Kipara tuliye muzoweya Ila wa kwenye professor tofauti kama una kubali kipara gonga like moja kali apo
@DonMooFILMES_Express2 сағат бұрын
Huyu dogo Mfinanga huwa namkubali sana. Kipara umekuja vizuri sana kwenye kazi hii. huu ndio ubunifu ninaotaka wasanii muufanye 🙌🏆🙌 Kaza buti Mr Kipara
@sadicksamuel2005Күн бұрын
Wabongo mulioacha komedy mpaka Sasa mnatisha sana kwenye serious movie
@killerstar6160Күн бұрын
oya kmmmk prefesa bonge la kitu kama unaamin tia like moja kali hapa
@enah-j9wКүн бұрын
Kipara umewafunika wenzio Wote Hadi Boss Wako upewe 🎉 yako❤❤❤
@ErickyTz-ku7dtКүн бұрын
Clam huyu ndo kipara wanaman soon anakupindua
@kheed99Күн бұрын
Bado hajafikia Sana amupendue Sandra kwanza 🎉
@tiffahbby3697Күн бұрын
Unaota wee 😂😂kipara ako vzr sana lkn Kwa Clam Bado sana Wacha comment y umbea wee chawa nn😂😂😂
@AllyBabu-kr6lgКүн бұрын
Masihara ayo
@AllyBabu-kr6lgКүн бұрын
@tiffahbby3697😅😅
@MazikuRamadhanКүн бұрын
Hawez kumpindua cram vevo
@rarkia745212 сағат бұрын
Ep 2 isichelew jmn , Kipara wiz ur team kazi nzur ❤❤
@hamzaIlungaКүн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team kipara one man,nimekuwa nikiisubiri proffessor kwa muda atimaye........... .....
@OmariAhmadi-v7t22 сағат бұрын
Sehm gan APO Lusaka kak Nko apo
@morishoissa4155Күн бұрын
Kipara kwa iyi movie itakuzalia ma kubwa sanaaaaaaaaaaaaa historia nzuri saaaaaaana sija choka kuona kila mda niko nairudia🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dalalimremboКүн бұрын
Hakuna kitu nafurahi kama muv ikikutanisha ma legend tofaut hivi aisee na enjoy kuona ufundi wa miamba ikikutna kwenye kaz 1 Vema sana kipara kazi nzuri Uzidi kushirikiana na wengineo Mkibebana kila cku wale wale inapoteza radha hata stor iwe kali vipi sura zile zile tu 😪 Umeupiga mwingi baba Mfinanga waoooooooooo Siku tumuone baailam Gozi Chado Manyanya Rk Hemedy chande Na wengineo utaua baba
@IreneAdam-g5zКүн бұрын
😂😂😂😂😂
@SalimSalim-m9w4o20 сағат бұрын
Bila kumsahau mbwela na chumvi nyengi
@bigstonemcb91719 сағат бұрын
Seja bem vindo professor ,Duuu Kipara naijua iooo, bom trabalho meu amigo Deus abençoe,
hongera sana wote tuseme aweeh kaka kipala upewe mauwa yako🎉🎉
@MkayulaDavidКүн бұрын
Kipara umetisha sana na saaaaaaana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@princewachonyi003KE11 сағат бұрын
Kali sana ,kipara big up ,series kali sana
@philippenicentaconzoba98535 сағат бұрын
Bwana kipara heshima yako mzee. Kwenye hii filamu wewe ni number one tuko wote 5/5
@NatureMw155Күн бұрын
Mushilikishe ata mwakatobe itapendeza sana
@KelvinDiksoni2 сағат бұрын
Kazi nzur San ii movie itakuwa nzur Kam ya sandra honger kipara🎉🎉🎉
@wyclifekalama4397Күн бұрын
Professor Kipara mwaka umeuanza vzuri upande wa sana na nmependa hiyo idea ya Squid Game ya Netflix kuwaita wachawi kwa numbers na sio majina.Big up Team Professor Kipara.
