Raddi juu ya Uongo wa Muhammad mafuta kwa Sheikh Nassor Bachu||Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 40,728

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 235
@jamalturky9001
@jamalturky9001 2 жыл бұрын
Al Marhum Sheikh Nassor Bachu alikua anaijua manhaj hayo kabla ya wao kuzaliwa wote hao... Allah ampe. Pepo Ameen
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Kweli kabisa akhy
@mamakemusab2011
@mamakemusab2011 2 жыл бұрын
Allah akupe subra sheykh Mohd bachu Ila sisi waja wa mwenyezi mungu tunamtokea ushahidi sheykh nassor bachu alikua nfano mwema na kiongozi mwema Allah amrahamu na amkunjulie akhera yake.mm kuinukia kwangu nimeyaskia mawaidha ya sheykh nassor bachu iweje wanamkashif sheykh
@ummatchannel4300
@ummatchannel4300 2 жыл бұрын
HAKUNA BID-A KUBWA INAYOTAFUNA UMMA KAMA HAYA MAKUNDI YANAYOUNDWA LEO, AMBAYO HAYAKUWAPO WAKATI WA MTUMEﷺ.
@universitylink
@universitylink 2 жыл бұрын
Sorry typing error student not students
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Dini ya Uislamu Duniani ni Dini ya tangu zama za manabii wa Zamani. inafundisha kumuamini Allah na kumuabudu na kushikamana na kamba ya Allah bila kufarikiana. wanaojiita viongozi hali ya kuwa wanaongea huku wakipanda mbegu mbegu za chuki wajue mbegu hizo ndizo zinasababisha kuwapo vikundi vikundi vinavyozozana. Kwa hivyo, tuwapuuzeni
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa akhy…ila pamoja na yote rasulli lillah swallau alley wasam alisha tabiri atakae ishii umri mrefu ataona itlaf nyingi
@tamashamagoma2941
@tamashamagoma2941 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi, na endelea kuelimisha umma, tunakupenda kwa ajili ya Allah shekhe Muhammad Bachu
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
SHEIKH NASSOR BACHU, NIKIPENZI CHA WANA SUNNAH KWA WAJUWAO LUGHA YA KISWAHILI, TUNAMUOMBA ALLAH AMRAHAMU NA AMSAMEHE MAKOSA YAKE.. WASEMAO KWA UBAYA, HAJUI SHEIKH AU HUENDA NI UHASIDI WAO TU. ALLAH AWAONGOZE
@ibnuali6857
@ibnuali6857 2 жыл бұрын
Hakuna sheikh ninaye mpenda kama sheikh nasor bachu Allah amrahamu
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 2 жыл бұрын
@@ibnuali6857 sasa hao masalafi wamepata wapi eti wao Ndio wamemlingania?
@saidimadzumba2266
@saidimadzumba2266 Жыл бұрын
Huyo jamaa (mafuta)ni mtaka sifa! SHEIKH Nassor Bachu amefanya daawa mzuri sana!
@jumakumala1337
@jumakumala1337 2 жыл бұрын
Shukran jazzaka ALLAH kheir sheikh wangu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
Wallahi this boy Mohamed Bachu is a blessed boy with knowledge, wisdom na ufasaha wa lugha. Masha Allah
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Pongezi kwa matamshi yako mazuri. Tuweni wakweli. Tuacheni kuvunjiana heshima
@ashrafseif9460
@ashrafseif9460 2 жыл бұрын
Lakin sheikh bacho ALLAH AMREHEM HAKUWA NA TABIA YA KUPANDA KWENYE MITANDAO NA KUSHAMBULIANA NA WATU. NI BORA KUIGA TABIA HII,
@ashrafseif9460
@ashrafseif9460 2 жыл бұрын
Halafu nyny mashekh mnapondana mitandaoni then ET mnaombeana hifadhi ya Allah huon mnachangannya watu
@ashrafseif9460
@ashrafseif9460 2 жыл бұрын
Sheh bacho aliutoa ummah ktk bidaa nying tumpe heshima yake
@mumajadkhatwab2180
@mumajadkhatwab2180 2 жыл бұрын
Bila kukosea watu heshima wallahy kuna namna mzuri sana yakulinganiana ila nyinyi munapenda mizozo lau ingekuwa dini mtume ametuachia sisi saa hii bac isingefika mahali kwa midomo yenu michafu yakutupiana maneno kama nyimbo za tarab.. tumeambiwa tulinganiane kwa hikma na mawaidha mema... kisha shida kubwa ni kujigamba kuwa muko kwa haki mia fil mia ni kama mulikuwa wahyi ukiteremka...Allah atuongoze sote Amiiiin
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Muhammad bachu
@masudbasra566
@masudbasra566 2 жыл бұрын
Ndugu yangu achana na watu wasioijuwa dini bachu nisheikh mzuri sana mola amrehemu
@TheOthmoney
@TheOthmoney 2 жыл бұрын
MIMI SINA ELIMU KUBWA , ILA NNACHOJUA KUWA WAISLAMU NI NDUGU! WALLAHU A'ALAM
@bakarbakar8477
@bakarbakar8477 2 жыл бұрын
👍
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 2 жыл бұрын
Ukisikia tu mlio wa maji ujue unakuja kuzima moto(unao kula thamani ya sunna) 🌊~🔥
@JumaShundi-tn9pf
@JumaShundi-tn9pf 4 ай бұрын
Assalaamu alaykum warahmatullah.... Nasaha. Msiwaseme marehem wénu vibaya, Mtume amekataza jaman Dunia inakwenda wapi!?
