Public demand Sheikh Hassan amweka sawa mchungaji wa kiroho kimeeleweka leo ujumbe umefika

  Рет қаралды 3,261

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@RajabwanyonyiJuma
@RajabwanyonyiJuma 2 күн бұрын
Wa kwanza nishaingia ❤, gonga like twnde
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 2 күн бұрын
Unamzuka kwl kwl😅😅
@isahbarasa
@isahbarasa 2 күн бұрын
Takbir 🎉❤
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 2 күн бұрын
​@@MohdJuma-w6l ndo inavyotakikana .. tupupie kher 😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 сағат бұрын
Tunawapenda wote kwa ajili ya Allah
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 11 сағат бұрын
@@salimdaawah123 Akupendeni Allah pia kama mnavyotupenda kwa ajili yake. 🤲
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 Күн бұрын
msomaji Hussein Mwenje amefika. tumewamiss team ya yusuf wambugu. Allah ampe shifaa Mwalimu yusuf
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Aameen ameen ameen
@aishahazary4097
@aishahazary4097 2 күн бұрын
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Күн бұрын
Sheikh Ali wewe ni msomaji lakini msumbufu na unatupa tupa maneno. What for? Napenda sana Sheikh Salim, ndio anaeweza kukutuliza, unawapa watu chance ya ku divert.
@TatuIddi-e5n
@TatuIddi-e5n 2 күн бұрын
Mashaallah tabarakallah ❤️ Allah awahifadhi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Aameen ameen ameen
@MwangiMuhammad-q8r
@MwangiMuhammad-q8r Күн бұрын
Maa Shaa Allah Allah awahifadhi nawapenda sana, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 2 күн бұрын
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@aishahazary4097
@aishahazary4097 2 күн бұрын
Maasha Allah ..Siku nyingi Hussein hajaonekana kwenye daa,wa
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Yupo sasa
@jamada-by3rq
@jamada-by3rq 2 күн бұрын
That brother in a light blue kanzu I like his humbleness, may Allah SWA grant all of us Jannah Amen 🙏 ❤❤❤❤❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Aameen ameen ameen
@hassansharif5716
@hassansharif5716 2 күн бұрын
Mansha Allah
@isahbarasa
@isahbarasa 2 күн бұрын
Msomaji mwingine mashalla 👏
@HisMajesty64
@HisMajesty64 2 күн бұрын
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu ayyuhal ikhwanil qiram
@ggv866
@ggv866 Күн бұрын
Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh
@harundaudi701
@harundaudi701 2 күн бұрын
Asalaam alaykum waislam wenzangu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 сағат бұрын
Walykum wabarakatuh warahmatullah wabarakatuh
@husha6372
@husha6372 2 күн бұрын
Sssalamu Aleikum arahmatulahi wa barakatu Padre. Ni baba kWa kurumu au kitaliani
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@loner_wolf
@loner_wolf 2 күн бұрын
Sheikh Hassan speed kubwa sana . Ungemsikiliza mchungaji na uendenaye polepole kwa hoja kuliko kumnyamazisha asitetee upande wake.
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 2 күн бұрын
Hahahahahahahaha😂😂😂😂 duh hahaha sura ya kijiti😂😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
🤣😂😅🤣😂😅
@harundaudi701
@harundaudi701 2 күн бұрын
Siku ambayo hatupati hizi video huwa najiskia vibaya sana. Hivi na nyie mko kama mimi? Naumiaga kabisa😂
@bashirmahero7021
@bashirmahero7021 2 күн бұрын
Sio wewe peke Yako hii inakuwanga dooaz tosha
@isahbarasa
@isahbarasa 2 күн бұрын
Mi huwa na rudia za nyuma bna siwezi kosa uhondo na dawah naskiza nikpumzika
@khadijahamina8457
@khadijahamina8457 Күн бұрын
tuko pamoja sote insha allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 сағат бұрын
Tunawapenda kwa ajili ya Allah
@hassanpadi
@hassanpadi Күн бұрын
Masha Allah kazi nzuri
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Күн бұрын
Sipendi mnavojadiliani na wakristo, masheikh tupunguze jazba, hii combination ya Hassan na Ali mnapeleka hawa watu mbio.
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 2 күн бұрын
Nimechelewa leo .. Naingia humu baaďa ya Video kuwa Uploaded for an hour ... 😢 "Na katika hayo, wàshìndane wenye kushindana" (Qur'an 83:26)
@YussuphKansela-l4j
@YussuphKansela-l4j 2 күн бұрын
Ninawashangaa sana mnaposema mm wa kwanza Leo wakati mm nimeste otamatik wakiposti tu kwangu inaplay yenyewe
@HisMajesty64
@HisMajesty64 Күн бұрын
Nauliza tu kuna zawadi au pato lolote kuwa wa kwanza?😢😏
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Tunawapenda kwa ajili ya Allah
@bashirmahero7021
@bashirmahero7021 2 күн бұрын
Doaz yangu imeshaa ingia naweza lala sasa
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 сағат бұрын
Masha Allah
@faridbashuu
@faridbashuu Күн бұрын
Pastor 😂😂 🤣🤣
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
🤣😅😂🤣
@loner_wolf
@loner_wolf 2 күн бұрын
Huyo dogo wa pili hilo swali anarudia kila siku inamaana kila siku anarudi kuwa hajapata jibu ? Kama anataka kubishana apishe watu wengine
@Zainab_salat
@Zainab_salat 2 күн бұрын
Ana waste tu time,wengine wanataka kuanzisha maybe ugomvi
@loner_wolf
@loner_wolf 2 күн бұрын
Musa hakuandika Torati . Musa alipewa torati kwa haki .
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 сағат бұрын
Kweli kabisa
@edgeroba6185
@edgeroba6185 Күн бұрын
na wahindi jeh mbona hamuendi head to head ?
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 сағат бұрын
Wako wapi ukipata njoo na mmoja
@alibishar1236
@alibishar1236 7 сағат бұрын
Pls get rid of this msomaji Ali.. Anaongea mingi kuliko miaka yake
Dada akuja kuleta back up baada ya unga kuzidi maji akaamua kukoroga uji
1:16:21
MUHADHARA wa kakara kukuru kiwanjani wa panda vinzuri
1:04:53
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 6 М.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 34 МЛН
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 258 МЛН
MCHUNGAJI DOMINIC ASILIMU NA AUKANA UKIRISTO NA KANISA LAKE ATOA SIRI ZA KANISA
12:12
MAZINGE AMLIPUA MCHUNGJI _  NIWAPI YESU KAMRUDISHA PUNDA?
6:38
SHABABU TV Tanzania 🇹🇿
Рет қаралды 9 М.
Sheria za kiisilamu ni ngapi mkristo auliza kiwanja cha changamka vitu vimeletwa
47:57
DOD DEX MARTAY SOOMALI MURTAD IYO SHEIKH ANWAR
1:42:49
EASTLEIGH DAILY-DAWAH
Рет қаралды 6 М.
Rasta man aleta swali watu wakule majani sio nyama kivumbi kimeeleweka
1:02:06
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,9 М.
THE FALL OF MY HEART 💔 | Sady Story | Love Story
40:42
DONTA TV
Рет қаралды 656 М.
Mambo ya kwenda kwa choo na maji yaleta ufafanuzi kimeeleweka daawah vijijini
1:25:58
Mmoja asilimu kakara kukuru muhadhara wasika kasi kiwanjani
1:08:41
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 5 М.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 34 МЛН