Hakuna kitu kibaya kama kulelewa ujombani 😢wenye tume experience hiyo life ndio tunaeza elewa huyu kijana, madharau matusi, kitu ikipotea wewe ndio mwizi, haunanga say kabisa, wanakuonanga kama an outcast 😢😢
@lynnfleity39036 күн бұрын
We wacha tu kwanza mimi uncle yangu alinipea ugonjwa ya kunose bleed..
@WinnieChelangat-b2s3 күн бұрын
Shida yenye kijanangu amepata juzi aty aliiba simu na akaitiwa police 😢aky brother wangu mungu anakuona
@lynnfleity39033 күн бұрын
@WinnieChelangat-b2s these uncles sio watu wazuri akiii...nimelelewa huko and it's true kwanza kama wameoa..
@lynnfleity39033 күн бұрын
@WinnieChelangat-b2s pole sana may God fight for you Winnie
@RehemaOrodo2 күн бұрын
Ukweli kabisaa
@janetamati56266 күн бұрын
Gidi, the problem with the youngsters is that they have no respect of people's property or space....l have one who even lied to access my property to us my house😢