Prof MJM amtembelea Kyungu Mwakabanga III, Malawi Part 3

  Рет қаралды 907

Prof. Mark Mwandosya

Prof. Mark Mwandosya

Күн бұрын

Kwa mwaliko wa Kyungu Mwakabanga III Profesa Mwandosya, Mama Lucy Mwandosya, Sekela Mwandosya na wana familia wengine walifanya ziara ya siku tatu, Kasoba, Karonga, Malawi. Waliwasili Kasoba jumamosi tarehe 2 Januari 2016 na kupokelewa na Kyungu, kaka yake na umati mkubwa wa wana Karonga. Siku ya pili, jumapili tarehe 3 Januari 2016 tulihudhuria ibada kanisa la kianglikana, kasoba, lililoanzishwa na babu yake Kyungu. Baadaye tulioneshwa maeneo mbalimbali ya mji wa Karonga pamoja na jengo la makumbusho. Makumbusho ya Ksronga yako chini ya Uongozi wa Kapote. Tulipata nafasi ya kukutana na ukoo wa Mwandosya walio Karonga. Kabla ya kwenda Malawi jumamosi tulihudhuria mazishi ya Mzee Arthur Mwaitenda, Kyela.
With the invitation of Kyungu Mwakabanga III, Prof. Mwandosya, Mrs. Lucy Mwandosya, Sekela Mwandosya and other family members made a 3-day visit to Kasoba, Karonga Malawi. They arrived in Kasoba on Saturday 2nd of January and were greeted by Kyungu, his brother Archibald Kapote Mwakasungura, and a huge crowd of Karonga residents. On the second day of the trip, 3rd January, 2016, they attended a church service at the anglican church, Kasoba, which was founded by the Kyungu’s father. They later toured various sites and the museum. They had the opportunity to meet members of the Mwandosya clan in Karonga. Before going to Malawi, they attended the funeral of Mzee Arthur Mwaitenda.

Пікірлер
Prof MJM amtembelea Kyungu Mwakabanga III, Malawi Part 4
1:23:16
Prof. Mark Mwandosya
Рет қаралды 1 М.
Kwaheri Profesa Matthew Laban Pimpa Luhanga
31:33
Prof. Mark Mwandosya
Рет қаралды 2,9 М.
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 47 МЛН
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 19 МЛН
Prof. Mwandosya Afafanua Kuhusu Uandishi wa Vitabu
27:24
Prof. Mark Mwandosya
Рет қаралды 667
Ngoma ya asili toka MALEMA -BUSOKELO
6:55
OBO SIX MEDIA
Рет қаралды 203
ClimateAfrica: Resilience and Adaptation.  First Anniversary lecture.
21:46