Hii Mijitu Ikitka kujipendekeza kwa Mabwana zao ipo tyrii hta kumkufuru Allah (SW) mitihani sana Kwakwel
@majidabas3843Ай бұрын
KABEKE NJAA IMEHAMA TUMBONI IKAELEKEA KICHWANI. HANA AFYA YA AKILI
@saidishekalaghe3496Ай бұрын
Huu ni mtihani mkubwa Sana.
@faisaloaljabry6400Ай бұрын
Aibu kwako na viongozi wako
@omargargaar5611Ай бұрын
Inna lillah wainna illahi rajiun Wallah huu ni msiba Allah amsamehe amekosea snaa sheikh wtu imeniuma mm ni musalaam 😢😢😢
@mohamedkhalifa5764Ай бұрын
Mwenyezi Mungu Ni Mjuzi hawa Ndio hawakuchaguliwa Mitume
@ilyasmuhsin3285Ай бұрын
Ni mtihani mkubwa sana wallah kubadili kauli ya allah kwa matakwa yako binafsi
@RamadhaniMsukumaАй бұрын
Mie mwenyewe ninajua hilo ni uongo na ndio shida ya kuwa na elimu ndogo shukran sana sheikh kutoa matirio ya uhalisia hatutaki dini yetu kuchezewa mie mwenyewe ni sheikh wa kata kupitia bakwata
@Sheba4651Ай бұрын
Watu wa maulid waongo sana, yule mwengine kasema siku ya maulid ina ubora zaidi kuliko Laylatulqadir.
@davidruhasha9670Ай бұрын
Na hawa bakwata ndio tatizo kubwa la waislamu na uislamu tanzania, maneno ya mungu unayageuza ili uwafurahishe viongozi wa nchi, mufti yupo kimya, innah lilahi waa Innah ilaihi rajiun
@sudisalehe192Ай бұрын
Mh hawa mashekh jamaniii matumbooo uyeee
@OmarIbrahim-c9i11 күн бұрын
Ni sawa kabisa sheikh kabeke,alizua uongo,kuran haijalenga mwenge,hayo ni masilahi yake tu
@SuolFatАй бұрын
Kabeke umepotosha ummah wa I Kiislamu
@binzubeir6510Ай бұрын
Masekh ubwabwa..... ndio walivyo wanafuata matamanio yao. vizuri shekh kwa kumueka sawa.
@allymtito8117Ай бұрын
Mashekhe wa bakwata wanatafuta kula yao na umashuhuri, na wala so dini, na haya tutayaona sana kwa bakwata watu waserikali
@medimisi6930Ай бұрын
😂😂Bakwata oyee😂😂Allah atupe kheri kwa kweli.
@TwahirBurhanАй бұрын
Masufi wengi huwa wanasubiri mtu aiguse Maulidi au mwezi mwandamo ndo utawaona wanatokwa na mishipa lkn kwa hili kimyaaa!
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
Awawezi Sabu dini yao inaongozwa na matamanio hatarii kweli Hawa watu wanakoroga hii dini
@jumaabaamujaahid7821Ай бұрын
Tobaaaaaa mtihani huyu ndio shekhe wa mkoa imefika hali hii kwa sabbu ya mshahara muogope Allah
@AbuuKineroАй бұрын
Allah ajaliapo
@HamisiHassani-v2z29 күн бұрын
Alete hata qawlii ya Mufti ben Jumaa Al buhry
@pavillioncry5241Ай бұрын
Kila siku tunaambiwa tusiwaskilize masufi maghurafiiiiii
@ahmedabry293Ай бұрын
Dah innalillahi wainnailaihi raajiun... Hana ushekhe huyo.. kufru ya wazi na kawaida yao hao hawawezi kuomba samahani kwa viburi walivonavyo.
@AdamChogoАй бұрын
Wapi kamkocea huyo shkh half km kweli kakocea ww n nan uje median achen Shobo
@pavillioncry5241Ай бұрын
Masalafi tuwaskilize majitu ya bidaaaa kama hawa
@nassorshaaban7295Ай бұрын
Hao Masheikh wa Bakwata hawapo ktk kujenga Dini wapo kwa Maslahi ya kidunia wengi wao na Makafiri
@bwagizoselemani8434Ай бұрын
Kwel kabisa
@kijitamfyomi5598Ай бұрын
Mbona Mufti amekaa kimya na sheikh yupo chini yake?
