kama umeipenda drop a like the song is dope q boy ako juu ma haters jikateni😂😂 kenyans mpo
@peninamwambelo77557 жыл бұрын
nipo Zimbabwe hii ngoma ni muzuri sana
@abdideweezy34927 жыл бұрын
Qboy kama una weza toa ngoma Kali hivi kwani WCB ina kwambiya nini wambiye wajitowe Habana tambwa wcb manze iko🔛🔝manze
@dahirsulehassan54167 жыл бұрын
rangi kama msomali all the way from somalia we love you qboy big up
@kidukimboka72877 жыл бұрын
mohamed Deeq yalaaaaaa
@jaystar10047 жыл бұрын
#mugacherere walisema umebahatsha I think now wamekuelewa.......safi Q
@faizahabibkarim63297 жыл бұрын
team wasafi tupo kama kawa
@mohammedrashid77357 жыл бұрын
mh ww unajua km tekno flani so amaizing
@ismailwilliam25037 жыл бұрын
Ipo siku wcb watakukumbuka bro big up sana
@victorvincent.25887 жыл бұрын
We mkali. Umemalizaaa I always appreciate your music
@kelvinalfred54737 жыл бұрын
kaliiiiiiiiiih style flani amazing sana big up qboy msafiii .vercern nomaaaah
@abduleljabaarhussein48407 жыл бұрын
kelvin alfred mi kiswahili nakielewa ila sijui kukiandika 😂😂mi nipo Canada
@jeysenbenedict7 жыл бұрын
matrix melody
@kipunga_thedon_tz82797 жыл бұрын
Piga kaz #qboy ngoma nzurii Sanaaaaaa Wachaa weeeeee Co kila kituu wcb ht label zngn zinawezaaaaa God bless you
@officialjamhurizachariagos27977 жыл бұрын
Pamoja sana kijana kiukweli game unaliweza rakin kumbuka paspo wcb wew tusingekujua// jiulize niwap umekosea ulud wcb, //
@paulkess37696 жыл бұрын
Pamoja sana qqq boooooy...ngoma kareee kinyama
@kawsamohamed37526 жыл бұрын
Rangi kama.musomali.bonge la wimbo thnks bro.form nairob
@khalfanhamisi82157 жыл бұрын
Q boy upo vizuli sana hii kazi sio mbaya sisi tunaikubali sana tupo qatar daile tunaisilikiliza uku
@mnyakitz20077 жыл бұрын
naomba niwee mimi kwenye hilii .. mims hujawai piga video kaliiiii kama hiiiiii nimepita vedio tano na mims matonya pa one chemical td na hii.. bongeeee la chupaaaa hapa nimegundua kitu ...bajet inatufelisha na kufanya director aonekane wa kawaida... nakutakia kaz nzur zaidii mims.....mims umetishaaaaaaaaa
@ihtishamhashim92267 жыл бұрын
aminia bruh una kipaji pa1 kwa sana love toka Kenya apa
@sabasvictor29156 жыл бұрын
Q boy nakubali miaka 100000000000000000 waache waseme tunapiga kaziiiiii mungu yupo
@isaali96307 жыл бұрын
Kizuli kinajiuza.umetisha komaa utoboe man we mbayaaaaaa by king makopa
@msafiri857 жыл бұрын
Dah Boooonge la ngoma walahi!!! Wimbo wa Taifa.
@singoveparker14067 жыл бұрын
qboy atakama umesepa WCB now kimuzik unakuja vzur mungu akusimamie
@smartnyanda17457 жыл бұрын
bora alivyo ondoka Wcb Qboy msfai anakipag sana had kwenye mavazi #big up"#
@BigZhumbe7 жыл бұрын
#mugacherere kimtindo mwingine.....big up Qboy msafiiii
@abdinoorabdullahi34147 жыл бұрын
na rangi kama msomali💪💪, eeh bana noma..👌👌
@bish_daddiyao7 жыл бұрын
Unamshusha Moja ili Moja Awe Deal Simambo Yangu Haya_Fareed Boi Nyota Haiwezi Zimwa Uko Juu Bora Kazi Marifa Ukigeuza Wataisoma Ninjah💥👊🏾
@leopodyagusti96587 жыл бұрын
Mimi nakaa marekani.. Na kiswahili sijui hata kidogo.. Ilaa hii ni umeme mamayeeeeee......
