Amka Usiku / Wapo Masheikh Hawajaoa Kwanini / Sheikh Walid Alhad

  Рет қаралды 86,521

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Amka Usiku / Wapo Masheikh Hawajaoa Kwanini / Sheikh Walid Alhad
Sheikh Walid Alhad Akitoa Khutba Siku ya ijuma Masjid Kichangani
akielezea fadhila za kuamka usiku tusikilize kiumakini sana ili tupate kufaidika
inshaallah na pia usisahau ku share na wengine ili pia wafaidike
usisahau kutu support kwa ku subscribe ku like na ku comment asante
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks

Пікірлер: 82
@aishaabdullah233
@aishaabdullah233 4 жыл бұрын
Masha Allah , alhamdullillah nakushukuru sheikh wetu kwa kutuamsha nimejifunza . Allah akudidishie uzidi kutuelimisha . You are my favourite one sichoki kukusikiliza hata km sometimes siandiki comments lkn nakusikiliza alhamdullillah may Allah bless you and bless your family
@bibasulesh7866
@bibasulesh7866 2 жыл бұрын
Amiyn
@yusraramji
@yusraramji Жыл бұрын
Amin🙏
@MwanaidiJuma-hw8tb
@MwanaidiJuma-hw8tb 6 ай бұрын
Amiin
@gamblilekamau129
@gamblilekamau129 Жыл бұрын
Asalaam Alaykum warahmatulah Wabaraqatu, mie nime slimu na pia namshukuru Allah S.W.T kwakutupa Tawfiq sote . Nawakumbukeni nyote kwa Dua Na Allah akupe maisha Marefu Sheikh walid..
@rufaydabaskut2230
@rufaydabaskut2230 2 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi sheikh wetu ...tunakuskiliza from kenya 🇰🇪
@omarijuma6692
@omarijuma6692 2 жыл бұрын
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
@mohamedabubakar7397
@mohamedabubakar7397 4 жыл бұрын
mashaallah mawaidha mazuri yenye faida kubwa washukran sanaa shekhe wetu mpendwa
@halimatsumo2909
@halimatsumo2909 3 жыл бұрын
Ma sha Allah Ma sha Allah Ma sha Allah.... sheikh Walid Allah akuzidishi umri mrefu ulo na baraka
@ummusalim1991
@ummusalim1991 Жыл бұрын
Ma shaa Allah TabarakaAllah Nafurahy sanaa kukuskiza... Mola akuhifadhi na azidi kukuafya Yaa Rabb
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 8 ай бұрын
❤mashaallah tabarakaah ❤ Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri sana ❤
@khamismati1270
@khamismati1270 4 жыл бұрын
Asante kwa ukumbusho shekh Walid allah Akupe kilalaheri kwenye maisha yako
@nafuumatata5424
@nafuumatata5424 3 жыл бұрын
masha allah
@abdulnuruhassan8611
@abdulnuruhassan8611 2 жыл бұрын
shekh Walid Allah akupe ubri mrefu hasante kwa ukubusho
@maliksilimtutu1917
@maliksilimtutu1917 4 жыл бұрын
Allah akusamehe na akupe umri inshallah
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Shukran shekhe kwa ukumbusho Allah akuzidishie kila lenye kheri na akuzishie umri mrefu
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 жыл бұрын
Wapi.huko.shehe.mimi.nipo.OMAN..MIMI.NIMTANZANIA..NAMIMI.NATAKA.KUJA.HUKO.UNAKO.WAITA.WENZANGU
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 4 жыл бұрын
Sijali hata bando langu kuisha kumsikiza sheikh wangu walidi. Allah akupe afya njema na umri mrefu
@رياالحجري-ع7ز
@رياالحجري-ع7ز 2 жыл бұрын
Asante shekh kwakutu funzwa tuso ya juwa allah akubarik
@mbarakahussein9107
@mbarakahussein9107 2 жыл бұрын
Anllah akupe umri mrefu wenye kukufaa hapa duniani na kesho akhera
@nyembojarufu8447
@nyembojarufu8447 2 жыл бұрын
Shekh Walid shukrani Sana Allah Akupe Maisha marefu Insha Allah 🙏🙏
@hassanakida3739
@hassanakida3739 4 жыл бұрын
Allah akuzidishie kwa kutukurubisha kwake kwa daawa
@marwanbakhamis1125
@marwanbakhamis1125 4 жыл бұрын
A alk..Allah akupe mwisho mwema ..amiin...matirio yak kher tupu na nuru ktk mioyo yetu
@mohammedkaisar83
@mohammedkaisar83 Жыл бұрын
Mashallah hakika ni Allah peke yake ndo atakulipa ujira huu Alhamdulilah🤲🙏
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 23 күн бұрын
Shukran sana sheikh wetu walid.
