Mara ya kwanza tu nakuona Nikaamua ku propose, fasta sikuchelewa Cuz nili fall inlove sio kutamani Najivunia leo nimekuweka ndani Japo wanaleta bifu kwa masharo wa mtaani Vitisho vingi vya mapeseahee flani Usijali kwangu wewe ni zaidi ya Dreams come true Kila tunapotembea, pamoja kama pair Majina yetu mwisho wote yanaishia na Ngwair Tuna shine uko fine, napenda unavyo design ma valentinee And i am so proud you're mineee...... Rest Easy Ngwea
@spreadlove94172 жыл бұрын
Kama umejua quick rocka ndio kaka fulee wa jua kali gonga like twende 2023
@naultynakumar609 Жыл бұрын
😂😂 mie nilikuwa sijui kabisa Yani nimeshangaa sana
@naultynakumar609 Жыл бұрын
Nilijua kaka fule ni muigizaji tu kumbe alikuwa wa moto hivi 🤝
@fj83178 ай бұрын
Watoto wa 2000 nyie 😊😢😂@@naultynakumar609
@fatmaomary84378 ай бұрын
@@naultynakumar609anaimba pia mnn kitambo nyimbo zake nzuri tuu japo sikumbuki majina
@ashuhunamohamed799729 күн бұрын
Watoto wa 2000 hamjuagi km quick rocka mwanamuziki wa kitambo
@rehemamathew57904 жыл бұрын
Nani ako anaview twenty twenty 👍
@isakamasoya91344 жыл бұрын
P1
@realscholarships-bolde.23444 ай бұрын
"We don't search for old songs" "We search for gold memories"🎶🎶 20.. Everlasting masterpiece🎉❤
@SalvatoryEphraim-ny1vn7 ай бұрын
Wanang tunaochek mpka ssa hii ngima tujuane hata kwa like
@khayrathahamadi6567 ай бұрын
Tupo
@fatmaibra1497 ай бұрын
Hata mimi
@NeymarBruno-ed1hh6 ай бұрын
Uku mpo bado 2024
@kissjohantho6178 ай бұрын
its MEI MOSI 2024, we here!🎉🎉
@esthermoraa66484 жыл бұрын
Kumbe Misa was so beautiful since childhood 😍😍😍😍😍bonge LA demu
@RuzoOwzy3 жыл бұрын
Mondi kamuharibu.....
@davidpaschal778 Жыл бұрын
Kwaiy ngwea alikufa kbra ya video dah
@datiusdidace2173 Жыл бұрын
Wangapi wamekuja kumuona FRANK JUA KALI 😅😅😅
@eliudytafawa46482 жыл бұрын
Rest easy cowboy naliona pengo lako sasa hasa kwa sisi #hip-hop fans.#
@isakamusic50644 жыл бұрын
2020 Niko hapa
@veredianamagesa52294 жыл бұрын
Nimeielewa hii ngoma japo. Kitambo big up
@westcijosh2 жыл бұрын
Moja ya ngoma ztakazoishi milelenamilele
@TonnyCaesar Жыл бұрын
Quick rocker hii ngoma itaishi miaka yote ya uhai wa kila kiumbe
@samuelstephen8898Ай бұрын
Ngoma la muda wote ❤
@mnongediplo40505 жыл бұрын
enzi hizo Mobetto hajaijua mitandao, alikuw bonge la dem,ila sasa ndo bac tena!
@chizimapicha13334 жыл бұрын
Alikua bado hajawa mweupe
@winifridasylivestermachila94904 жыл бұрын
😄😄😄 ila hata sasa jamn bado bonge la dem
@mariamdavidmlonga61674 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂jmn
@bugaboympemba7303 жыл бұрын
Kwa kweli sasa nazeeka hii nyimbo nilimezaga yote now ni 2021 napoteza mashairi
@victormickel1429 Жыл бұрын
Twah mabantu on 🔥 akiwa chaliiii mdogo
@chikorea6383 Жыл бұрын
I just came across this song after so many years. Still a hit 🔥🔥🔥🔥🔥 2023
@mtokambali23202 ай бұрын
Dear Albert, pumzika kwa Amani. Forever in our Minds.
