Baarakallaahu fiik. Radd nzuri sana yakiilimu. Watu waliopinda ni waajib wabainishwe. الله يعينك يا أخي
@gammamohammed66012 жыл бұрын
Baarakallahu fiik
@abrahamansaidi86312 жыл бұрын
باراك الله فيك
@pavillioncry52414 ай бұрын
Muongo kiongozi mnae Kasim mafuta nani Hicho ndo chama chake
@وزيرهالوزير-ذ8س3 ай бұрын
Majadida mnauelewa mdogokwakweli
@وزيرهالوزير-ذ8س3 ай бұрын
Suyutwi anaingia au haingii
@pavillioncry52414 ай бұрын
Kasim mafuta Hakosei mbona sjaw skia akikosolewa
@hajigahimbare5792 жыл бұрын
Hizi Zama Dini imekuwa Haina Tofauti Na Team za MPira' Kila Mlinganizi Ana Team Yake Na Anataka Kuonekana Yeye Ndio Bora" MalenGo Ya Kueneza Elimu Hakuna Tena/ Subhaanallah...
@maryamalli90902 жыл бұрын
Swadakta
@mengihashimu10812 жыл бұрын
Mtazamo wako huo.
@abuubakarmohd75322 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakat Hii audio zimechanganywa hazipo kwa mpangilio
@elimusahihi2 жыл бұрын
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته ni sahihi akhy tatizo lipo wakati zinarekodiwa hazikuandikwa kwa mpangilio title, album, name
@abubakarymaulidy56812 жыл бұрын
Kimeumana zenyewe kw zenyewe zimeikhtilifiana duh nasikitika sana
@Modyb2 жыл бұрын
Zimeumana vipi na munharif anajibiwa? anafanya talbis kisha ajibiwa kielimy sasa itakuaje kwa maneno yako?
@neemafatu78852 жыл бұрын
Yaani naamini sasa. Waislamu wakiyakimbia kuyaongelea au kuficha mambo yaliyokuwa ya msingi kama vile tutajikomboa vipi ili kuisimamisha qur an itawale dunia ili uislam usimame itakiwavyo, NI LAZIMA WATAONGELEA MAMBO YA AJABU KAMA HAYA.HAYAATHIRI WALA HAYANUFAISHI WALA HAYANA MAANA HASA.
@وزيرهالوزير-ذ8س3 ай бұрын
Tatizo enu kuwatoa watu kwenye uislam ovyo ovyo
@elimusahihi3 ай бұрын
@@وزيرهالوزير-ذ8س wapi katolewa kwenye uislamu je umesikiliza au unadhania tu
@majidiabdi424 Жыл бұрын
Abul Abbaasi - WEWE sio SHEIKH ( Hata Muqaddima WAKO una MAKOSA kibao - Acha dharau ) Muhammad Bachu ni Sheikh - Tena Muhaddith Na Amehifadhi QUR'AN YOTE wewe Hujui HATA kusoma kwa kwangalia wewe kwa USOMAJI QUR'AN nikama MAFUTA kwa kukosea kosea -Sheikh MUHAMMAD Bachu Anakuzidini kwambali Mno.
@technicianroom14132 жыл бұрын
Huu sio utaratibu mzuri wa kufikisha dini ushauri ikitokezea makosa mashekhe kaaeni pamoja mueke sawa, sisi tukaona haya mambo hatufurahii tunalaani Sana Kwa sababu sote njia yetu ni moja
@saidiayubu64052 жыл бұрын
MANHAJI SALAFI NDIYO HAKI NYINGINEZO NIZABATWILI tunalinda
@saidiayubu64052 жыл бұрын
MANHAJI SALAFI NDIYO HAKI NYINGINEZO NIZABATWILI
@hamisisekidende5365 Жыл бұрын
Nyinyi ni makhawaridj
@pavillioncry52414 ай бұрын
Sawa wengine wote motoni
@majidiabdi424 Жыл бұрын
Hakuna Mtume alie tumwa Na DAWA ya CHAMA cha KISALAFI - ACHA Ujinga WAKO Na hakuna Mlango wa JANNAH kwa MASALAFI -Milango ya JANNAH Ni 8 Hakuna Mlango wa MASALAFI.
@mohdkhatib2232 жыл бұрын
Masalafy jadida hamna akili
@sulaymaanayoub86562 жыл бұрын
WEYE NI MJINGA MKUBWA HUJUI ULI TONGOALOO. HAO MASALAFIYYAH JADIIDAH NDO KUNDI GANI ? LETA MANENO YA WANA WANAWAHUONI
@mbwanaomary45042 жыл бұрын
Mbona jamani hii dini nnaipeleka nnavyotaka nyinyi.
@pavillioncry52412 жыл бұрын
Mi naona huyu shekh mutupu kichwani hamna kitu
@burhanisaidi98112 жыл бұрын
Badala ya daawah sasa imekua mipasho tu😬
@Abuushaymaatz2 жыл бұрын
Ukisoma diyni hutapata taabu na kuona hii ni mipasho
@burhanisaidi98112 жыл бұрын
@@Abuushaymaatz ukisoma dini ndio utajua Kama hiyo ni mipasho! Sidhani Kama hao wema waliotangulia walikua na tabia Kama hizo za like😁
@Abuushaymaatz2 жыл бұрын
@@burhanisaidi9811 Pole Sana, naona unazidi kuzama kwenye makosa, mie niliongea kwa mukhutasar ili uzinduke Kama unalo lisema huna elimu nalo unyamaze but maal Asafu Shadid wazidi kuzama kwenye tope. Nakunasihi unyamaze Ndugu yangu hii elimu yahitaji research, waeza ukawa ushatia hii njia uke ukaletewa maneno ya Allah ktk quruani akiwakosoa kufaru utasemaje?, Ukaletewa maneno makali ya Rasuul alaih swalaatu wa salaam akiradd mukhalifina na kufaru, ukaletewa maneno ya maswahaba akina abullah ibun umaru, Aliyy ibun Ubutwalib nk, utawatoaje kwenye uke?, Au ndo utasubiri alihukumu Hilo Allah juu yako siku ya qiyama? Emu Nyamaza, kunyamaza mda mwingine Kuna khery kuliko kuzungumza.
@burhanisaidi98112 жыл бұрын
@@Abuushaymaatz endeleeni na mipasho yenu sisi tupo twawatazama.
@Abuushaymaatz2 жыл бұрын
@@burhanisaidi9811 Bro waendelea kukosea Tena , chutama basi.