Jay is back..asifiwe aliyejuu.. Like kama unaamini Mungu ni mwema
@SamwelmwaimАй бұрын
Eimeeeee
@allthingsworld9917Ай бұрын
Mungu Mwema siku zote!
@ngoydavinah603225 күн бұрын
Na furahi sana❤
@JoackimKavaya2 күн бұрын
God bless us
@fadhilimbotela1049Ай бұрын
PROF JAY tena NIONE LIKE NYING HAPA 👍🔥🔥🔥🔥 #MIKUMI tunarud tena kaeni tayar
@sixbarzАй бұрын
Ila professor Jay bro naomba collabo hata moja mdogo wako
@fadhilimbotela1049Ай бұрын
Weka contact
@GreyMbogela8 күн бұрын
Hiyo siasa ndo itampoteza blo huko awachie wachawi akina kingunge aishie kweny kamba ya msiki
@salummkandemba780Ай бұрын
Another living song, living lyrics, living idea from Heavyweight MC Prof. Jay a.k.a Wa Mitulinga. Alhamdulillah Rabbil Alamiina 🙏🙏 for Prof. Jay, Allahul Wahidul Qahar. Mungu akiwa upande wako, waweza kuvuka vikwazo vya kiafya, kiuchumi na hata kiimani, na kurejea kwenye utimamu wako. Atukuzwe Daima Mwenyezi Mungu kwa Neema ya uzima na afya aliomjaalia Prof Jay licha ya magumu yote aliyopitia. Alhamdulillah Rabbil Alamiina Allahul Wahidul Qahar always
@judithpendo9985Ай бұрын
Team king kiba 💕💕💕💕🇰🇪🇰🇪🥰 professor jay alirudi km Moto 🔥🔥🔥🔥🔥
@wachapiajigang7782Ай бұрын
Ukitaka kuamini Mungu yupo. Basi muuone Professor Jay❤❤
@godfreymsafiri6508Ай бұрын
Kweli
@ridhiwanabeid9744Ай бұрын
Ni kweli kabisa
@halimamwingu4478Ай бұрын
Kweli. Usimsahau Tundu Lisu. Risasi kibao mwilini na leo yupo majukwaani🙏🏽
@wambuisimon8946Ай бұрын
I second you on this❤wacheni mungu abaki kua mungu
@blandinamyinga9489Ай бұрын
professorJay&King KaKa""Mungu kawapigania na bado anawapigania
@Bright_KirahTVАй бұрын
Tuliimis hii sauti legend professor Jay weka comment hapa kama unaamini mungu ni mwema❤❤❤
@HappyLongRiver-zr2lcАй бұрын
Mungu ni mwema
@josephguerino7416Ай бұрын
Kaka, hata sauti Ile yako imerudi sasa, nafurahi sana. Mungu ni mkubwa amekuponya kaka Jay❤
@GeorgeMarcky-og6osАй бұрын
Sayti yake haiko hvo Kwa sasa ndg yangu hyo nyimbo waliimba jay akiwa mzma kabisa kiba ndo akawa bize sana
@josephguerino7416Ай бұрын
@@GeorgeMarcky-og6os Nimeskia interview ya Proffesor Jana, sauti yake imerudi Kama Ile ya zamani
@othumanissa1680Ай бұрын
Hii ni nyimbo imerecodiwa 2023 kabla ya kupata matatizo
@evansokoth9925Ай бұрын
Kwani alikuwa akiugua?
@dennisevaristАй бұрын
@@othumanissa1680 sio kweli, hiyo professorJay foundation haikuwepo kabla
@PlayboyComtzАй бұрын
Hongera Alikiba kwakumsapoti professor jey wewe kweli una utu na utulivu Hongera professor jey kwa kurudi kwenye game na kasi ya 5G tunakusaport sisi watanzania By play boy
@KambaleIsaac-b1yАй бұрын
Nashukuru sana kuone jey ame kuwa mzima kama una amini mungu yupo like hapa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@JohnsylivanusАй бұрын
dah!😓😥😢 proffesor nimejifunza kitu dah ubarikiwe sana Kwa Kaz nzur uliyoifany na alikiba mmeifumbua jamii macho na tutazid kukuombea uzid kutuelimixh Ameen
@junemuchiri609Ай бұрын
Wakenya wanaotambua hawa malegends wawili🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🥂 Welcome back Prof jay
@mg-lion.2782Ай бұрын
Professor jay bado yupo sawa mungu azidi kupa afya kk .