@tonnybrighton75285 ай бұрын
LEO AUGUST 2024 NIPO HAPA
@eyefrere3 жыл бұрын
I just came across this song after so many years. Still a hit 🔥🔥🔥🔥🔥
@etonline22143 жыл бұрын
Mwaga maupendo 2021 amazing music
@jacobjuma9543 жыл бұрын
Kumbe hamisa wa zamani sana
@scollamwanisisi27398 ай бұрын
Niko hapa sababu quick ni handsome balaaaa
@ninadelina75765 жыл бұрын
Nakubali ilikuwa sijajuwa kama ni msani kaka nimejuwa kwajili ya kapuni nakukubali sanaa mm+254
@mj41962 ай бұрын
Mziki mzuri unaishi 🔥
@paulmbonika24597 жыл бұрын
Ngwair was a real artist
@athumanilihike20973 жыл бұрын
Wengi hawajajua hadi leo dogo aliye cover kipande cha ngwair kwenye video ni Twaha Mabantu 😂
@RioIpo3 жыл бұрын
Ndio nimejua leo
@eviepretty26463 жыл бұрын
Kumbee 🤣🙌
@khadijahamis97872 жыл бұрын
Ndo nmejua leo
@athumanilihike20972 жыл бұрын
@@RioIpo yeah
@athumanilihike20972 жыл бұрын
@@eviepretty2646 yeah my
@magicGenius234 жыл бұрын
Jaman ka obama, bado unaishi ndani yetuuuuuu 2020 hit like plz #love_around💞💞💞
@julietb76794 жыл бұрын
He is one of talented musicians in Tz but people don’t give him the recognition he deserve
@roselynngallo18724 жыл бұрын
U said it all he is the best
@roselynngallo18724 жыл бұрын
U said it all he is the best
@selemanihemedi89413 жыл бұрын
KAMA UMEMUONA TWAH WA MABANTU KWENYE VERSE YA NGWEAR LIKE HAPA 🔥🔥🔥🔥
@abdallahmadewa842 жыл бұрын
Ww ulisikilz xxl ndo ukj kuchungulia video
@khadijahamis97872 жыл бұрын
Kweli ni yeye 🙄😳
@siakiwelu30072 жыл бұрын
Daàa I love ur smile. Frank wa jua kali. God bless you
@alphoncempiti95052 жыл бұрын
Ma big brother kaobama , we missed you legendary! Rest easy mangwear
@maimunanewton49274 жыл бұрын
siunalijua lile jina lako la Robert unavolitendea kazi.. really luv u..
@princessgiselle21024 жыл бұрын
Maimuna Newton 😂😂😂😂
@muhidinijuma16804 жыл бұрын
hmisa ulikuwa mzur
@DotoNyoni6 ай бұрын
Jamani imba tena lud kwa mzimi
@sarahangel98144 жыл бұрын
Mi nimeangalia sababu nilion Picha ya hamisa hpo
@LameckMwansa-bb7fj8 ай бұрын
2024 mwezi wa nne tarehe 19 this song still fresh
@Its_jozeeeh4 жыл бұрын
Nan ako anaview n hii lockdown
@Pakanya4 жыл бұрын
quickrocka ni handsome jmn
@mathiascharles6073 жыл бұрын
Ngwea aiseee😥
@mtokambali23204 жыл бұрын
2020, In the Memory of "Sir Albert Mangwea"..
@mathewjustine4186 Жыл бұрын
Yea sir Albert🙏
@azizaiddy14534 жыл бұрын
Nani amemuona misa piga kelele kwa misa ake weweeee
@jacobbravia39124 жыл бұрын
Watching from kenya +254 bonge la hit ipe like kama unakubali
@ivusrutakinikwa7704 Жыл бұрын
2023 ngoma bado inaishi
@beatricesaitoti61252 жыл бұрын
It was fire, we miss u ngwair. Rest easy cowbama
@dianakingusamwel1333 жыл бұрын
Hamisa shape anayo kitambo
@peterlujuo16403 жыл бұрын
2021 here for legendary Ngwair, thanks for good music 🙏🏼
@georgevisent Жыл бұрын
Hii ngoma nikali sana 2023
@mariabasily1153 жыл бұрын
Kumbe ata ajabafilik kitu sasaiv unanenepa kidg💥💥💥💥❤👊
@tatumohammed549711 ай бұрын
2024🎉 still the Best
@hamphr3y4057 ай бұрын
Daaah 💪🏾
@superwomankulwa6204 жыл бұрын
Amisa mrembo toka zaman
@jacquelinegodwin99-dv4du7 ай бұрын
Wapii frank wa jua kali wewe ❤❤❤❤
@faustinjacob61352 жыл бұрын
Man ngwea always in our hearts ♥️
@devtzmbalilaki11 ай бұрын