@unknowna8442Ай бұрын
Hafai kuwa kiongozi sio mara ya kwanza hupo kwa masilai yake
@mussakimwaga4645Ай бұрын
Aya umeisoma kimakosa kwa kutia alif na lam kwenye عن منكر
@TwahirBurhanАй бұрын
Aombe radhi kwa Allah na kwa waislam kwa huu uzushi
@user13375Ай бұрын
Tatizo ni lugha ya kiarab ,waswahili hawaijuwi 😮😮😮😮😮
@faisaloaljabry6400Ай бұрын
Hapana usimtete kwa hoja ya lugha huyo Sheikh wa Mwanza Anaaibu nyingi tu
@LikandikeАй бұрын
Usimaj wake ovyo atajua tafsiri
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
Kila siku tunasema Hawa watu wazushi hawaogopi kumzushia Allah na kumbandika uongo mtume man kadhaba aleya mutahamida fali ya tabawa makada Minna nnari mtume asema mwenye kunisungizia urongo mie ajiande markazi yake motoni Sasa Hawa watu wanaotafuta vyeo na kujipendekeza kwa watu wakumbe hizo rohoo yupo mwenye kuzihesabia wakati na kudhibiti kila waongeacho unaugeuza maneno ya Allah bila woga kabisa na hakuna sufi wanaoweza mkemea ndo ujuwe watu wa bidaa ni hatarii sana watu wakisema wahabi hawoo wahabi hawataki umooja umoja wenyewe ndo huoo wa kumbandika uongo Allah subuhana wataala kweli
@abuuahmad3238Ай бұрын
Shehe poyoyo ... Sishangai kama ni mtu wa balwata...
@hamzakimaro3764Ай бұрын
hao ndio masheikh wa inayoitwa BAKWATA!!
@gift-AAАй бұрын
Huyu si ndio aliekuwa na kashfa na kula pesa za hija!!!!
@nurdinhozaАй бұрын
Kabeke acha njaaa hunasifa yakua shekhe wamkoa hata wa kuleta fatha kwenye dua njur aa
@babajay3445Ай бұрын
Huyu mjinga huyu
@seifsaid9905Ай бұрын
Niliwambia Hilo linafanya matendo ya ukafir kutoa tafsil ya kumzushia Allah manen ya. Uongo
@kijitamfyomi5598Ай бұрын
Hata ccm wenyewe wanamshangaa huyu sheikh kama kujipendekeza kapitiliza mipaka
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
Tz tuna mashekh wa ovyo kweli😂😂 wanapigania maulidi so kuteta aya za mwenyezi mungu zinavyo potoshwa hapo ingeguswa maulidi wangejitokeza wwngi kuzungumza
@Sheba4651Ай бұрын
Huyo shee wa mwenge ndio hao hao wa maulid.
@faisaloaljabry6400Ай бұрын
@@Sheba4651Mashaallah jina linamstahiki hili
@AliMohammed-j9wАй бұрын
SH MUHAMADI ISSA PUNGUZA HAMASA JITAHIDI KUSOMA MATWIQ ALAMA HAPO WATU WANAJITENGEZEA WENYEWE ليس خاص
@omaryabduli7328Ай бұрын
wewe unawazu .
@adamjutto5849Ай бұрын
Mantwiq gani asome,elimu ya kiyunani hyo imelazimishwa kuingizwa ktk uislamu,jitu linaongea maneno ya uongo,alaf ananasibisha na uislamu,kisha anyamaziwe
@mnibomnibo5312Ай бұрын
Huyo kabeke amepotosha umma wa kiislaam kwa kutafsiri Qur,aan kwa tafsiri isiyo sahihi huyo kabeke du nikafiri
@HussainMaula-f9bАй бұрын
TUMBO LINAWEZA KUMPELEKEA MTU KUZUNGUMZA UTUMBO UTUMBO KWA KUENDEKEZA NJAA
@ShabanKilizaАй бұрын
Shekh yupo sahihi kwa tafsir uliotoa ww bas shekh kabeke yupo sahihi shekh kabeke mungu amuhifadh yupo sahihi
@adamjutto5849Ай бұрын
Eeeh hata akisema nguruwr halali kula😂
@MansourKabuhayaАй бұрын
Angalia usijeukaadhibiwa na Allah kwa utani wa kijinga
@nassorshaaban7295Ай бұрын
Huyo sheikh kabeke kwanza ni Mchawi Mwizi na amefanya Dhulma kwa watu wengi sana
@SadickMussa-g6hАй бұрын
Bakwata huwa wanapenda sana viongozi mfano wa kabeke, hawawapendi watu waliosimama vyema ktk haqqi
@nassorshaaban7295Ай бұрын
Bakwata ni Tatizo ktk kubwa kwa Dini na Mufti yupo kamuacha tu
@babazungu3180Ай бұрын
😂😂 shekh bakwata na alivyo m'bishi hawez kuomba radhi kwa mola wake wala waislam.
@IbraFareedАй бұрын
Mtume Muhammad ﷺ ametukataza kueka dhana
@athumanbakari-hy7xbАй бұрын
HII MIJITU. INAAKILI KWELI ETI SHEKHE. KABEGE NINAIMANI ANAKULA KURUWE NA MBWA ETI MWENGE ULIKUWEPO TOKEA KWA MMTUME
@JumaMsangaziMsangazi-nq1ruАй бұрын
Innaalillah Wainnaailayhir raajiuun....اذا وسد الامر الى غير اهله فانتظر الساعة....hapa ndipo Walipofika ..Subhaanallah.....Hivi BAKWATA wanachagua Mashaikh wa Mikoa na Wilaya na Kata kwa Vigezo vipi vya kiilmu?