@JonathanWilliam-jn9tu2 сағат бұрын
Kipara kaacha umbea kawa professor
@claudmbongelaКүн бұрын
Kipala kaacha umbeya .....Kuna serious moja humu .......baba unatisha 🎉🎉🎉🎉🎉
@HabinezaAnastaseКүн бұрын
Kipara 2025 ni ya kwako kweli. Hongera. Love from Rwanda 🇷🇼
@issayamakalius5708Күн бұрын
Hongera Kwa kazi nzuri kipara
@mutetezilmusicboys79922 сағат бұрын
ukiamuwa unaweza brooo ....big san
@NassoroMdaile-f5r23 сағат бұрын
Kipara wana man hime2ria iyooooooo❤❤❤❤❤❤
@KasimuPekosКүн бұрын
Tangu lini hapy balthazar kawa mganga jamani,
@andrewkilave353211 сағат бұрын
Profesa kazi nzuri leta mwendelezo
@AmeenRadjabuКүн бұрын
Kibara mwazo nime kuwa sikukubali ila ivi na kukubali sana kazi zuvuri sana mungu akufanye wepesi ❤
@MariamAmir-x3kКүн бұрын
KIPARA THE BRAND msanii wangu pendwaaa🎉🎉🎉🎉
@Makonde-12 сағат бұрын
Kipara wanaman from 🇲🇿💪💪💪🌹🌹🌹
@IsaacMauridiКүн бұрын
Kweli kipara Brad anajuwa
@mchomeostationeryКүн бұрын
KIPARA WANA MAN_Ni nomaaaaaa bonge la series aiseeee
@MwanamisiKhadodo-xh8cnКүн бұрын
Leo WA Kwanza kutoka Kenya naombeni likes zangu
@XhalkihKhamisКүн бұрын
Kwani huko kenya hamna waigizaji au
@abbyplus10Күн бұрын
PROFESSOR 2025🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@WardaIsmail-p1oКүн бұрын
umetixha kipara
@PRINCE_NYAKUNDIКүн бұрын
From Kenya 🇰🇪 Here We Go 😊😊😊
@Justuswambua-u1kКүн бұрын
Hapa 🇰🇪 nimekukumbali kipara🔥
@ChamboYahaya5 сағат бұрын
Ii kali sana bwana kipara usije zingua mbele
@SharifaSalim-gg8xn4 сағат бұрын
Kazi nzuri kipara nimeipenda🎉🎉🎉🎉
@Stevecoastkid4 сағат бұрын
Hii movie ni Kali sana ila naomba umlete Sandra na juma jicho🙏 Much love from Kenya 🇰🇪❤️
@DonMooFILMES_Express2 сағат бұрын
Asante kwakunisemea 😂🙌
@Kasongo-s5vКүн бұрын
Kipara ongera sana kwa kazi nzuri🙏🙏🙏✌️✌️✌️✌️✌️
@angelrichard899Күн бұрын
Kipara hii noma xana ni Kali zaidi ya move zako zote nazofuatiliagaa.....
@NdenzakoSammyКүн бұрын
Salim kutoka S.A nakubali sana kakaangu Kipara kwa kazi zako nzuri ❤
@mughishajohn32877 сағат бұрын
Mzee kipala heshima yako kwakazi mnao fanya na team yako ❤❤💪💪🔥🔥🔥
@VenanceNchunga7 сағат бұрын
Lete muendelezo mapema tuinjoi ❤❤❤❤❤❤
@DekelvaSoujaboy-mb8psКүн бұрын
Movie kali Sana Mzee kipara jaivah 🎉🎉🎉 from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥🌟🌟
@SmartVicenzo23 сағат бұрын
Kitambo sana nilikuwa sijamuona mtu wa system😂
@SofiaAlmasi4 сағат бұрын
Kipara imeikubali sana hi muve aisee hongera sana❤❤
@jacklinekamando95556 сағат бұрын
Sehemu ya pili jamani nasubiri Si Kwa huu uhondo 😊
@AntoKiri-n4vКүн бұрын
Ila hi movie kali professor naikubal Sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@AzuminaJafarJafarКүн бұрын
Bom trabalho kipara wanaman 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🎉
@ZuhuraFatum15 сағат бұрын
Mkwe wang shuu ♥️♥️
@bensonmwanzia-h6lКүн бұрын
Kipara ukosawa Mr professor
@lainasser155915 сағат бұрын
Kipara kwenye upande wa kuwa serious unaua sana. Nakuvulia kofia unatisha bro na cha kukusitiza kaza baba hii thamthilia imehit tayari 🫡
@jaafarjama20624 сағат бұрын
Nyama ya pilau imepotea😂.much love from kenya🇰🇪🇰🇪
@VenanceNchunga7 сағат бұрын
Hapa kaka umeuwaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@elishaorodiouya821Сағат бұрын
Huyu kupata ametisha sana. Kenya twakukubali
@LewisHamiltonGLDКүн бұрын
Kipara jaiva umetisha bana ujawahi kutufelisha keep it up bro nimefurahi kumuona mwafinanga na pasar na mama kikongwe good job wanaimani🎉🎉❤❤
@StephanoCdanielКүн бұрын
Kaka tunaomba muendelezo unajua sana kipara
@swaleheJamaКүн бұрын
Kipala BIG UP brother Hii kazi Mapema Tu nimeielewa
KIPARA, this movie is very good and it educates the community well, so please release it at the right time, for my part, I liked it very much, clean, good work people of Clam vevo gang.
