thika kwa studio ya content creator na kutembea kutafuta magaidi sagana, Bungoma,kitui, Nyandarua, without jurisdiction. Unasema ma-fans wakulipie school fees u some criminology ? Are you for real ma-fans wako na watoto wanasomesha wewe umekuwa mmoja wa watoto wao .IKIWA UNATAKA KUSOMA NA HAUTAKI KUTUMIA PESA YAKO !? KESHO AMKA MAPEMA UFIKE KWA OFISI YA M.P/MCA/WOMEN REP WAKO UMWAMBIE AKUPATIE BURSARY UNATAKA KUSOMA .. Idiot 😢 Watu sio wajinga bana 😢. Conmanship/kipindi hutaka akili
@MARYNJARAMBA-nw3pf15 күн бұрын
DCI Freddie family and our king senior Dave you are the winner don't give up in every mission you have started, congratulations 🎉🎉🥳🥳
@Scolamhehe15 күн бұрын
❤🎉tuko pamoja na familia ya Fred maana tunampenda sana
@SarahMwikali-s3r15 күн бұрын
Enyewe kimwili Iko juu sana hapa
@JanetMwende-k7z15 күн бұрын
Sd nakupenda sana so mungu akusaidie kwa kazi yako mnzuri ya kusaidia watu ,mungu akuwe nawe.
@getenserinvestments804515 күн бұрын
Pastor Nancy is needed in this home.kindly
@blessingswambo356815 күн бұрын
Mahali Dave yuko lazima ushindi itapatikana ametumwa na mungu for once and all family ya fred ipate amani
@Marionwanjiru00915 күн бұрын
True
@AsnawiHemed15 күн бұрын
Fred senior dev poleni sana na matatizo mnayopitia ila mungu ni mwema mazee atapatikana from tanzania
@Naomi-f2s4c15 күн бұрын
Fredy be strong my dear hii vita c Yako ni ya Mungu na Kila wakati umekua ukisema Mungu wako hajawai shidwa.na.hata sasa hatashidwa tuna Imani mum atapatikana in Jesus name
@PeterJuma-u8w15 күн бұрын
Yaani baba frend yeye ako tu wee kweli uchwi nibaye sana😮😮😮
@ZuramakokhaOjanja-ku3zw15 күн бұрын
Mungu ni mwema kila wakati kuweni na amani mum atapatikana kwa imani 🙏🙏🙏🙏
@catekikuva476715 күн бұрын
Amen
@Yuca87815 күн бұрын
A Friend in need is a friend indeed fred and Dave your bond never be divided ➗️ praying for mama Fred to be relocated to her home and have peace ✌️
@Kathynduschi15 күн бұрын
Baba Fred is a very cool man. May God fight for you 🙏
@BariisSamatar15 күн бұрын
Our hiro I am sure kitu itakua sawa INSHALLAH
@SusanKungu-i7i14 күн бұрын
God will intervine
@PatriciaWanza-n7o14 күн бұрын
Pole sana Fred all will be well aki dear nakuelewa kile unakipitia Lakini ujue Mungu ameshatangulia kwa mambo yote. Pia Dave you're a true friend.
@Sarah-iw6cg15 күн бұрын
Mum atapatikana in jesus name ...dave and fredieh good job
@sheilagg150315 күн бұрын
Hii vita ni both physical and spiritual but,more spiritual but nyinyi mnapigana na mwili pekee mnasahau kiroho
@MaryOchoki15 күн бұрын
Akika mungu awezi kukuacha DCI freddy kwa kazi unayofanya. Pia ww mungu yupo atakupigania kwa kila jambo mama apatikane,
@faithkagwiria725315 күн бұрын
Sometimes when troubles follow you thanks God because when God wants you to bless you challenges occur....so fred the truth is out after your mother kidnapped, now you know your enemies is your cousins even to loose your job I pray you find your mum safely and all what you lost God shall reward double double.