@raymondbashaka5948Ай бұрын
Tuliopitia mateso ya mama wa kambo tunaelewa vema ukubwa wa huu wimbo. Much respect Prof
@greenruwaАй бұрын
Prof kama prof
@AllyhujjatАй бұрын
Yip tumeteseka sana na mama wa kambo alafu kumamamazao ndio wa kwanza kusahau na kushoboka
@Burner_AccАй бұрын
@@Allyhujjat 🤣🤣
@NduwayoDieudonné-o8oАй бұрын
Nyimbo nzuri mnoo,isomesh wakina maman wako kama uyo.❤ From Burundi.🇧🇮
@linyamakirobo5052Ай бұрын
Asante Sana crown FM kwa kumuheshimisha prop j kiukweli prop j ni msanii anaetunga tungo zinazoishi
@PendoUrassa-xm7ruАй бұрын
Crown imeingiaje kwenye nyimbo ya pro,pro kitambo kabla ya crown
@abdulhusein485Ай бұрын
Profesa jay kitambo sana b4 crown fm b4 Ali Kiba hatujafahamu man
@dr_gainstzАй бұрын
@@PendoUrassa-xm7rualikuepo ila crown kumuheshimisha na kumpa maua yake wamefanya la Mana ndo Mana hata akawexa release video leo
@linyamakirobo5052Ай бұрын
@@dr_gainstz ni kweli naona jamaa zangu hawafuatilii na hatukatai kuwa prop j ni kitambo ila Crown wapongezwe kwa kumpa propJ maua yake
@AmriJamaldinАй бұрын
@@abdulhusein485Makasiriko 4:26
@chrispherani47310 күн бұрын
These beautiful queens,,,their acting skills on another level ❤❤❤❤
@shariffsuleiman2889Ай бұрын
Wakenya tupo Big love prof ❤❤❤✌👌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍
@bonelesskenyaАй бұрын
Sauti imerudi mungu ni mkubwa,kila la heri kutoka Kenya🇰🇪
@mnamamnama2732Ай бұрын
Ni wimbo hakuutoaga
@josephgerald5540Ай бұрын
Mungu ni mwema ❤❤
@richhaule9264Ай бұрын
Wimbo wa muda kabla ya matatzo
@Vallery-m4sАй бұрын
Oooh mungu amponye@@richhaule9264
@mohamedally5225Ай бұрын
nyimbo mzur lkn korasi mbovu ali kiba kaharibu
@dieumercimusokoniАй бұрын
Nakupenda sanaa Proffessor Jay ku toka DRC 🇨🇩,ku anja Hapo Vipi Hapo Sawa,mimi ni mshabiki wako ku toka Beni Town
@winfridakombe7366Ай бұрын
Awwww❤❤❤bonge la nyimbooo maua yenu King kiba na Professar Jay💐💐💐
@chumbaadams6933Ай бұрын
Ladies and Gentlemen Jay is back and the world is happy,,,,Tulimskiza sanaa huyu mwana uku Kenya enzi zetu za shule
@Major_OkwiriАй бұрын
Professor wa mashahiri good to see him back on his feet 🇰🇪🇹🇿✌️☮️
@EntertainmentfoАй бұрын
Wow usikate tamaa ,,kutoka Kenya 🇰🇪 254mombasani
@AmandaNelson-bi6grАй бұрын
Praise the lord 👏alafu mpumbavu mmoja atoke huko atokako aseme hakuna mungu sifa na shukrani tunakurudishia wew mwenyezi kwa mungu hakuna kinacho shindikana
@Joseracalitto24 күн бұрын
Wúuhhh,such a niice song,, with viibe smooth vocals ya King Kibaa 👑 na Rap nzito ya Professor,,big up sanaa kwaoo🎉🎉 Great of all times,,🎉🎉🎉💥💥
@marywanyika6924Ай бұрын