@najashrk3738
@najashrk3738 2 жыл бұрын
Sikuzote unapousema ukweli hutofurahisha watu wenye kuongeya uwongo maaana nisawa umewazibiya njiya yao ya upotovu. Utasemwa utachukiwa nahutokaa kuwapendezesha wao..Ittaki llaha. Endeleya kutuelimisha Allah akulinde nauwaduwi wakila aina Aaamin
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 2 жыл бұрын
Jamani kwani kama hujamjibu si atakujibia Allah? Mohammed Bachu Mawaidha yako ni mazuri. Sasa kama kuna watu hawapendi kukuona katika umri ulionao na kuweza kutoa mawaidha bila kubabaika huwenda wengine hawapendezewi kutokana na ufahamu wako kuwa mkubwa kuwapita wao. Nakusihi waache wakubeze na wala usiwajibu, Allah atakujibia. Maana kama utaendelea kuwajibu kila mmoja watu watakusema vibaya na watahusudu. Jikinge kwa Mwenyezi Mungu kisha endelea kufanya kazi ya Allah malipo yako atakulipa ‏‏Allah.
@abdallahmohamed8433
@abdallahmohamed8433 2 жыл бұрын
Swadakta
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 2 жыл бұрын
Acha wajibiwe usiifiche haki. uovu uondolewe kwamikono au kwa kusema na kuchukia .madam uwezo wa kusema haki upo basi haifai kuificha haki ili watu wabainikiwe malipo kwa Allaahu yapo palepale na ujue kunawatu wanafaa kua ubao ili kuwasomesha wengine na tujue usahihi ni upi. Ukisema akae kimya itaonekana nishutma za ukweli kikubwa tu nikutoanza ila wakianza wajibiwe ili nao pengine wakajua haki wakaifata pengine nao hawajui wakidhan wapo sahihi. Acha tuelimishane kupitia yote haya .
@ahmedjuma2674
@ahmedjuma2674 2 жыл бұрын
Waache wakosowane mpaka wakaesawa
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 2 жыл бұрын
Tujikumbushe katika clip za Marhum Sheikh Nassor Bachu
@zaharahassan7873
@zaharahassan7873 2 жыл бұрын
Asalam alykum Shekh wangu Mohamed bachu nakuimba utubainishie matatizo ya Shekh Qasim mafuta Kwa sababu Mimi nikipenzi chake kama vile wewe nikipenzi changu ktk walimu ninao fadika nao ahesnte Mungu atuhifadh sote
@neemafatu7885
@neemafatu7885 2 жыл бұрын
Hata mimi nashangaa sana.hawa woote ukiwasikiliza ,wanaongea SUNNA tupu.sasa kwa nini walumbana.NACHUKIA SANA.
@binbajoun7918
@binbajoun7918 2 жыл бұрын
Ahsante Allah kuhifadh azidi kukuongoza
@jumaothman9449
@jumaothman9449 2 жыл бұрын
Allah akulipe kheri. Mm nakufahamu sana sheikh wangu na nakupenda kwa ajili ya Allah.
@matendondambwe9527
@matendondambwe9527 2 жыл бұрын
Ndugu zangu wasikilizaji tusiwaige mashekh wanao tukanana kielimu wanamema mengi Sana hao wakiwa sio wachawi Wala washirikina wanadaraja kubwa mbele ya allah
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 2 жыл бұрын
الله يبارك فيك يا شيخنا
@abuuyunusnassor446
@abuuyunusnassor446 2 жыл бұрын
ni maneno ya wazi kabisa na yenye kufahamka kutoka Muhammad Nassor bachu (حفظه الله) Maa shaa Allah Makundi katik dini yanasababish mfarakano katik din ya Uislamu bila ya shaka
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 2 жыл бұрын
Hii Ndio azma ya usalafi Maana usalafi ni fitna ya Kushughulisha waislamu wasahau changamoto zao Kazi yao ni mipasho na kusutana tu
@ahmedhusseinshnoor1210
@ahmedhusseinshnoor1210 2 жыл бұрын
Kuna ubaya gaani kusema Alijuwa haki mishoni ya umri yake ?? Sema Alhamdulilah Kama Baba yako alikufa juu yaki rahimahullaah sheikh nasir bachu .