@Kabi_477 жыл бұрын
Ngoma ina wanyamwez kibaoooo hvo ndo inatakiwa nice vdeooooo
@salimnassor72937 жыл бұрын
good
@musajakson34727 жыл бұрын
unasubir nini kwenda mbele au pasport ndio umesahau hom kiukwel we q boy msaf bongo bahat mbaya
@sandraoselinirankunda39637 жыл бұрын
#Burundi_on_the_map i really like it #Qboy_kazi_nzuri_sana big up!!!
@evansmakabira60606 жыл бұрын
wasafi mpo bifu ya nn na qboy anaeza na atakua bora inshallah
@nelsonalfred407 жыл бұрын
Nyimbo mbaya sana yani hata aslay humfikii kwa kuimba huko
@habarizauhakika93767 жыл бұрын
WIVU NI DONDA LA KOO LITAKUUA WW.HATA HUYO BOSI WAKO MPNDI HAJAWAH KUIMBA NGOMA NZURI KAMA HII
@officialmologa7 жыл бұрын
Yah uwezo sana mzee Wa taikwando #QBoy imebamba sana
@Star_wizzy_997 жыл бұрын
Goma makn xan q msaf keep t up unaweza hta ukwa mwenyew *good music*
@sendamamatul98817 жыл бұрын
iko vizuri kaja roho utafanikiwa tu.
@callmangumbo15527 жыл бұрын
sjawahi kua shabiki wako ila kwa mikono mikunjufu nimekua shabiki wako kwanzia sasa , nice song kare
@ngoshamaguzu1317 жыл бұрын
Bonge moja la ngomaa karoreroo salute kwako Q BOY MSAFI
@omarykatunzi6457 жыл бұрын
hiiki2 iko vzr big up q boy mfafi kazi nzuri.
@mikwanjab29417 жыл бұрын
Qboy kwa namna hii nshakuwa shabiki wako wa muzk mwanzo nljua umebahtisha ila kwa hii kazi yako nmeelewa sn
@marimarimu36977 жыл бұрын
upo juuu q Boi jitaid kaka mungu yupo
@ruvumabasin2827 жыл бұрын
huyu qboy noma sana...nimemkubali sana ...komaa dogo
@jansonesepele98297 жыл бұрын
nomaa sana karorero unatisha Qboy uko juuu sanaaaa
@vensatemu74837 жыл бұрын
I can see now you are serious Braza big up sana / hua naangalia Mara 10 hii video dahhh bonge LA video
@calebkelly81647 жыл бұрын
Big up sana mzee baba Qboy kaza butu baba
@Khadarnoor8747 жыл бұрын
Yule lips denda mwenye amesema qboy hajui kuimba hii ngoma kali ni bakuli yako ime imba lips denda wewe
@pablojnr3397 жыл бұрын
na rangi kama msomali #4rmsomalis big up Qboy keep hitin
@boxingvibe92057 жыл бұрын
Brooo fanya Kazi Unaweza................ achana na maneno ya waakaanga MBUYU
@ayushayush51417 жыл бұрын
nice sana,🔥🔥🔥👌kaza buti kabisa
@bennymatelephone68944 жыл бұрын
Mwamba omba urudi usafini utawaka Africa na dunia nzima Watakuknow
@LemontheNeutral7 жыл бұрын
kudadeki hii ngoma chuma kinomaaaa. iko mzuri
@goodluckymartin3347 жыл бұрын
Q boy umetishaaa cnaaa ngomaa kali cnaaaaaaa
@mejumaaathman44857 жыл бұрын
👍😍nani ameisikiza zaidi ya mara moja
@charlomsanifu26607 жыл бұрын
ungetoka WCB kitambo ungekua on another level we ni mkali
@juliuskalawa82627 жыл бұрын
Aisee anayejua anajua tuu, all the best man
@babangidambonimpa4647 жыл бұрын
KARORERO tafsiri yake ni EXAMPLE kwa KIRUNDI, MUGACERERE inamaanisha POLE POLE kwa kirundi piya
@belyseirankunda72777 жыл бұрын
naishi sweden nyimbo yako nayipenda sanaaaa endelea utasonga mbele
@Kizzyboytz Жыл бұрын
ngoma haichuji aisee 2023
@DenyoReigns7 жыл бұрын
Mr T Touch yo the best producer in Town....hizi beat si za nchi hii
@alexandrinadomaino10857 жыл бұрын
Kweli ngoma imekaa pouwa
@HamiduChamboko7 жыл бұрын
Watoto wanaweza hawa..wasfi mwisho washazeeka
@simonseyongwe7 жыл бұрын
🔥🔥🔥murdeeerr goma kali Msafi umetsha
@bakermiles28664 жыл бұрын
Eh!!Qboy uko juu broo wallah.like Naijerian song wallah.konki sana💪
@kaulimbiu1814 жыл бұрын
Who's here in April 2020 after the CORONA outbreak? Drop a like to show love to QBOY msafi. May God make it easy for him following the depression he is going through right now. Ameen
@Semavumba7 жыл бұрын
Wavamiye awo watanzania na T MAX Alikuwepo Buja.