@MaryOchoki15 күн бұрын
Ukweli kabisaaa amejjua maaadui zake sasa@@faithkagwiria7253
@JANETNJONYA15 күн бұрын
Fred, usijali tunawaombea tu sana na mungu atabaki kuwa mungu mama wetu atapatikana akiwa sawa, coz umesaidia wengi na mungu awezi kukuacha
@EuniceWafula-b1t15 күн бұрын
Almighty God is always with you people in Jesus name
@PaulMusembi-y1j15 күн бұрын
Mungu tunaomba uwasaidie ili mambo ikuwe sawa
@rachaelwambui340715 күн бұрын
Fred Mungu stakubariki pamoja na familia yako hao watu watashangaa
@gozakoth846615 күн бұрын
tafadhali haps mungeweka maombi pia ingekua vizuri Sana plz paster pia itawasaifia Yani huyu angel alikutoa KAZI nae ameficha mama na ameamukia Fred kwasababu mchango wa gari wakadhani gari ishanunuliwa mungu akusaidia mungu akusaidie wajaluo wetu na shamba nikama wanakoroga kilakitu mungi
@syphbradly214115 күн бұрын
Mum atapatikana fredy mungu amemufunika
@HUSSEINMWARUWA-b3u15 күн бұрын
Dci god loves you hatari kuacha ❤❤❤❤❤ much love
@BlessingsKuria15 күн бұрын
Frederick you are very wise indeed may GOD bless you much
@TeresaNunda-z6t15 күн бұрын
Praying for you senior Dave and DCI Fred and ur team in general
@alicethiongo303415 күн бұрын
Huyu baba Fred ako mpole sana Jehovah msaidie
@leahwanjiku356615 күн бұрын
Freddy akuna kitu...kina mshinda Mungu..mum ata patikana akiwa mzima....God will protect him ❤🎉
@fatumahapesamohamedfatumah463315 күн бұрын
Amiin
@SusanMutika-nl8sq15 күн бұрын
Wwo Fred is family iwill believe to Jesus name ba uko na God and Devid Amazing tru my friend to ❤DCI
@sophyabuyeka385115 күн бұрын
Pole sana Mr Fredrick
@EuniceAvillah-k2c15 күн бұрын
Mungu wa ambraham,lsack na yakobo,atufunikie mama yetu
@RuthNandwa-pg4ss14 күн бұрын
Fredy Mungu akukumbuke na urm mum atapatikana in Jesus name🙏🙏🙏
@teedullah570815 күн бұрын
Tuko powa hatujambo dci jmn pole mungu atakufanyiya wepesi kwa kila kitu
@Reenstep15 күн бұрын
That chicken heard itapatianwa ikasema, nope, not today!😂😂😂
@Apostlesimonmuemalive15 күн бұрын
DCI Fred tunaomba mama yako na atapatikana mzima
@RuthNandwa-pg4ss14 күн бұрын
Mungu wa Yakobo,Meshack na Abednego akutangulie kwa kila jambo
@getenserinvestments804515 күн бұрын
Hiyo familia itoe mama fred.wanajua kila kitu
@MargaretWangui-v2i15 күн бұрын
Fred kazi yenye umefanya Mungu atakusaidia upate justice
@mercyngombe4715 күн бұрын
Woooi Fred pole unapitia lkn mungu hatakuacha kamwe
@jescaodingo956415 күн бұрын
Kabisa Mr Fred tushukuru kwa kila jambo
@KokhAlshehery14 күн бұрын
I understand only English in your program but I like it how should I do officers
@MarthaNehemia15 күн бұрын
Mungu awape kushinda haijalishi utapitia nn
@LilianKarisa-nv3sr15 күн бұрын
Mungu afunike mum Fred pahali yuko 🙏
@hannahwanjirunjeri450615 күн бұрын
DCI Fredrick keep heart
@NjokiMillie15 күн бұрын
Seniour u ve gone there with Pastor Nancy for prayers...DCI Fred take hear n be strong your Mum will be safe no weapon formed you shall prosper
@Theblessed-v9y15 күн бұрын
I suggest kama mbaya ni mbaya leteni dactari hapa watoe huyo mama sahiii
@MachurineSarange14 күн бұрын
Mungu anaweza yote Soma Jeremiah 17:5 amelaaniwa amutegemeaye mwanadamu
@NaomiMwathe15 күн бұрын
Dave climate of that area is good for you
@agneswambui303015 күн бұрын
King David we love you 💕🥰😘🥰
@WinnieKamau-e2n15 күн бұрын
Fred my brother God will fight your battles
@charitywangeci484615 күн бұрын
Please senior involve pastor Joshua hii vita sio rahisi lkn mungu yupo nanyi
@dorcasmuendo33515 күн бұрын
Frredddy takeee heart familia zinakuanga hivvyo most of them
@MaryOpondo-w6z14 күн бұрын
Kuna kitu mungu hatatenda,afadhali muhimu
@paulinekungu672615 күн бұрын
Dave you need to tell pastor's about hizo account za Fred juu kuringana na vyenye huku kunaenda wachawi ndio wamefunga account
@SokinaChapia15 күн бұрын
May God protect Fred's mom where she is in Jesus 🙏
@everlynakinyiodhiambo15 күн бұрын
True k and kitoo and pastor Nancy should be with you guys please
@SleepyTown-kw1lu15 күн бұрын
God is with u Dave and Fred.