Kama si crown media singejua kuna banger limetolewa🎉
@ManjalinoАй бұрын
Leo ni siku yako profesor tunakupenda sana mziki wako ni elimu sana kwetu mungu akulinde sana na hii nyimbo lazma iende trending ❤❤❤ #heshima ya bongo fleva. 🇹🇿MUNGU ATULINDIE AMANI NA UPENDO
@mariammgaya3151Ай бұрын
Hii nyimbo inagusa maisha yangu sana ni kama vile kaniambia mm aisee mama wa Kambo sio mama jamn ila nashukuru Mungu nipo kwangu japo maisha hayajaninyookea ila naamini ipo siku nitasimama AMEN
@aronnkanga1482Ай бұрын
Pole mariam jikaze utafika
@listerescobar8547Ай бұрын
Mimi mama wa kambo alifanya dunia nione chungu siku izi anaomba msaada kinoma me namlia bati tu
@athumanmmasi5394Ай бұрын
Mungu atakusaidia
@mbuganidairymilk5757Ай бұрын
pole Mamuu!Mungu wetu anaishi
@boniphackajaba7318Ай бұрын
Usijali njia ngumu ndo yenye mafanikio inshallah Kila kitu kitakuwa poa
@shukranikasereka716Ай бұрын
Makopakopa kwa professeur Jay❤❤🇨🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🙏
@yunusali8797Ай бұрын
Kiba to the world mshumaa unawaka zaidi unapowasha mshumaa mwengine... calling to the world
@SaudaMlonziАй бұрын
Yani after Proff kupona and being back na akaona wakutoa nae nyimbo ya kwanza ni Kiba..king forever unakipaji chako
@mkumba2552Ай бұрын
Aisee nimejikuta natoa machozi yasio zuilika tulimiss ujumbe kama huu ahsante sana #profjay&allykiba
@RaoulByamunguАй бұрын
Wimbo wa maana sana tena wenye mafundisho mazuri sana❤❤❤❤❤❤
@JamaliNyweshaАй бұрын
Nimependa huu wimbo wallah umenigusa japo sijayapitia maisha hayo.. ❤ kwa kingi kasimama vizuri saana na hisia kama zoote 🎉🎉🎉 yako king no one kama wew E Afrika. Welcome back Pr Jay. Wakenya nafrahi kuona mnasapot kazi zabongo tuko pamoja ndugu zetu tunawapenda mashemeji zetu.. Halaaaa❤❤❤❤254
@allymakwiro9420Ай бұрын
Mungu ni Mwema.... Tunakushukuru Sana kwa zawadi hii ya Prof.... ❤
@AminaSendekwaАй бұрын
Mwachen Mungu aitwe Mungu . Mashaa Allah nimefurah kumuona tena prof J
@matunzojr4862Ай бұрын
Nyie mnaosema Jay aache mziki eti ni muda wa kumrudia Mungu, kilichotukutanisha na prof jizze ni muziki na tuna haki ya kuendelea kuenjoy muzik wake mpaka mwisho❤ kuugua ni changamoto anayoweza pitia binadam yyte Mwanalizombe baada ya hii weka nyingine😢
@zingahassan5851Ай бұрын
Big up kwa @Bin laden hii beat waah iko hot Sana ....nice to Alikiba ameifanyia haki chorus
@VinaboyOfficialАй бұрын
This is amazing collaboration, King Jay na King Kiba wamekutana duh 🙄 so beautiful ❤❤
@rashidjuma4095Ай бұрын
Broo wewe ni darasa LA maisha kila wimbo unao toa ni somo LA maisha big up broo love you man.