@billyosunga9634 жыл бұрын
Fanya remix ya hii ngoma na mastar wakali ka lunya darasa utarudi kwenye chati broo......💯💯💯💯
@moseszuma30467 жыл бұрын
unaweza bila wao..,wanajijua
@jafaryally41027 жыл бұрын
natokea Denmark kiswahili sikijui,, ila hii ngoma n lit!!
@famally71387 жыл бұрын
kweli hukijui kiswahili ndo mana hata hapa umecoment kwa kidenmark# m mwenyew natokea Jamaica sijui hata kuandika kiswahili
@Ebendentalclinic7 жыл бұрын
mwenyewe natokea newzealand sielew kitu kabisa ila he is now making hits
@abduleljabaarhussein48407 жыл бұрын
Jafary Salim mi kiswahili nakielewa ila sijui kukiandika 😂 😂 mi nipo Canada
@ig-neousjdyegura7477 жыл бұрын
lol, mie natokea Germany, sielew hata kidogo kiswahl but the song is real good😏😏
@ibrahimmkoko58507 жыл бұрын
Mimi raia wa Mdagasca but naishi Chile... Sifahamu kiswahili but hii Karorero ni kiboko
@angelshirima73477 жыл бұрын
one way from Australia I don't understand Swahili but hii ngoma katisha sana huyu mkaka ni nyokooooooo
@emmanuelluiso48727 жыл бұрын
kwel kiwahili hujui hahaaaaa
@angelshirima73477 жыл бұрын
Emmanuel Luiso of cozi
@vedastogenius457 жыл бұрын
Angel nation haaah hiyo bange ni ya wapi unavuta
@angelshirima73477 жыл бұрын
Vedasto Genius Kenya
@KingMuta7 жыл бұрын
umenichekesha !!! ugekuwA karibu ungepewa hata soda..
@jasirimkombozi49267 жыл бұрын
QBOY VIPI KUHUSU WCB UMESEPA AU
@jameskasekele17057 жыл бұрын
hana mpango na wababaishaji he is independent and no longer member of WCB
@jasirimkombozi49267 жыл бұрын
ok ametoka kwanini ?
@RamazaniMulongeca7 жыл бұрын
Ismaili Hamisi Alipaki Gari la #Zari mke wa #Diamond kwenye duka lamtu... ikabidi asimamishwe kazi.. (Bullshit) I like his style.. bora anafanya yake mwenyewe...
@oyay28217 жыл бұрын
Eti diamond alimu onya Qboy sasa diamond ameonywa na Zari. Hii dunia usijifanye bingwa ila kumbe ni simba wa circus
@mrhabibu82757 жыл бұрын
nic Qboy umetuliaa mwambaa
@aboutataly53007 жыл бұрын
brooo ngoma qaliiiiiiii aiseeee yaaan mpka qali tena
@presdentgilbert85327 жыл бұрын
aaaiiiii so PW Qboy we mkk utaniuwa all the way from Tz
@hafidhimarijani83497 жыл бұрын
touch wauweeee hongera Q-Boy
@lukamusa6677 жыл бұрын
iko poa sana ii ngoma hatareeeeeeee this is the best
@andersonluvanda67367 жыл бұрын
aiseeh ni bonge la ngoma limejaa kila sector, hongera Qboy sana
@samwelyremy41037 жыл бұрын
Walio sema hujui sasa hii ki2 imetoka wapi as*believe in ur self*Good song bro
Kali sana hii Msafii.. Umetisha kinoma Noma yan 🔥🔥🔥
@barakamohammed57237 жыл бұрын
i dont understand swahili but huyu jamaa anajua Q~boy
@fareesfarees76347 жыл бұрын
si lazima wote muimbe...wengn mbaki mashabiki tu
@sebastianbenedict30907 жыл бұрын
kali mzee baba nimekubali
@ummysaid56007 жыл бұрын
toka mwenyewe uko poa kaka kaza butu bimondi analinga sana
@BbaIBRoomB7 жыл бұрын
i wish ningekuwa manager wa qboy ingekuwa rahisi sana kwangu kutoboa msanii afike mbali tupange mikakati poa kama kipaji kweli anacho tupige kazi sababu tayali msaniii mwenyewe ana connection kubwa sana africa na dunia ambayo connection hiyo kaipata wcb