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 2 жыл бұрын
Sipendi kukuona tofauti,migongano,ugomvi baina ya Masheikh wetu.
@موسعلی-ه8ث
@موسعلی-ه8ث 2 жыл бұрын
ماشاء الله 🙏🙏
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 2 жыл бұрын
Nothing to translate This is true colour salafy It's here to bring chaos in Deen
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 2 жыл бұрын
Allah atakulipa Maana unafanya kazi za mitume.
@farajimtana123
@farajimtana123 2 жыл бұрын
Ila tunge jibiwa lile la Million 200 watu wange rudisha Imani ila kwa sasa ngoja tukae kwanza upande wa Sheikh QASSIM MAFUTA.
@abdulazizi2475
@abdulazizi2475 2 жыл бұрын
Hakika jambo kubwa kwa wanazuoni ni kuibadilisha jamii kwenda katika wema au ni kusubiri mwanachuoni ateleze adogoshwe na kufundishwa kusoma na kuambiwa hafai Jamii yetu inafaidikaje na midahalo ya wenye elimu
@bacteria5184
@bacteria5184 2 жыл бұрын
Hawa masalafiya wanachugua mashee na kuwatoa na kuwavunjia heshima mashee wengine.kundi hili la kuwachagua mashee na kuwa na kiburi halipaswi kufuatwa.
@mikealeck6447
@mikealeck6447 2 жыл бұрын
watu wengi wanashindwa kuelewa , sheikh Nassor Bachu alikuwa elimu yke ni msaada kwa ummah, hawa wasasa elimu ni msaaada kwa ajili ya vikundi vyao na nafsi zao, huko Tanga ndio balaaa.
@abuukwacha2438
@abuukwacha2438 2 жыл бұрын
Maalim unashughulika na watu ambao elimu zao bado
@alikhamis6326
@alikhamis6326 2 жыл бұрын
Sina la kusema ila niseme tu wallahulmustaan 🤲🤲
@hassanalbasq3160
@hassanalbasq3160 2 жыл бұрын
Acha kibri FUATA HAQQI NAKUNASIHI KAMA MWANAFUNZI MWENZANGU!! ACHANA NA BAHIZBI HAKIKA WATU WA HAQQI HUKAA NA WATU WA HAQQI.
@ummesaniyah
@ummesaniyah 2 жыл бұрын
Huyu mafuta na salafi wenzake Wana dharau na kibri kikubwa...na hii ni ishara ya upotofu wao au misguidance. Alama yao kubwa ukosefu wa ilimu, uelewaji mdogo , ukosefu wa adabu na ukosefu wa akhlaq... Allah kawanyima hizi khair zote... Allah awaongoze ndugu zetu hawa...
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 2 жыл бұрын
Allah atuongoze soote na nilisha fatiliya radd nyingi tofauti kwamakini mm mBurundi ila nawez kusema Ma Sheikh wa Kisalafi wa Tanzania wanafanya kazi kubwa saana East Africa kwakuilimisha watu na kuijuwa manhaj sahihi Allah awalipe kheri kwa ilo. Imma kuusiyana na Usalafi Jadida kwakweli uyo usalafi jadida sio ambao wanao kwa ushahidi wa Sheikh Qassim Mafuta Allah amuhifadhi alio utowa kweny MUHADHARA leo baada ya sala ya Asri na ambao wanamzuliya et ni hizbi,... wameamuwatu kumwita ivyo ila Haqqi itabaki kuwa haqqi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Sana Allah awaifadhi wametutoa vumbila macho kwa mambo. Mengi saba na Nassor bachu ametu vumbua Sana mm namuelewa Sana muda mwingi na sikiliza Mawaiza yake
@karimulahiabdullahi6816
@karimulahiabdullahi6816 2 жыл бұрын
Nataka unambie mtu anayejiingiza kwenye mataasisi sio Hizbi? Au ushabiki unakusumbua ww
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 2 жыл бұрын
wapi uliona ushabiki kweny Dini ya Allah
@karimulahiabdullahi6816
@karimulahiabdullahi6816 2 жыл бұрын
Si ww hapo ni Shabiki wa kasim mafuta. Na mna tabia ya kuyafumbia macho maovu ya kasim mafuta lakini maovu ya wengine mnayasema mpaka kesho. Mumefitinika nyie Allaah awarudishe mahizb wote pamoja na nyie katika Haqq
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
@@abdallahmoussa614 ndugu yangu katika Iman kunawatu siowaelewa Dunia hata umuelekezetu vipi waoni ushabikitu na sifa pepoyao Duniani kwakusifiwa ukisimama kwenye Haki uchukiwa. Kwahiyo usibishanenao kaakimya Allah atoipa kilammoja kutoka Ana anachokitanda
@adensir630
@adensir630 2 жыл бұрын
Mie Wallahi hakuna mtu niliuekuwa na mpenda katika walinganizi was dawa salafiyya zaidi ya Nassoro bachu رحمه الله تعالى...Naumia Sana kuona watu bado wanamuhisisha katika maswaala ya Raddi..
