Dah, acheni Mungu aitwe Mungu. Gonga like kama tunakubaliana
@neziajoseph972611 ай бұрын
Nilichojifunza pia kwenye hii Dunia ni kuishi vizuri na watu, professor jay amekua mwanamziki asiye na makuu na mtu kwa muda mrefu and very humble man, na hata nyimbo zake nyingi Zina ujumbe mzuri zinafundisha ni nyimbo ambazo unaweza tizama au kusikiliza hata ukiwa na wazazi wako,ukisoma comment nyingi za watu zinaonyesha ni namna gani professor jay amekua akikubalika na watu wa rika zote katika jamii yani jay anapendwa Sana huo ndio ukweli,tujifunze kuishi vizuri na watu hata tukiwa maarufu kiasi gani,jay ana nafasi kubwa Sana mioyoni mwa watu na mbele za MUNGU, namuombea maisha marefu mbele akawe ushuhuda kwa wengine ambao ni watu maarufu kama yy na tukumbuke MUNGU yupo na kuperish kupo tusijisahU
@tamimuomulungi210211 ай бұрын
Naomba like 1000000 kama unaamin mungu yupo na wimbo huu umekugusa
@MusaMajenda5 ай бұрын
❤❤
@nathanaelkambaine387Ай бұрын
sema umeomba nyingi sana
@mikadogod18257 ай бұрын
❤❤❤ poleni sana professor Jey watu wa GOMA congo DRC 🇨🇩 tunakupenda
@perfectinnocent187511 ай бұрын
Chama cha wasoma comment Tanzania (CHAWACOTA) Tujuane. Mwenyekiti wenu nipo hapa nasubiria mahudhurio tafadhali sana😂😂😂😂
@masterkey5369 ай бұрын
Niko hapa
@innocentgoodluck35222 ай бұрын
😂😂😂Mimi ni katibu
@SNROLEKISHAUАй бұрын
@@masterkey536 comment readers association of Kenya(CRAK)
@umenyagatv716311 ай бұрын
Duh! Kweli hii nikama movie kwenye banda la video god bless you prf jay
@ulimbombonaulindi508811 ай бұрын
Nimeandika nafuta naandika nafuta. Pole sana mkuu, tunakutakia afya njema na maisha ya amani. Tunashukuru kwa burudani na tumekuwa kizazi cha bahati kuco-exist nawe katika muda wetu wa uwepo duniani. Tunatamani kuendelea kukuskia, lakini pia hatutamani kuendelea kukuchosha kwa kazi mpya, unaweza ukapumzika ukipenda, tuna nyimbo zako nyingi mno ambazo kila siku sisi tunaziona mpya. Kila la kheyr mkuu.
@douglasndeki834611 ай бұрын
Nilitaka kusema hili pia Mwamba angepumzika
@jeremiapeter68311 ай бұрын
Ume Nena Mkuu..
@jeremiapeter68311 ай бұрын
@@douglasndeki8346Sema kupumzika Hawezi maana Ni kitu Anacho kipenda na Ana tufikia sisi kupitia mziki Wake.anao ufanya.🙏🏿🙏🏿
@wanzakleruu11 ай бұрын
Ni kweli angepymzika amefanya vya kutosha ila ndo vile prof. anapend san Muziki
@dishonmanyi315211 ай бұрын
You have say it all my brother
@ValerianaMgani10 ай бұрын
Pole sana kaka❤❤
@SesiliaMakaila11 ай бұрын
Jinsi mungu alivyo mkuu ktk maisha yetu ya Kila siku nataman watanzinia wote wangekuja kuusikiliza huu wimbo ukawa wimbo wa shukran kwa ulinz wake,mungu wang na huu ndo wimbo wangu wa shukran kwa matendo ,nyakati zote ulizonindea 2023 naamin 2024 nitakuwa na nyakaz ushind zaid🙏🏻 Asante prof na mungu akuimarishe zaid
@mgeyo646411 ай бұрын
Hii nyimbo anapenya sana moyoni na unaweza hata angusha chozi ukiisikiliza na kutazama pia, hakika Mungu acha aitwe Mungu , mitihani tumeumbiwa bina adam na tunaishi kwa mipango yake mola. - Mungu akupe umri mrefu legendary wetu.
@johnrogeo216110 ай бұрын
Nimerudia mara nne😢
@omuyaalphonce438711 ай бұрын
Hii song inanikumbusha Mwalimu wangu wa esabu the late Mr.Maseghe (Mwafuga High School) Mungu ailaze roho yake pema peponi 😢.