@KmWatsonMwambaАй бұрын
Pole Sana kiba wewe ni kakayangu natamani kukuona kabala nife tafazali, nipo APA kmcongo kalemie Tanganyika
@lovarbicard4378Ай бұрын
❤❤ kweli maisha yetu sisi wanadamu ni kusamee wanao tukosea thu ukifatana naubaya yakila mutu hauwezi ishi nawatu kwasababu wengi niwanafiki❤❤🎉
@DjShizooProUg256Ай бұрын
This song gives me chills 😔😔🥹🥹wat an amazing massage Big Upz to Proff Jay and Alikiba ✌✌🫡🫡
@dennisoluoch2588Ай бұрын
Ni vyema kumuona Prof Jay yu buheri wa afya....love kutoka Kenya...❤
@MussaNyoni-g5zАй бұрын
Nasemaje tusisahau kusema asante mungu....furaha itawale kwa wote wapitiao shida ,maradhi,hakika mungu yu na wewe,,jifunze,kitu ,leo professional rapper ,,prof J,tupo naye tena utamu wa voko zake ni duwa tu,,,weka like kama una amini mungu Ametenda.
@Aminah-i9pАй бұрын
Mungu atosha
@HamisiMsondo-se7olАй бұрын
Hakika Mmeniliza Mno LEGENDS Daah 😭😭 Hii nyimbo ni kama Really Life Yangu Miaka 13 nyuma
@SofiaSalim-k6wАй бұрын
pole Sana
@HamisiMsondo-se7olАй бұрын
Ahsante Sana Dada 🙏😭@@SofiaSalim-k6w
@AmeirhajjRamadhan-e1hАй бұрын
Maisha halisi ya mume wangu nahisi akisiliza huu wimbo anaweza lia akikumbuka maisha yek ya nyuma pole sana mliopitia haya maisha
@cyrilkimath1146Ай бұрын
Ndo maisha nloishi mm enzi hzo thanks professor jay kwa uhalisia wa life la wanyonge God bless
@allysaleh2220Ай бұрын
So sorry mamy
@benardjuma3739Ай бұрын
Mungu n wetu sote
@EliasCosmas-p3rАй бұрын
Aisee Mungu yupo jamani 🙌 prof pole na hongera kwako
@emmanuelsimwanza-yb6lqАй бұрын
Nice song everybody listen to this song it have good and nice message to those people who suffer and they have lose hope meaning don't lose hope maybe tomorrow it's your day mr me culture 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 professor jay respect 100%
@hamisimkongo1543Ай бұрын
Sauti imerudi kama zamani, Stay Health Prof J
@FadhilimwamlimaАй бұрын
Iyo sauti kabla hajaumwa, alivyoumwa iyo audio ikaachiwa alivyopona ndowakaachia hii video
@danielwale790Ай бұрын
Show as the way father.......I really like your songs Prof Jay........May the Lord keep you Father
@amaniserege1054Ай бұрын
Mungu azidi kukuweka professor jay auwezi amini mziki nimeupenda kiasi Gani Big up legendary🙌
@ANKOeTVАй бұрын
Alikiba is single handedly resurrecting all legends that Wasafi k!lled. Kenyans in Canada 🇨🇦 🇰🇪 love you
@collinsnyoro1450Ай бұрын
Ww unatafuta kiki tu. Wasafi killed who and how 😢😢.
@JIMBO_MEDIAАй бұрын
True
@tushylady3890Ай бұрын
@@collinsnyoro1450Asante maana hawezi sifia bira kutaja wengine kila mtu na path yake
@AmriJamaldinАй бұрын
@@collinsnyoro1450wewe unatafuta stater 😅
@ANKOeTVАй бұрын
@@collinsnyoro1450 wewe classes za literature ulikua unanusa mshuto
@fredymrema5546Ай бұрын
bonge moja la ngoma. hip hip hop ile ya kitambo imerud
@BrotherbongeАй бұрын
ukiwa na imani kila kitu kinawezekana big up sana broo J Mungu ni mwema kwetu sote🙏🙏🙏🙏
@MaishacanadaАй бұрын
Huu wimbo una relate maisha yangu finally Niko mbele Alhamdulillah ❤❤❤🙏🙏🙏
@mohamednyoka4027Ай бұрын
Mungu ashukuriwe
@kiwambasaid4012Ай бұрын
Nyimbo iko na mafunzo sana, hongereni kwa kazi nzuri
@moseskulola6913Ай бұрын
Prof Jay. Hip hop... ❤
@yusuphmpinge4066Ай бұрын
Haya maisha tumepitia tulie poteza mzazi mmoja 🙏😥 bonge moja la ngoma linatia nguvu ya kupambana
@musakunongwa3906Ай бұрын
May be huu ndo unaweza ukawa mwimbo wangu bora wa mwaka best collaboration 😢 nimejikuta machozi yakinitoka2
@-kagerayetubw9jx22 күн бұрын
Kazi nzuri
@experymassawe3521Ай бұрын
Everyday nlikua nawaza y king haijawai fanya ngoma na prof, Inshall the 2 king meet. Vocalist bora na mwana hip up wa mda wote meet, God bless you proff.