@irinemosati555715 күн бұрын
God ia good he has given you another day you are going to wean.
@NasraImonje15 күн бұрын
Fred mungu sko side yako at last utakua mshindi
@EmmaMwaura-p4v15 күн бұрын
Fred unajuana na mungu kwa hivyo vita ni ya mungu
@shikusteve15 күн бұрын
God will not leave you fredy
@JosephineMueni-v4y15 күн бұрын
Mama Fred Mungu akulinde mahali uko
@florencewainaina230115 күн бұрын
Fred mungu akupe nguvu mum atapatikana kwa jina la Jesus. Sheteni hana nguvu kabisa
@AgnseseAlqahtin15 күн бұрын
Mungu nimwema kila kitu kitakua sawa 🙏
@ShallomAmugune-gd8yg14 күн бұрын
I believe your mum is still alive DCI Fred usichoke kuomba Mungu
@ElizabethWanjiru-mg9sj15 күн бұрын
Musiogope Mtu mbali Mungu pekee..atawashindania na mambo yatakua sawa. Ufunuo:21-8,John 21:19'21'26 hofu itaondolewa kabisaa kwenu..na Mungu atawapa Amani na ushindi 3 times in Jesus name ameeeeeeen
@sheilammbone571315 күн бұрын
Muko shua huyu ni mtu mwenye amekuja nahuyu Mzee ni d c I? Simwamini, ok Bora asaidie Mr Freddy, aky mungu Linda mama Fred mahali penye amefungiwa😢😢😢
@annmuthenya408715 күн бұрын
Before the day tumalize mum lzm apatikane in Jesus name
@ChristneTina15 күн бұрын
Watoe mama Fred, tunataka kumuona.
@Faustinesimasi15 күн бұрын
Fred bomoa mabati, bomoa mawe yote, utanengea kwengine, wachana na hao watu wachawi, kawakodishie nyumba madukani, ata huko kwengine usijenge wawaachie na mungu atakuongoza
@LornaBunde10 күн бұрын
Tuna omba mama apatikana kwa haraka wachawi wa shindwe katika jina layesu
@jacintamumbi-c6v15 күн бұрын
Our God does everything with a purpose. Sasa kupitia huyo mom yote yatakua chonjo. Huyo mzee atakomaa kuwasubua
@ndirangunancy844812 күн бұрын
Huyu ndo baba fredie mwenye alilala na bibi wa kwanza wa fredie na vile anakaa mpole
@emmahladytoshatv39515 күн бұрын
Akh fred senior nawaombea
@stellastella724515 күн бұрын
God is there for fred
@joanawamucii872315 күн бұрын
God is good
@alicethiongo303415 күн бұрын
Jehovah God is with you guys,fridie biblia Inasema in the book of Jeremiah 24:10 ukivujika moyo Nguvu zako zitaisha so jipe moyo utafute mum wetu na atapatikana akiwa safe,