@AbdulMajid-bb7kd
@AbdulMajid-bb7kd 2 жыл бұрын
Daah
@rsbjvjdjgh2181
@rsbjvjdjgh2181 2 жыл бұрын
nimesikia sauti ya kipenzi chetu mwalimu wetu hadi machozi yananitoka Allah ampe pepo ya firdaus jirani yake awe bwana mtume S.A.W mimi napenda sana kwaajili ya Allah muhhamad bachu wavumilie tu samehe wenyewe tunajua kazi aliyo ifanya baba yako Allah ampe firdaus l aallah
@salhaali9284
@salhaali9284 2 жыл бұрын
Amin yarrab
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 2 жыл бұрын
Aaamiin
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Amyn🤲
@arnoldisaya2907
@arnoldisaya2907 2 жыл бұрын
Kajifunze kwa Dr ISLAM MOHAMEDI SALIM Huenda INSHAALLAH ukatambulika wewe ni manhaji gani maana hatukuelewi
@jumaothman9449
@jumaothman9449 2 жыл бұрын
Nani aende kujifunza
@saadiashariff5377
@saadiashariff5377 2 жыл бұрын
Mashaa Allah Allah amuhifadhj Dr islam Muhammad. Ameen thumaa Ameen
@mgazamhina840
@mgazamhina840 2 жыл бұрын
Huyo Dr.ISLAM wenzio masaraf wanampinga zipo crip za Kassim Mafuta amesema Dr.Islam sio sarafu kwasababu hauzungumzii huo usarafi
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 5 ай бұрын
​@@mgazamhina840majadida wamempiga Red card DK Islam bila hoja,! kweli ujadida ni uvundo
@arnoldisaya2907
@arnoldisaya2907 2 жыл бұрын
Mbona unashilikiana mashekhe waliopinda mfano shekhe kishik
@ahmedseif743
@ahmedseif743 2 жыл бұрын
Shukran Maalim wetu tutavumilia INSHAALLAH
@hessenomary6032
@hessenomary6032 2 жыл бұрын
Mropokwaji umekimbilia kulingania kabla hujawa na ilmu. Kaa chini usome ibn baachu
@ramadhanmakame6313
@ramadhanmakame6313 2 жыл бұрын
Muhammad Buchu ndugu yangu watafute ni kina nani walomfata sh. Nasor na akaikubali dawa. Nani walomfata sh. Nasoro. Na kutumia vitabu vya sh.Alban dalili ya mtu wa sunnah. Kwani kuna watu wangapi wanatumia vitabu vya watu sunnah na si katika watu wa sunnah. Kama huna cha kusema nyamaza sio lazima useme.
@abuuyusraathariyyu4752
@abuuyusraathariyyu4752 2 жыл бұрын
Umesema kweli akhii
@khamisjuma3899
@khamisjuma3899 2 жыл бұрын
Kazi ipo
@salmasaady3989
@salmasaady3989 2 жыл бұрын
Wewe ni fundi unajua pambana Allah atakulipa tupe elimu shekh mtoto wa nyoka n nyoka
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 2 жыл бұрын
Mashekh wa Leo wote Tz muigen hekima za Nasor Bacho rehmahulau nyie wengine ni makund tu
@abuuyunusnassor446
@abuuyunusnassor446 2 жыл бұрын
Mtihan kwa kweli Hatari
@tasliyaah
@tasliyaah 2 жыл бұрын
Hakuna kikundi kilichotengenezwa wacha kuropoka fuatilia mambo al akh hizo ni tuhuma za uongo za barahiyani ALLAAH akuongoze uijue Haqq manhaj salaf Aamiyn
@bilo1106
@bilo1106 2 жыл бұрын
Mm nko na miaka 43na nilianza kumsikiza shekhe nassoro bachu nikiwa na miaka 19 na tayar alikua wa alhsunna kama mtu hakubal sikizen clip zaka za miaka hiyo alafu si muache hivyo vidaku vyenu kwan viko na faida gan jaman...mtu hataka hukusoma jiuulize nabii muhmmad alipiga maulid ama alipigiwa...kama kapiga yye tupige ...kama alipigiawa hiyo sio sunna maana sunna nikufanya alichokifanya basssssss...