@HusseinMfuko-d6uАй бұрын
Professor Jay Mungu akubarik hakika mungu ni muweza wa yote
@davidkyunda78Ай бұрын
This is the nice song Even so nimefurahi sana kumsikia tena mtu mzima Professor Jay wakiwa na King Kiba Indeed Bongo pamekucha sasa!!
@yamaletax6769Ай бұрын
Alhamdulirahi saui imeludi ileile pamoja na kupasuliwa koo mungu ni mwema Sanaa ❤❤🙏🙏🙏
@rukikojoseph2422Ай бұрын
Acha MUNGU aitwe Mungu. naona Prof.Amerudi Tena.Mungu ni mwema sana TUZIDI kumtegemea🙏🙏🙏
@mparewaujerumaniАй бұрын
Ninakushukuru YEHOVA kwa uhai wa Prof Jay. Daaah Mungu yupo na anajibu maombi yetu. 🙏
@GodMasawe3 күн бұрын
❤
@ChenchiKingАй бұрын
Much Love Kwenu Malegend Likes Hapa Team King 👑 X Prof Jay❤🎉🎉❤️💯🇨🇩🇨🇩🇳🇬🇳🇬🇹🇿🇰🇪🔥🔥🔥
@harryventure4290Ай бұрын
Much love❤ kwenu Malegend 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NickClever-gz8gyАй бұрын
Professor jay karudi tena kwenye game mungu ni mkubwà amen 🙏❤️🥰
@sweetbabymwangi8373Ай бұрын
Asante Mungu. Jay is back again. Nilimisi mashairi yako sana. Nyimbo zako huwa zanipunga. Say hi to Ali kiba. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪
@abasrich7793Ай бұрын
Ngoma kali sanaaaa... hizi ndio ngoma za kusikiliza hata na familia ,,,
@mwakoyomkamba6667Ай бұрын
Hapa ni kweli kabisa
@Arjun_Mohaa.Ай бұрын
Wapi likes za king,,huyu mwamba hakosei Prof j nawe be blessed bana,,huu wimbo utatoa wengi taka za masikio
@PaulJuma-zz7emАй бұрын
Hongera sana King 👑 kwa kumsapoti kaka mkubwa jay one love kwenu wote
@Mr_papermanАй бұрын
Welcome back professor. I feel the song and message is home 🔥🔥🔥🔥
@FatumaPamfiliАй бұрын
Mfalme profeser jay wa hip hop Akiwa na mfalme mwenzake Ally kiba
@kaitabaendrew8199Ай бұрын
Mungu amsaidie Prof.Jay. Tanzanians love you J.
@denisimtavanguАй бұрын
To much love, ngoma imefika kwenye key point
@ketztv255Ай бұрын
Nimesikiliza mala kumi basi professor jay ni legend wa tungo za kufundisha sana chukua maua Yako jay 🎉
@SumailiMwendayiАй бұрын
I blesse the for you my brother,you are my best artist in Africa especially in Tanganyika,you are blessed Professor Jay, Glory to God for giving you a second chance in life.......God loves you Professor Jay.💕💕💕🙏🙏🙏
@majidfrolian4904Ай бұрын
Jina la Bwana Mungu wetu wa Mbinguni Muumba wetu liinuliwe na lihimidiwe. 🙏🙏🙏🙏🙏
@KalisterKitalyАй бұрын
Chozi limenitoka is too emotional 😭😭
@moureenmwelu3940Ай бұрын
Prof is back,yeeeyyy,hakika Mungu ni mkuu
@vanbmandela5513Ай бұрын
Noma sana Doctor dela kutokana Kenya 🇰🇪 naomba like zangu hapa
@LevisChamballaАй бұрын
Mda mwingine wasanii wenye hekima huwa wana ujumbe wa kutufikishia na tukaelewa madhui ila mitaa imelaaniwa na p didy ila mungu ni mkuu kuona profesa ana recovery polepole
@GeofreyJoseph-n2iАй бұрын
Hakuna mtu alietoka pasipo support ya mtu,ukisema p Diddy nawe aliekutoa kufika ulipo kakukaza sio..!?
