RADDI (02) KWA MTETEZI WA ABU LUBABA, USTADH ABUU ZAGHARY AL-ASHIIRAAZIY حفظه الله تعالى

  Рет қаралды 431

 قناة الحق منصور

قناة الحق منصور

Күн бұрын

Пікірлер: 10
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
Kuvua niqaabu tena😂😂😂,ila nyie!
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 Ай бұрын
Akhy mbona usikae chini ukasoma ?? Maana na umestaajabu kutmiwa nikaab??? Kwani hujui nikaab hiyo Kwa kiswahili ni pazia??? Hii ndio Hali ya salafi mkubwa huku KZbin *SUBHAANALLAH*
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
@@ramaqaasim239 Mimi sio salafi mkubwa kijana.... unanifaham Kwan?... Sasa pazia linavuliwa???!!! Mwanzon mlisema KUONDOA PAZIA, saiv mnavua pazia Sio??? hahhahaha! 😃😃😃
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
@@ramaqaasim239 Mimi sitaki kujua Niqaabu kwa kiswahili ni Pazia au la,na kujua hvo sio kigezo kuwa wew unajua kiarabu au hujui... ila mm nahukumu kulingana na ilivyozoeleka kwenye jamii yetu! Niqaabu ni Vazi la wanawake bana.... hahahha! LUGHA ZENU NI KALI SANA, SAIV MNATUMIA NGUVU NA HASIRA KUTANGAZA DA'AWAH YENU...!!! Majuzi tena nilikutana na Hajaawirah mmoja akawa anafoka yan, na kunambia kuwa niache chuo Secular, kwa sababu haina faida yoyote kwangu na inanipotezea muda.... hahhaah! Nkasema kwel Mahizbi washavurugwa, saiv wanatumia Jazba sana kuwabidiisha wale waliowabidiisha... imekuwa sasa ni Kubidiishana tu.... hahahhahaha!
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 Ай бұрын
​​​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xkiswahili kumbe hata hukijui na wala sio KAZI yangu Alafu mbona umejitwika kuwa Kila qadhia ya masalafi we ndio wafahamu??? Wewe ndio unajua nani salafi na nani sio ??? Si huku ndio kujiona salafi mkubwacommenting *sector* *ya* *KZbin*
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Kwani hizi tofauti zitaisha lini kw hawa ndugu zetu? Sema akhy kilio changu alhmdulillah kimekuwa kizuri bna nilkiua natamani nimuone sheikh Qassim Allah kamleta Daaru ssalaam.Mapema2 natoka mbagala hapa naingia masjid Umar 😂😂😂😂😂2
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 8 МЛН
02 SURAH AL BAQARAH (Tafsiri Ya Quran Kwa Kiswahili)
3:24:01
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 1,9 МЛН
RADDI(02) ABDALLAH HUMAYD ALIKATAA KUTARAJAA,SHEIKH ABUU MUAWIYAH رحمه الله تعالى
22:53