Mufti amezungukwa na nyota za Masheikh waliobobea katika elimu, sheikh mkuu anajaribu kuwapiga msasa Masheikh na Waislamu kwa ujumla. Uislamu Raha tupu.
@abdusaalim52283 жыл бұрын
Maashaallaah shukrani shekhe letu Allah akupe kila zuri
@nasoros.mgungo55023 жыл бұрын
Mashallah wewe ndie kiongozi wangu. Allah akulinde na Fitna na vijicho.
@naswidiaabdulkarim50053 жыл бұрын
Jazaakallahu khaira shekhe wetu allah akujaalie hekma na busara ktk maqamu yako inshaallah
@omaryally42783 жыл бұрын
Mashallah shekhe wetu Allah akupe umri mrefu
@jasminmohamed61453 жыл бұрын
MashaAllah Shukran Jazakallahu kheir
@saumuseif91893 жыл бұрын
Shukran mashaallah
@blackjack42413 жыл бұрын
بارك الله فيك المفتي
@AhmedSaid-xz3kj3 жыл бұрын
jazakallah kheir
@bimumaulid11713 жыл бұрын
MIPASHO TUU HATUKUSIKII KUKEMEA CHOCHOTE ALIYEOMBA DUA KWA JINA LA YESU VIPEEE
@fahadfaraj64743 жыл бұрын
Ndo haya yanayosemwa kupinga kila jambo dharau kutokua na subira sa katoa mpasho upi hapo au ndo hisia za chuki
@hassanali-ck2we3 жыл бұрын
Huo umoja upii wa dini mseto shia ibadhwiyu tabilghi bohoraa kadiriya watu wa bidaa umoja upi sasa umoja unao takiwa ni kitabu na sunn kwa ufahamu wa wema walio tangulia sio bidaa zenu no maulidi ni bidaa kuomba mawalii ni shirk kusoma hitmaa ni bidaa kuburuza suluali ni haramu kunyoa ndevu ni haramu umoja upi wakuomba dua kwa jina la yesu
@Ahmadasshii-raazy88883 жыл бұрын
Ukifaham haya yatakwisha
@hassanali-ck2we3 жыл бұрын
@@Ahmadasshii-raazy8888 tafuta muda usomi dini yako kwa walimu walio simama katika haq sio wafata upepo tu kama bendera
@allyally51563 жыл бұрын
@@hassanali-ck2we haki gani nakafiri wakubwa nye kuma lako
@jamalishoo3802 Жыл бұрын
تستنبط من الخير شرا لحقدك وحسدك
@hassanmpwepwe38263 жыл бұрын
Wew mwenyewe ndio wakwanza mnafki mkubwa unajar 2mbo lako2
@muhammadmpoyamboya24233 жыл бұрын
sheikh wetu tunakupenda ila sheikh wa mkoa wa daressalaam ndio anaeharibu hapendi kabisa kuwaheshim wasomi wenzie anadhan yeye kuwa sheikh wa mkoa anaona wengine hawana elim kumbe kuna watu wana elimu kuliko yakwake kwavile mkalishe chini abadilike anaharibu dini . kilasiku yeye ni masemangotuu kwa wenzie abadilike
@jamalbahdela5243 жыл бұрын
Tumebaki historia tu, mashekhe wapo magerezani wanasota hatusikii uchungu wowote, tunastarehe tu