@jmkentertainment..8247Ай бұрын
Real message...hizi sasa ndio nyimbo tunazotaka i say...Big up the Legend Prof.na King kiba mwenyewe......
@simbafansofficialАй бұрын
Chozi la furaha limenitoka kuskia sauti ya P.Jay kurudi! Ashukuriwe Mungu ❤
@MartinSwaiАй бұрын
Bado haijarudi
@RajabuDaffahАй бұрын
Wenyewe miziki yao wamekutyana AISEEE mbna n shida🎉🎉🎉🎉🎉
@Donchervenu-n2sАй бұрын
I'm watching from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 piga like hapa
@godfreyLekaАй бұрын
Urakomeye
@Donchervenu-n2sАй бұрын
@@godfreyLeka ego nawe????
@richbashantiofficiel820Ай бұрын
Hit song 🔥🔥🔥💯💯❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🥰 King kiba feat prof jay
@hajikulundu3707Ай бұрын
Alikiba ft professor jay, ukisikia sauti Kama hizi jua bado bongo fleva ipo na itakwepo siku zote, moto Kama pasi
@fredamlima1150Ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema sana! Hatimaye Professor amerejea kwenye ubora wake👏👏👏👏👏👏👏
@johnnzumbeАй бұрын
The King in the Jungle! Mikumi Stand up❤❤❤
@katibampya8442Ай бұрын
Doh Prof ww ni kifaru haswa, umeipambania afya yako na umerudi, thumbs up for Profesa hakuna kukata tamaa
@yusuphhussein5732Ай бұрын
Muimbaji mwnyw nyimbo za kuelimisha na kudumu kwa kizazi hadi kizazi ... professor jay he deserve long life... like kama una appreciate uwepo wa professor jay
@allyalvine1864Ай бұрын
Kazi nzuri kutoka kwa director kaufanya wimbo kuwa wa hisia kupitia editing yake kali,,gonga like kama unamkubali director
@jusabakari5278Ай бұрын
Prof Jay ft Alikiba in calling is continuing message to the society.
@richardthv8397Ай бұрын
True
@skydeo4222Ай бұрын
This is God is blessing, this song is more than Albums, thank you for this beautiful sound, true Legend
@All_timetv_rwandaАй бұрын
Nukuri nakunze iyindirimbo Kandi ninziza cyane yego arigihe ibibazo biba byinshi cyane ariko Imana niyo nkuru nkunda umuziki wa jay Kandi turishimye cyane hano mu RWANDA🇷🇼 Mukarere Ka RUSIZI turabakunda cyanepeñ
@Toniel_F7Ай бұрын
Huwezi kuamini! kutoka 10:00 hadi 11:30 za jioni nasikiliza hii ngoma tu, acha nipumzike nitaendelea kesho asubuhi kutoka🇧🇮🇧🇮
@HassaniAmiri-m4qАй бұрын
Hizi ndizo nyimbo ninazoweza kutumia muda wangu kusikiliza na sio nyimbo wanayoimba nyegezi nyimbo imejaa matusi mwanzo mwisho mtu mwenye akili timamu husikiliza nyimbo kama hizi zinaleta ujumbe mkubwa sana huu wimbo unaishi kwenye maisha yetu Asante sana Professor jay natumia utaendelea kutuburudisha na kutelimisha kupitia nyimbo zako.
@Sadima_SwaggerАй бұрын
Kazi nzuri sanaa Mungu aendelee kukupa afya imara 👊