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Ай бұрын
Muhammad mafuta huyu kijana Ana maneno machafuu Sana na anajinasibisha na usalafi ila sio salaf ni hizbu salaf Ana mdomo mchafu mnoo
@husseinjuma6865
@husseinjuma6865 2 жыл бұрын
Usiwatwani mashekh wetu sisi tunawaheshim km tunavyo muheshim babayk
@nassorsalum9110
@nassorsalum9110 2 жыл бұрын
Huyo hamjui vizuri Nassor Bachu.
@yousufantari8776
@yousufantari8776 2 жыл бұрын
Nyie mashehe nyote wazinguaji tuu sasa, Mmekuwa hamna kazi za kufanya kufapigana vijembe tuu.
@arnoldisaya2907
@arnoldisaya2907 2 жыл бұрын
Nahaya mapichapicha mara kenye profile ya KZbin mara kwenye title ndio misingi ya manhaji salafi au ndo nini
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Una Maana gani?
@abubakarsaidi6658
@abubakarsaidi6658 2 жыл бұрын
Habar zako zimeishaa kijana rudi katk mstari ziendelee
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 2 жыл бұрын
Mm niko na wewe mdogo wangu shekhe mohamed usirudi nyumaa wape elimu mpkaa wananyooka kwa uwezo wa allah
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 2 жыл бұрын
Wawe na adabu katika kuwakosoa masheikh zetu. Warudi wakamsome Sheikh Nassor Allah amrehemu. Sheikh kapitia vitabu vya masheikh tofauti na zaidi Kwa Sheikh Albani.. sasa hawawanaokuja wakisema sheikh kajua Haqq mwisho wa uhai sasa yy uyo Mafuta ataijua lini. Watu wasijifanye wana elimu ili waitwe aalimu. Na wafahamu.. kuna Hukumu Mbele ya Allah nani ataonekana alisoma dini kuwafahamisha watu na nani alisom kwa kutaka aitwe yeye ni Aalimu.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Kwani MUNGU ndiye anaejua Kwayote she He wetu ww ungeyaachatu kwani hata wakisema kweri uwongo tu acheni sifa kwa watu takenisifa kwa Allah mmebaki kusema a mm ss hivi mnauzi kusema na
@salahhddindasuvic6447
@salahhddindasuvic6447 8 ай бұрын
Njia sahihi ni kufuata sunna .
@ameirameir4349
@ameirameir4349 2 жыл бұрын
Tumekufahamu vizuri sana. Endelea kutuelimisha tuko pamoja na wewe
@thethreesistercaves6414
@thethreesistercaves6414 2 жыл бұрын
Asalam alaikum ustadh
@rajabkigo2760
@rajabkigo2760 2 жыл бұрын
kwani mtume alikuwa dhehebu gani?
@khamissalum8906
@khamissalum8906 2 жыл бұрын
MTUME ALITUFUNDISHA NJIA HIYO KWENYE KUKOSOANA?
