Mimi ni mkenya , lakini nakubaliana na huyu bratha. Harmonize ni bora kushinda diamond. Harmonize is the best!
@dominicongeri19926 ай бұрын
I really appreciate harmonize with his harmony
@Ibr62566 ай бұрын
Nakubali bro respect 🫡 man 👨 you talk holler point
@pacifiquemuzo74466 ай бұрын
Bro Big UP sana, unaongea fact kabisa......
@tomsijohni6 ай бұрын
Very true point ☝️
@mtemikana67146 ай бұрын
Unaongea point brather
@BushambaleBuhombe-lj1cn6 ай бұрын
Ndio harmonize tembo ndiye mkali kuliko wote wasani wa Tanzania hauwezikumulinganisha Na diamond apa na Tia Tanzania yote apo sawa njo harmonize tembo njo atashidana natena
@dominicongeri19926 ай бұрын
Great interview
@CleonMuhindo6 ай бұрын
Mimi ni mkongomani najuwa harmonize ndiye mkuu pale tanzania
Watu kama hawa ndio wanatuprove kuwa uwezo wa msanii uko juu au umeshuka
@user-il1kv9zv9j6 ай бұрын
Umenyata paka Roo
@MohammedMohammed-uo5sk6 ай бұрын
Kweli Diamond ni msaani sio mwanamuziki but Diamond aliwekeza kwenye muziki wa biashara na kumsaini #Harmonizer kama muingizia hela mnoo, Rayvani, mbosso,Lavalava ,Zuchu na sahii Devoice so Kwa kweli Harmonizer amemuinuwa Diamond na Harmonizer alijiongeza na akajipanga,akajitoa na akafaulu na sahii Ako juui juu sana but Heshima Kwa Yoooo #Alikiba so Diamond ni mfanyi biashara..
@MohammedMohammed-uo5sk6 ай бұрын
Muziki wa kuishi kama goma la Roma na Chidi Benzi #Naskia harufu....
@victorontieri6 ай бұрын
Jeshi
@MohammedMohammed-uo5sk6 ай бұрын
Kwa kweli Harmonizer Ako poa Kwa kuandika mistari na kuimba live na Diamond ni mwiimbaji mzurii wa studio na performance dancing on stage but Diamond kama kweli wapige live band on stage yy, Harmonizer and Alikiba na Rayvani hatutaki weka mikono juu na ruka ruka Bali nyimbo baadae nyimbo Kisha tujue na mkaliii .Kikombe Cha nani
@MohammedMohammed-uo5sk6 ай бұрын
#Single kiboko kweli kabisaa
@Farajahelene230316 ай бұрын
I proved your message boy
@seyyidbouy8766 ай бұрын
Mmakonde amepoa Hana baya jeshiiii
@wisdomgilen-zb1is6 ай бұрын
Kondeboy for everybody hacha nyota yake ingare
@ElastoElia-nb4xo6 ай бұрын
Me watu kama nyie ndo nautumia bundle langu umeongea point 👉 bro
@mariamshabani71076 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@bigtv42046 ай бұрын
Pumba
@clintonkatyale68916 ай бұрын
Ila bila unafki ipo siku karibu asilimia nyingi tz watamuelewa harm hata nyimbo anazo imba za kiingereza huoni kama ze.. ze.. nyingi anaongea ile fluent na watu wanamuelewa
@kotongomunkupahlombe81696 ай бұрын
💥🐘🔥🔥
@karimjuma40196 ай бұрын
Konde balaa sio poa jaman
@user-tg2fw7wz3d6 ай бұрын
Ok😅😅😅😅😅
@MohammedMohammed-uo5sk6 ай бұрын
Weee kikundi Cha taarbu kipi hiko mjomba tupe...
@Farajahelene230316 ай бұрын
Hamo tz
@antonywilliama28686 ай бұрын
ww ndo matako kweeli
@Kuminamoja19956 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 points 👉 👈
@MasizieRahim-gw1bf6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🦣🦣🦣🦣🦣
@vincentmushi12476 ай бұрын
Jamaa anaongea mishipa imemtoka ...midomo imemkauka hana hata buku ...bangi tuuu Nyimbo nyingi za mmakonde zilizo na views wengi ni wakati alipokuwa WCB...ametoa minyimbo mingi album tatu lkn hit moja tuuu ...single again Ni msanii mzuri ...sababu Diamond alifanya kazi kubwa kumtengeneza baada ya kukataliwa na BSS...lkn wavuta bangi wanasahau hilo ...na kwangwaru ilienda kwa sababu ya Diamond kuwepo mle na verse yake ni kali pia..sasa huyu mpuuzi sijui anaongea nn