No video

Tafsiri Ya Suratul Ya Tembo/ Suratul Fili / Sheikh Walid Alhad Omar

  Рет қаралды 12,034

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Tafsiri ya Suratul Fili / Suratul Fili /Sheikh Walid Alhad
Sheikh Walid Akifundisha Darasa la Tafsiri pale msikiti wa kichangani kila siku ya jumaanne baada ya sala ya Alasiri Usisahau kufuatilia vipindi vyetu vyote tafadhali subscribe ili uwe wa kwanza kuona vipindi vyetu Asante
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
www.paypal.com...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks

Пікірлер: 20
@mussakatawila9408
@mussakatawila9408 Ай бұрын
Jazaakallah Khairan Sheikh Walid! Allah akuhifadhi Sheikh Walid Duniani na Akhera.
@abdulrazaktayeb
@abdulrazaktayeb 10 ай бұрын
One day yesss. Mashallah Jazakallah
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 8 ай бұрын
Mashaallah allah Akuifadhi na akupe umri mlefu na afya njema inshaallah tunakupenda kwajili ya allah❤❤🤲🤲🤲
@kassimabdallahmohamed6180
@kassimabdallahmohamed6180 2 жыл бұрын
Tanzania kuna hazina lkn hatujui kuzitumia darsa muhim lkn watu wachache dah Allah atuongoze
@user-kv1yq8cd6h
@user-kv1yq8cd6h 7 ай бұрын
Mashalllaah shekhe langu la karne
@seifazizz4160
@seifazizz4160 8 ай бұрын
Mashaallah ❤
@kassimabdallahmohamed6180
@kassimabdallahmohamed6180 2 жыл бұрын
Allah amuweke sh waliid inshaalla
@humaafundi2692
@humaafundi2692 3 жыл бұрын
Shukran Shekh Waliid Alhady nakumbuka ulikisamarize Kisa hicho ktk Khutba 2015 au 2016 Mwisho akamalizia na Kisa Cha Abuu Raafii kusilimu ilikua khatari. Allah akujaze kheri na akulipe badala
@jamaldinabubakary9507
@jamaldinabubakary9507 2 жыл бұрын
نفع الله بك البلاد والعباد ياشيخنا الجليل وليد وجعل علمك في ميزان حسناتك 🤲🏽
@aminashaib6956
@aminashaib6956 2 жыл бұрын
MashaAllah Allah Akuhifadhi
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 жыл бұрын
Shukraan wajazaukum llah khayra Nakupenda SHEIKH walid alhad kwa ajili ya Allah
@ramangadu6451
@ramangadu6451 3 жыл бұрын
Nakupenda Kwaajili Ya MOLA. Kwahakika Watutoa Matongotongo.
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 жыл бұрын
Shukran kwa masomo mzuri
@kodaotis9891
@kodaotis9891 3 жыл бұрын
instablaster
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 жыл бұрын
@@kodaotis9891 Allah Awalipee kheir nyoteee
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 2 жыл бұрын
Inamaanisha kuwa surah hii ukiisoma Mara kwamara inakuwa nikinga
@ibrahimsleiman4455
@ibrahimsleiman4455 3 жыл бұрын
Shukran Kwa ukumbusho
@shinnennaazshine896
@shinnennaazshine896 3 жыл бұрын
Shukran Al Habib
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 3 жыл бұрын
Kweli shekhe huyo mdudu unayosema ukiwa unamsomea atetemeka hii sura hta mimi nimejaribu tena umenikumbusha shekhe
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 3 жыл бұрын
Kwani ni nani yuaongea hpo kumkatisha shekhe darsa heshima iwapi
Tafsiri ya Suratul Maaun / Sheikh Walid Alhad
1:19:40
DARSA TV
Рет қаралды 15 М.
DADA ASILIMU KATIKA MASWALI NA MAJIBU ISIOLO TOWN DAY 2(MPE MIC) 🎤
1:12:54
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 2,7 М.
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 55 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 37 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
Maisha Ya Peponi / Sheikh Walid Alhad
1:16:24
DARSA TV
Рет қаралды 8 М.
PART 4   OKWETUKUZA (TWAHAARAH) / SHK SALIM BBOSA
55:42
SHARHU ISLAM MEDIA
Рет қаралды 160
TAFSIR SURAT YASSIN (PART 1)
54:51
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 6 М.
NAIBU KATIBU MKUU Z'BAR AANZA NA MSIMAMO MKALI KUWANGOA WATAWALA
16:26
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 1,6 М.
MAAJABU NA SIRI YA SURATIL FIIL  WACHAWI NA WAFITINI HAWATO.......
13:11
Sharifu Suleymana TV
Рет қаралды 5 М.
SURAH AR-RUM (Tafsiri ya Quran Kwa Kiswahili)
28:47
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 73 М.
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 55 МЛН