Watu kama nyinyi mnanikera sana aisee yani nakerekwa kupita kiasi Sijui kwanini mnapindisha uislam haya mafunzo yenu Ushahidi kutoka kwenye Quran au hadithi sahihi hakunaaa Sasa sijui ni wapi mnaokota hayo mauchafu yenu
@HusseinLimbe9 күн бұрын
Sijui nisemeje Ila kiufupi ni kuwa Wewe Shekh na huyo Mama wote wawili hamna Elimu ya Allah hata kidogo Hadithi za Abunuasi danganyaneni wenyewe Nyie ndio mnauchafua Uislam Unajificha ficha na hadithi sahihi na Aya kadhaa Za Quran ili uonekane Mkweli ila bila shaka Wewe bado Elimu hunaa Huwezi wajua Wanga huwezi mjua Mchawi huna huo uwezo isipokua Allah peke yake Tubia wewe na huyo mama yako
@JumanneMchezi6 күн бұрын
Acha tuwatie adabu mbona una huruma nao wanakunufaisha na nini kwani hao wanga na wachawi