Pastor EZAKIELI God bless you. Those who have ears let them and understand. Kweli ndoa lazima muheshimiane. Bibi apewe bwana heshima tena Bwana vile vile. Na ndoa itadumu. 🙏🙏🙏🙏🙏
@annabohm3152 жыл бұрын
Unasema ukweli Pastor. Wakombolewe in Jesus Christus Name.
@roselineachieng83802 жыл бұрын
Ningejua Pastor Ezekiel kitambooooo...ndoo yangu haingevunjika na pia ningekua mbali kimaendeleo.....Mungu nionekanie, never late for more to start again.
@harrietamenwelcomekenyakan41012 жыл бұрын
Thank God for this powerful lesson, pastor ningejua hii Church kitambo ningekuwa mbali sana, thank you man of God for this good lesson nimejielewa🙏🙏🙏🙏
@fridahmwende61942 жыл бұрын
This is your tym sister, don't worry mungu amesikia kilio yetu,have been dating and my guy recently today me ,I want to know how you cook food,I told him am not a 'chef'and if you want a chef God will bless you with,then I quit the relationship, and then prayed to God I want to be a wife not a chef,AF Leo nmepatana na hii deliverance,like God has hard my prayer,thank you God for this to me,I really love the teaching s of pastor Ezekiel, be blessed pastor,may God hard you more years
@anitarmukish46642 жыл бұрын
Very powerful teaching may GOd bless you prophet of the lord
@chepkemoilucy56582 жыл бұрын
Amen, you taught pure truth pastor, God bless you, uendelee kutusaidia. Amen
@fidiliak40642 жыл бұрын
Pastor Ezekiel ni kweli waume wamefanya wanawake wafanyi kazi Asante kwa mafundisho.
@ANKALLA-KALI2 жыл бұрын
Hi
@salastinhail51652 жыл бұрын
Amen amen mchungaji hayo mafundisho yamenijenga sana ubarikiwe sana, naitwa selestine niko saudi arebia amen amen
@dorcasmakori81012 жыл бұрын
Very very true man of God,,,,a woman must be treated like a queen to feel free in marriage,,, love , care , understanding each other and peace of mind is all we need as women ,✍️📌📌🙏🙏🙏help our family pastor 🙏💯💯💯
@rosejacob90382 жыл бұрын
God's messeng 4 has to change
@nellyngira21062 жыл бұрын
May the almighty Lord give you everlasting life pastor, because of your good teaching and advise
@sellyselinah15542 жыл бұрын
So powerful words,,may God bless you sarvant of God 🙏🙏👏👏
@lilianngonyereamata20792 жыл бұрын
This service was really excellent service for married couples. Thank you Ev.Exzekiel
@agneskerubo49962 жыл бұрын
Powerful message from you pastor Ezekiel barikiwa na utukumbuke sana kwa maombi
@roselineachieng83802 жыл бұрын
Asante pastor Ezekiel na Bibio Sarah...kw kuja kw maisha yangu wakati nilikua nimetoka mwishooo
@fideliamakumi59732 жыл бұрын
Nice teaching pastor,it's like umeniona nilipo maana Hilo ndilo tatito langu
@sophiakarisa88072 жыл бұрын
Amen pastor je kamasina Elim nahakuna Pesa yakufungua kazi tutafanyaje
@josephinefurahakwakwa39882 жыл бұрын
Ubarikiwe baba unaniongeza kila siku Niko Kambi Uganda nimu congomani
@SirMasco2 жыл бұрын
Poster Ezekiel is preaching things that most of the churches do not touch or talk about.
@margaretkariungi40922 жыл бұрын
Posted mimi ni margaret nilikuwa kanisani kwako siku ya Pili niliota dadangu marehemu amekuja halafu kijana mwingine akatokezea kando ya nyumba yangu na njoka dadangu maremu alikuwa amefaa mavazi meupe alikuwa na mtoto want yule kijana akanirushia yule nyoka yule nyoka hakuna kangu aligeuka akamuuma yule dadangu marehemu nikakimbia nikachukua mtoto wangu ili nimpeleke hospitari kilifi dadangu alikimbia hakaniacha nikimfuata nikiona blonde lines hata nikasidwa kuteremka dadangu akanipotea hii ina maana gani pastor
@winstonbwire43332 жыл бұрын
I agree with you
@faimaally73292 жыл бұрын
Thanks alot pastor Ezekiel for enlightening men for this be blessed in jesus name
@oningodenis46112 жыл бұрын
PST Ezekiel God bless you always I'm blessed with your preaching
@lrine77582 жыл бұрын
So powerful teaching, God bless you pastor
@metrineokola77302 жыл бұрын
Umeongea ukweli pastor Ezekiel be blessed 🙏
@conceliaomwoyo84782 жыл бұрын
Mungu nifungulie njia amen
@salastinhail51652 жыл бұрын
Pst mungu akuinue sana, be blessed pst, niombe mchungaji amen
@loisemary82442 жыл бұрын
True Pastor,men need deliverance God bless you.
@agnesabuom32512 жыл бұрын
Thank you for revalation regarding the seeds we plant. I can relate in my family
@pstleviticus21792 жыл бұрын
Glory glory, this is so wonderful man of God.