Kumbe Twaha katokea uku
@ismailallymgaya30993 жыл бұрын
Mziki poa sana hii jamaa aliwahi release
@winifridasylivestermachila94904 жыл бұрын
Woooooooh it's very nice song I like very well 💞❤️💞❤️❤️💞💞😍 but R.I.P. brother 😭
@nelsonbilali38882 жыл бұрын
2022 mwisho mwisho tukisongaaaaaa 🙏🏾😉
@abdallahmadewa842 жыл бұрын
2022 nani kagundua kuw huyu dogo aliyeimb versi ya cowbam ni msanii mkubwa kwa sasa
@zuu__954 жыл бұрын
rest in peace ngwair we miss u😢😢
@damianjeremia38213 жыл бұрын
Fire fire mr q come back we miss your beautiful music
@danieldafaa9813 жыл бұрын
Dah ngwea best raper
@AnnaAmanda-v4q7 ай бұрын
Me leo ndio nauchek huu wimbo❤❤❤❤2024
@khayrathahamadi6567 ай бұрын
Na mimi
@leonardmarca38823 жыл бұрын
Hamisa
@kyungatvonline3 жыл бұрын
T pain wa bongo
@alyayussuf51762 жыл бұрын
My first Swahili song to be in love . 2022 still here
@QueenKiria7 ай бұрын
mmmh kumbe frank wa juakali ndo mwenye wimbo me nilikuwaga najua dulysky
@singinggirl65543 жыл бұрын
2021 weka like 💗 hapo Kama uko unaangalia hii mpk Leo ❤❤❤❤❤💕💕💕💕
@bonifacyorota31452 жыл бұрын
Ngwea pumzika pema kaka 😭😭
@emmanuelchilimo2 жыл бұрын
NGWAIR😢😢😢😢😢😢DAAAH MOYO WANGU HAUSHI KUKUMBKA BROO RAPPER OF TZ
@benjaminikazi3 ай бұрын
2024 September nimerudi tena Ngoma bado ni kali sana
@leonardmarca38823 жыл бұрын
Daaahhhh
@magrethkawa48414 жыл бұрын
Nimeirudia mara10 dah! Bonge la kichupa 2020 much
@fedrickeliezer55212 жыл бұрын
Vyakale haviozi
@salamashabani79224 жыл бұрын
HAMISA MOBETO CHOMBO BANA🤔 ACHA DIAMOND ARUKERUKE KAMA MAHARAGE LAKINI ONE DAY YES ATAIVIA KWA HAMISA MOBETO TU👌 HUYU DADA MZURI SANA BAAANA HALAFU AMEJUA KUIMENTEIN FIGURE YAKE KINOMA NOMA
@jacksonjackson45327 ай бұрын
Ujue ninasoma Hii comment mara mbili mbili kweli huyu #KOMASAVA atarudi huku kwa kambi ya AZIZ Ki🤪🤪🤪🤪
@donvanpierre43698 ай бұрын
❤was amaizing
@mathewmathesela19893 жыл бұрын
Hizi ndio pino tulizokuwa tunasikiliza back 2011, 2012,2013 kuja 2014 na sio kina whozu sijui mario
@mathewjustine4186 Жыл бұрын
Rest in pease sir Albert Mangwea we miss you
@M2mwisho7 ай бұрын
Too bad this song was ahead of its time....
@masungajohn9997 ай бұрын
Hii kauli huwa ni yakipimbi
@VasseurRabie8 ай бұрын
Hamisa ni mzee Aache kudanya umri ....
@wilsonthomas91768 ай бұрын
Kabisa 😅😅
@caros-v3l13 күн бұрын
@@wilsonthomas9176Kwan iyo video ya mwaka gan naisi ya 2013 au 2014 sa kadanganya nn na 2011 ndio kamaliza kidato cha 4
@caros-v3l13 күн бұрын
Ko nae mabantu mkubwa anamiaka ming kisa yupo humo
@caros-v3l13 күн бұрын
@@wilsonthomas9176ko anakubwa gan apo na form 4 kamaliza 2011 kwa mwanamke kumaliza na miaka 17 au 18 n kawaida sana na saiz miaka 16 wanamaliza form 4
@simonmgale4494 жыл бұрын
Rip legendary,, ngwair
@anthonyshio51213 жыл бұрын
Bonge la ngoma all the time till 2021
@djdarmaga625211 ай бұрын
Kweli muuh ndo yeye😂😂
@goodBoy-jj7qx4 жыл бұрын
Nipo hapa naisikiliza hii ngoma
@slimshady57173 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Ngwair
@kingsamkarani27342 жыл бұрын
Ngwear you're still my G,, Continue rest in eternal peace 🕊️💔
@maryamconstantine22322 жыл бұрын
Dahaa!!imebidi nije tu huku 😘
@saidkitamo8323 жыл бұрын
In memory of ngwea rip king!!! Here 2021 gonga like