@athumankidole7396
@athumankidole7396 3 жыл бұрын
Mashallah sheikh warid umenifunza kitu kizuri sana leo
@chamaosman1596
@chamaosman1596 3 жыл бұрын
MashaAllah shk walid
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 4 жыл бұрын
Baaraqallahu fiyqum Sheikh Walid
@mtumwasharifa6220
@mtumwasharifa6220 4 ай бұрын
SUBHANA ALLA NAMUOMBA ALLAH ATUPOKELEE SWALA ZETU
@nabiljumbe
@nabiljumbe 4 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah
@aminaibrahim4148
@aminaibrahim4148 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe umri tawil
@zubedasoud9204
@zubedasoud9204 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 3 жыл бұрын
Jazzakallahu lkhayra sheikh shukran wajeed
@korogwetanga810
@korogwetanga810 4 жыл бұрын
Masha Allah Taabaraka Rahman
@raziaramadhan4855
@raziaramadhan4855 2 жыл бұрын
Alhamudulillah 🙏 shukuran sheikh.
@jarufumuhamed6396
@jarufumuhamed6396 2 жыл бұрын
Mashaallah
@Reallyrawan
@Reallyrawan 4 жыл бұрын
MashaAllah❤️❤️❤️❤️Allah bless you
@zeinababdulla8137
@zeinababdulla8137 3 жыл бұрын
Amiin amiin amiin.shukran
@jumahasan4104
@jumahasan4104 3 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema
@Maryam-j1d6u
@Maryam-j1d6u Жыл бұрын
Allah akulipe mema zaid na akupe umri mrefu wenye mwisho mwema
@DebalzacOmari
@DebalzacOmari Жыл бұрын
Sheikh wetu Mimi Niko Lubumbashi RDC, nakupenda saaaaana Allah akujaliye la heri na mwisho mwema
@nshimirimanadjamilla7270
@nshimirimanadjamilla7270 4 жыл бұрын
Allah akulipe kheri sheikh wetu
@bellbell9294
@bellbell9294 4 жыл бұрын
Mashaallah shukraan jazaka Allahu kher
@xamiidaxamiidacabdi2692
@xamiidaxamiidacabdi2692 4 жыл бұрын
ماشاالله
@ramangadu6451
@ramangadu6451 4 жыл бұрын
Nakuombea Sheikh Letu Umri TWAWILI
@rumaukombo6415
@rumaukombo6415 4 жыл бұрын
Shukran Kwa zawadi
@afric01
@afric01 Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Shukran. Jazakallah kheir 🙏
@fadhilaassey2340
@fadhilaassey2340 4 жыл бұрын
Alhamdulillah sheikh ni kweli kabisa ukidumu na istighifar na kumswalia mtume kuna siri kubwa kwa binafs yangu ilifikia kipindi niomba dua inakubaliwa mambo mengi sana yakafunguka alhamdulillah dumuni na huo utaratibu ukiolekezwa na shehe muone maajabu. Shehe nataka nikuone TAFADHALI
@ag3044
@ag3044 4 жыл бұрын
MashaAllah Allah akubariki
@rahmaabuubakar1751
@rahmaabuubakar1751 2 жыл бұрын
Hakika ukidumu ktk kumswalia mtume Muhammad swala llahu alaih wasalam kuna vitu vyenye kheir vinakujia na pia riziki haikupigi chenga. Alhamdulillah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 11 ай бұрын
​@@rahmaabuubakar1751swala ipi hiyo ya mtume
@jamaldinabubakary9507
@jamaldinabubakary9507 4 жыл бұрын
حياك الله يا حبيبنا 📚
@Hamidukisimbo
@Hamidukisimbo Ай бұрын
shukran
@alhajnamkopa4597
@alhajnamkopa4597 3 жыл бұрын
Shekhe umeeleweka sana kazi kwetu
@rahemaissa9867
@rahemaissa9867 3 жыл бұрын
Mashallah
@naimatupo2920
@naimatupo2920 3 жыл бұрын
Shukrani. Sana.