@abishafiqabishafiq6065
@abishafiqabishafiq6065 2 жыл бұрын
Mawahabi hamna akili mtapigana wenyewe 😄😄😄🤣🤣
@ibrahimsiddiq4018
@ibrahimsiddiq4018 2 жыл бұрын
Wewe ndo urudi kwenye njia ya sawa hizbiy salafiyah ipi ya Qassim Mafuta? Usalafiyah umehuishwa na Abulfadhwil qassim mafuta kutoka kwenye u Answar Sunnah!! Yaani wewe huna unalolijua maana sisi tunajua taasisi ya Answaar Sunnah na madudu yake yooote
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 2 жыл бұрын
Huu Ndio ukweli kuhusu salafi maana ni fitna ilioingizwa kwenye dini kutubabaisha
@ibrahimsiddiq4018
@ibrahimsiddiq4018 2 жыл бұрын
@@abuuabuu4831 wewe mfata mkumbo Wala hujui ulisemalo na madai yako ni batwil na labda upewe udhuru wa kutofaham nini Manhaj Salafy
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 2 жыл бұрын
@@ibrahimsiddiq4018 Manhaj Salafi ni fitna iliopandikizwa kwenye Uislamu kutushughulusha na kufanya waislamu waitane Majina mabaya Huwezi kudikia wanazungumzia mambo ya ghaib wala changamoto za waislamu zaidi ya kurushiana vijembe. Kusutana. Kubezana n, k Nassor Bachu Allah Amrehemu alikua anazungumza mambo ya Mauti. Kaburi. Qiyama n, k Alikua anazungumzia ubaya wa Zinaa. Riba n, k Lakini nyie ni mabingwa wa Kusutana
@ibrahimsiddiq4018
@ibrahimsiddiq4018 2 жыл бұрын
@@abuuabuu4831 hayo ndio unayoyajua kwa sabb waskiliza mihadhara tu na sio darsa... We nahisi hujui tofauti ya darsa na mihadhara. Mihadhara hio ya kuraddi hayo hayatakosa na yana asili ni misingi kutoka kwenye Qur'an!!! Allah amewaraddi Wengi katika Qur'an. Ama ukija kwenye darsa walohifadhi Qur'an, hadithi na aqeeda Sina hesabu maana ni wengi mno alhamdulillah. Hii dini lazima iende kwa kukataza na kuamrisha mema. Kuraddi ni sehem ya dini kuelimisha ni msingi wa dini kwa hio usijeghurika na mitandao njoo soma dini kaa kwenye halaqat za elimu utaelewa uhalisia
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 2 жыл бұрын
@@ibrahimsiddiq4018 Sina muda wa kusoma mipasho na kusutana Nitafutie speech moja ya Nassor Bachu anakufuriaha na kulaani waislamu kama hao masheikh wenu Leo wanakwambia TV imaan ni Haram kesho wanakwambie sio Yaani hawa ni fitna kubwa Sana kazi yao ni kuchanganya ummah ili tupingane na tuuane Kule Somalia salafy wamewasha moto nchi na hapa Tanzania bado kidogo tutaanza kuuana kwa sababu mnapandikiza chuki sana nyie
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k Жыл бұрын
sasa tayari muko makundi matatu salafiyun,hizbi na sunna muhammad je lipi kundi sahihi ambalo nilapeponi?ebu tufahamisheni ss wanafunzi wenu tujue
@mwajitajunior7633
@mwajitajunior7633 2 жыл бұрын
Tunakuelewaaa ndugu Sheikh Muhammad endeleaa na daawah
@aminirashid2833
@aminirashid2833 Жыл бұрын
Mohammed bachu nenda kasome chini ya wanachuoni wanaoijua hakki bado elimu yako ni changa Sana tu
@nassorsalum9110
@nassorsalum9110 2 жыл бұрын
hao masalafi wa siku hizi hebu wachunguzeni vizuri. ninawasiwasi wanatumia kilevi hawa
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 2 жыл бұрын
Hahahaaaa
@mwajitajunior7633
@mwajitajunior7633 2 жыл бұрын
Hawaa wapuz kumbeee...? walikuw wapi mwanzo nassor bachu alipokuwa analinganiaaa hawa watu elimu zao haziwasaidiiii hazina faida Kwa nafsi zao watambadlisha naniiii
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 2 жыл бұрын
Hii Ndio salafi hakuna chochote Bali kuleta firqa
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 2 жыл бұрын
watu waliokufa hali yakuwa kabla daawah haijaingia tunawahesabu vp??
@rahmaabdillahi2795
@rahmaabdillahi2795 2 жыл бұрын
walaa tamuuttunna illa wa antum muslimuun
@khamissalum8906
@khamissalum8906 2 жыл бұрын
HATUTAKI KUGAWANYWA.. MTAFUTE UMPE MKONO TUUNGANE DINI IWAFIKIE VIZAZI VYETU IKIWA NI MOJA TU..
@farajimtana123
@farajimtana123 2 жыл бұрын
Hata mimi namkubali sana Sheikh wetu huyo Allah amrehem. Ila mimi naona una jikanyaga. Mantiki ni kafikishiwa. Je baada yako alifikishiwa hiyo dawa alikubali au alikataa jibu alikubali. Sasa kama walio mfikishia baba yako na akakubali na akarekebisha baadhi ya mambo vipi wewe uwakatae na uwaite majadida Mimi naona kijana unajikanyaga sana hebu fuata haki. Acha kutafuta Umaarufu
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 2 жыл бұрын
Mafuta ni yakupikia mboga na ugali shekh tonge Hawa! Wapi na wapi watu kama Hawa kuacha pesa wakashikana na dini
@islamforurope2340
@islamforurope2340 2 жыл бұрын
WEWE UNAFATA MANHAJ SALAF IPI? MANHAJ YA SALAFI NI YA KUANDIKISHANA UANACHAMA? TANGIA LINI WE NI KAHIZB TU HUNA LOLOTE, HEBU TUAMBIE KADI YAKO YA UANACHAMA NI NGAPI?