@elizabethbarasa3472 жыл бұрын
Very very true pastor Ezekiel mungu akubariki sana
@agneskerubo49962 жыл бұрын
Wanaume wanatupatia stress sana ukinunua ngombe anauza ety yy ni Mzee ghai barikiwa pastor na usidiziwe
@kuschprince32162 жыл бұрын
"Nothing but the naked truth! This is a bitter pill,we must however take it.Keep it up pastor also condem gender violence.
@faimaally73292 жыл бұрын
Thank God for this powerful lesson men should learn from this teachings of man of God
@maryfranz77492 жыл бұрын
Its true same men are treating there wifes Like donkey teach them 🙏🏽
@emilyokaalo15512 жыл бұрын
Amen man of God is true
@emanuelvuri80572 жыл бұрын
Mungu tusaidie tuyafahamu mambo ya rohoni kiukweli nimejifuza mengi mchungaji tuombe tu wengi tupo gizani
@everlinejepkosgei3159 Жыл бұрын
may God bless the true savarnt of God
@anitarmukish46642 жыл бұрын
Thenk you so much for your teaching, may God restore my marriage, and you pray for me prophet of the lord
@alfaniluhoha96532 жыл бұрын
Nmesaidika sana amen mtumishi
@naymynayomy96262 жыл бұрын
The teaching is so powerful
@dorineauma59672 жыл бұрын
Amen...my I be healed in Jesus name
@esthermwangi482 жыл бұрын
Wenginee hata hiyo pesa ya kuwachiwa hakuna ..but this is pure and bitter true 👍 😕
@naomimichael35542 жыл бұрын
Powerful message..remember my husband to get financial breakthrough..he has struggled for a long time
@pamelakageha31722 жыл бұрын
Amen pastor sema yote
@roselineachieng83802 жыл бұрын
Lazma nifike kw hii kanisaaa....,pastor niombee nipate fedha....l love ya teaching plizzzz
@agneskerubo49962 жыл бұрын
Very through pastor barikiwa
@agneskerubo49962 жыл бұрын
Hawajui hivo ety tutakuwa wapenzi ghai mimi sijui km nitarudi kwa ndoa maisha imekua ngumu sana
@catemunani51302 жыл бұрын
Amen 🙏 pastor let it be in Jesus name.
@salomechepkoech86662 жыл бұрын
God bless you pastor,you have touching stories
@salomechepkoech86662 жыл бұрын
Amen amen and amen pastor God bless you
@winniemutua60272 жыл бұрын
So powerful messages pst naomba u niombee nyota yangu irudi na nipate ndoa
@mercykwame14362 жыл бұрын
Ukweli itawauma wanaume wanaitaji deliverance.
@janetesnay55582 жыл бұрын
Yes pastor waambie
@gladysbushasha58152 жыл бұрын
Amen pastor.haya yote umeongea ni mm tu anadharau mpaka watoto
@muyelavincent2 жыл бұрын
Hapo Sasa paster
@raelrael21862 жыл бұрын
Mimi tulikula skuma na sima launch na jioni na chai rangi usubui na mtu ako na pesa nyumba tunakaa ya zaidi elfu kumi na tano lakini mateso ndani ya nyumba wacha tu,ilifika mahali nikajiita mkutano weeuh nkaona na tesa watoto wangu nliongea na rafiki yangu nikiwa hali ya kuchanganyikiwa nikaomba loan kidogo Mungu amekiwa mwema kwangu maisha yakabadilika twakula kile twajiskia mpaka ikafika mahali akasema sinunui chakula naukipika usinipe 😤😤😤 kinyongo
@josephinewere40072 жыл бұрын
😅😅😅😅
@evansanyona94992 жыл бұрын
Hapo natofautiana na wewe pastor, hebu ongelelea mwanaume ni kichwa, alafu katika shamba la Eden after sins, mungu akilaani Eve vile atazaa kwa uchungu na kutawarwa na mwanaume na desires zake Gen. 3, 16-19
@margaretndungemutua52582 жыл бұрын
Thank you so much for your teaching ❤ nimepokea ,may God restore my marriage
@dianamaraca64822 жыл бұрын
Iam blessed with your message pst pray for my marriage my husband abandoned me and marry another wife
@IreneAnjao3 ай бұрын
Ameeeen pastor 🎉🎉🎉
@celinemallo8852 жыл бұрын
Asante pastor
@nancyhenderson74762 жыл бұрын
Pastor! You’re very very true.Pray for my daughter is in that position alone with two kids.
@paulineochieng59562 жыл бұрын
Pastor leo ume heap hot coal kwa vichwa za hawa wanaume... it is very true what you are saying. Na ni chanzo cha vita kwa maboma
@lillianmmaeba71002 жыл бұрын
Good msg pastor, God bless you 🙏
@janetesnay55582 жыл бұрын
Kabisa ongea baba
@pylongjuliussighting2 жыл бұрын
May God shower us with His blessings
@esthermwikali54032 жыл бұрын
Hapo paster humeongea kuolewa kwa leo ni kama hutumwa ongera paster
@esthermwikali54032 жыл бұрын
Humeongea kama watu kumi
@eunicechelagat26622 жыл бұрын
Eunice ,UsA menesota., please pray for me perster be blessed.