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 жыл бұрын
ALLAHUAKBARU
@babumsiha1573
@babumsiha1573 3 жыл бұрын
Mashalla
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 Жыл бұрын
Alaahumaa Amiin Amiin yarab
@tabuhussein4326
@tabuhussein4326 4 жыл бұрын
Assallam aleikum.naomba unijulishe vile ntatuma mchango Niko kenya
@dezainermedia1035
@dezainermedia1035 3 жыл бұрын
Machalllah
@omaryissa-sw3nu
@omaryissa-sw3nu Жыл бұрын
Allhamndullah
@khamismati1270
@khamismati1270 4 жыл бұрын
Shekh Walid tunaombo utusome quran
@fetysukafetysuka9056
@fetysukafetysuka9056 4 жыл бұрын
Shukuran
@ramlahkadesa2521
@ramlahkadesa2521 4 жыл бұрын
Nani anaweza fikia Mtume Muhammad (S.A.W), hakika hamna ila kaoa wanawake zaidi ya mmoja, Kwa hivo ndoa ni sunnah sie waislamu yafaa tumuige mtume wetu.
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 Жыл бұрын
Rudia tena kusikiliza mpaka utaelewa
@neemainabikorwa5570
@neemainabikorwa5570 3 жыл бұрын
Allah azidi kukuhifadhi
@OprahSylvester-mt8vj
@OprahSylvester-mt8vj Жыл бұрын
❤❤❤
@kibokoyao2027
@kibokoyao2027 4 жыл бұрын
Asalamu aleykum nauliza hivi Mimi ni mkenya saa natuma aje sadaqa yangu kwa hyo tego pesa
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
inshaallah tutakujuza maalim
@rahemaissa9867
@rahemaissa9867 3 жыл бұрын
Western union, Shekh tu akutumie majina yake ya kitambulisho cha taifa Kisha ndio utume
@issahassani5003
@issahassani5003 2 жыл бұрын
Inshallah mungu akupe wepesi akutienguvu aamin
@yusraramji
@yusraramji Жыл бұрын
​@@DarsaTV.Mimi ni mkenya Sheikh nitume sadaka kwa namba Gani , @yusraramji
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 8 ай бұрын
Swadakta hiyoo imewafikia Ujumbe,Watakuja tu bila kuketwa na watu,
@wisesimple808
@wisesimple808 3 жыл бұрын
Asalaam alaykum, je kutamka maneno hayo ni alazima uwe na udhu ama bila udhu inaswihi?
@kherimacksood634
@kherimacksood634 2 жыл бұрын
Asalaam alaykum.ujenzi ushakamilka? Na kama hujakamlika naweza tuma?
@SuleimanFarhan
@SuleimanFarhan 2 күн бұрын
Maimamu,na mashekh muwe mnatoa sadaq msikitini sio kusambaza kofia halafu nyie hamtoi
@ZaZa-ck9sf
@ZaZa-ck9sf 2 жыл бұрын
Shekhe naomba nitumie number ya what ssap
@moridohome4790
@moridohome4790 4 жыл бұрын
MashaaAllah mashaaallah
@Sharifuhabiby
@Sharifuhabiby 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@babumsiha1573
@babumsiha1573 3 жыл бұрын
Mashalla
ISLAM AND SIMPLICITY PART4/GRAND MUFTY OF YORUBA LAND
48:25
Grand Mufty of Yoruba land Raabita
Рет қаралды 57
NINI HUKUMU YA KUTUMIA CONDOM KWA MUISLAMU
9:23
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 64 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Tafsiri ya Suratul Maaun / Sheikh Walid Alhad
1:19:40
DARSA TV
Рет қаралды 17 М.
KAMA MKEO HAIJUI SIRI HII HUNA MKE | SHEIKH IZUDIN
38:29
Adil Media
Рет қаралды 13 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН