Othmn nakupenda san shekhe unamaneno ya hekma na busara katika kutoa mawaidha yako Allah akufanyie wepesi katika kila gumu.
@hatibuchaka54944 жыл бұрын
Maashallah Allah akuzidishie kila hitaji la moyo wako fidunia waliaakhera
@rahmaally10904 жыл бұрын
Shekh Allah akupe umri wenye manufaa duniani na akhera uzidi kutuelimisha.
@user-hm7ng9nw1e4 жыл бұрын
Mashallah nafatilia sana mawaidha ya shekh wetu OTHMAN MAALIM hakika mawaidha yake hukonga nyoyo za watu mungu akupe afya njema ili uwendeleze daawa inshallah
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Allah akujalie umri wenye afya njema sheikh mashaallah
@fatimaabdullah94034 жыл бұрын
Shukran Allah atuongozee
@asiakilea25903 жыл бұрын
Mashaallah
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu wadau wa Riyadh na koo zima ya Riyadh Tv online Znz