@josphinejosphine84392 жыл бұрын
Pastor be blessed very true 🥰
@carobundi94082 жыл бұрын
Pastor he is talking the true
@florakabena12flora292 жыл бұрын
Pastor hapo umenoa,,,sio wanawake wote walimbariliwa kufanya kazi kwa ( office) kunao walimbarilikiwa kufanya kazi kwa (hotel,,,,biashara za Aina ya hapa napale,,,) tena bibilia inatufundisha mwanaume aliambiwa atakua anafanya kazi Kwa jasho lake,,,nae mwanamke anaangalia watoto nyumbani ,,,,,hatuwezi toshana katika maisha ,,,,twatoshanishwa na manguo🙏🙏🙏Asante
@violetobaga87672 жыл бұрын
Na mimi niseme nini paster nilitorokwa naomba maombi kuhusu ndoa yangu Amina
@marynafula7836 Жыл бұрын
Dowry being a sacrifice 🙄🙄🙄🙄🙄weeeh l never knew this 😅na mm n MKIRISTO🙊
@manking72562 жыл бұрын
In Jesus name amen
@agneskerubo49962 жыл бұрын
Wangu alikua hivo kazi ni kutoka na kuingia km mdozi hashughuliki
@annkwambokaq2 жыл бұрын
True pastor 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@albinalavender29642 жыл бұрын
Thanks pastor
@mableagenya17212 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe naomba majina sahihi namba ya brodi nataka kutolewa mtoto wangu mazibao kabla ende shule.
@liliantingo17162 жыл бұрын
Amen man of God..pray for me..
@violetobaga87672 жыл бұрын
Nahata niko nawanafunzi, na hataki kujua kuhusu jinsi wataenda shule
@abigaelazele95762 жыл бұрын
Praise the Lord, pray for my family
@fredmsongole23982 жыл бұрын
Ameen ameeeen Father
@janetesnay55582 жыл бұрын
Hapana sio wote ilikuwa samani
@marymwikali39262 жыл бұрын
Pastor naitaji maombi naumwa na tumbo imeniuma zaidi ya myaka kumi
@janekartak85032 жыл бұрын
Mimi nilifukuzwa na bwana yangu akaenda mango wakando.Please pastor nniombee na watoto wangu wanjikuu my sister amenda kupanda kwa shamba yangu wakakuta mtu amechinja mbuzi mafia na manyoya Tu hakuna mtu ako huko natafuta mfanyi kazi
@gladysnyagechoka43352 жыл бұрын
Ameen and Ameen
@mamaprince9452 жыл бұрын
The teaching is shupav
@elizabethkariuki98022 жыл бұрын
Yangu ndoa ilkwa ya mpaka na ubwa but nilitoka nowdays av peace middle east
@phanicekhaleji75872 жыл бұрын
Good teachings.Pastor please help me to pray for my family
@ManuTV02 жыл бұрын
Sjui pastor alikua wapi wakati maisha yangu ilikua ngumu
@NzohabonayoJivenal2 ай бұрын
Maombiyako nimazma
@raelchacha61102 жыл бұрын
Pst Ezekiel mimi mzee wangu an gari mbili za kutembelea mimi nabebwa na pikipiki nikienda safari
@ev.wyclifeomboka92052 жыл бұрын
Amazing Tex
@linetmagozti64342 жыл бұрын
Poster mafunzo yako yamenifuza mengi ubarikiwe sana
@annsikolia4112 жыл бұрын
Remember my husband in prayers admitted for two weeks.
@roselynestua70952 жыл бұрын
E e eeeee pastor Ezekiel umenena
@josephinewere40072 жыл бұрын
Wapi nduru za mama 😅😅😅😅 mwingine anataka ata umulishe tena NKT
@marystellakere40142 жыл бұрын
am the next to the testimonies
@esnaswamamili54602 жыл бұрын
Ameen
@ashakarani3932 жыл бұрын
irecieve it in jesus name
@josephinewere40072 жыл бұрын
Tumeamka Ameeeeeeeen
@chemutaichristine51632 жыл бұрын
Iam blessed
@dorcasmuthini65552 жыл бұрын
Pastor shikilia hapo! Add volume
@sidisidi12552 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@EllyKasimba2 ай бұрын
Nawapenda new life lakini sina ela ya kuja uko niombee nipate hela
@kaninimuindi87932 жыл бұрын
Pastor kwa love yangu ya kwaza nilikataliwa sababu sikusoma
@lidyanachiropondaponda36032 жыл бұрын
pastor wambie kweli hao wanaume
@marymunini71042 жыл бұрын
True pastor
@violetobaga87672 жыл бұрын
Amen Amen Amen pia mimi niko na imani atakuja rejea Amen Amen
@putinybetisha46902 жыл бұрын
Very true 😂
@naomytv82252 жыл бұрын
Amen 🙏
@douglassalim8872 жыл бұрын
So pastor wale wenyetuko mbali tufanye aje sasa advice as please