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 2 жыл бұрын
muhaddith mohammed bachu??
@khadijajuma1928
@khadijajuma1928 2 жыл бұрын
Nahisi shk Kassim Mafuta Hukumtendea haki kwani aliekusema wewe ni Muhammad Mafuta, sasa Kassim Mafuta Hapo kaingiaje? Sasa wamjibu Mohammad Mafuta au Kassim Mafuta?!
@siafuonlinetv
@siafuonlinetv 2 жыл бұрын
@@khadijajuma1928 AWO WOTE NI PUNDA NA PANDU YAANI JORA MOJA
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
@@khadijajuma1928 umeonaee ssa wanataka kugombanstu bas
@zahorsuleyman3429
@zahorsuleyman3429 2 жыл бұрын
@@siafuonlinetv km hao punda weye nani au ngurue?
@zawiyatanzaniatraders8449
@zawiyatanzaniatraders8449 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi na akupe upto mkubwa wa kielimu
@kassimfahmiashursalim4128
@kassimfahmiashursalim4128 2 жыл бұрын
Si ukae usome Kwanza we kijana bado mdogo Hata miaka 25 hujafika. Soma kijana washindana na watu waliokua juuuu.
@mohamedasaid7910
@mohamedasaid7910 2 жыл бұрын
Sheikh wangu andika Abu Muhadith sio Muhadith Video yako.
@abamohamed7092
@abamohamed7092 2 жыл бұрын
Mawahabi sasa mmeingia hatua nzuri ,mnapaluana nyie kwa nyie ,kwenu hakuna kheir hata kidogo
@ahmedsoudathman5088
@ahmedsoudathman5088 2 жыл бұрын
Kila mmoja asema yy bora zaidi....
@soudsoud7330
@soudsoud7330 2 жыл бұрын
Hatari kweli kweli
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 2 жыл бұрын
Maneno ya mtumi swalla Allahu alayhi yatimia umma kugawanyika vikindi 72 SASA haya simageni cha 73 ndio cha peponi musidanganyike nacho ni twariqa
@simaiabeidussi8138
@simaiabeidussi8138 2 жыл бұрын
Radi hata sumbawanga zipooo!!!
@bahashachembea6922
@bahashachembea6922 2 жыл бұрын
🤣😂😃😀😄
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
@@bahashachembea6922 🤣🤣
@ummaumona6593
@ummaumona6593 2 жыл бұрын
Naona ulisema humjibu abul Abbas juu ya mada hii au maneno yamekaa sehemu yake weye mpumbavu jahili Ruwaybidwaaaaa
@ABUUALLY-b3t
@ABUUALLY-b3t Жыл бұрын
Nyinyi mawahabi si katka Ahlu sunna wa ljaamaa mumejipachiaa tu 😂kama kweli hasaa basi hebu tufafanulieni nini uwabahi na hii madhehebu yenu imetoka wapii! Maana ni watu mlozukaa tu hatukujueni na me natamani kukujueni ! Kwahiyo sheikh muhammad bachu tunaomba muweke darsa inayo husu historia ya mawahabi tupate kukujueni ambao munajita masalafi
@jumakumala1337
@jumakumala1337 2 жыл бұрын
Sheikh Mohammed Bachu leo umenichekesha kwl wasema Mohammed mafuta afungwe kamba
@alkhalilmussa5633
@alkhalilmussa5633 2 жыл бұрын
Huna jambo weeeeee salafi gani nyie saaa iviii mnagmbana nyinyi kwa nyinyi aoooi
@rwandasaid4388
@rwandasaid4388 2 жыл бұрын
Sasa hivi mmewacha watu wamaulidi mnagombana wenyewe kwawenyewe mpaka wanagombana na watu wamaqaburini subbhanallah fanyeni istighifar
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 2 жыл бұрын
Usalafi ni fitna ilioanzishwa na makafiri Wanetukana masheikh wengi sana sasa wamejirudia wenyewe
@soudsoud7330
@soudsoud7330 2 жыл бұрын
Ni shida kwa kweli
@abubakarsaidi6658
@abubakarsaidi6658 2 жыл бұрын
Huoni kua watu wasiokua katk sunna ndio wanakupend kulik waliokweny sunna hujajijua tu kua kijana unamatatizo
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln 2 жыл бұрын
Mashehena wa tanzania tende zitawatiya motoni - mtume muhamead alikuwa dhehebu gani
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 жыл бұрын
Sasa waliomfikishia Ni Nani?si ndio hao kina qassim mafuta ambao wewe unawatukana
@husseinjuma6865
@husseinjuma6865 2 жыл бұрын
Ww mu/bachu kasomeww acha upinzani
@Blitzplayz615
@Blitzplayz615 2 жыл бұрын
Jamani sipendi mashek wakujipizana mutume muhammed salallhu alehiyi wadalam alipituya mingi kwenye tawa zake aka subiru lakini masheki hawa wana jibizana 2 hiyo ni sifa mbaya
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 2 жыл бұрын
mbona mropokwaji umekaa kimya tunasubir ujibu tujue km kwe una akili au huna?
