Kwel huu wimbo hauna utakatifu wowote pili umenyoa kiduku uvaaji hovyo huna tofauti na wimbo wa kidunia imba tu bongo fleva gospal mwachie rose mhando mama wa upako
@lumosinewton9333Ай бұрын
Very true,... very useless song Kwa gospel
@aduvagaAlice Жыл бұрын
Mwanamke asivae mavazi ya mwanaume tunasoma biblia tofauti au ?
@supremacyent254710 ай бұрын
Usipoteee mtumishii
@AdonisSifa Жыл бұрын
Nimejikuta nacheza,barikiwa sana princess❤
@JeremiahArkaswai-nf1gvАй бұрын
hi ni ushenzi mnafanya kabisa tunatamani kusikiliza lakini hamna tofauti na kina diamond mmepotea kabisa
@StafSande11 күн бұрын
Asante kwakuja kwetu chigwingwili, mungu akubariki sana,
@chrispinmagayane6150 Жыл бұрын
I wapi tufauti ya wana wa MUNGU na wana wa giza,ni kama tumemfanya MUNGU ni mwanadamu kama sisi,hivi kwa namna hii MUNGU akikaa mbinguni anashangilia au anaumia vile watoto wake wameshindwa kutofautiana na wa ulimwengu huu?Oliva mjue MUNGU kwa zaidi ili ujue namna ya kusimama shambani mwake
@jescakazungu5027 Жыл бұрын
Dada unaanza kuchanganyikiwa kweli,ikiwa kweli umempokea Yesu,hawezi kukuongoza uvae namna hii na kunyoa hivi,Bibilia yasema mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume,hauna tofauti na hao washukao shimoni.
@kiprotichngeno25346 ай бұрын
😄😄👗😄
@DebbyKenny-bw6iu2 ай бұрын
Uj @@kiprotichngeno2534
@barikielisulle93009 ай бұрын
Dada yangu oliva nakupenda sana. Sikuzote anaekupenda ni yule anaekushauri na hachoki ujue ndo kipenzi chako. Mavazi yako baadhi ya muondoko wako au kucheza mziki wa dini unatoka kwenye line ya dini unachanganya na ulimwengu please kama ni dini simama na dini usidanganyike kwamba mungu haangalii mavazi. Kama ni hivyo basi tucheze na mataole nabkanga moko kanisani. Kama unavyo ona sio vema basi mpendeze mungu mheshimu mungu kwa mavazi yako kucheza kwako na kuimba kwako utatoboa kama uongo nipo hapa nakusubiri.. love so much oliva.
@lumosinewton9333Ай бұрын
😭😭😭pole na huu wimbo wako na dance zako na mavazi yko
@superkingkusa8116 Жыл бұрын
Ngoma kari respect from NGHONGHONA UDOM mtakatifu petro CHIBWE
@malkiabella44233 ай бұрын
MUNGU azidi kukuinua katika utumishi huu.
@janekalondu617710 ай бұрын
Song is so nice and beat is good God 🙏🙏🙏 blessed you so much ❤❤❤❤
@chrissmo9198 Жыл бұрын
Kali noma 🎉sana❤❤❤❤❤❤❤
@PraiseConqueror Жыл бұрын
Woiye Yesu ni mwagilie moyo wangu utulie❤❤❤❤❤
@emmanuelbj8663 Жыл бұрын
Daah nyimbo tamu mpaka raha oiliva hii umetisha hii fire jaman saf prinses wetu oliva Mungu akufikishe mbal Dadaa
@user-rc8sp1fz2k10 ай бұрын
Mnaimba mwonekane et polen Mungu siyo waivyo
@2mainbassovevo71310 ай бұрын
Nyimbo kali Sana I love it.. keep it up
@neemajohn85534 ай бұрын
Kwishaaaa
@essy67389 ай бұрын
umepotea sana unaleta aibu kwa wakristo mavazi pia ni injili tosha
@user-db8cz2vp6g11 ай бұрын
Nyimbo tamu sana agusha nyengine kali na mungu ata tenda na barikiwa sana na nyimbo zako
@Mkungajackson0098 Жыл бұрын
Nzuri sana binti wa Yesu,,zidi kubariki mioyo
@henryjamas3109 Жыл бұрын
...beautiful Princess...!!
@yafethpanga7940 Жыл бұрын
Noma San hii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@solangerechol688111 ай бұрын
Emen and Emen yesu nimwagiliye 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹
@pascalinakiima279811 ай бұрын
Amen and Amen, Yesu nimwegilie nguvu zako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂
Sio tu video youtube weka na audio gongle na hii style nahisi inaitwa ama kwaya thanks madam
@williammuli741611 ай бұрын
Kali sana shem
@aggreyomusikoyo Жыл бұрын
Song nipoa BT studio 😊
@castorgospelmusic23 Жыл бұрын
SAfi, HONGERA.
@barikielisulle93009 ай бұрын
Mungu akubariki sana.
@OlivaIkson-hu8ky5 ай бұрын
Mungu akupe afya
@user-db8cz2vp6g11 ай бұрын
Nice song
@evangelistp848210 ай бұрын
Nimwagilie❤
@marymalombe68768 ай бұрын
❤❤❤
@user-cu6so6zq4h9 ай бұрын
More grace
@evangelistp848210 ай бұрын
❤
@MarcusGavy8 ай бұрын
Uko xw
@urbunuspius34579 ай бұрын
embarambamba wa tz
@Kennadinho Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@kiprotichngeno25346 ай бұрын
is Oliva Wema sister to rise muhando?
@meshmusyoka6449 Жыл бұрын
Amazing song 🎵
@debborahlucy4071 Жыл бұрын
Tàmu
@EmanuelGafachu9 ай бұрын
Nnn
@prophetbillionairekimbunga Жыл бұрын
daaah 😢 yani mda wote ujatoa kitu kizito alafu unakuja kutoa makirikiri!! kwa sasa soko la mziiiki wa gospel limebadilika unapopiga mzziiki lazima ujue ni mdundo gani unatembea nao!! sasa hio ni amapiano au chakacha alafu jiangalie na hayo mavazi yako!! unavuka mipaka ww ni mtanzania hizo sio jadi wala mila na maadili ya kiroho
@prophetbillionairekimbunga Жыл бұрын
daaah 😢 yani mda wote ujatoa kitu kizito alafu unakuja kutoa makirikiri!! kwa sasa soko la mziiiki wa gospel limebadilika unapopiga mzziiki lazima ujue ni mdundo gani unatembea nao!! sasa hio ni amapiano au chakacha alafu jiangalie na hayo mavazi yako!! unavuka mipaka ww ni mtanzania hizo sio jadi wala mila na maadili ya kiroho
@enockmwaanga3554 Жыл бұрын
Barikiwe sana mtumishi wa Mungu
@danielinada2524 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri ila ulivyo sasa afadhali zuchu kweli Mungu akumwagilie nguvu zake katika mavazi hayo