@ZalhaMbarkaКүн бұрын
yani hiiii bomba ❤❤❤❤❤❤
@MoTalentTz5 сағат бұрын
Kipara kaja kivingine tena profesa 😂😂😂😂😂
@shadyarif653Күн бұрын
Professor umetisha sana,, hii ni hatare waiting for next esp
@4raizoh5557 сағат бұрын
Kali professor kipara. Chek na kwangu
@KevooMplКүн бұрын
Mdada akigusa hii comment namtongoza❤😂
@ImanSal-z7iКүн бұрын
Nitongoze❤😂
@GraceMatias-v2wКүн бұрын
Utatongoza wangapi?
@ZakiaAlRamadaniКүн бұрын
Mmmmh
@Sally-j4pКүн бұрын
Mmh
@azizaSeleman-d7mКүн бұрын
Nitongoze
@HarryImani10 сағат бұрын
Hongera sana kakangu kipara kwa kazi nzuri
@AmaniNangerembeКүн бұрын
Hiyi nikali sana brother kipara wanamani 🎉🎉🎉🎉
@mtalammathayo518413 сағат бұрын
Kipara sikuwa nawaziya kama unaweza vaha usika wa siyaasi kiyasi hiki kweli Mwaka huu umebadilika kweli upewe mahuwa Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Haunaga tabiya ya umbeya umbeya kweli
@daudimzyawi679514 сағат бұрын
Nakubali saana kazi nzuriii👍👍
@RahmaMohamedi-y7b20 сағат бұрын
Ila kipara ni mweusi sana..sijui ni mjaluo
@AFRO-io5qp23 сағат бұрын
Courage vraiment 🇨🇩🔥
@J7425110 сағат бұрын
Big up sana kipara wana man 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
@ButoyiHussein-zs5rg2 сағат бұрын
Nakukubali sana kipara wanaman mimi nishabikiako saana
@SofiaAlmasi4 сағат бұрын
Kipara uko vizur sana kazi mzuri sana ❤❤
@HeritierKambale-p3k2 сағат бұрын
Kazi nzuri kabisa
@alfredmashala406217 сағат бұрын
bro kiukweli umeitendea haki hiimovie jitahidi muendelezo wake uwahi BIGUP mwamba
@CarlosKimuni-r9mКүн бұрын
Kipara nakubali unajuwa kazi, sijutii kuweka bando n'a kukwangia wewe.
@maximiliankadawiibalaja2198Күн бұрын
Mwanetu Kwenye hii Umenyoosha aise🎉🎉🎉
@SelemanKayangeКүн бұрын
Kipara unajua na amnaaah sehem umenifurahisha kama kumleta mfinanga kweny hii series unaona mbali
@Linah-j7uКүн бұрын
Ivi kwann mnapenda sana kuigiza za kichawi punguzeni kidogo
@davidmiracle807Күн бұрын
Umetisha mwanetu
@SabaTilan10 сағат бұрын
Daaah nzur san usiachie njian ni nzur mno
@ixha706Күн бұрын
Yani kipara kila season unayotoa inakua tamu hakika humu umeua zaidi bwana PROFESSOR🙌🔥❤️❤️
@RahmaMohamedi-y7b20 сағат бұрын
Nimecheka sana kumuona rafik yake kipara jina nimelisahau kuwa mchawi kwasabu ahendani n hayo mambo
@SamyMacensi22 сағат бұрын
Hiii kazi 🔥
@YassinJafari-u1bКүн бұрын
Weee bibiiiii tuliaaa kuna kifooo Kuna moto piaaaa Fanya ibada muogop mungu
@augustinesombi6285Күн бұрын
Kipara Wana man, kipara Jaivaa, sema aweee🎉
@Dadjuamuri-z5y23 сағат бұрын
Filamu nzuri sana🎉
@alexandertembea594013 сағат бұрын
Hii move nikali kwerkwer 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@matalo0551Күн бұрын
KIPARA BRAND......MUCH RESPECT....ALL THE WAY FROM KIGOMA....2025 NI MWAKA WAKO....... PROFESSOR! ❤
@LebonAllianceКүн бұрын
Kazi nzuri kabisa nainpenda sana usisheleweshe 🎉🎉🎉🎉