Natamani nikiwa kiongoz niwe kama shekh walidi Allahuma aamin
@MuhdharMuhammad-qv3zl Жыл бұрын
Shukran Sana Sheikh Wetu Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera ALLAH AKUINGIZE PEPONI KABLA HUJAFA
@ramadhanitwahili6837 Жыл бұрын
sheikhe wardi umeongea maneno mazito inshaAllah,Allah atunganishe tuwe pamoja nawe sheikh wetu Allah akuifadhi na kivuri chema amin.
@bughalib1 Жыл бұрын
الشيخ وليد بارك الله فيك، وبالفعل كلامك صحيح وفي محله ، وبالفعل لا بد من ان نكون مثل وكمثل الجسد الواحد ، لا بد من التعاون والتكاتف والتماسك لاجل تحقيق المحبه بين الناس جزاك الله خيرا
@EVERSONMDOGO Жыл бұрын
أطال الله عز و جل عمرك في عافية وسلامة،ووفقك الله توفيقا موفقا وجزاك الله خير الجزاء في الدنيا والآخرة. اللهم امين يارب العالمين
@husseinshaibu5239 Жыл бұрын
Ni masheikh wachache wanao uthubutu wa kusema maneno haya bali wengi wao wanatumia khilafu hizi ili kujifakharisha wenyi wao na kuonesha madole kwa Wengine Subhanallah, lau tungekumbuka Qur an yasema nini tungekuwa mbali sana leo waislamu..
@husseinazizi1275 Жыл бұрын
قال الأمام الطاحاوي رحمه الله. وعلماء السلف من السابقين ومن بعدهم من التابعين أهل الخير والأثر وأهل ألفقه والنظر لا يذكرون إلا بالجميل ومن ذكرهم بسوء فهو على غير السبيل
@abdallahally842 Жыл бұрын
Nakupenda shekh Kwa jili ya ALLAH maneno mazito ya kufanyiwa kazi tukiungana hakuna wakutuchezea ❤
@rmadhanoaman Жыл бұрын
Allah-humaa-mamin
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAH Akuhifadhi, Akuzidishie Hikma Na Busara Ya Rabb. Allahumma Amiin 🤲
@asiabaruani280 Жыл бұрын
Allah ajaalie tuwe kitu kimoja
@yyjlallkuuhnn2651 Жыл бұрын
Allah akupe umrifu mrefu wenye kheri🌹
@husseinazizi1275 Жыл бұрын
قال رسول الله صلى الله عليه سلم. وتفترق أمتي على ثلاث وسبعين ملة كلهم في النار إلا ملة واحدة. قالو ومن هي يا رسول الله قال. ما انا عليه واصحابه.
@saadmbarak1903 Жыл бұрын
Mashallah mashallah sheikh walid binil hadi Allah azidi kukupa hikma na umri mrefu uzidi kutupa faida zidi kutumia busara tuepuke na hii mizozo na kuradiana masheikh kwakweli kuradiana sio vizuri tunawapa pic gani wasio kua waislamu???
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Swadakta sheikh Walid kwa ufafanuzi mzuri MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚💚.
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Tunamoomba Allah akupe umri mrefu wenye afya njema Amiin
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Amiin Ya Rabb
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲
@mokitaa8750 Жыл бұрын
AMIIN
@fatumatandika6220 Жыл бұрын
Maash Allah jazakallah kheir
@AndulHida-hs5py Жыл бұрын
Baraka Allah feeq, Jazzak Allah kheri
@jonhchamsa3366 Жыл бұрын
Ñimekuelew Uzuuur sana Sheikh Wang wa mkoa
@nabiljumbe Жыл бұрын
Mashaallah
@HossamHossam-zs1hk Жыл бұрын
مشالله تبارك الله
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Amiin
@wabongoughaibunimediaprodu4471 Жыл бұрын
Takbir
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Uko mbali usichoke utafika mbali zaidi biidhini Allah
@abdibrown5591 Жыл бұрын
Wewe umefika?
@Shakila-t3c Жыл бұрын
Aslm alkm ww... Allah akulinde 🙏
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Sasa ni wakati mzuri Kwa nafasi uliyonayo kama sheikh wa mkoa kuhamasisha waislamu kununua maeneo makubwa Kwa akili ya kuwekeza miradi ya elimu,hospitali,viwanda,nk
@khadijamikidadi3604 Жыл бұрын
Swadakta Allah tuzindue Yaarab hatujachelewa tukimbie badala ya kutembea
@adamjutto5849 Жыл бұрын
Tatizo,sio umoja, Allah hawez kutunyanyua cc ikiwa kuna waislamu wanaamini hirizi,wanaamini shirki,kuna watu wawatukana maswahaba,alf wategemea tutatengamaa sisi?! maswahaba walifaulu ktk dunia yao na aakhera yao,kwa sbbu nyoyo zao zilitakasika na uchafu,husda,na shirki,na tamaa za kuiba,lkn cc sio wakweelii,embu waislamu walopewa eneo la pale chang'ombe ndo lilitakiwa liwe vile lile?!lkn Allah anajua nani aliuza lile eneo,tushachelewa,sahv kila mkitaka kufanya jambo wezetu wako macho
@rashidhemed1444 Жыл бұрын
Hao shirki na hao wenye hirizi wakija utawapa dawaas
@khalidmdotta3843 Жыл бұрын
Shekhe mwenye akili zake huyu ndie shekhe sio shehena