@salomesamson690411 ай бұрын
Nmebaki kuliaa tu😢😢😢😢😢😢
@ShadiaBella-b7b22 күн бұрын
Mimi pia😢😢
@nerryabel751211 ай бұрын
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.Huu wimbo umenikumbusha mwaka 2020 Niliumwa sana lkn Mungu aliniponya.Mungu akiruhusu uishi unaishi.J Mungu azidi kufanyia uponyaji.🙏🙏
@priscandimbo828611 ай бұрын
Pole sana, Mungu ni mwema mno🙏
@priscandimbo828611 ай бұрын
Pole sana, Mungu ni mwema mno🙏
@nerryabel751211 ай бұрын
Amina, ubarikiwe 🙏
@IsamaBoe-pb9fd11 ай бұрын
Pole sanaa mungu ni mwema
@MusaMajenda5 ай бұрын
Pole sana nawewe
@BenjaminWesonga-o3l17 күн бұрын
Mungu tunayemwabudu ni Mungu wa kweli
@mkundemalleo632311 ай бұрын
Uko kwaajili ya kutimiza kusudi la Mungu mtumishi Professor J na katika kila jaribu Mungu anaweka na mlango wa kutokea, ninachoamini Mungu anakupa jaribu kulingana na ukubwa wa Imani yako, hivyo unaimani kubwa sana na kupitia hiyo changamoto wengi watasaidika kupitia wewe, Mungu aliona watu wanavyoteseka na kuangamia kwa kukosa fedha kwaajili ya matibabu ya figo, akaamua kukutuma wewe maana yakini alitazama na hakuona yeyote aliyekuwa tayari kafanya huu utumishi ila alipo kutazama wewe akaona moyo wako uko tayari akaamua kukupitisha ulikopita ili tu kusudi lake litimie.my take utumishi siyo lazima uwe muhubiri,nabii,mtume, mchungaji au mwalimu ila kuna namna nyingi sana za kumtumikia Mungu.Atukuzwe Mungu katikati yako sasa na milele
@engineerramtuАй бұрын
Aminia wanangu wa daima haya ni maisha tu ipo siku yataisha kwani mbuyu ulianza kma mchicha ndugu tutafika tuuuu snaaaaa nione coment hapo chini kwa wanangu.
@frankfame659310 күн бұрын
Kenya we have been praying for you.... Kenyans wapi likes....May God bless proffesser Jay
@Jimmykapeloone7 ай бұрын
Ashukuliwe mungu maana hata Mimi niliumwa sana great god
@nyemowanyotanjemaudm436011 ай бұрын
Maon yangu kwako mwamba wetu naomba uendelee kumtukuza MUNGU wako aliekufanya uko salama mpaka Sasa kwa jina la yesu wetu kirsto achana na mziki wakidunia kwanzia Leo naomba usjisahau kwa MUNGU wako
@januarykashatila191411 ай бұрын
Ukweli nimeguswa na maneno mengi ndani ya wimbo huu na nimepata kujifunza mengi hapo kwakuwa sisi wanadamu tunamsahau saana Muumba wetu yatupasa kushukuru kwa yote kila wakati asante sana Prof kwa wimbo ulio beba hisia za wengi Mungu aendelee kukufanya utukumbushe wema wake kwa wakati utakao upata lakini pia kupumzika linaweza kuwa jambo jema. Masisitiza usiache kutukumbusha kwani kwa wimbo huu tumekumbushwa wengi maisha ya hapa duniani tangu kujitambua mpaka hivi sasa na vile tunaelekea kufunga mwaka
@senyonjoeliya9269 ай бұрын
Namushukuru Mungu Kwa Uhai wako (Shabiki kutoka Kampala Uganda)
@stevenwangao430911 ай бұрын
Mimi Mdogo wako Nakupenda sn kaka..❤❤😭😭 Kweli bila msaada wa Mungu tusingelikuwepo... Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.🙏🙏
@FRANKM.BNICE4911 ай бұрын
ee mungu Asante kwa uhai unaotupatia Kwa kila mda na kila Dakika Asante pia kwa kutupatia hekima. tunakushukuru kwa kumpambania ndugu yet amina.
@chancefafa437411 ай бұрын
Only God can. Thanks lord for keeping him, may your name be glorified!!!
@raizachepkorir95389 ай бұрын
Amen
@dainamo-tz771511 ай бұрын
Koo lako Masikin ndio Maan halina nguvu Mungu atakutejeshea kila kilichopotea
@BabyfaceMj10 ай бұрын
Akika mungu yu mwema na Ni mwenye kuponya ,Praises to the most high on god 🙏🙏
@emmanuelkalama245416 күн бұрын
Pole sana bro
@FoxDrama-o5i4 ай бұрын
Pôle Sana baba wamziki mungu abakikua mungu tu
@godblessluvanda980811 ай бұрын
Nimeludia mala Tatu,,,😢😢😢sijasikia Asante Kwa MKE ,,, ,,
@legawayz609311 ай бұрын
"The music lives forever" 🎧☺️ Nini chakusema unakuta nakosa hata chakuandika, but Mungu nimwema siku zote wimbo huu ukiwa na shukran kwa muhusika ila hata sisi hatuna budi kushukuru hivi tunavyoendelea.👏👏 producer, water chilambo, na profesa Jay kwa wimbo mzuri wenye hisia naujumbe mkubwa.
@NisengweAimable11 ай бұрын
Daah hadi sauti yake ilibadilika sana😢
@ruthsamberian188318 күн бұрын
Aki Mungu. Acheni Mungu Aitwe Mungu.🙌🙌🙌 This song is Soo touching, a true definition of A God Of Second Chances, A God whom we should Have faith In. God We Are thankfull for professor jay, 🙏. God may you forgive us whenever we feel ungratefull. God may you Forgive us whenever we feel your Not Able.🙏🙏🫶
@ChenchiKing11 ай бұрын
Mungu Mpe Maisha Marefu Jay Awez Kufanya Makubwa Bila Mkono Wako Awez Kitu Baba Mungu , In God We Trust 🎉🎉🎉🎉🎉
@johnsonmbughuni195811 ай бұрын
Njia ya Mungu hazichunguziki. Mkono wake uliokuponya uzidi kuwa nawe ili kufanya alilokukusudia hapa duniani.
@mwanakendra5 ай бұрын
Pole sana Professor.Mungu aitwe mungu 🙏
@BonfaceMunene-km7qoАй бұрын
Eee mugu kampe professa jay maisa marefu kaedele kumlida kwa guvu sako mwokosi wetu junina doto yakumbaa nayeye ❤❤❤amen
@kitunganolwebo757011 ай бұрын
Huwezi amini Nimeirudia zaidi ya mara tano (so emotional)
@patrickndichu390511 ай бұрын
Hata sauti imebadilika..but soon itakuwa kama zamani.
@ShaddyBoyComedy11 ай бұрын
MUNGU ATABAKI KUITWA MUNGU.... PROFESSOR JAY START SERVING GOD AND U WILL SEE HIS HANDS IN YOUR LIFE FOREVER......... SASA ANZA KUMTUMIKIA MUNGU DAIMA
@ShamsiDude-bs2rq2 ай бұрын
Nakukubali kaka pole Sana mungu mwema nafasi bado ipo unayo unaweza
@sm5tv11 ай бұрын
Wimbo umenikumbusha wakati Mzee Wetu anaumwa. Mwenyezi Mungu Azidi kutujalia Afya . tuendelee kumkumbuka Mwenyezi Mungu
@MosesDanielGitonga10 ай бұрын
Kwa kweli Mungu anaweza ,,bila msaanda weke hungepona,,Pole sana jay,,,much love from Kenya 🇰🇪 continue believing on God,,we love your music
@ReahNsule2 ай бұрын
daaah.kwakweri mungu yupo na atazidi kukupigania haikua rahisi🙏🙏🙏🙏🙏
@Satwant-c1p11 ай бұрын
Masikini professor Jay! Sauti yake bado haijakuwa sawa..😢 mungu amjaalie apone haraka!🙏🏻
@HusnaSalum-p5s10 ай бұрын
😢
@davidchiduo21911 ай бұрын
😢 Hakika Mungu Ni Mwema Wakati Wote, Mwenyekiti wangu ❤
@tonymverah805910 ай бұрын
From Zali la mentali, to hapo vipi, nikusaidieje to this song....proff your life is a testimony. Thank you for everything. May God show you how to serve him best. We sincerely love you, from 🇰🇪
@fernnandezrono89169 ай бұрын
Ndio napata habari after kutafta wimbo mpya
@AniziaKamanzi10 ай бұрын
Sina Cha kuandika zaidi ya kusema Ahsante Mungu kwa kumponya Prof J leo tunakuona ukuu wako Mungu mwenye huruma
@bulebiemmanuel412611 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@isayalupinda2 ай бұрын
Acha Mungu aitwe Mungu
@Gasparitojnr11 ай бұрын
This is a good testimony from our Brother Proffesor Jay. May we never take anything for granted in this life. Seeing someone like him testifying his story is not easy. This also means it can happen to you or me anytime. Thank you Proffesor Jay for testifying the Strength, Power and Glory of the Most High. We pray for you that you may regain and recover quickly as you have found a purpose to Praise God More.
@ahmedshahar72810 ай бұрын
Absolutely right
@vansclassic2131Ай бұрын
Dah! Mungu yupo i see!!
@abdulkarimtoza10 ай бұрын
Sauti hadi imegeuka nani amegundua hilo agongee like
@blandinamyinga9489Ай бұрын
Kwa kuugua kule na bado alitoa huu wimbo akiwa kwenye matibabu ulitegemea sauti itakuwa vilevile?
@GEGE815911 ай бұрын
Pole bro twakuombea uzidi kua na afya njema
@Francis.Safari10 ай бұрын
Mungu akuzidishie neema na maisha marefu kaka. What a testimony! In God we trust and everything is possible in God's sight.
@abelvita72982 ай бұрын
yeah
@EstherMumba-cf2dd6 ай бұрын
Mungu akuepushe na dhiki zote za muovu shetani
@gordonaoko778211 ай бұрын
The sound of proff only tells you God is great.
@WillyJossamАй бұрын
Pole sana kaka yetu mpendwa Mwenyezi Mungu akulinde katika maisha yako hii ni neema kubwa ya a.iyetuumba ,nimekumbuka mbali sana kutokana na huu wimbo nimefikia kiwango cha kujiona kama naenda kuzima ila kwa neema kubwa ya Mwenyezi Mungu nipo salama mpaka sasa sikutegemea 😢😢😢
@GatsonGwesoАй бұрын
Mungu mkubwa nakutakia maisha mema na nia Yako kulindi mjegoni itimie brother j
@OdemarySilas11 ай бұрын
pole sanaaaa kaka pro wanguu mungu azidi kukulindaa sana💯❤❤👏👏👏
@kennedy753210 ай бұрын
Im in tears imagining how melodious how jay was, but thank to sir God because he is okk and strong now
@mshumbusideogratias956711 ай бұрын
Pole sana duuuuh hujafa hujaumbika
@fiziparadise780811 ай бұрын
This is very heart touching…get well soon, one of the best five TZ artists of all times. Respect and love from Congo🇨🇩
@MriduKasana-vo6oh11 ай бұрын
Pole sana nimetokwa na machozi najikuta nalia tu dah pole sana
@egbertcharles11 ай бұрын
Glory be to God who healed you. May His name be praised forever. Amen
@YosuwaSabuhungu2 ай бұрын
Profess pole sana mungu nimwema abarundi Imana imbere cane
@prospervedasto436611 ай бұрын
Kaka umeendelea kuonesha kuwa wewe ni SUPER WEIGHT WA MITULINGA!! HBD Prof, Mungu ana kazi nawe nina IMANI atakutumia kwa kazi yake MUHIMU!!
@RichvoicetzMakungu-ic6yw11 ай бұрын
pole na safar bro
@BarackaSaim-ev3gk11 ай бұрын
Hakika mungu ni mwema
@Christopher7965211 ай бұрын
MUNGU ANAKUPENDA KAKA WEWE BADO UNANAFASI KATIKA HII DUNIA UNAPO PATA MAJARIBU MUNGU HAKUACHI BARI HUWEKA NA MLANGO WA KUTOKEA WEWE NI WATHAMANI❤❤❤ MIMI KAMA MTUMISHI WA MUNGU NAKUTAMKIA KWA UNABII MUNGU AKUPE AFYA KAMA MWANZO NA UTAISHI MIAKA MINGI SANAAA❤❤
@justinamwaja72310 ай бұрын
Mungu aliruhusu upitie hii changamoto kwa kuwa anakupenda na umebeba kusudi lake! Wewe ni ushuhuda ulipo hai, kupitia huyu Mungu aliyekuponya wengi watamjua Mungu aliye Hai! Usimwache huyu Yesu!
@allanmapito368811 ай бұрын
Sina Cha kuandika bali ni kuomba mungu azidi kukulinda sababu mziki wako kila siku nauskiliza tangu utotoni umetupa burudani Much love from eldoret, Kenya
@abdallahissa283911 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ni mkubwa sana tena sanaaa
@mumumutale114211 ай бұрын
This song is so touching and so emotional 😭😭😭😭🇿🇲.So much love for jay
@ShaddyMaa4 күн бұрын
Prof jay, mi natoka kenya.nilikupenda tangu utotoni mwangu.na wewe ndio umenichochea kwa rap.mungu akupe uzima.nimekua rapper mkuu sasabu yako.mungu akupe uzima
@AgnecHenry6 ай бұрын
Acheni MUNGU aitwe Mungu😭😭😭
@mohamednokolage718011 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana, kwangu mimi wewe ni profesor kweli kweli, nashangaa kuna watu wanatunukiwa shahada za udaktari wanaacha watu kama wewe, tumejifunza mengi kupitia mziki wako na hakika tunajinza zaidi kupitia maisha yako, mungu azidi kuhimarisha afya yako na atimize ndoto zako za professor jay foundation. Ameen!
@joanauma373710 ай бұрын
Am shocked have no words but to say thank you to God.May God restore your health completely 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@uredmwasembo85798 ай бұрын
Asante mwenyezi mungu kwa mala nyingine tunamwona ndugu yetu
@frankbangu865011 ай бұрын
God is always good and God did!
@TurkanaDigitalMedia10 ай бұрын
Watu wanapitia makubwa zaidi yangu. Poleni kwa yeyote anayeumia kindani..mungu yuko nawe
@derrickorlando10 ай бұрын
Prof J chose the right person to work with in this piece... @Walterchilambo is humble n talented. God is not yet done with you professor. May you live long to testify His greatness. May God receive all the Glory
@ayubkasirani834411 ай бұрын
Najikuta nalia tu wallai...ACHA MUNGU AITWE MUNGU
@AccountantMaurice10 ай бұрын
😢So touching. God is great!. God Did! 🙏
@RodriguezHatungimana-eo5vh9 ай бұрын
Asante professor jay wimbo huu umetufunza mengi sana na mungu azidi kukulindia maisha Yako daima
@Fistonmunezero8011 ай бұрын
Prof we love from rwanda🇷🇼 you're my best rzp🎉❤
@DogoTistiany11 ай бұрын
🎉
@styvesumaili724411 ай бұрын
Nimelia saaaana nimeguswa sana jameni Mungu ni mwema put in God 🙏 everything
@LamazStylokaKOB11 ай бұрын
I felt it in the deepest part of my spirits. God is Good
@rehemakarisa423111 ай бұрын
Wow wow wow! Tumshukuru Mungu. Ushuhuda huu ni wa kuonyesha mwenyezi Mungu hamuwachi mwana wake! Glory to God!!! This song is on repeat!!!!!
@johnrogeo216110 ай бұрын
Mungu ni mkubwa 🙏nice song👍👍
@berlindkenya492510 ай бұрын
What God can't do doesn't exist. This has touched my heart. May God always protect you Professor Jay.
@Czekingtz10 ай бұрын
Mungu yupo nawe tunakuombea afyayako ipate kuimarika
@myhome_199711 ай бұрын
Indeed professor Jay is a hero iko love from Kenya 🇰🇪
@ZainabuKangeyo-i5jАй бұрын
Asante Mungu mungu nu mungu🙏
@itsclintone834611 ай бұрын
Iikes za wakenya hapa, pongezi kwa muziki mkali
@kabonyealb933511 ай бұрын
Yaani hadi nimejisikia kutoa machozi.. Hakika Mungu ni mwaminifu na analo kusudi nawe...
@MosesKigalo-pn6zd11 ай бұрын
Now these is the reason to why you are a Hip-hop artist 💪💪 Hip-hop is all about telling the truth 🤢🤢 Quick recovery Legend 💪💪
@fathimamct23210 ай бұрын
Pole sana mwamba wangu mungu Atakuafu kipenzi cha wengi
@jasirimjasirimedia794011 ай бұрын
The feeling is acceptable God is in control 🙏🙏
@ShamimuMakindaАй бұрын
Hata nakosa maneno mazuri yakuzungumza ,Ila Asante Mungu kwa kila pumzi ya uhai unayotupatia
@robertwakhu11 ай бұрын
All praises go to God for healing Prof. Jay. We still need your wisdom in the music scene bro. Stay blessed.
@andyjk597411 ай бұрын
bila kusahau pia misaada ya pesa na influence na serikali. maanake wapo maskini wengi wamefariki sababu wanakua hawana pesa. Praise the Lord for his miracles 🙏
@vjmtv131111 ай бұрын
Mungu ni mwema🙏
@WalterBaluku11 ай бұрын
A song that portrays faith and an experience of seeing God
@xraybam10 ай бұрын
Mungu nimwema, Niko Burundi nimependa sana jisi umeshuhudi pia Mungu akuzidishie siku zakuuishi Mkuu