@JumaMsangaziMsangazi-nq1ruАй бұрын
هذا كذب و زور بين و واضح....اذا فقد المليح فالكبيح مليح
@JumaMsangaziMsangazi-nq1ruАй бұрын
Hivi ndivo ilipofikishwa Dini kweli?!!!
@JumaMsangaziMsangazi-nq1ruАй бұрын
Ukisoma ktk Tafsiir ya Twabary Aya ya 16 ..Ukurasa 185 Amesema Abdallah Ibn Abbaas ambaye ni Habrul-Ummah...Neno (ALAMAAT)pamekududiwa kwa neno hilo ...Alama za njiani wakati wa Mchana,wakasema Wengne:pamekusudiwa Nyota,..akasema Sufiyaan kutoka kwa Mansour kutoka kwa Ibraahiim....Miongoni mwa hizo alama...zipo ambazo ni Alama na zipo ambazo huongoka watu kwazo na maneno haya ameyasema Mujaahid
@JumaMsangaziMsangazi-nq1ruАй бұрын
Akasema QATAADA..ama neno Alaamaat...ni Nyota..hakika Allah hali yakuwa amatukuka hakika si mengneyo ameumba Nyota hizi kwa Mambo matatu..(1)Amezijaalia kuwa nipambo la Mbingu(2)Na akazijaalia kuwa huongoka watu kwazo(3)Na akazijaalia nizenye kuwapiga Mashaitwani..akasema yeyote atakayetumia matumizi au kufasiri tofauti na fasiri hixi ameikosea Rai yake,na amekosea fungu lake na atakuwa amejikalifisha kufasiri na kuleta maana ambazo hapana kwake ujuxi wowote kwalo
@alimau7939Ай бұрын
Wanaojita masalafi ni mabigwa wa kuraddi wako wapi leo kina mafuta
@azizisulay6005Ай бұрын
Masalafy hawawez kurad hii, kwa sababu uongo huu kwa bakwata ni Jambo la kawaida mno, Kwan juzi juzi si mfuti alisema kuwa usiku wa maulid ni bora kuliko laytul kadir, kwahiyo hiyo din ya bakwata Wala hata hajakosea😅😅😅
@KhamisNahodahАй бұрын
Taasisi hivi imetoa tamko lolote? !!!
@HabibuUrasaАй бұрын
Hawa ni mashekh feki. yaani hawa wanadhalilisha dini ,mufti amfukuze hana faida yeyote ktk dini
@kijitamfyomi5598Ай бұрын
Nashangaa hata sheikh Kishki ,sheikh Walidi wote wamekaa kimya ila sheikh sharifu firdausi akiwapa watu maji wanasimama kusema ni sharifu fake
@ibunjumuatv9502Ай бұрын
Wewe sio kila mmoja asema kwani huyu hajaliyosha mpaka aseme sheikh kishk na walidi au imekuuma saana sheikh kishk kubainisha kinachoendelea Allah akuongoze ndugu
@ShabanKilizaАй бұрын
Acheni chuki na rad zisozokua na maana
@ibunjumuatv9502Ай бұрын
Kwahio alicho kifanya ni sahihi sindio Au imekuuma saana kwakua ni sheikh wako kasemwa ni hivi ndugu yangu hii dini yetu haina mtu endapo yeyote yule akienda kinyuma lazima abainishwe katika lile aliloenda kinyume so vumilia hii ndio ila kusema hakuna maana sio kweli pia muogope Allah maana mapenzi ya sheikh wako yasikupelekee mpka ukawa kila alisemalo hata kama lipo kinyume na sheria weye wamsapoti Allah akuongoze na Atuongoze soote
@KhamisNahodahАй бұрын
Ivi mufti hana mamlaka ya kumuondoa ktk nafasi hiyo
@SadickMussa-g6hАй бұрын
Mufti hawez kumuondoa kwenye uongozi kwasababu hilo siyo kosa kwake
@mashaurimvungi2232Ай бұрын
Na nyie mahzib simsemaga hamna radd Sasa hapo mnafanya Nini?wote ndio walewale
@azizisulay6005Ай бұрын
Hata mm nashangaa leo kuona hiyo raddi Kwan siwangemuita faragha kumpa nasaha, angeradi salafy angeambiwa hana hekma katika dawa
@bwagizoselemani8434Ай бұрын
@@azizisulay6005 kaka mashekhe weng wa bakwata hawapend kuambiwa nahata ukimuita hawez kuja napia mm nawewe tusingejua kua shekhe wa mwanza anataka kutupoteza kwahiyo muache aambiwe ukwel hili ni tatizo kaka
@Aboodjan4-Ай бұрын
@@azizisulay6005inategemeana na kosa na limetoka kwa nani na ktk mazingira gan sio kila kosa mtu anaitwa faragha