@nasrikileo
@nasrikileo 2 жыл бұрын
😀😀😀 daah, itafuteni kweli ya Mwenye Vyote (Mun hunguu) sababi mmepewa akili..
@eshasalim3660
@eshasalim3660 2 жыл бұрын
Alhamdulillah napenda vile unavyozungumza ukweli na kufafanua na huongopi kusema haki Allah akuhifadhi
@allysekondo2920
@allysekondo2920 2 жыл бұрын
Jamani kujiita salafi ni bid'a ,hakuna swahaba wala wajawema waliotangulia waliojiita salafi,je nyinyi mumepata wapi kijiita salafiy,acheni uzushi nyinyi ndiowatu w bid'a.
@ShilQingqingriginalsquaredance
@ShilQingqingriginalsquaredance 2 жыл бұрын
Tunashkuru kumjua shekh Qassim mafuta Kama ni mtu wa sunna msikilize Zaid utafaidika
@abuusuhaib7695
@abuusuhaib7695 2 жыл бұрын
Huu upumbavu tu mtu ana fanya muhadhara kwa kumtakasa babake ? Hii ndio dini au family? kwani Bachu ni nani ? Acha kuwa salaf kundi la kufarikisha waislam na kulinda maslahi ya watawala madhalimu hata ange kuwa ni paani .kweli waitwe waislam kuja kusikiliza juu ya mtu binafsi badala ya uislamu? Da,awa kama hizi Iblis lazima azipepee
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 5 ай бұрын
yaani kuna watu wanawaingiza watu ktk sunna na pia wanaweza kuwatoa! nyie majamaa
@siloomar7699
@siloomar7699 2 жыл бұрын
Kweli hicho ni kikund cha kasimu mafuta
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Izi ndendebwe za masalafiya JADIDAH wakina mafuta wamejitokeza bidah na suna zimebainika
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
Hadi maiti hapati amani na Hawa washenzi
@muryd6999
@muryd6999 2 жыл бұрын
Duh!,😀😀
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 жыл бұрын
Kisa baba yako au vipi ..nikweli sheikh amejitahidi ila Kuna vitu alikua anakosea ila sheikh nassor tunampenda ila tunaamini Kuna vitu alikua anakosea ila wewe mgumu kuelewa ...hufai kusikilizwa
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 2 жыл бұрын
Mbona humjbu shekh hadi Leo. Hahahahaha. Kelele tuu
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k Жыл бұрын
uzuri wenu nyie Allah kawapa uwezo wakuhukumu kila mtu nakumtabiria wamotoni na wapeponi yani munavojiona nyie nibora kuliko mtume saw
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 2 жыл бұрын
munauwasha moto uendelee kutafuna suna badala yakuuzima
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA PILI | Muhammad Bachu
1:13:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 15 М.
Raddi kwa Muhammad Mafuta juu ya maneno yake ya ufedhuli||Muhammad Bachu.
31:23
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 42 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 18 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 125 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 32 МЛН
Kheri za Dunia na Akhera - Sheikh Nassor Bachu
40:15
Islamic Kindness
Рет қаралды 1,9 М.
HISTORIA YA SHEIKH KASSIM MAFUTA -ALLAH AMUHIFADHI
30:04
Elimu sahihi
Рет қаралды 64 М.
Muhammad Bachu WAMEPEWA MIAKA KUMI WAJIBU SWALI HILI SALAFIA JADIDA.
1:04:04
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 20 М.
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
shining noor
Рет қаралды 683 М.
Mawaidha mazito sana || Sheikh Nassor Bachu
29:43
Jiongezee Maarifa
Рет қаралды 42 М.
Muhammad Bachu UWAJIBU WA KUWA SALAFI NA KUJIEPUSHA NA SAFIYYA JADIDA.
1:09:25
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 24 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 18 МЛН